Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 12  MTUNZI UHURU MEDIA   Stephen alisimama huku  akitetemeka kwa hasira, macho yake yakiwaangaoia Jerry na Lina  kwa chuki.
Gonga94 Β· Stories

FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 12 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen alisimama huku akitetemeka kwa hasira, macho yake yakiwaangaoia Jerry na Lina kwa chuki.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

β€œJerryson, pesa zako hazitafanya umchukue Lina wangu. Nampenda, huyo ni mwanamke wangu! Stephen alijikuta akiongea kwa sauti ya ukali na kumfanya washirika na kuvunja kumbatio.
Jerry alikuwa amesimama kwa utulivu akimuangalia jinsi alivyo kuwa amepaniki , na Lina alikuwa akimuangalia kwa hasira.
β€œStephen sitaki fujo nyumbani kwangu.
" Jerry nilikuwa najiheshimu sana lakini hapa ulipofikia nimekushasha thamani.
" Haidhuru wewe kushusha thamani yangu . Alafu hizo kelele zinazopigwa ni kazi bure unakumbuka vizuri
wewe ndiye uliyepoteza nafasi kwa Lina, Ulimdhulumu na kumuumiza.
" Mambo yangu na Lina wala hayakuhusu.
" Yanamuhusu sana tu sababu maisha yangu kwa sasa yapo mikononi mwake.
Alisema lina kwa hasira .
Stephen aliangua kicheko cha dharau.
" Yani haumjui vizuri huyo ulie mkabidhi maisha yako , atakupa maumivu zaidi ya niliyokupa mimi.
Osca alipoona Stephen ameenda kufanya fujo alianza kumvuta ili waondoke.
" Kwahiyo ulitaka tumechukua ili uje kufanya fujo?
" Osca tulia hujui kile ninachopitia.
" Acha mambo yako bwana , naomba tuondoke.
" Miondoko hapa mpaka niongee na Lina.

Jerry alipiga hatua mbele kuwasogelea kisha akasema
β€œWewe huna akili kabisa. Endelea tu kubweka hapo kama mbwa koko ukichoka njia nyeupe utaondoka.
Jerry alimgeukia Lina na kumwambia.
Nenda chumbani kwako ukapumzike .
Jerry alimshika mkono wakapandisha pamoja kuelekea chumbani kwa lina.
" Stephen kumbuka huyu ni baba yangu mdogo. Haupaswi kujibishana nae hivyo. Alisema Osca
Stephen alimgeukia Osca kwa hasira na kumwambia
β€œUsiniingilie wewe Osca, hii kesi haikuhusi kabisa.
β€œStephen, naongea kwa mara ya mwisho. Ondoka kwa amani kabla Jerry hajatoka huko ndani.
Stephen aliondoka kwa hasira huku alimuacha Osca.
" Huyu jamaa chizi kweli yani nataka kuja hapa ili agombanie demu .

Lina alikaa kitandani huku akiwa kajiinamia, kwa kiasi flan alijihisi kuumia. na Jerry alikuwa kasimama pembeni yake.
" Lina hutakiwi kuumia kwaajili yake, hakuwa mwanaume sahihi kwako.
Lina alinyanyua uso wake kumuangalia.
" Najua kwao hawanitaki .
" Sio kwao tu hata yeye bado hajui msimamo wake uko wapi.
" Ni kweli
" Inawezekana ni kweli anakupenda lakini hastahili kuwa na mtu kama wewe.
Lina alimuangalia kwa jicho lenye maswali , ni kama alikuwa anahitaji maelezo zaidi.
" Unajua nini kuhusu Stephen?
Jerry aliona sio busara kusema mambo ya Stephen.
" Sikiliza Lina , wewe ndio mwenye maamuzi kwa sasa, kama utaanza kumpa moyo wako Stephen au kuachana nae na kusimama kwenye masomo ili kufikia malengo yako .
" Kusoma ndio swala la muhimu kwangu.
Jerry alipomaliza kuongea na ona alitoka chumbani .

Stephen walifika nyumbani kwao akiwa na hasira , kila aliemuongeleza aliishia kujibiwa vibaya kisha akaenda kujifungia chumbani kwake.
" Inawezekanaje Lina akaniumiza roho yangu kiasi hiki? Sikujua kama nampenda kiasi hiki .
Alichukua simu yake na kupiga namba ya lina.
Simu iliita , wakati huo Lina alikuwa akiangalia mwishowe aliamua kupokea ile simu.
" Unataka nini Stephen?
" Lina hivi ni kweli umeamua kuwa na mahusiano na Jerry?
" Kwani unaumia?
" Nipe jibu la swali langu.
" Acha kuteseka kijana , endelea na maisha yako sababu mimi nilishakusahau na wala sikumbuki kama tulikuwa na uhusiano mwingine tofauti ya mtoto wa boss wangu wa zamani.
" Lina unajua unauumiumza sana moyo wangu.....
" Acha utumie sababu huu ndio wakati wako wa kuumia kama mlivyoniumiza mimi.
" Nahisi kukupenda lina.
Lina aliangua kicheko kikubwa .
" Unasema unanipenda wakati wewe na familia yako mliniweka ndani?
" Alikuwa ni mama , hata hivyo kesho yake nilikuja polisi sikukukuta.
"Sikiliza Stephen nikwambie kitu kimoja muhimu sana kwako.
" Mimi siwezi kuwa na wewe wala Jerry sio mwanaume wangu ila ni mwanaume anayejua umuhimu wangu na kunipa thamani kubwa ambayo sikuwahi kupata hata kwa ndugu zangu wa karibu. Basi naomba usimsumbue kaka wa watu.
" Usijidanganye niliwakuta mmekumbatiana kama wapenzi.
" Sina muda wa kutaka kukuaminisha hicho ninachokwambia . Uwe na maisha mema.
Lina alimaliza kuongea kisha akakata simu.
Lakini kwa kiasi fulani Lina walikuwa anaumia sababu ni kweli alikuwa anampenda Stephen na ni mwanaume wake wa kwanza lakini hakuwa na jinsi ilimbidi akae mbali nae ili kuepusha matatizo. Pale pale alifuta namba za Stephen na kila kumbukumbu aliyokuwa nayo alijaribu kuipoteza. Alichukua baadhi ya vitu alivyopewa na Stephen na kwenda kutupa kwenye takataka.

Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 12 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen alisimama huku akitetemeka kwa hasira, macho yake yakiwaangaoia Jerry na Lina kwa chuki.

β€œJerryson, pesa zako hazitafanya umchukue Lina wangu. Nampenda, huyo ni mwanamke wangu! Stephen alijikuta akiongea kwa sauti ya ukali na kumfanya washirika na kuvunja kumbatio.
Jerry alikuwa amesimama kwa utulivu akimuangalia jinsi alivyo kuwa amepaniki , na Lina alikuwa akimuangalia kwa hasira.
β€œStephen sitaki fujo nyumbani kwangu.
" Jerry nilikuwa najiheshimu sana lakini hapa ulipofikia nimekushasha thamani.
" Haidhuru wewe kushusha thamani yangu . Alafu hizo kelele zinazopigwa ni kazi bure unakumbuka vizuri
wewe ndiye uliyepoteza nafasi kwa Lina, Ulimdhulumu na kumuumiza.
" Mambo yangu na Lina wala hayakuhusu.
" Yanamuhusu sana tu sababu maisha yangu kwa sasa yapo mikononi mwake.
Alisema lina...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/fate-to-love-you-12-mtunzi-uhuru-media-stephen-alisimama-huku-akitetemeka-kwa-hasira-macho-yake-yaki

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi fate-to-love-you
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 17  MTUNZI: UHURU MEDIA Maneno ya Jerry ni kama yalikuwa
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 17 MTUNZI: UHURU MEDIA Maneno ya Jerry ni kama yalikuwa
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 10  MTUNZI UHURU MEDIA    Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 10 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen
 FATE TO LOVE YOU πŸ’“  7--8  7  MTUNZI UHURU MEDIA   Lina  alitoka nje  akaenda kuchukua usafiri na kuelekea nyumbani kwa Mishely. "...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 7--8 7 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alitoka nje akaenda kuchukua usafiri na kuelekea nyumbani kwa Mishely. "...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 15  MTUNZI: UHURU MEDIA  Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 15 MTUNZI: UHURU MEDIA Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 16  MTUNZI UHURU MEDIA   Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 16 MTUNZI UHURU MEDIA Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 9  MTUNZI UHURU MEDIA   Angelo alimuangalia na kutambua wasiwasi pa moja na hofu aliyokuwa nayo Lina.p
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 9 MTUNZI UHURU MEDIA Angelo alimuangalia na kutambua wasiwasi pa moja na hofu aliyokuwa nayo Lina.p
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 14  MTUNZI UHURU MEDIA   Kelsho yake muda ya saa nne asubuhi Jerry alikuwa amesimama kwenye dirisha la chumbani
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 14 MTUNZI UHURU MEDIA Kelsho yake muda ya saa nne asubuhi Jerry alikuwa amesimama kwenye dirisha la chumbani
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 6  MTUNZI UHURU MEDIA    Lina alishuka kwenye gari  na kuelekea kwenye lango kuu la hotel anasalimiana na mlinzi kisha akampatia
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 6 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishuka kwenye gari na kuelekea kwenye lango kuu la hotel anasalimiana na mlinzi kisha akampatia
 FATE TO LOVE YOU πŸ’“1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 11  MTUNZI UHURU MEDIA   Lina alishangaa inakuwaje iwe hivyo wakati aliongea na Jerry na akamwambia kaajiliwa? Aliondoka pale jikoni
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 11 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishangaa inakuwaje iwe hivyo wakati aliongea na Jerry na akamwambia kaajiliwa? Aliondoka pale jikoni
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 13  MTUNZI UHURU MEDIA   Ule usiku Jerry aliamua kutoka nyumbani kwake na kwenda kuonana na rafiki yake kipenzi  Nabir. Walikaa na...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 13 MTUNZI UHURU MEDIA Ule usiku Jerry aliamua kutoka nyumbani kwake na kwenda kuonana na rafiki yake kipenzi Nabir. Walikaa na...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 5  MTUNZI UHURU MEDIA   Alipokuwa njiani alimpigia simu Mishely. " Hallow Mishely... " Lina mbona kama unalia?
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 5 MTUNZI UHURU MEDIA Alipokuwa njiani alimpigia simu Mishely. " Hallow Mishely... " Lina mbona kama unalia?
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

542
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

474
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

438
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜

352
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

165
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

138
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

89
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

85
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

84
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

76

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo tukaludi getoo. Basi tukiwa tunaendelea na story zetu mi na lemi. Oyaaaaa kufika saa nne jsiku mtoto...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest