VYOTE NDANI GONGA94
Mke wa mtu, punguza kucomment kwa shobo kwenye picha au video
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
za wanaume ambao wamemzidi mume wako. Najua unajisikia kama ni kawaida tu kuandika “😍🔥”, “jamani handsome”, “nimekufa”, au “wewe ni mwanaume wa ndoto”, lakini ukweli ni kwamba unajidhalilisha mwenyewe kimya kimya.
Watu wanaona, na wanaokuona si wote wanakuchekea kwa roho safi—wengine wanakuonea huruma, wengine wanakudharau, na wengine wanacheka kwa sababu wanajua umeolewa lakini bado unahangaikia attention ya wanaume wa watu.
Heshima ya mume wako na ndoa yako inaanzia kwenye tabia zako hata mtandaoni; mwanaume akiona mke wake anahangaikia wanaume wa hadhi kubwa kuliko yeye, ndani yake anaanza kujiona mdogo na kupoteza kujiamini.
Pia kumbuka hili: mwanaume unayemcomment kwa shobo si kwamba atakuoa au atakuweka kwenye maisha yake—anakufanya burudani tu. Leo unacomment, kesho anakusoma tu na kupita, keshokutwa anakutumia inbox kwa tamaa, halafu mwisho anakukimbia na kukuacha na aibu.
Umeolewa, hivyo “online” yako pia inapaswa kuonyesha kuwa wewe ni mwanamke wa heshima, wa hadhi, na wa kujithamini. Kama unataka kupendwa, pendwa na mume wako; kama unataka kusifiwa, mume wako ndiye wa kwanza kuona uzuri wako.
Hiyo ndiyo njia ya kujenga ndoa, si kuipa ndoa yako vidonda kwa makofi ya mitandaoni.

Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mke-wa-mtu-punguza-kucomment-kwa-shobo-kwenye-picha-au-video