Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Nov -0001
15 views
VYOTE NDANI GONGA94
Nicki Minaj Anasema Kwamba Anamdai Jay-Z Kati Ya $100M - $200M
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
π¨π€
Baada ya Kuuzwa kwa mtandao wa kusikiliza muziki wa Tidal mwaka 2021.
Nicki amedai kuwa anapanga kutumia pesa hizo kuwasaidia mashabiki zake (Barbz) kuwalipia ada za chuo na mikopo ya wanafunzi. ππ°
Anadai kuwa wakati Jay-Z aliuza Tidal kwa kampuni ya Jack Dorsey (Square) kwa $300M, wasanii wengine walilipwa kati ya $8M - $9M, lakini yeye hakuambulia hata senti! π³
Pia Nicki anasema alipewa ofa ya $1M (Tsh Bil 2.6/=) ili anyamaze, lakini alikataa.
Mashabiki wake sasa wamemuunga mkono, wakisema hajatendewa haki, kwani Nicki alichangia sana jina la Tidal kupaa.
Je wajua Joseph Ogolan Olita muigizaji kutoka Kenya ndiye aliyecheza Uhusika wa Idd Amin dada katika filamu ya The Rise and Fall of Idd Amin ya mwaka 1981 na Mississippi Masala ya mwaka 1991
ambayo aliigiza sambamba na staa mkubwa Denzel Washington Joseph alikuwa anamjua Idd Amin kwa kiasi alichofanya ni kuji...
Nicki Minaj Anasema Kwamba Anamdai Jay-Z Kati Ya $100M - $200M
π¨π€
Baada ya Kuuzwa kwa mtandao wa kusikiliza muziki wa Tidal mwaka 2021.
Nicki amedai kuwa anapanga kutumia pesa hizo kuwasaidia mashabiki zake (Barbz) kuwalipia ada za chuo na mikopo ya wanafunzi. ππ°
Anadai kuwa wakati Jay-Z aliuza Tidal kwa kampuni ya Jack Dorsey (Square) kwa $300M, wasanii wengine walilipwa kati ya $8M - $9M, lakini yeye hakuambulia hata senti! π³
Pia Nicki anasema alipewa ofa ya $1M (Tsh Bil 2.6/=) ili anyamaze, lakini alikataa.
Mashabiki wake sasa wamemuunga mkono, wakisema...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nicki-minaj-anasema-kwamba-anamdai-jay-z-kati-ya-100m-200m