Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *1-5*   *SEHEMU YA KWANZA*  "Hivi unajua Asmy kwamba kila mtu hapa anajua kam umelala na Sam?" Alisema rafiki yangu Hafsa alikuwa akinambia mimi hapa
Gonga94 · Stories

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *1-5* *SEHEMU YA KWANZA* "Hivi unajua Asmy kwamba kila mtu hapa anajua kam umelala na Sam?" Alisema rafiki yangu Hafsa alikuwa akinambia mimi hapa

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Naitwa Asmy Kay ukinitizama ni kama shombe shombe flani hivii kwasababu ya rangi yangu na nywele zangu pia, tumezaliwa watatu kwetu mimi ndio wa kwanza, anafata mdogo wangu wa kike anaitwa Famrish na anakuja last born wetu wa mwisho wa kiume anaitwa Hemed, na hapo kila mtoto ana baba yake na hii ilitokea baada ya mama yangu kwenye ubinti wake alijichanganya akaja akadate na mwarabu wa Iraq hukoo, lakini na yeye alipojua kama mama ana mimba alikimbiaa na kuondoka zake kwao na kumuacha mama, na huko Iraq alikuwa na familia tayar kwahiyo mama akabaki huku Tz, pia kwao walimfukuza akaamua kwenda kufanya kazi hukoo za kukaa kwenye maduka ya watu, nako alipata mwanaume akamuoa kabisa Ila sasa huyu akamzalisha mama na alikuwa anamudumia vizuri tu ila hakuwahi kumwambia mama kam alikuwa ameoaa na baada ya hapo mama alidai talaka na akaondoka na hakutaka. kurudi kwao maana hata wakati wa harusi ilikuwa taabu sana kumkabali yeye na mwanae ambaye ndio mimi, kwahyo akaamua kwenda kupanga na kuanza kufanya kazi za ndani huku mimi akinisomesha huku akimsomesha mdogo wangu ila huko nako hakukaa sana sijui baba mwenye nyumba alimdanganya nini tena akajikuta kayatimba akapewa mimba nyingine na hii ndio ilimfanya aache kazi maana mke wa yule mwenye nyumba alijuaa na kumfukuza kam mbwa ila muda huo nilikuwa nishafika chuo tena ndio mwaka wa kwanza na nilifanikiwa kupata boom na mkopo wote hivyoo nilimfungulia mama yangu biashara na tukaendeleaa na maisha yetu kwahyo hat walipotufukuza pale tulikuwa na pa kuanzia...

Hii siku ilikuwa mbaya sana kuliko siku zote kwenye maisha yangu sijawahi kuwa mpweke na mnyonge hivi kiiasi kwamba kila mtu amenitenga kwasababu kuna video nikiwa nafanya s*x na mkaka mmoja anaeitwa Sam, ni mkaka mmoja hivi mtanashati, mzuri, mwenye macho ya kuvutiaa, ana rangi flani hiv amazing sana, nilitokeaa kumpendaa sana ila yeye niwe wazi tu hakunipenda na ilifika hatua ya mimi kumueleza jinsi nahisi juu yake, nilikuwa nampenda sana huyo mkaka na tunasoma kwenye chuo kimoja cha UDSM na wote tupo mwaka wa tatu...

Sikutegemea kam angenidhalilisha baada ya kulala na mimi, kumbe alikuwa na mpenzi wake anaitwa Shurey, na mimi sikuwa najua, alitumia kila njiaa na labda aliona nampenda sana hivyoo akaamua kunitumiaa na kunirekodi kunidhalilisha na mpenzi wake afurahi aone kama alinitumiaa tu kwa ajili ya kujifurahisha na mimi ndio nilimn'gang'ania ndio akaamua kunirekodi, na yule mpenzi wake akaamua aimbaze kwa wafanyakazi wote wa pale chuo ninaposomea, kwahyo kila nilipokuwa napita niliionekana mimi wa hovyoo

"Haya shauri yako shga anguu,mhh umeyatimba utajua mwenyew kila mtu anafaham hiloo, kwanini lakin umeamua kujidhalilisha etty Asmy? Hafsa alikuwa ananiambia sio kwa kupenda ilaa kwa dhihaka mhh yaani huyoo mhhh damu ya urithi ipo kwenye vein zake hana lolote kwanz ovyoo alisema mdada mmoja anaitwa Fatha, huyo alikuwa ndie mtu pekee anayejua historiaa yanguu ya maisha na hakuna mwingine zaidi yake, baasi baada ya kuropoka hivyoo kila mtu pale darrasan aliokuwa karibu na pale aliuliza kuna nini kwenye familia yangu, baasi Fatha alianzaa kuhadithia hadi na vitendo anaviwekaa hii iliniumiza mnoo, nikaanza kulia baasi kila mtu ananizonga mimi naonekana kam vile mimi sio mtu tena kati kati yao baasi Fatha hadi chumvi alikuwa anaongeza huyu mdada

"Hee wewe wenzako wanakuaga na haya kwanini ukamtongoze mwanaume khaa!" alisema Hafsa

Hii iliniuma nikazidi kuliaa kwa kasi hapo nina mawazo ntamwambia nini mama kam akiniuliza kwanini sipo sawa ntamuangalia nani usoni mimi Yarrabi" Wee kalilie nje kam, hapa hakuna mwenye shida na machozi yako" alisema Fatha, sikuwa na namna zaidi ya kutoka njee

Nilienda maeneo ya garden nikaona hukoo hakuna ambae ataniona kwa urahisi nililia kwa sauti kubwa nilikuwa nalia sana, na kwa sauti ya juu maana nilikuwa nalia kwa uchungu, mara

Chapter 2

Sikumtilia maanani yule mtu mimi nilikuwa naendelea kulia kwa nguvu na kwa sauti kubwa na ya juu sikuwa najali kitu nilijua nikilia ndipo hasira zangu zitatulia sikuwa na jinsi zaidi ya kuliaa na kulalamika kwa kitu nilikuwa nasema huku nalia" kwani kumpenda mtu ni kosa? au kumfanya mtu awe wa thamani sana kwenye maisha yako kuna makosa hamna kitu chanye makosa kwenye huu ulimwengu kila kitu ni sawa sasa kwani hivi vinitokee mimi tu Mungu wangu ninakuomba sana kwa hili wewe pekeee ndio unaeweza kuniponya kwenye hili ninakuomba Mungu wangu simama na mimi katika hili mbona hivi " nilikuwa nalia mpka nakufuru yaani kwa jinsi nilivyokuwa naliaaa, yule mtu aliiiona kinishika began sisikii akaaamua kuja kwa mbele yangu na kunikumbatiaa, hapo nilishtuka nikamtoa, cha ajabu nakuta sura ngeni kwenye macho yangu, yaani simjui huyu mwanaume katokeaa wapi jamani kwanza mzuri, anavyookena tu sio mtu wa mambo mengi, muda huoo nipo namtizam huku namchunguzaa yeye alikuwa ananitizama huku anatabasam kingine nilichonotice anamwanya flani hivii, ambao akicheka hivii unamfanya alook like someone so handsome..

"Unasoma cozy gani mrembo?" Lilikuwa swali lake la kwanza huyu mwanaume kuniuliza baada ya kunionaa, sikumjibuu akaamua kuuliza tena "unasoma cozy gani?" aliuliza huku akinitizama nyiee huyu kaka ni mzurii uwiii kumzid hata huyo Sam niliejitongozesha kwake "sasa wewe mambo yangu yanakuhusu nini labda?" Niliiuliza kisha nikaendeleaa kuongea" kama na wewe umekuja kunidhihaki naomba utoke kabisa, mbele yangu kabla sijakutukana nikakuharibia siku hapa sitaki kabisa mambo ya kipuuzi hapa kwangu ondoka kabisa usinivuruge maana ntakuumiza wewe mpuuzi wewe endeleaa tu " nilisema ntamuumiza utasem nina nguvu jamani mimis alinitizama kwa muda akasema

Unajua kam huu muda ni wa darasani na wewe umekaa huku huogopi wala ila jamani nyie watoto wakike hapana haya amka twende kwenye kipindi, heee ndio nikashtuka kumbe LECTURER mtume mimi nimeyatimba nimejibu hovoo kumbe lecturer si nimepewaa repeat huu huu mwaka jaman..

"Unachokiwaza hakitotokea siwezi kufanya hivyoo, mwanafunzi wa medical health, mimi mwenyewe mgeni hapa na ninakuja kufundish darrasan kwenu hivyoo nakuomba minute twende wala usiogope hee nilistuka yaani kajuaje kama mimi mwanafunzi wa medical Health maana sikumjibu alivyoouliza usijali nimeona sare yako tu nikajua tu wewe ni medical health student hapa, kwahyo twendee usijali futa machozi twende, naitwa lecturer Khalid unakaribishwa" kwasababu ni lecturer nikainuka, nikafuta machozi tuondoke hee cha ajabu ananiomba mkono anishike tuongozanee mhhh nikasemaa hii mpyaa nikakataa akasema etty" ila baada ya kipindi ukiwa off natak uniambie kwanin unalia, kwanza unaitwa nani" yaani nilishangaa tu kawa mchangamfu kwangu hadi nikawa nawaza au katumwa maan sio kawaida hii kwakweli nikamjibu kifupi tuu "naitwa Asmy" tukaongozana mimi na yeye mpaka class yeye mbele mimi nyuma..

Itaendelea

Chapter 3

Tulioongozana mpaka tulipofika darassani, basi aliianza kuingia ndani mimi nyumba akaingia lecturer Khalid, watu wote wakawa wanatiziama tu maan ilikuwa sio poa nimetoka nipo nalia naingia class na nimenyamaz tena nipo na mkaka flani hivi bonge la hb jamni mhhh yaani, afu wanasema sisi wote ni nusu ya uzuri wa nabii Yusuph na huuu mkaka jee? Baasi huyoo nabii inavyooneka alitesaa maanaa huyu mkaka tu naona watu wameanza kutapatapa tena macho yote kwangu yaan mpaka nikawa nawashaangaa maan nilikuwa siwasomii kam vile wamechanganyikiwaa maan kila mtu macho kwa lecturer na alikuwa kijna mtanashati kinoma afu kavaa casual jamani huyuu mhhh nikae kimyaa mee, nilenda kukaa na kumuacha yeye pale mbele kwenye whiteboard, me nikaenda kukaa nilipoenda tu kukaa watu wakainuka wakaenda kukaa seheme nyingine wakaniacha mimi mwenyew pale kwenye siti nilibaki nimetullaa tu maana sikuwa sawa hata mimi sikutaka mtu wa kunizonga muda huoo

"Please attention everyone, stop using your phones, I need your ears all of you, by the way ukiona nakuchosha unaweza toka poa hakuna shidaa wala tatzio?" Alisema lecturer Khalid alioongea kwa amri na kwa hatuaa yaani haongei haraka haraka wala taratibu taratibu yupo middle kwenye uongeaji wake, kila mtu alipay attention tena hasa wadada wakaweka hadi simu zao kwenye pochi zaoo na kuangalia mbele muda huo mimi mawazo yapo mbali na siku hyo sio Sam wala Shurey aliekuja pale chuoni hiyo kidgo ilikuwa afadhali maana kam wangekuja ningezidi kukosa amani kabisa moyoni kwahyo bora hawajaja kabisa yaani maan kwangu isingekuwa sawa kabisaa

"Sorry naitwa lecturer Khalid, nipo na nyie hapa kwa muda wanafunzi wa medical health hivyoo nataka usikivu wenu wa hali ya juu sana nimeletwa hapa kwa program maalum kwa nyie wanafunzi wa mwaka watatu nyie wa medical Health okay, hivyoo naomba usikivu wenu wa hali ya juu mnoo, tumeelewana? Ila nyie ni watu wazima mpak mmefika chuoo ina maana ni wakubwa sio wanafunzi tena nyie ni raia hivyoo mnasoma kwa ajili ya carea zenu na sio kwa ajili ya kumfurahisha mzazi kama shule okay, hivyoo ukiona nakuchnganya unaweza kutoka usijali na hakuan tatizo kwenye hilo sawa kama utakuwa unahisi unasumbuliwa unaweza kutoka na kwenda kufanya mambo yako tutakutana nacte, tunaeza endelea na kipindi tafadhali, wewe nyuma hukoo pita mbele alisema akiniambia mimi hio kauli ya mwisho pia alimaliza kujielezeaaa kwa ufupi ikawa imeishia hapo ivoo nikawa nimesogeaa mbelee ila sikukaa karibu na mwanafunzi yoyote wa pale maan wote walionesha kuninyanyapaa sio wa kiume wala sio wakike wote walionesha kuninyanyapaa kwenye hili hapa.....

Muda ulienda na lecturer alitoka class,hee kibao kikageuka enhee wewe na huo umalaya wako huyo lecturer umekutana nae wapi maana nyie mabinti mliozea papampa hapana mpo very attractive mhhh" alisema Hafsa, akadakia Fatha ajibu maana asitake kila mkaka mzuri quite naee tuachiee sisi huyoo si tushazoeaa kudate na malecturer hivyoo huyu ni lecturer sio hao wakuwatongoza upo bibi?" wakamaliza wakaanza kucheka kwa dharau kwel nilikaaa kimya nilijikaz nisitoee machozi maan ndio udhaifu wangu mkubwa sana nikikerwa nalia na hili ilikuwa ni kama fimboo maan ilikiwa haipiti siku mbili sijalizwa maan walikuwa hata wakiniambia nywele zangu zimekaa vibaya sijabana vizuri nalia, yaani sometimes tuseme nilikuwa kama vile mtoto mhhh ila mee nae hata kama yapasa nipunguzee...

Muda ulifika na nikaenda nyumbani, ila nikaamua kupitia dukani kwa Mama ila nilichokikuta aseee

Itaendelea..

Chapter 4

Namkuta mama yupo njee jamani analiaa tu maan duka nililokuwa nimemfunguliaa la dawa na lipo barabarani tu" Mama unalia nini sasa, afu mbona upo njee hivyoo Mama yangu eeh shida nini?" nilimwambia Mama yangu huku machozi yananilenga jamani mimi hata sababu sijui naanza kulengwa na machozi "mama si unambie bhana nikaanza kulia na mimi sina jinsi maan nilikuwa na stress zangu na yeye pia ananiongezeaa mawazo basi nikaanza kuliaa utasema mimi ndio mama mpak watu wakawa watushangaa tu maan tulionekana vituoo nikaamua kubolt hadi nyumbani maan tunazidi kuabika tu yaan mhhh nilichoka mee haki ya Mungu tulifika nyumbani nikataka Mama anieleze sasa kuhusu mkasa uliomkuta maana sio kwa kilio kile nilienda kwanza kupika alafu nikaja kwa Mama muda huoo wadogo zangu walikuwa washakuja na hiviii tulikuwa tumepanga vyumba viwili tu na sebule tena vya kawaida ili pesa nyingine afford mambo mengine, kwahyo chumba kimoja analala mama na yule mdogo wetu mdogo wa kiume maana alikuwa ana miaka miwili na nusu na mimi nilikuwa nalala na huyu wa kike yeye kidogo alikuwa ana miaka 15 alikuwa 4m 3 kipindi hikoo me niko na miaka 25 sasa nipo chuo mwaka wa tatu, baada ya kula niliamua kwenda kukaa na mama chumbani kwake tuongee.

"Binti yangu kwa hii hali unahisi etty nitaweza kutimiza haya maisha wewe usome. Sawa wewe unasomea mkopo, wadogo zako wasome bado wewe pia ni binti kuna vitu unahitaji na mama yako sina uwezo binti yangu maan lile duka tra wamekuja sina vyeti vya kuthibitisha mimi nimesomeaa ile kazi na tunadaiwa kodi lesseni ya biashara kwa miaka miwili sasa binti tangu ila bado haitoshi mwanangu, wamechukua kila kitu na hata ningeng'ang'ania pale kumbuka bado tuna deni binti yangu kwa mwenye lile fremu sijui nafanyaje bado tule bado tuishi mwanangu utegemezi wetu haupo tena binti yangu tutafanyajae mama aliongea huku machozi yakimteremka sana. nilijikuta nashindwa kujizuiaa nililia sana kwa uchungu mnoo kweli jamani nilimkumbatiaa Mama yangu na hapo wazo la kuacha chuo nikatafute kazi lilikuja na hivyoo nilikuwa naenda kuomba wapi mimi jamani nilimuaga Mama yangu nikaenda zangu kulala, ila nikasema nitatafuta kazi nikipata hata kama iweje ntaacha chuoo sina jinsii lazima familia yangu lishi kwa amani na furaha lazima niwe na uamuzi wa kusaidia familia yangu basi hii inatosha

Asubuhi niliamkia chuoo, niliwahi sana yaani

utafkiri mimi ndio mfanya usafi wa pale na

kuanza kutafuta vitu mbali mbali kweny

majarida ya huko mtandaoni kama naweza pata kazi popote ila roho ilikuwa inaniuma sana kwasababu naacha masomo yangu ila muda mwingine nilijipa moyoo ni kwasababu ya familiaa, mara nasikiaa mtu anakohoaa nyumaa yangu nikageukaa nakumkutaa ni lecturer "Mh mdada wa kiarabu hujanambiaa kwanini ulikuwa unalia jana" nilimtizama tu sikumjibuu nikaendeleaa na mambo yangu alinitizama akaauliza unatafuta kaz? na kwanini kwani hapa chuo unataka kufaulu? ulionaa kazi na masomo vinaachanganywa kuna muda unatakiwa kusoma kwanza ndioo uwaze mengine," nilimtizama tu sikujibuu" inaonekana una stress sana sio?, me toka jana nakuona haupo sawa tafadhali kuwa muwazi kwangu nitakusaidia usijali nikamtizama nikamjibuu kwa panic sikujali yeye ni nani" wewe una nia gani na mimi hebu niache mee mimi nina ya kwangu kichwani hayakuhusu na hayatakiwi kukuhusu, weee fanya kazi yako usiiningiliee na kam kuhusu kusoma ndio kuna fanya unifuatatiliee nitaacha kusoma" alinitizama sana kana kwamba ananionea huruma kwa ninayoyasema

"Sawa naweza kuwa lecturer kwako na pia nikawa rafiki yako kwanini isiwe hivyoo, me nimekuona tu nimejuaa wewe ni mstaarabu na huna mambo mengi na kwa jinsi unavyonijibu Inaonekana wazi una matatizo na mawazo kichwani nipo tayar kukusaidia kama utakuwa wazi kwangu, hata kama una tatizo la kifedha niambie usijali sawa binti wa kiarabuu ?" nilizidi kumshangaa yaani nimemuona jana, etty nianze kumwambia shida zangu huyu vipi huyu chizi nini nilikuwa namtukana kwenye akili yangu

"Usinijibu vibaya akilini okay? akanitikisa kichwani kwenye vinywele vyangu vya kiarabu akanipa chocolate" haya utakaa hapa hapa?, hata kam umewahi kuliko muda wa kipindi? Twende class" nikimtizama alionekana mwenye moyo wa upendoo ila nilikuwa nawaza about embarrassment ambayo napitia kwasasa kam akija kuniona hata huyuu sijui itakuajee jamani maan itanigharimu sanaa maana naona kam nimepata rafiki japo kwa siku hii hii moja tena lecturer wa chuoo afu mzurii, ila hawa wadada sidhan kam watashindwa kumuonesha ile video yanguu jamni hili lilinitesa sana kiakili jamani nilijikuta nikiwaza sana akashika begi langu akaongoza njia hata kabla sijamjibuu kam naenda class au laa,

Tulifika class akaniachaa mwenyew akaondoka zake, ile nafunguaa sasa begi nianze kupitiaa maan ilikuwa siku ya presentation hiyoo na sijasoma chochote na, hivyoo natoaaa kinote book chang nipitie nashaangaa nakuta pesaa mule kuangaliaa ni kam laki 2, nilishtka coz me sikuwa nazo jmani nikasema hapa namfuata huko huko, maana yeye ndio kashika begi langu na hakuna mwingine na kwanini aniwekee pesaa na sijamuombsa bhana, hapo nilikuwa nashida ila sikutaka kuzionesha shida zanguu maana hyu atanizoeaa sasa, niliamua kwanza kusoma kwanza, na muda wanafunzi wakakuja,

Chapter 5

Ilipita kama wiki sijapata tena nafasi yakukutana na lecturer Khalid na kulikuwa na vikwazoo vingil vya mimi kukutana na yeye kila nikijitadi kukutana nae ilikuwa ngumu kwangu kupishana naee kwakweli hii iliniumiza sana maan nilikuwa natak nimuulizee kwanini amenipa ile pesaa

Hii siku ilikuwa tulivu jumapili moja iliyotulia kinoma haina mambo mengi yaani kam kuna jumapili afu kuna hii nilikuwa nimeamua hii ni siku kuongozana na mdogo wangu kwenda kutafuta hata kazi ya kukaa duka la mtu maan kusema ya kuajiliwa sina viwangoo ndio nipo mwaka wa tatu sasa, na mimi sijui kazi za kuhangaika na mijiko kwenye migahawa ndio siwezi kabisaa najioneaa upuuzi tuu maana nachoka mee Wallah kusoma hyoo hela ya boom ndio nilishe nyumbani, bado mambo ya shule ya wadogo zangu bado kodi ya nyumba maana Mama nae mambo yake ya biashara ndio yalikuwa yameshabuma tayari kwahyo na yeye yupo nyumbani japo hat hyo biashara ilikuwa pesa zangu za boom. Mama alikuwa anataka kwenda kutafuta kazi hata kwenye nyumba za watu nilimgomeaa maana asije akatuleteaa mambo menginee hapa akuu mwenzanguu tuletewe mtoto wa nne hapa kwa maisha gani akuu, nilimwambiaa ntajitahid kila kitu kikae sawa tu maana mhhh sio kweli,

Tulikuwa tushazunguka sana sehemu tofauti tofauti na sehemu mbali mbali tulifika hadi kariakoo ila hatukufanikiwaa tuliamuaa kwenda zetu karumee kuchaguaa mitumbaa maan dogo alisema anakijiakiba alikuwa anakihifadhi kwenye pesa zake za shule hivyoo anakiasi kam 20k na mimi nilikuwa nayo ile laki mbil nilkuwa hata sijatumiaa maana nilikuwa naogopa sana kuitumiaa, ila wakati tunatembea ni kam kuna gari lilikuwa linatufuatilia kwa nyumaa vile kwa mwendo wa taratibuu sisi hatulipatiliza kwasababu pale kariakoo kuna watu nyomi hivyoo labda alikuwa anatembeaa taratibu kwasababu ya msongamano wa magari, tulifika karume tukaanza kuchaguaa mitumbaa yeti mara naskiaa naitwaa mimi hapa Asmy nikajiuliza nani ananifahamu nmikabidi tugeuke wote tunashaannga sauti inatoka kwenye lile gari lililokuwa linatufuata taratibbu taratibuu, kuangalia vizur alikuwa ni lecturer Khalid mhhh nilishangaa

"Ahh niliwaona toka kule, nikaamua niwafate mmemaliza mambo yenu, tukapate lunch" alisema lecturer nilitaka kukataa, ila mdgo angu anavyopenda vitonga akaropoka tena kwa kuchangamka kweli maana mimi na dogo yeye kanizidi uchangamfu yaani hhh "Ndio shem sisi tulishamaliza yaani kila kitu usijali tunaweza tu kwenda wewe dada hebu twende hukoo kwenye garii yaaani wewe naee' alisema mdgo wang akinivuta kuelekeaa kule kwenye gari, yaani mimi ndio mkubwa ila nazidiwa ujanja na dogo khaas- kwnye gari njia nzima ni anasema yeye tu mpaka lecturer akawa anacheka tu maan mhhh hiii ilikiwa hataree yaani huyu mpuuzi ni anabwabwaja huyu mhh tuliendaa sehemu moja panaitwa Zebra Restaurant ninapasiklaga tu sijawahi fika hapo, niliendaa ni pazurii jamani mhhh, wenye nazo wana faidi mimi.nilikuwa chuoo ila sijawahi kufikiriaa kuja huki zebraa maan nilikuwa nawaza kuhusu pesaa maana sina fokolo hata mimi na huyoo mjinga Sam tulikiwa tunaishiaa Coco tu, ndioo maan kanikandamiza sana kwa mpenzi wake maan yeye huyo Shurey ni wa kishuaa ana hadhi kidgooo inavyoonekanaa huyoo Sam anapendwa sana na Shurey ila yeye anamliaa tu pesa zake, maaan wakaka wazuri kwa kupenda kulelewa mhhh na Sam nae alikuwa mzurii tuendelee sasa na yetu

Mama huyu mjingaa kaagiza vituu hivyoo hata sijawahi kuvilaa mimi mhhh ilaa, yeye anajua yule shem wake niliogopa kumkataa pale pale coz hata lecturer hakuchukuliaa kam kuna shida kwenye hilooo, tulikula ila kwenye bill sasa mhhh heshimaa ilkuja total kam laki 2 hivii afu ukiangaliaaa hata hakuna cha maana kwamba tulikula mpka mhh, ila lecturer alitoaa ile pesaa na kutupeleka nyumbani, kwenye garii lecturer alitoa 200k akampa dogo afu akamwambiaa hyoo ya matumiz yake ya shulee nilikuwa nataka nimkataliee ilaa, nilivungaa tuu maaan alikuwa na shaukuu hapo najua tukifika nyumbani zitakuwa sifa mtindo mmoja kumsifia lecturer mudaa huoo naona sms inaingiaa kuangaliaa ni namba ya Fatha iansema kesho kuna party mida ya jionii kwahyo nifike bila kukosa maana hapa kwenye kadi wamealikwa kwa group hivyoo nifikee nisje nikawakosesha uhondoo wao nilijibu poa akanambiaa etty ndio usikose wee malaya hiii iliniuma ila nilivunga bhana me Asmy japo hiloo jina la malaya silipendi, ila sina jinsi ndio video ishavujaa, tulifika nyumban yaan dogo alikuwa na furaha kinoma yaani, mimi nilipitaaa buyuu tuu nikaenda kulala zangu

Kesho yake ambayo ni jumatatu hatukuwa na masomo japo juma tatu hivyoo, muda wa ukumbini ulivyofika nikajiandaaa zangu nikajipamba mwenyeew kwenye mambo ya outing Mama yangu hanibaniagi kabisa hivyoo nilitoka zanguu nilipendezaa maan mimi.mwanachuoo hata kam siendi na kila fashion ila nina vinguoo vya mitoko maana, nilivaa kigauni flani hivi chakuchongaa na hivi nimelithi kishepu kwa mama rangi na nywele kwa baba niliwaka sio poa tulipanga kukutana ukumbini maan hawakutaka kuongozana na mimi pamoja nilikubali, tulifika ukumbin ndio nakuja kujua kam ni shughuli ya Shurey mpenzi wake na Sam hapa nilijuaa tuu nakuja kudhalilika na kweli bhana mda wa kucheza wawili wawil nilitengwa na baddoo maneno ya kashfaa nilitolewa mimi niliumiaa san, nikatokaa tu njee nikaaanza kuliaa kam kawaida yangus

Mara nikapewa mkono na mkono niinuke kumuuangalia vizurii ni Lecturer "kwani na wewe umealikwa alinitizima tuu akaniinuaa akanipeleka kwenye gari lake bila hata kuniulizaa yani mkupu mkupu kam mwiz akaniweka kwenye garii akawasha hapo haongeeli ni ananipeleka tuuu msobe msobe mpaka kwenye nyumba moja kubwa nzurii balaa hapo sijui hata ni wapi hapo akanipandisha ngazi haongeel mpka chumbani, chumba kilikua kikubwa na kizurii hakufunga mlangoo labda alitaka niwe huruu akawa kasimama anakuna kichwa ananitizama akaja akakaa pembeni yangu najua kuna kituu, haya nambie shida ni nini?, mpaka unaenda kumtongoza

Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *1-5* *SEHEMU YA KWANZA* "Hivi unajua Asmy kwamba kila mtu hapa anajua kam umelala na Sam?" Alisema rafiki yangu Hafsa alikuwa akinambia mimi hapa



Naitwa Asmy Kay ukinitizama ni kama shombe shombe flani hivii kwasababu ya rangi yangu na nywele zangu pia, tumezaliwa watatu kwetu mimi ndio wa kwanza, anafata mdogo wangu wa kike anaitwa Famrish na anakuja last born wetu wa mwisho wa kiume anaitwa Hemed, na hapo kila mtoto ana baba yake na hii ilitokea baada ya mama yangu kwenye ubinti wake alijichanganya akaja akadate na mwarabu wa Iraq hukoo, lakini na yeye alipojua kama mama ana mimba alikimbiaa na kuondoka zake kwao na kumuacha mama, na huko Iraq alikuwa na familia tayar kwahiyo mama akabaki huku Tz, pia kwao walimfukuza akaamua...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lecturer-nikikupa-hutoninanii-1-5-sehemu-ya-kwanza-hivi-unajua-asmy-kwamba-kila-mtu-hapa-anajua-kam-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lecturer-nikikupa-hutoninanii
 *LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII*      *Chapter 14&15*  Alitoka nje na kuniacha mimi ndani nipo najichekea chekea
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *Chapter 14&15* Alitoka nje na kuniacha mimi ndani nipo najichekea chekea
 LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII     *19&20*  Hii siku bwana ndio nilienda kwangu sasa Rasmi
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII *19&20* Hii siku bwana ndio nilienda kwangu sasa Rasmi
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII   Chapter 17  Nilikuja kuzinduka najiona nipo hospitali tayri
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 17 Nilikuja kuzinduka najiona nipo hospitali tayri
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 18  mtihani mkubwa sana ambao hata wewe kuusolve
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 18 mtihani mkubwa sana ambao hata wewe kuusolve
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII *SEHEMU YA KUMI NA SITA*  Barua ililetwa na baada ya wiki mahari
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Barua ililetwa na baada ya wiki mahari
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 8  Nilililegeaa mara kumi yake jamani huyu mkaka hapana anajua bwana kwa kujua tu anajua
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 8 Nilililegeaa mara kumi yake jamani huyu mkaka hapana anajua bwana kwa kujua tu anajua
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  "Lia kwa nguvu hadi hasira zako zotee ziishe, afuu uutoe uamuzi wakoo"
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Lia kwa nguvu hadi hasira zako zotee ziishe, afuu uutoe uamuzi wakoo"
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *6-10* *_________________________________________*  *SEHEMU YA SITA*  Nilizidi kulegea mara kumi kumi mimi, na kwa jinsi hapo ndio udhaifu wangu ulipo baasi alizisha Mara kumi hanipi hata...
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *6-10* *_________________________________________* *SEHEMU YA SITA* Nilizidi kulegea mara kumi kumi mimi, na kwa jinsi hapo ndio udhaifu wangu ulipo baasi alizisha Mara kumi hanipi hata...
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 12  Niliingia ndani, mama alikuwa ananisubiri kwa hamu kweli maana
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 12 Niliingia ndani, mama alikuwa ananisubiri kwa hamu kweli maana
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 10  Tuliachana na lecturer yeye alielekeaa officine na mimi nilielekeaa class
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 10 Tuliachana na lecturer yeye alielekeaa officine na mimi nilielekeaa class
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 13  Hyo siku ilipita na Lecturer hakuja alinambia tu hakupata muda na kesho
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 13 Hyo siku ilipita na Lecturer hakuja alinambia tu hakupata muda na kesho
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 7  "Ndio nakupendaa, na nipo tayari kuthibitisha hiloo kwako, msichana wa kiarabu
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 7 "Ndio nakupendaa, na nipo tayari kuthibitisha hiloo kwako, msichana wa kiarabu
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 9  Nililala mpaka asubuhi, ila niliwahi kuamka mimi wa kwanza kuliko lecturer, nilikaa nikaanza
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 9 Nililala mpaka asubuhi, ila niliwahi kuamka mimi wa kwanza kuliko lecturer, nilikaa nikaanza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

641
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

578
MY WANGU❤️ sehemu ya 68

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

495
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

430
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

353
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

276
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘

210
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20

85
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

84
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

70

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.65K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.43K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.4K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.27K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.25K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemed🥹🥹 nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on 🤷‍♂️ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❤️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest