Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Nov -0001
42 views
VYOTE NDANI GONGA94
Pacome ilibidi amtazame Mzize kwa huruma kwamba Mdogo wangu huyo Refa ni moto niulize Mimi kwenye box paleπ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mzize alibutua mpira hapo baada ya filimbi akafuatwa akaambiwa nimehesabu nimefuta sasa kifuatacho unachezea kadi, unaambiwa ndiki imepigwa jana hakuna kulala lala hovyo uwanjani.
Madaktari jana unaambiwa wameingia mara moja tu uwanjani, sijui wale huduma ya kwanza jana wamekula hela ya bure hakuna Machela uwanjani, hawa Marefa aibu Wanangu π
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
Pacome ilibidi amtazame Mzize kwa huruma kwamba Mdogo wangu huyo Refa ni moto niulize Mimi kwenye box paleπ
Mzize alibutua mpira hapo baada ya filimbi akafuatwa akaambiwa nimehesabu nimefuta sasa kifuatacho unachezea kadi, unaambiwa ndiki imepigwa jana hakuna kulala lala hovyo uwanjani.
Madaktari jana unaambiwa wameingia mara moja tu uwanjani, sijui wale huduma ya kwanza jana wamekula hela ya bure hakuna Machela uwanjani, hawa Marefa aibu Wanangu π
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/pacome-ilibidi-amtazame-mzize-kwa-huruma-kwamba-mdogo-wangu-huyo-refa-ni-moto-niulize-mimi-kwenye-bo