Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*MKAKA KAUZU HUYU JAMANI* *SEHEMU YA SABA*  Kwakuwa nilikuwa na mihasira yangu na tayali J nikishaamua kujiweka
Gonga94 · Stories

*MKAKA KAUZU HUYU JAMANI* *SEHEMU YA SABA* Kwakuwa nilikuwa na mihasira yangu na tayali J nikishaamua kujiweka

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mbali na frank, nikajikuta nilishindwa ata kumkumbatia na kwa sauti ya utulivu nikazungumza.

"Unaniumiza"

Frank akaniachia kwa haraka kisha akaniuliza

"Oooooh pole kwani Bado unaumwa au ?"

"Niko Sawa"

Nilijibu kisha nikasogelea meza yangu na kukaa na kuanza kupitia kazi zangu

"Naona Sina kazi Mpya na Leo ni jumatatu"

Nilimwambia frank.

"Aaah usijali kazi zako zote za Leo nilikufanyia Jana na Leo jioni nitafikisha sehemu husika"

Alijibu frank Tena kwa kunichangamkia sana, Yaani frank alikuwa ni wa tofauti sana sio frank. Yule kauzu, Yaani alikuwa ni frank Mpya kabisa sio Yule ambaye ata salamu yake ilikuwa ni shida kubwa sana kuipata

"Sawa Asante unaweza kunitumia hivyo hivyo ili nipate kuipitia kidogo"

"Bila Shaka Malkia wangu"

Alijibu frank na Kuwal kwenye meza yake.

Ili neni Malkia wangu lilinishtua kidogo na kunifanya nimuangalie frank ambaye alikuwa amechangamka sana na kuonekana Kuwa ni mtu kwenye furaha sana.

Kwa upande wangu nilihakikisha Kuwa nafanya shughuli zangu tu pasi na kumfikilia frank ambaye amenivunja sana moyo wangu baada ya kunipatia maneno machafu siku ambayo niliamua kunipatia mwili wangu..

Muda wa kwenda Nyumbani ulifika na nilikuwa wa kwanza kuondoka, Yaani kitendo cha muda tu kufika nilinyanyua kila kilichokua cha kwangu. na kuondoka pasi kumuaga mtu yeyote Yule.

Ikiwa ni Majila ya Saa 2 nikiwa chumbani kwangu, simu yangu iliita na nilipoangalia Namba ilikuwa ngeni kabisa, nikaiangalia kwa muda kisha nikapokea na kuzungumza.

"Hellow, naongea na Nani ?"

"Hatimaye umepokea simu yangu, me frank Nipo nje hapa kwenu unaweza kutoka tukazungumza

Kwanza nilishtuka sana kisha nikasogea dilishani kwani chumba changu kipo juu hivyo. Nina uwezo wa kuona nje na kweli Nilimuona. frank akizunguka getini kwetu.

"Umekuja kufanya nini frank ?"

Nilimuuliza kwenye simu uku nikimuangalia.

kupitia dilishani,

"Naomba utoke nje tupate kuzungumza please"

"Tutaongea kesho kazini me siwezi kutoka nje"

Nilijibu na pasi na kusubili jibu lake nikakata simu na kwenda kujitupia kitandani na kujikuta nikiwa ni mtu Mwenye furaha sana baada ya kuona Kuwa frank amekuja Nyumbani kwetu.

Baada ya muda nikanyanyuka na kusogelea dilishani na kuangalia lakini sikumuona Tena frank pale getini.

"Kwahiyo ameondoka kweli"

Nilijiuliza kwa huzuni kabisa, muda huo huo dada yangu akaingia chumbani kwangu na kuniambia.

"Kuna mgeni wako sebuleni"

"Mgeni?" Nilijikuta Nikimuuliza dada yangu kwa mshtuko wa hali ya juu.

"Ndio ni mkaka, yuko na baba hapo anakusubili"

Yooooh nilijikuta nikianza kutetemeka Yaani mwanaume amekuja Nyumbani kwetu na amakutana na baba yangu nyie baba yangu uwa apendi kabisa haya mambo.

"NAKUJA"

Nilijibu uku nikiwa na wasiwasi sana, Yaani frank ndio ameamua kabisa kuingia Ndani.

Basi nikajiweka vizuri pale kisha huyo nikatoka nje na kwenda kuonana na frank ambaye nilimkuta akiwa sebuleni akiwa amekaa na baba

yangu.

"Frank Karibu sana"

Nilimkaribisha kwa kumchangamkia sana.

"Asante"

"Baba huyu ni frank ni boss wangu pale ofisini"

Niliamua tu kujiami mbele ya baba yangu kabla ajaanza kuniuliza maswali ambayo yangekuwa magumu sana kwa upande wangu

"Yaaah najua ameshaniambia, sasa mwendelee na maongezi yenu Mimi Nipo chumbani"

Alizungumza baba yangu kisha akanyanyuka na kuondoka.

Kitendo cha baba yangu tu kuondoka. nikamshika frank mkono kwa nguvu na kumkukusa mpaka nje.

"Umekuja kufanya nini hapa?"

Nilimuuliza nikiwa nimeshapaniki.

"Nilikuwa sina ata plan ya kuja Nyumbani kwenu lakini ni wewe ndio umetaka Mimi niweze kuja kwenu"

"Una maanisha nini? Achana na hayo kwanza shida yako nini? Yaani unataka nini?"

"Anaya Mbona Kama uko na hasira sana kuna kosa nimekufanyla?"

Frank aliniuliza, nikimuangalia kwa hasira sana na kumjibu

"Hapana ni life style yangu Mpya tu, Sema shida yako Kijana

"Naitaji tuzungumze kiundanı sana, tunaweza tukatoka mbali na hapa ?"

"Mbali na Nyumbani kwetu ili ukapate muda mzuri wa kunidhalilisha si ndio ? Frank, najua Ndani ya siku hizi ambazo tumeishi mambo. Mengi sana yametokea na kwa sasa nafikilia tufanye Kama historia tu na kila kitu kiendelee"

"Kwanza kabisa Nimekuja kukuomba msamaha kWa kila kitu"

Nilijikuta nilianza kucheka kisha nikamuuliza.

"Yaani wewe frank uniombe Mimi msamaha?"

"Ndio na nafanya yote kwakuwa nimeshaona siwezi kuishi bila wewe anaya nakupenda. sana...

Nika......

Maoni

You're not logged in


profile
majario 04 Dec 2025 05:01
😭😭😭
profile
majario 04 Dec 2025 05:00
Tuombeane vita hii ni nzito sana 😭😭😭
Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*MKAKA KAUZU HUYU JAMANI* *SEHEMU YA SABA* Kwakuwa nilikuwa na mihasira yangu na tayali J nikishaamua kujiweka

mbali na frank, nikajikuta nilishindwa ata kumkumbatia na kwa sauti ya utulivu nikazungumza.

"Unaniumiza"

Frank akaniachia kwa haraka kisha akaniuliza

"Oooooh pole kwani Bado unaumwa au ?"

"Niko Sawa"

Nilijibu kisha nikasogelea meza yangu na kukaa na kuanza kupitia kazi zangu

"Naona Sina kazi Mpya na Leo ni jumatatu"

Nilimwambia frank.

"Aaah usijali kazi zako zote za Leo nilikufanyia Jana na Leo jioni nitafikisha sehemu husika"

Alijibu frank Tena kwa kunichangamkia sana, Yaani frank alikuwa ni wa tofauti sana sio frank. Yule kauzu, Yaani alikuwa ni frank Mpya kabisa sio Yule ambaye ata salamu yake ilikuwa ni shida kubwa sana kuipata

"Sawa Asante unaweza kunitumia hivyo hivyo ili nipate...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mkaka-kauzu-huyu-jamani-sehemu-ya-saba-kwakuwa-nilikuwa-na-mihasira-yangu-na-tayali-j-nikishaamua-ku

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mkaka-kauzu-huyu-jamani-sehemu-ya-saba-kwakuwa-nilikuwa-na-mihasira-yangu-na-tayali-j-nikishaamua-ku
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

351
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

241
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

163
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

101
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

8

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest