Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Issookkeey…!  Unaelewa kwa nini Pantev hakuwa anataka kutumia mastraika kwenye michezo yake!?
Gonga94 · Stories

Issookkeey…! Unaelewa kwa nini Pantev hakuwa anataka kutumia mastraika kwenye michezo yake!?

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mechi yenye reaction bora mno kwa Ibenge…! Kipindi cha kwanza ni Simba walikuwa butu kumfunga na Azam walikuwa dhaifu na ilionekana muda wowote watafungwa. Kipindi cha pili kilikuwa HATARI 🔥

Simba SC wana shida kuliko PANTEV au Matola…! Timu inafungwa kwa sababu wanakosa magoli rahisi ya kufunga, wana kundi la wachezaji ambao pale mbele wanastahili mabadiliko haraka!

Azam FC leo kabadilika mno…! Hawakuwa na kiwango bora kwenye ligi lakini dakika za kipindi cha pili ni ndoto ya Ibenge na Azam FC. Walivyocheza juzi na kipindi cha kwanza walikuwa wana sababu elf za kufungwa! SUBS zao ziliua mechi 🔥🔥 TOP

Wilson Nangu kwenye kiwango bora mno…! Uhai mwingi wa Simba ulikuwa kwenye miguu yake na kichwa chake katika nyakati walizohitaji uokozi.

Himid Mao anacheza tu kwa Basics…! Anatimiza majukumu ya msingi na kufanya mambo mengine yaendelee…! Pa kukata anakata, pa kupasia anapasia na pa kucheza anacheza. Ndiye Man of the Match wangu✊🔥

Leo Yakoub Seleman kafanya Save 5 nzito tu…! Best performance 🔥🙌 Kiwango bora zaidi tangu asainiwe na Simba SC na alikuwa bora wakati wote uwanjani. Utulivu wake ulikuwa mkubwa.

James Akaminko alihitaji dakika chache tu kuonesha daraja lake…! Ni ajabu sana kukaa benchi kwa wachezaji waliopo Azam FC…! Master Class performance ✊

Morice Abraham is just a Magic🙌 Ni gold inayotembea na kila touch yake ina ubora mwingi wenye kutoa tafsiri ya kipawa chake kikubwa.

Nassor Saadun!? Labda ni bora zaidi akitokea pembeni kama leo…! Alikuwa maswali magumu kwa Kapombe na hakukuwa na jibu hata moja…! Bravo performance 🔥✊ Si ajabu wanampa Man of the Match baadhi.

Feisal always…! Anashiriki kutatua matatizo mengi tu

Wanafungwa ndani na nje…! Watapumzika AFCON kisha wakisogeza tu uso watajikuta kwa Esperance kule Tunisia kujiokoa na Tohara la Kikurya…! 😀 Mwaka wa shetani.
Wasalaam!
FT’ Simba SC 0 vs 2 Azam FC
@nazareth_upete
Tangazo - Kazi ya jela ilinifanya niwe malaya full story ni Tamu balaaah
Kazi ya jela ilinifanya niwe malaya full story ni Tamu balaaah
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Issookkeey…! Unaelewa kwa nini Pantev hakuwa anataka kutumia mastraika kwenye michezo yake!?

Mechi yenye reaction bora mno kwa Ibenge…! Kipindi cha kwanza ni Simba walikuwa butu kumfunga na Azam walikuwa dhaifu na ilionekana muda wowote watafungwa. Kipindi cha pili kilikuwa HATARI 🔥

Simba SC wana shida kuliko PANTEV au Matola…! Timu inafungwa kwa sababu wanakosa magoli rahisi ya kufunga, wana kundi la wachezaji ambao pale mbele wanastahili mabadiliko haraka!

Azam FC leo kabadilika mno…! Hawakuwa na kiwango bora kwenye ligi lakini dakika za kipindi cha pili ni ndoto ya Ibenge na Azam FC. Walivyocheza juzi na kipindi cha kwanza walikuwa wana sababu elf za kufungwa! SUBS zao ziliua mechi 🔥🔥 TOP

Wilson Nangu...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/issookkeey-unaelewa-kwa-nini-pantev-hakuwa-anataka-kutumia-mastraika-kwenye-michezo-yake

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi issookkeey-unaelewa-kwa-nini-pantev-hakuwa-anataka-kutumia-mastraika-kwenye-michezo-yake
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

10.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.48K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

2.57K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.31K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.12K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.11K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.04K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.96K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest