Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MICHEZO YA WANAWAKE(WOMEN MIND GAMES) AMBAYO UNATAKIWA UIJUE KWENYE MAHUSIANO ILI USIINGIE MKENGE.
Gonga94 · Stories

MICHEZO YA WANAWAKE(WOMEN MIND GAMES) AMBAYO UNATAKIWA UIJUE KWENYE MAHUSIANO ILI USIINGIE MKENGE.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

1. Wanaume wengi wamejikuta wakiingia katika kumi na nane za wanawake na kujikuta wakinaswa na mitego ya wanawake.

2. Mwanamke unapoingia naye kwenye mahusiano Hasa ha kimapenzi lazima akuchezee mind games(michezo ya akili) kama sehemu ya mitego ya kukunasa.

3. Wanaume wengi wamejikuta wakifeli mapema Kabisa. Na hapo ndio wanawake huwashinda akili wanaume wengi na kuwatawala.

4. Mwanamke akishakuchezea mind games ukafeli huwezi kumtawala tena. Yeye ndiye anakutawala. Wewe ni kirunguyeye tuu Mdogo mwenye miiba lakini huwezi kuitumia kama silaha.

5. Moja ya dalili mwanamke amekushinda kwenye Mind games na unatawaliwa na mkeo au mwanamke, ni kama pamoja na na dalili zifuatazo;
a) Anauwezo WA kukupimia na kukupangia kufanya mapenzi/ngono.
Mwanamke akishakuzidi akili na akikutawala utajua kwenye kukupimia michezo ya kitandani. Mwanaume mwenye akili na mtawala hapimiwi. Na hapohapo halazimishi. Yaani mwanamke anajileta mwenyewe na anatamani umuombe. Ukiona mwanamke anakuringia kwenye ngono ujue mitego yake na mind games alizokuchezea ulifeli.

b) Anajiamulia Mambo bila kumpa ruhusa.
Yaani unashangaa tuu kafanya, mara kakopa Sijui manini huko, haombi ruhusa. Hana haja ya kufanya hivyo Kwa sababu Siku zote mtawala haombi ruhusa. Kikawaida wanawake hujua wanaume watawala wasiotaka mchezo linapokuja suala la heshima na mamlaka ndani ya nyumba. Na yeyote anayeenda kinyume na kanuni anafukuzwa bila kusita bila kujali.

c) Anasikiliza wanaume au watu wengine kuliko wewe.
Mwanamke wako lazima akusikilize wewe iwe Kwa hiyari au kwa nguvu. Hawezi fukuza. Moja ya dalili mkeo amekushinda akili na ulifeli mind games zake ni kutokukusikiliza. Alishakupima akaona huna utakachofanya, huna lolote, huna mamlaka yoyote. Si chochote sio lolote.
Kwa Sisi Watibeli mwanamke asiyekusikiliza hapaswi kuwa mkeo hata kwa masaa 24.

6. Zipo sifa na dalili nyingi lakini kutokana sio mada Leo Acha niendelee na michezo ya wanawake ambayo unatakiwa uijue na uweze kuidhibiti ili mambo yako yaende sawasawa.
Kama ifuatavyo;

a) Mbinu ya Silent Mode. (Kujikausha)
Wanawake sio kwamba hawapendi, sio kwamba hawavutiwi na wanaume. Sio kwamba hawawezi kuchat na wewe. Nope!
Wanaweza. Ila wanatumia mbinu ya Silent mode au silent treatment kukuchezea akili yako.
Unakuta hakutafuti. Anataka uwe wa Kwanza kumtafuta.
Ukimtext anachelewa kujibu.
Anajifanya yupo busy ati hatakuwa na muda.
Huo wote ni Utapeli.
Lengo la Mind game hii ni kukufanya wewe mwanaume uwe mfuasi wake, umfukuzie, uwe kama mkia wake badala ya kuwa kichwa. Wanakutengenezea kitu inaitwa Chasing behaviour na wasiwasi.

Usimtafute kama hakutafuti. Kuwa busy na KAZI zako.
Usimtumie tumie text, pia usitume meseji ndefu.
Kumbuka huo ni mtego.
Asije kukudanganya unavyomtafuta mara kwa mara ndio unaonyesha Nia na kuwa upo serious nope! Watibeli hatufanyi hivyo.

Mtongoze, akikuambia yupo busy mwambie fresh, akimaliza akutafute. Kata simu tafuta mademu wengine zaidi na zaidi. Hii ni Kwa wanaotafuta wachumba. Usiwe na mwanamke mmoja kama hujaoa. Tena mwanamke huyo hajitambui na anataka umtafute tuu yeye. Au anachelewa kujibu text. Watibeli hatufanyi hivyo. Kuwa na Wanawake Lundo na usione aibu Kwa sifa hiyo. Asiyetaka akae pembeni.

b) Wanavuka Mipaka kimakusudi kukupima.
Mind games nyingine wanayotumia wanawake hasa mwanzoni NI kukuvunjia heshima kidogo kidogo kupima unajielewa, kujitambua na mamlaka yako unaweza kuitetea au kuilinda Kwa kiwango gani.
Anaweza kukuonyesha dharau, kuongea shit, au kuchelewa appointment mliyowekeana. Usikubali.
Mmeagana mnakutana saa 12 jioni iwe 12 jioni ikizidi labda dakika tano au kumi hivi. Tofauti na hapo hizo ni dharau. Cancel hiyo appointment. Mwambie Una mambo mengi ya kufanya. Usikubali kuvunjiwa heshima yako hata kama ni kitu kidogo. Hakikisha from beginning ajue wewe ni MTU unayemind vitu anavyoviita au ambavyo wengi wanaviita vidogovidogo.

C) Kutafuta Uhakikisho (Validation Fishing)
Hii ni tabia ya mtu kutoa malalamiko ya kificho na kijanja au kuonyesha kutokujiamini ili uweze msifia.
Mfano:
“Nahisi sifai…”
“Labda hunipendi tena…”
Lengo si kutatua tatizo, bali kuvua maneno ya kumbembeleza, kumtukuza, kutaka kumthibitisha yeye ni zaidi yako, kukuona kuna majukumu huyafanyi ipasavyo.

Wakati wewe muda huo unahangaika na unapambana kutimiza wajibu wako kama mpenzi au mume wake.
Msikilize Kwa utulivu. Usitake kutumia nguvu kubwa kuthibitisha chochote kuonyesha wewe ni mwema. Mwambie Kwa kifupi umemwelewa na utafanyia kazi hoja zake. Kama anatabia ya kulaumu laumu. Mwambie asikusumbue kama hayawezi aondoke. Hapo utaongea kama mtawala na sio kama Mwenza.
Familia inaendeshwa Kwa Utawala na Upendo. Lazima kuwe na uwiano.

d) Kusifia Wanaume wengine Mbele yako Makusudi.
Hii ni mind games ambayo wanaume wengi hufeli. Wanawake huweza kujifanya wanamuelezea mume wa Rafiki yake jinsi alivyo muwajibikaji. Akamsifia wee. Lengo lake ni kupima na kupandisha kiwango cha wivu wako.
Ukishafeli ukaonyesha wivu lengo lake la pili ni kuku remote ufanye anachotaka kwani utataka Ku prove wewe NI mwanaume Bora kuliko wanaume wengine.
Kufikia hatua hiyo UMEFELI Mtihani na umeshindwa mind game na mwanamke.

Hutakiwi kuwa na wivu au tuseme hupaswi kuonyesha wivu Kwa mkeo au mpenzi wako. Hilo ni kosa ambalo wanaume wengi wanalifanya. Wivu ni kiashiria upo controlled. Huwezi zuia mihemko yako.
Akisifia mwanamke mwingine, wewe mwambie aende kwa hao anaowasifia. Mwambie Siku nyingine akirudia kusifia wanaume wengine utampeleka wewe mwenyewe Kwa hao wanaume akakae huko. Au utamundoa hapo. Kisha kata hiyo mada leta Stori nyingine.

e) Kukusifia na kukujaza sifa za kijinga ili akutumie.
Wanaume wengi wamegeuzwa misukule na watumwa na wanawake Kwa kuzidiwa akili na wanawake. Mind games za wanawake hasa hii ya kukujaza sifa za kijinga ili uingie kwenye mfumo wa utumwa wanaitumia Sana.
Mfano, Wanakuambia mwanaume lazima utoe pesa, alafu anakupiga msumari. Unatoa. Chali. Unatoa elfu 50 Kwa demu wakati hujawahi kununua hata kiatu chako cha elfu 50. Wewe kama Sio chizi ni nani?

Anakusifia wewe ni mtoaji mzuri, wewe ni jembe, kumbe anakuona huna akili.
Hakikisha mwanamke anakuona unapenda pesa kuliko unavyompenda Yeye. Unapenda KAZI yako kuliko yeye. Hiyo ni kanuni.

Wanawake huwasifia wanaume insecure yaani wanaume wasiojiamini. Wasioamini uanaume wao. Kwamba uanaume wao unathibitishwa na maneno au kauli za wanawake.

Mwanaume anayejielewa huwezi kujazwa sifa na wanawake kijingajinga.

Mtego wa kukusifia na kukujaza ujinga lengo lake ni kupima kujiamini kwako. Kama unajiamini huwezi zichukua hizo sifa kwani unajua zipo intentionally.
Anaweza kukuambia, Juma wewe ndiye mwanaume SASA embu ninunulie Bia hapo. Lengo la kukusifia ni ili akupige kibomu. Kwa Sisi Watibeli hatutoagi pesa Kwa vipimo vya wanawake wajinga wanaotumia vipimo vya kitoto.

Kukupa pesa au kukununulia kitu haihusiani na uanaume. Hizo ni akili za wasiojiamini au wenye upeo Mdogo.

f) Kukuchokoza Kihisia (emotional provocation)
Anaweza kukutegea mtego Kwa kukuchokoza au kukukejeli ili kujua akili yako inavyofanya kazi. Je unaweza kudhibiti mihemko yako?
Usipende kugomba gomba, kubishana na wanawake, kuwatukana.
Ukishaanza kutukanana na mwanamke jua umeshaingia kwenye mfumo wake. Ashashinda mins game hiyo
Wanawake hupenda attention. Unapotukanana naye tayari umeshampa attention yako. Umeonyesha kujali.

Njia sahihi ni kukaa kimya,
Kuondoka na kuondoa mazoea,
Kuwa mbali na mwanamke huyo,
Kutompa nafasi wala kumsaidia,
Kutoonyesha kutomjali, n.k.

Kufikia hapa wazee sina la ziada.
Kwa makala Kali njoo WhatsApp channel Yangu kisha follow bonyeza haps 👉🏼👉🏼👉🏼https://whatsapp.com/channel/0029Vb278CM2P59fD18MyJ01

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MICHEZO YA WANAWAKE(WOMEN MIND GAMES) AMBAYO UNATAKIWA UIJUE KWENYE MAHUSIANO ILI USIINGIE MKENGE.


1. Wanaume wengi wamejikuta wakiingia katika kumi na nane za wanawake na kujikuta wakinaswa na mitego ya wanawake.

2. Mwanamke unapoingia naye kwenye mahusiano Hasa ha kimapenzi lazima akuchezee mind games(michezo ya akili) kama sehemu ya mitego ya kukunasa.

3. Wanaume wengi wamejikuta wakifeli mapema Kabisa. Na hapo ndio wanawake huwashinda akili wanaume wengi na kuwatawala.

4. Mwanamke akishakuchezea mind games ukafeli huwezi kumtawala tena. Yeye ndiye anakutawala. Wewe ni kirunguyeye tuu Mdogo mwenye miiba lakini huwezi kuitumia kama silaha.

5. Moja ya dalili mwanamke amekushinda kwenye Mind games na unatawaliwa na mkeo au mwanamke, ni kama pamoja na na dalili zifuatazo;
a) ...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/michezo-ya-wanawake-women-mind-games-ambayo-unatakiwa-uijue-kwenye-mahusiano-ili-usiingie-mkenge

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi michezo-ya-wanawake-women-mind-games-ambayo-unatakiwa-uijue-kwenye-mahusiano-ili-usiingie-mkenge
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

190
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

153
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

130
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

87
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

7

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.04K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.72K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.87K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest