Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 56 na 57
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 56 na 57

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mh basi nikajitahidi tu pale. Kusoma mpaka saa 5 ndo prepo .inaisha tukauruhusiwa sasa kuludi bwenini. Basi tumefika bwenini. Akaanza zaituni akasema nyiee mmemuona yule mkaka wa kiarabu mzuri yule mmemuona. Au nimemuona mwenyewe. Mie nikacheka nikasema na mm nimemuoa . Prisca akasema ahaaa mnamzungumzia zayd. Mi nna story zake.nna rafiki yangu wa form six. kanisimulia.si mnamzungumzia yule zayd wa form six. Prisca akadakia akasema ndio ndo uyo. Ndo kafanyaje

Zai akasema yule bwana . Ndo kaja jana . Nasikia alipewa suspension. Alikamatwa. Na barua za wanawake za mapenzi . Mh mbona nikaanza kuchoka. Nikasema mh makubwa. Zaituni akasema yule kaka wanamsimulia ni maraya kweli kweli. Ila sasa ni anagombaniwa mnoo. Ao form six mpaka wanapigana na mwenyewe ni ana dharau kwanza asalimini na mtu na hamjibu mtu salamu ukimsalimia pale alipo..na hana mda na mtu..watu wanampigania apoo anawacha anasepa zake. Alafu sasa kwao wana pesa chafu . Wanapesa kweli kweli. Nasikia ni mtu wa dar. .mh mimi nikashangaa mbona nimekutana nae na kanaichangamkia mno. Tena mpka kaniokotea na na vitabu vyangu na msamaha kaniomba kwa kunigonga. Alafu uku nasikia story nyengine. Basi prisca akasema mh ila yule mkaka ni mzuri jamani. Uwiiii mungu kamuumba na ana nywele mpamka ana bana na shule wanamuachia

Zai akasema wee nae waarabu si wana asiri ya nywele nasikia yule ata akinyolewa leo baada ya siku 5. Nywele teali. Ndo mana anaambiwa azibane tu. Mh kwa uhandsime ata mm nilikubali. Yni hii siku tulimjadili sana zayd yani aswaaa. Kila kitu tulimchambua. Basi tukalala.saa 8 kwa kumzungumzia zayd tu. Na asubuh na mapema tukaendelea na ratiba za masomo. Nilikuwa namuona sana zayd mstarini. .mana mstarini ndo form five tunachanganyika na form six. Ila sasa darasani ni story za zayd tu. Ni anavutia sana uyu kaka .lazima umeongeleeee tu. Yani sio sisi tu tukiokuwa tunamsifia zayd kuwa ni mzuri .ila ni wadada wengi

Basi siku iyo bwana nilikuwa nipo na shoga zangu cafe. Apo kuna sehemu wanauza chipsi kabisa.na sie hatukutamani kula ugali siku iyo. Na mie pesa baby si ananipa sina ata shaka.so tukaamua tukanunue chipsi. Basi tukafika tukaagiza na kila kutu pale. Tukawa tu tunasubilia pale. Mh tukiwa pale.akaingia zayd na mkaka mmoja kaongozana nae .kwa jinsi walikuwa wanaongea na kucheka. Ni kwamba alikuwa ni mshikaji wake yule. Basi walivyofika pale yule zayd akaningaalia ssna kisha akatabasamu. Nyie ana tabasamu zuri like woow. Akanmbia ahaa nakukimbuka unaitwaga faridah si. Ndio. Nikasema ndio akanmbia ahaa powa . Ngoja nikulipie chipsi apa.akachomoa pochi yake kisha akatoa elfu 30 akanipa. Et shika utalolipoa chipsi hiii. Mh nilisita kupokea kabisa ile pesa mm. Yani kma nilizubaa hivo. Zaituni ndo akanistua akanmbia we faridah si unapewa pesa ww. Basi mie nikaipokea ile pesa kisha nikasema asante. Akanmbia usikonde. Kisha uyo na rafiki yake wakaondoka. Mh wanafunzi wa kike walokuwa pale waliniangalia jamani. Mnajua waliniangalia mpka nikawa naona aibu sasa

Basi mi nikachukua ile pesa yote nikampa zai nikamwambia lipia tu chipsi ili tule wote. Na kweli shoga akalipia tukaongezaa na vipaja vya kuku na sooda ila pesa ilibaki. Tukala kimya kimya kisha tukaludi doom. Tulivyoludi tu prisca akaniuliza we kumbe unajuna na yule zayd. Nikasema hapana awala hatujuani ila ni siku moja tu ndo tulionana . Tiligongana akaniangushia madaftari yangu. Akaniokotea na akaniuliza na jina. Mh prksca akanambia we ukute anakutaka uyu kaka. Mana sio kwa kujichekesha kule leo alipokuona na pesa yake kakupa.bila ya kumumba. Mh nikasema kunitaka tena.mi sitaki mahusiano shuleni. Zai akanmbia we tulia bwana kwani kakutongoza. Si kakupa kwa upemdo tu ile pesa. Kwaiyo wla usimind bwana. Basi mie nikanyamaza kimya.

Basi jioni nikiwa najiandaa kwenda prepo. Mala akaingia mdada mmoja ata simjuh ila nahisi ni mdada wa form six. Nyieeee alikuja kishari uyu dada mmpaka niliogiopa. Aksema nataka kujua umu katika room anaitwa faridaha ndo nani kwanza .uyo anayejiona yeye ni mrembo . Ana tako sana nataka kumjua. Mie nikasem.a ndo mm kwani vp. Basi yule dada akanisogelea akanmbia naitwa shamira nasoma kidato kimoja na zayd .mie ndo mrs zayd orggg. Shule nzima wananijua kuanzia walimu. Matrani
Patroni .wapishi na kila mtu .binti kaa. Mbali na mwanaume wangu. We ni mgeni sana ata miez 3 hujamaliza shuleni apa. Nitakufanya kitu kibaya kweli kweli. Unaelewa we maraya mtoto. .zai akaingilia akasema ada uyu umaraya wake uko
Wapi?? Wewe ndo ukaongee na zayd .mana zaud ndo alimfata uyu akampa elfu 30 akanunue chipsi sasa ulitaka ukatae. Au waambea wako hawajakipa taarifa vizuri. Mana uyo zayd ndo kamshobokea faridah

Yule dada aksema unajifanya unajua kuongea sana binti. Wewe ni mdogo sana . Sisi ndo. Wakongwe wa hii shule my dear ntakufanya kitu kibaya. Mh zai akkakaa kimya. Prisca akasema sikia dada we nenda uyu tutaongea nae na atakaaa mbali na mwanaume wako mambo yasiwe mengi apa. Akasema naondoka ila ww farida h nikisikia tena umeonwa onaongea na mwanaume wangu . Itakuea kesi kubwa. Mie nikanyamaza kimya . Yule dada akaondoka. Zai akasema si niliwaambia mm. Uyo zayd ni marya apo shoga utatishwa na wadada wa form six wote kwa ajili ya uyo zayd. Wakati kakupa pesa mwenyee wala hujamuomba. Mie nikabaki kuguna tu. Kisha nikajiandaa nikaingia prepo. Aseee kwani manazani masihara .nikafatwa na wadada wawili tena . Wakaja kunichamba ey nikae mbali na mwanaume wao rooh .niliona uyo zayd ni maraya mh. Yani siku moja nimefatwa na wadada wattu . Wananitishia khaaaaa apa kazi ipo . Alafu wote ni wakubwa kwangu form six wenzie .nikaona uyu kaka mie nikae. Nae mbali kabissaa

Basi zikpita week mbili apo naongea na mlige kila week end basi ananisisitiza sana kusoma na kujitunza . Pesa ye ananitumia wla hakuna shida. Ila tu nipambane kusoma. Basi nikawa pia nikipata mda na simu .nawasalimu na wazazi. na. maisha ya shule yanaenda. Na tulikuwaa na walimu wazuri sana. Yani walimu wazuri mnoo mpaka rahaaa. Basi bwana ikakata miezi 3 mimi nipo zangu shule na apa rkkizo ndogo au fupi haturudi tunaludi kubwa ya mwez wa 6 na 12. Kwaiyo nikawa napamabana na shhule tu .

Hamuwezi amini. Ata mama mkwe alikuwa ananipigia kabisa siku za week end . Et ananisalimia. Mpaka rahaa yani . Basi .bwana siku iyo sasa ilikuwa ni j pili shiue ilitulia sana mana hii shile ina wakristi wengi kwaoyo. Wengi walikuwa kanisani.mie nikaona ebu ngoja nikajisomeee. Basi nikajiandaa kisha nikabeba vitu vuangu nikawa naelekea darasani. Nikasome kidogo. Mh ila naangaliaa mbele namuona na zayd nae anakuja uku nnapotoka mm. Basi mie nikajifanya kama.simuoni. nikataka kumpita kimya kimya ila zayd alinisemesha. Akasema ahaa mambo mrembo farida. Ila sikumjibu kabisa. Nilishajua kuwa karibu na uyu kaks ni kujitafutia matatizo na kutoikukaa na amani apa shuleni kwaiyo mm binafsi sikutaka kabisaa. Yani nikampita. Na moja kwa moja nikaingia clss. Nikaweka vitabu vyangu mezani na nikatoa sasa ili nianze kujisomea
Mh naona zayd nae akaingi darasani. Khaa kumbe alikuwa ananifatalia kwa nyuma et.. ila uyu kaka.

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 56 na 57


Mh basi nikajitahidi tu pale. Kusoma mpaka saa 5 ndo prepo .inaisha tukauruhusiwa sasa kuludi bwenini. Basi tumefika bwenini. Akaanza zaituni akasema nyiee mmemuona yule mkaka wa kiarabu mzuri yule mmemuona. Au nimemuona mwenyewe. Mie nikacheka nikasema na mm nimemuoa . Prisca akasema ahaaa mnamzungumzia zayd. Mi nna story zake.nna rafiki yangu wa form six. kanisimulia.si mnamzungumzia yule zayd wa form six. Prisca akadakia akasema ndio ndo uyo. Ndo kafanyaje

Zai akasema yule bwana . Ndo kaja jana . Nasikia alipewa suspension. Alikamatwa. Na barua za wanawake za mapenzi . Mh mbona nikaanza kuchoka. Nikasema mh makubwa. Zaituni akasema yule...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-56-na-57

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

938
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

191
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

179
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

134
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

120
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

118
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest