NILINUNUA LAIN MPYA NIKAMTONGOZA MKE WANGU AKAKUBALI 1----5
SEHEMU YA ____1
Maisha ya ndoa yanachangamoto sana, nasema hivyo kwa kuwa nimeyaona napia hichi ntakachoongea hapa si kigeni kwa wanandoa wengi ,
Mi namke wangu tuliowana miezi 6 iliyopita ,na mpka sasa hatujabahatika hata kushika ujauzito , sisemi mengi bali naona kama muda bado maana ndoa bado changa ,
Mke wangu anatabia moja ya kununa ,yaani hata kama nimekosea kakitu kadogo ye ananuna tu ,nilivumilia tabia hiyo niliamini ipo siku atajirekebisha,
Siku hii niliamka asubuhi sana na sikutaka kumwamsha mke wangu kwa kuhofia kumsumbua , niliandaa chai nikaweka kwenye chupa na nyingine nikanywa kisha nikaenda kazini , sikuweza kuacha pesa mezani kwa kuwa nilipanga nikifika kazini nitamtumia mke wangu kwa sababu nilikuwa sina kesh ,
Nilifika kazini na kwa vile kazi zilikuwa nyingi sikukumbuka hata kwenda kwa wakala kumtumia mke wangu pesa ya chakula ,lakini ilipofika saa 8 nikakumbuka nikaenda kumtumia , nikawa sina wasiwasi maana hata chai nimwachia tena na vitafunio vya kutosha ,
Nikakaa kama lisaa nikashangaa hajanitumia sms kama ameipata , ikabidi nimpigie , lakini sim iliita mpaka ikakata ,nikajua tayari ameshakasirika ,nikamwacha ,
Nilirudi nyumbani usiku kama muda wa saa 2 hivi nikamkuta amelala hata kupika hajapika , nikamsalimia wala hakuitika , nikamuuliza mbona hajapika akaniambia Kwan uliacha pesa asubuhi ,?
Nikamjibu sikuwa na kesh lakini nilikutumia mchana ,,"
Akaniambia ye hakushika simu tokea mchana kwahiyo kama nimetuma ye hakuiona ,"
Kiukweli nilighazabika sana fikilia natoka kazini nimechoka nategemea ntakuta chakula Nile nilale lakini hajapika ,
Kwa vile nampenda nikamwacha na nikaingia jikon mwenyewe nikapika na tukala ,
Kesho yake nikamwambia kuwa ntakutumia pesa mchana maana sijaja na pesa kutoka kazini , mke wangu akaitika tu na kichwa yaani akanyanyua kichwa na kukishisha ,
Bas nikaenda kazini na ilipofika mchana nikamtumia pesa , lakini hakujibu chochote kama ameipata au laa , nikampigia lakin hakupokea , nikawaza sana juu ya tabia ya mke wangu , nikaamua kununua lain nyingine kwa usajili wa kitambulisho cha rafiki yangu aitwae Jose , kupitia lain hiyo nikamtumia mesegi ili nione kama atajibu au laa ,
" MAMBO ,,"
niliandika mesegi hiyo nikaituma ,alikaa kama dakika 2 tu kisha akajibu ,
" POA ,, NANI WEWE "?
nikashangaa mke wangu mesegi za lain nyingine anajibu lakini kwenye laini yangu hajibu wala hapokei simu , bas nikamjibu ,
"MIMI JOSE NAMTAFUTA HILDA "
Nilimdanganya ili nione atajibu vip ,
" ITAKUWA UMEKOSEA NAMBA MIMI SIO HILDA "
akanijibu hivyo namimi nikaandika ,
" SAWA NA SAMAHANI KWA USUMBUFU , TUNAWEZA KUFAHAMIANA ZAIDI ,"?
mke wangu akanijibu ,
"SAWA NAITWA VICK ,"
hapo aliandika jina la uongo ,
" WAOOH UNAJINA ZURI VIP UMEOLEWA MAANA MKE WA MTU SUMU HAHAHAA,!
niliandika huku nawaza atanijibu vipi , nae akanijibu ,
"" SIJAOLEWA NAISHI KWETU BADO ,"
Moyo ukafanya paaa,,!!!!
ITAENDELEA
, NILINUNUA LAIN MPYA NIKAMTONGOZA MKE WANGU AKANIKUBALIA,
SEHEMU YA 2
" SIJAOLEWA NAISHI KWETU BADO,""
Moyo ukafanya paaa,,!
Nilitafakari kwa muda huku nikijiuliza mke wangu anamaana gani, bas nikamjibu ,
"OK VP TUNAWEZA KUWA MARAFIKI ,"?
mke wangu akanijibu ,
" URAFIKI WA AINA GANI ,"?
Nikamjibu ,
" URAFIKI WA KAWAIDA KAMA HAUTOJALI "
Akanijibu ,
"SAWA KAMA NI WAKAWAIDA ,"
nikamwandikia tena ,
BASI TUTAWASILIANA BAADAE MAANA MDA HUU NIPO JOB ,,"
Akanijibu ,
" POA,,"
Mke wangu hakujua kabisa kama anachati na mimi , sasa nikawa na mawazo kibao ,mbona hapokei simu zangu na hata mesegi nikimtumia kwenye ile lain ya kawaida anayoijua pia hajibu ,
Nilimaliza kazi na muda wa kwenda nyumbani ulifika ,
Nikamnunulia vizawadi mke wangu nikaenda navyo nyumban ,
Nilifika nikamkuta anapika ila hakuwa mchangamfu , tukasalimiana lakini hata Salam yenyewe anaitikia kama hataki , ikabidi nimuulize kwani mke wangu mi nimekukosea nini mpaka unanichukia ,?
Akanijibu we unatuma pesa ya chakula jion hii unategemea mi ntapika muda gani ,,?
Nikamwambia mbona hiyo pesa mi niliituma mapema sana tena asubuhi , akanijibu eti tokea hiyo asubuhi hajashika simu ameishika jioni hii , nilijua anaongea uongo tu kwani mchana nimechati nae tena kwenye namba asioijua ,
Nikaingia chumbani nikabadilisha nguo na hata maji hakunipelekea nikapeleka mwenyewe na nikaoga nikamaliza nikakaa sebule ili nisubilie msosi huku nikiangalia taarifa ya Habari ,
Wazo likaja nikachukua laini yangu mpya nikaiweka kwenye simu kisha nikamwandikia mesegi mke wangu ,
"" HEROOOW"
Nikaona simu yake imewaka bila ya kutoa mlio ,yaani aliiweka silent, namimi nikauchuna sikumtumia tena mesegi ,
Alimaliza kupika akaleta chakula mezani ,tukaanza kula ,tulikula kimya kimya huku mimi nikijaribu kuanzisha hata story mbili tatu lakini bado kauchuna ,alimaliza kula akachukua simu yake akaingia chumbani,
Nahisi aliiona ile mesegi maana alinijibu ,
"HELLOOW ,""
Na mimi kwa vile Niko sebuleni nikamuandikia ,
"VIP UMELALA AU "
Mke wangu akajibu ,
HAPANA NIKO SEBULENI NA BABA PAMOJA NA MAMA TUNAANGALIA TV ,"
ukweli nilishangaa tu jinsi mke wangu anavyojibu sms ,yaani ilikuwa kama vituko fulani , yaani mke wangu alikuwa hajui kabisa kama anachati na mimi,
Nikamwandikia tena ,,
"UNAJUA NISHAKUZOEA VIP HATUWEZI KUWA WAPENZI ,,?
Mke wangu akanijibu ,
MBONA MAPEMA SANA KWANZA SIKUJUI NA MIMI HUNIJUI ,
Nikamjibu ,
" NIKWELI LAKINI MWANZO NI MZURI TUTAJUANA TU"
Mke wangu akajibu ,
" UNATUMIA WHATSAPP NATAKA NIKUONE ,
Nikakumbuka sijajiunga Whatsapp ikabidi niidanrod fasta na nikaweka picha ya Jose yule rafiki yangu kule kazini ,sasa tukahamia what sssapp ,
Nikamwandikia ,
UMENIONA ,,?
akajibu ,
"NDIO ILA NITUMIE PICHA ZAKO ZAID NIKUONE ,
nikamjibu ,
NITUMIE KWANZA WEWE NIKUONE ,"
mke wangu hakusubili niliona amenitumia picha tatu amejiremba si mchezo tena akatuma na ka video ka Snapchat akiwa anacheza tena anakata viuno , nikaangalia ile video ,kisha nikamwandikia ,
WAOOH YOUR BEAUTIFUL π NATAMANI NINGEKUWA WAKO ,"
Mke wangu akanijibu ,
USIJALI TUKIONANA TUTAYAPANGA MPAKA YAPANGIKE ,
Nikamjibu ,
SASA TUNAONANA WAPI ,?
Akanijibu ,
TAFUTA GEST YA MBALI KIDOGO MAANA MI SIPENDI KUSIMAMA NJIANI ,
nikashangaa yaani mke wangu ndo anapanga gest ,
Nikawaza nimjibu vipi , ila nikaamua tu liwalo na liwe nikamjibu ,,,,,,,,,
Hayaaa πππ nini mwisho wa mkasa huu ,,?
Twende sawa , usikose kukomenti π
NILINUNUA LAIN MPYA NIKAMTONGOZA MKE WANGU AKANIKUBALIA
SEHEMU YA 3
Niliwaza nimjibu vipi ila nikaamua liwalo na liwe nikamjibu,,,,,
SAWA ,,, NIAMBIE UKWELI KAMA UNAMTU WAKO MAANA MI NATAKA MTU WAKUISHI NAE KABISA YAANI NIMPENDE ANIPENDE ,
mke wangu akanijibu ,
"ONDOA SHAKA "
Daah niliingiwa na mawazo nikajisemea hivi angekuwa ametongozwa na mtu mwingine inamaana angenisaliti , niliumia sana kwenye moyo sema nikauchuna tu , akanitumia tena sms akaniambia ,
"VIP MBONA KIMYA UMELALA ,,?
nikamjibu
"HAPANA ILA NIKO KITANDANI , "
akaniambia ,
"SAWA NAMIMI NASUBILI WAZAZI WAKALALE NIZIME TV NA MIMI NIKALALE ,
nikatamani kucheka maana ananidanganya live bila chenga ,
nikamjibu ,
"SAWA UKIENDA KULALA UTANISTUA NIKUPIGIE ,"
akanijibu ,
" POA ,,
Nilitafakari sana nikajiuliza mke wangu anakosa nini kwangu ,kama kumpenda nampenda sana tu , nikajihisi mnyonge nikatamani nimwambie tu kuwa ni anachati na mimi , nikaona ngoja tu niuchune nione kitu gani anakosa kwangu ,
Nikaamka nikaenda chumbani nikamuona kalala ,sasa sijui kama alikuwa kalala kweli au ndo ananizuga tu ,
Nikamuamsha na kujifanya sijui kabisa kama alikuwa anachati, nikamuuliza
"Kwann mke wangu unanichukia yaani hatuna amani kabisa kama zamani ,"?
Mke wangu akaniambia " mbona mi niko sawa tu sina tatizo lolote "
Nikamwambia " hapana naona kabisa kama unanichukia , "
"Sasa unataka nikujibu nini mi si nimeshakujibu ,"?
Dah nilijisikia vibaya sana kwani mke wangu si mtu wa kuelewa mtu anahitaji nini , nikam bembeleza tu ili tupeane unyumba japo mala moja tu , hakunijibu kitu ,nikajaribu kumshika japo kiuno nikaona katulia nikaendelea kumpapasa japo sijapata ushirikiano wake , akautoa mkono wangu na kuniambia "naomba uniache leo nimechoka , "
Nikaona isiwe shida ngoja nitulie zangu huku nnamawazo yangu ,
Maisha ya ndoa yanachangamoto sana mtu anaweza kuchukia tu bila sababu , wakati nawaza nikakumbuka simu nikachukua simu yangu nikajifunika gubi gubi halafu nikampigia mke wangu kabla haijaanza kuita nikaibana na mto ili isitoe mlio wakati inaita , simu ya mke wangu ilitoa mwanga kuonesha mtu anapiga yaani mke wangu alitoa mlio wote na mpaka vibreshen ,
Nikaona ameangalia ile sim kisha akaifunika ili ule mwanga usiendelee kuonekana ,simu ikaita mpaka ikakata , akawa ananichungulia kama mtu anaehakikisha kama nimelala au vip , nikamuona ameamka akachukua simu yake na kuibana kwapani kisha akachukua kopo ambalo huwaga tunajisaidiaga haja ndogo usiku maana choo chetu cha nje , akaenda na kumimina maji akajifanya anaenda chooni ,
Alipotoka tu na mimi nikaamka nikajua kabisa huyu anaenda kupiga simu , haraka nikabadilisha sauti kwenye simu yangu nikabonyeza sehem imeandikwa General voice, nikabonyeza sauti ya gentroman nikatulia ,
Kweli baada ya muda akapiga haraka nikaenda dirishani ili nimuone maana ukisimama dirishani kwetu unamuona kwa nje akitoka chooni ,
Kweli baada ya sekunde kazaa akapiga , nikapokea huku nikiwaza labda atanijua sauti, lakini akaonesha kutonijua kabisa ,
Niliita
" HALOOW ,,,
Akajibu "
HALOOW MAMBO ,,,?
Nikamjibu
" POA MBONA SAUTI YAKO NDOGO ,,?
Nilimuuliza maana sauti yake aliibana nahisi alitaka nisisikie kwa vile anajua nimelala ,kumbe ndio mimi naongea nae ,
Akanijibu ,
" NAOGOPA MAMA ASIJE AKANISIKIA ,"
Nikatabasamu maana ilikuwa kama kichekeaho mtu anaemuogopa ndio huyo anaongea nae ,
Nikamjibu
, OOH SORRY HATA HIVYO SAUTI YAKO NZURI MPAKA NAHISI NINGEKUONA LIVE,"
Akanijibu ,
"MBONA HATA YAKWAKO NZURI ILA NTAONGEA NAWEWE KESHO ASUBUHI MAMA NA BABA WAKIENDA KAZINI ,"
Nikamjibu
" POA USIKU MWEMA ,
Akaniambia
, MBONA UNAAGA MAPEMA HIVYO AU UNAWIFI ,,?
Nikamjibu
, " HAPANA MI NATEGEMEA UWE WEWE AU UMENIKATAA ,,?
Akanijibu ,, ILA NAOGOPA MWENZIO ISIJEKUWA UNAMTU WAKO ,,"
Nikamjibu ,
"HAPANA SINA DEM MIMI WALA MCHUMBA ,"
Akaniambia ,
" BASI POA TUKIENDELEA HIVI NTAKUWA WAKO TU USIJALI ,"
Nikamjibu,
"WAOOH NTAFURAHI SANA ,"
Akanijibu ,
" USIJALI ILOVE YOU MMWAA ,,"
akanibusu ,
Nami nikamjibu ,
"I LOVE YOU TOO ,"
Tukaagana usiku mwema , huku tukiahidiana kuwasiliana kesho yake ,
Nikakata simu huku namchungulia kule nje nikaona amefungua mlango wa choo akatoka ,namimi nikarudi kitandani nikajifanya nimelala , mke wangu akarudi nayeye huku akinyata aliniangalia akajua nimelala nayeye akalala ,
Asubuhi nilijiandaa nikaenda zangu kazini nikamwacha mke wangu amelala ,
Kiukweli nilijawa na mawazo huku nikijiuliza kwanini mke wangu hana msimamo ,
Wakati Niko kazini mesegi iliingia kwenye ile namba mpya ambayo mke wangu hajui kama ni yangu ,
Alinitumia ,
"HELOOW BEBY,,!
Nikamjibu ,
YES MY DEAR,,"
Akanijibu ,
"FANYA BASI TUONANE LEO NNA,,, HA,,M,UU MWENZIO ,"
Nikabaki nimeduwaa nisijue hata nimjibu nini ,
ITAENDELEA π
KOMENT NASOMA,,
NILINUNUA LAIN MPYA NIKAMTONGOZA MKE WANGU AKANIKUBALIA
SEHEMU YA 4
Nikabaki nimeduwaa nisijue hata nimjibu nini,,
akatuma sms nyingine ,
"JAMANI BEBY MBONA KIMYA ,,!
Ikabidi nimjibu tu ,
OK BEBY NGOJA NIOMBE RUHUSA HAPA JOB MAANA HATA MIMI NNA UPWIRUUπ
niliandika hiyo mesegi huku bado nikiwa na mawazo ya kuwa jana usiku nilimuomba mke wangu tendo landoa akakataa ,leo anaandika sms eti anahamu jamani hii Dunia hii ,
Mke wangu akaandika tena sms ,
ππJAMANI USINIFURAHISHE INAMAANA WE UPO KAMA MIMI ,,?
Nikamjibu ,
NDIO YAANI MIMI NNAMIAKA MIWILI SIJASEX UJUE π
niliandika ,
Nayeye akajibu ,
DAH UJUE HATA MIMI NIKAMA SIJAFANYA MAPENZI MUDA MLEFU MAANA NILIKUWA NA MPENZI WANGU MWAKA MMOJA UMEPITA NA SIKUWAHI KUFANYA NAE MAPENZI ,
dah iliniuma sana hiyo sms nikakaa nakuwaza , nikashangaa mke wangu amenitumia picha kwa whatsap nikazifungua ,daah sikuamini aisee ,mke wangu alijipiga picha nusu uchi yaani mapaja yote yapo nnje kavaa Tait tu na huku juu hakuvaa kitu kajiziba matiti kwa mkono wake mmoja , dah hakika alikuwa mzuri , nilijiambia mwenyewe lakini kwanini anataka kunisaliti ,,?
Nikamwandikia ,
" WAOOH SO BEAUTIFUL π
Akanijibu ,
AAH KAWAIDA TU JAMANI ,"
Nikamwambia ,
SA SI UVUE HIYO TAIT JAMANI NIONE VITU ,β€οΈ
Akanijibu ,
USIJALI UTAONA TU TUKIKUTANA ,
, Nikamjibu ,
DAAH JAMAANI UNANIPANDISHA MIZUKA UJUE ,
, Akanijibu,
" USIJALI WE MUDA WA SAA NANE NIAMBIE NIKUKUTE WAPI ,
Nikamjibu ,
POA NGOJA NIOMBE RUHUSA KAZIN NTAKUJULISHA ,"
Akanijibu ,
POA LOVE π
Nilikaa mwenyewe nikawaza huyu mke wangu kwani anashida gani ,? Au si mlizishi ,? Wakati nawaza mke wangu akapiga simu ,kwenye namba ya kawaida ile nikaitika haloo ,
Akaniambia , " Nataka niende KIMARA kwa dada, ntarudi saa 12 jion ,"
Nikajua huyu sasa ananiomba ruhusa aende akafanye umalaya wake , wakati huyo mtu anaekwenda nae hajui kama ni mimi ,
Nikamjibu ,,,
Story hii inapatikana yote kwa shilingi elfu 2 tu
Njoo what sapNILINUNUA LAIN MPYA NIKAMTONGOZA MKE WANGU AKANIKUBALIA
SEHEMU YA 4
Nikabaki nimeduwaa nisijue hata nimjibu nini,,
akatuma sms nyingine ,
"JAMANI BEBY MBONA KIMYA ,,!
Ikabidi nimjibu tu ,
OK BEBY NGOJA NIOMBE RUHUSA HAPA JOB MAANA HATA MIMI NNA UPWIRUUπ
niliandika hiyo mesegi huku bado nikiwa na mawazo ya kuwa jana usiku nilimuomba mke wangu tendo landoa akakataa ,leo anaandika sms eti anahamu jamani hii Dunia hii ,
Mke wangu akaandika tena sms ,
ππJAMANI USINIFURAHISHE INAMAANA WE UPO KAMA MIMI ,,?
Nikamjibu ,
NDIO YAANI MIMI NNAMIAKA MIWILI SIJASEX UJUE π
niliandika ,
Nayeye akajibu ,
DAH UJUE HATA MIMI NIKAMA SIJAFANYA MAPENZI MUDA MLEFU MAANA NILIKUWA NA MPENZI WANGU MWAKA MMOJA UMEPITA NA SIKUWAHI KUFANYA NAE MAPENZI ,
dah iliniuma sana hiyo sms nikakaa nakuwaza , nikashangaa mke wangu amenitumia picha kwa whatsap nikazifungua ,daah sikuamini aisee ,mke wangu alijipiga picha nusu uchi yaani mapaja yote yapo nnje kavaa Tait tu na huku juu hakuvaa kitu kajiziba matiti kwa mkono wake mmoja , dah hakika alikuwa mzuri , nilijiambia mwenyewe lakini kwanini anataka kunisaliti ,,?
Nikamwandikia ,
" WAOOH SO BEAUTIFUL π
Akanijibu ,
AAH KAWAIDA TU JAMANI ,"
Nikamwambia ,
SA SI UVUE HIYO TAIT JAMANI NIONE VITU ,β€οΈ
Akanijibu ,
USIJALI UTAONA TU TUKIKUTANA ,
, Nikamjibu ,
DAAH JAMAANI UNANIPANDISHA MIZUKA UJUE ,
, Akanijibu,
" USIJALI WE MUDA WA SAA NANE NIAMBIE NIKUKUTE WAPI ,
Nikamjibu ,
POA NGOJA NIOMBE RUHUSA KAZIN NTAKUJULISHA ,"
Akanijibu ,
POA LOVE π
Nilikaa mwenyewe nikawaza huyu mke wangu kwani anashida gani ,? Au si mlizishi ,? Wakati nawaza mke wangu akapiga simu ,kwenye namba ya kawaida ile nikaitika haloo ,
Akaniambia , " Nataka niende KIMARA kwa dada, ntarudi saa 12 jion ,"
Nikajua huyu sasa ananiomba ruhusa aende akafanye umalaya wake , wakati huyo mtu anaekwenda nae hajui kama ni mimi ,
Nikamjibu ,,,
NILINUNUA LAIN MPYA NIKAMTONGOZA MKE WANGU AKAKUBALI,
sehemu ya 5
Nikajua tu huyu ananiomba ruhusa akafanye umalaya wake wakati huyo mtu anaetaka kwenda nae ni Mimi ,
Nikamjibu ,
"Hapana "
Nia ya kumjibi hivi nilitaka nijue ataongea nini ,
Akaniambia mi naenda mala moja ntawahi kurudi ,"
Nikamjibu " nimesema hapana "
Mke wangu akaanza kuniomba eti anakwenda mala moja tu na kurudi , nikamwambia Kama anataka kwenda bas tutaenda wote jumapili ,
Mke wangu alikata simu kwa hasira ,
Nilikaa nikawaza Sana unajua ni jambo la kuchekesha , maana eti mke wangu Mimi ananiomba ruhusa akafanye mapenzi na Mimi bila kujua kuwa nimimi ndo anachat nae ,
Niliwaza Sana , Sasa wakati nawaza simu yangu ile ya LAIN mpya ikaingiza SMS inatoka kwa mke wangu
" HELOOW BEBY KWANI TUKIKUTANA TUTACHUKUA MUDA GANI "?
aliandika hivyo mke wangu nami nikamjibu ,
"NIWEWE TU HATA UKITAKA TUKESHE SI UNAJUA TENA MWENZIO NNAUPWIRU π""
mke wangu akanijibu kuwa ",BASI KAMA NI HIVYO NAOMBA TUFANYE SIKU NYINGINE NIJE KWAKO TUSHINDE KUANZIA ASUBUHI MPAKA SAA 8 SI TUTAKUWA TUMEINJOI ,"?
namimi nikamjibu ,
"KWAHIYO LEO HATUONANI ,"?
Mke wangu nae akanijibu ,
" NO KIPENZI ILA NAHISI WAZAZI WANGU WANAWEZA KUWAHI KURUDI SASA WAKINIKUTA SIPO ITAKUWA MTIHANI KWANGU ,"
nikatabasamu Kisha nikamjibu ,
" SAWA KAMA NDO ULIVYOAMUA "
Mke wangu akanijibu et ,
"BEBY USICHUKIE JAMANI NIMEWAZA TU YAANI NI BORA TUPATE MUDA MZUR ILI UNIKULE MPAKA UTOSHEKE KULIKO KULIKO UNILE KWA HARAKA HARAKA HATA HATUTAFAIDI "
niliiangalia ile sms nikajisemea yaani Hawa wanawke sijui hata wanahitaji nini kwa mwanaume ,
Wakati natafakari sms ya mke wangu , mke wangu akatuma sms nyingine ,
" BEBY USICHUKIE JAMANI "
nikamjibu ,
" HAPANA MBONA SIJACHUKIA WASIWASI WAKO TU"
nae akanijibu ,"
OK FUNGUA DATA BAS KUNA KITU NIMEKUTUMIA ,"
Haraka na upes nikafungua data ,nikakuta amejirekod yupo na kanga moja tu anaimba wimbo wa mbosso ,
Tena anaimba kabisa kitu ambacho kwangu sikuwahi hata kumsikia akiimba Wala kucheza ,
Nilimwangalia jinsi anakatika viuno huku amevaa ile kanga moja mpaka nikaanza kumtamani maana alikuwa anacheza huku anaifunua ile kanga usawa wa paja mpaka Kama naona ikulu lakin anaifunika , wakati naangalia akatuma sms nyingine ,
" BEBY KAMA UPO FREE NITUMIE BAS HIYO LOLYPOP YAKO NIIONE ,"
Nikashindwa kuelewa loly pop tena ,"? Yaan nimtumie mke wangu uume wangu , kichekesho ,
Nikamjibu kuwa ,
" BEBY ISINGEKUWA HAPA KAZIN NINGEKUTUMIA LAKINI NIPO KAZINI ,"
Akanijibu " OK BEBY POLE NA KAZI ,
Nikamjibu "ASANTE BEBY WANGU ILA NGOJA NTAKUCHEK BAADAE MAANA TUKICHAT UNANIDATISHA SANA π"
mke wangu knijibu kuwa ," SAWA KIPENZI NTAKUMISS ,"
niliahusha punzi ndefu nikawaza mke wangu anachokosa kwangu ninini Kama ni mapenzi yeye ndo ananinyima na Kama anahamu zake si anipe Mimi ,
Nilizima ile lain na kuiwekea password kabisa ili nikifika nyumbani nisijisahau ,
Nilirudi nyumbani na nikamkuta mke wangu yupo tu sebuleni ,nikamsalimia akaitikia lakin sio kwa furaha , nikampita na kuingia chumbani ,
Mke wangu hata hakujishuhulisha na Mimi ,nikabadilisha nguo na kwenda kuoga , nilivyorudi nikakaa mezani ili alete chakula ,lakini hakuleta akaniambia chakula kipo kwenye hotpot kabatin mi naenda zangu kulala ,
Nilimwangalia mke wangu jinsi anavyoniigizia yaan anaonekana hana furaha kabisa na Mimi wakati anajirekod mpaka mavideo akicheza kwa furaha , nilikula Kisha nikaenda chumbani kwa mke wangu nikamkuta Yuko na simu yake ,
Alikuwa anaandika sms , nikajifanya kuwa mkali na kumwambia kwanini siku hizi umebadirika Sana mke wangu , nikajifanya nampokonya ile simu yake ili nione alikuwa anamwandikia nani sms , mke wangu alipambana Sana na Mimi ili nisiguse simu yake na mwisho simu ilianguka chini na kupasuka kioo , mke wangu alilia Sana akinilaumu kwanini nimevunja simu yake , Nia ya kuvunja ile simu sio kwa bahati mbaya ila sikupenda ile tabia yake ya kujirekod nusu uchi na kuituma kwa mtu asiemjua ,
Nilitoka zangu chumbani nikakaa zangu sebulen huku nahema , nilimwacha mke wangu akilia , nilikaa pale sebuleni nikawaza kwakuwa nimeshavunja simu ya mke wangu ngoja niitoe ile lain niivunje tu na nisiwasiliane tena na mke wangu , nikawasha ile lain nikashangaa kukuta sms Kama kumi hivi na zote zinatoka kwa mke wangu ,
Nyingi akinilaumu kwanini nimezima simu na Kuna moja ndo aliniacha hoi aliandika eti kesho asubuhi atatafuta gesti tuonane na anataka nimsugue mpaka atembee upande upande ,"
Jamani nikaishiwa nguvu kabisa , nikaona ngoja hii lain nisiivunje kwanza mpaka nijue mwisho wake ,
ITAENDELEA
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi