Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri   Aliniomba mimi nikatoe ushahidi mahakamani kwamba zile mali ni zangu harafu nikizikomboa tutagawana...  Inaendelea... Sehemu Ya 20
Gonga94 Β· Stories

Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri Aliniomba mimi nikatoe ushahidi mahakamani kwamba zile mali ni zangu harafu nikizikomboa tutagawana... Inaendelea... Sehemu Ya 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Nikamwambia kwa sasa itakuwa ni vigumu lakini nitafikiria, Sakina akawa ameniomba sana siku hiyo ya mimi kutoa ushahidi nisikosekane, Lakini tina aliniangalia kwa kutamani kuongea na mimi ila sikujali nikaondoka zangu.

Nilimpelekea Edina zawadi na alifurahi kweli lakini wakati huo zilibaki siku 20 ili kufunga ndoa mimi na Edina, Lakini pia nilikuwa bado sina simu nikawa nimefanya mpango nikanunua simu ila sikutaka Edina awe na simu sababu nilihofia akiwa na simu, Sakina anaweza akavuruga ndoa yetu isifanyike.

Siku ya kwenda kutoa ushahidi ikawa imefika lakini niliwaza sana niende au nisiende, Nikaona bora niende ili nimalizane na Sakina, Tukaingia mahakamani kwa ajili ya kesi, Mimi nikasimama kama shahidi wa mali za Sakina, Nikasema zile mali sio zangu wala sijawahi kumiliki mali nyingi kama za Sakina. Sakina alipoona nimekataa kusimama upande wake na yeye akaamua kusema kwamba mimi nina nyumba ambayo nilijenga kupitia mali na biashara zake, Hivyo na mimi ninyang'anywe ile nyumba...

(lengo la Sakina ni kwamba kwakuwa yeye amekosa basi na mimi nikose)

...Mahakama ikaamua yeyote ambaye alishilikiana na sakina lazima afilisiwe kwahiyo lengo la Sakina likatimia na nyumba yangu ikaunganishwa kwenye mali za yule mzee. Baada ya hapo mahakama ikasema wote turudi nyumbani harafu siku inayofuata turudi mahakamani kwa ajili ya Sakina kupewa talaka na mahakama kufanya maamuzi ya mwisho,

Nilirudi nyumbani nikaona kama vile naelekea kupoteza kila kitu sababu nyumba yangu tayari ipo kwenye orodha ya mali za yule mzee, Kingine zimebaki siku chache kufunga ndoa,kwakweli nilianza kuhisi kuchanganyikiwa, Lakini wakati yote haya yanaendelea Edina sikumwambia chochote,

Siku inayofuata ikabidi tufike mahakamani lakini sakina hakufika ikasemekana anaumwa ikabidi kesi iahirishwe hadi siku nyingine. Mwanamama sakina akawa ni mgojwa kila inapofika siku ya kwenda mahakamani, Lakini wakati huo siku ya ndoa mimi na Edina ikawa imekaribia zikawa zimebaki siku kadhaa,

Baada ya mahakama kuona sakina kama kuna kamchezo anacheza, Mahakama ikaamua kutuma wapelelezi ili kugundua kama ni kweli Sakina anaumwa, Mahakama ilipofanya upelelezi ikagundua Sakina anasingizia kuumwa lakini ni mzima,inamaana kwamba sakina anacheza na mahakama.

(Mzee alimfuata sakina kule hospitali na kumwambia kama unataka kutoa siri zangu tambua kwamba nitakuua kabla ya kinywa chako hakijasema chochote, Sakina nae huwa hakopeshi akamjibu usiponigawia chochote nitahakikisha dunia nzima inajua siri zako)

Mahakama ilipobaini kwamba sakina kuna mchezo wa kitoto anaufanya, Mahakama ikaamua kumwambia sakina kama ataendelea kusingizia kuumwa mahakama itamshtaki kwa kusingizia kuumwa wakati haumwi.

Sakina alipoona mambo yatazidi kuwa magumu ilibidi afike mahakamani na kesi ikaelendelea. Mzee akaandika talaka na kumpatia sakina, Mahakama ikafikia uamuzi kutokana na sakina kufanya udanganyifu mkubwa kwa kumdanganya mume wake kwamba Sadiki ni mtoto wa mzee, kumbe sio kwahiyo mali zote za sakina pamoja na nyumba yangu zitakuwa ni mali za yule mzee,

Lakini mahakama ikasema kwakuwa mzee ameishi na sakina muda mrefu inatakiwa amgawie nyumba kwa ajili ya yeye kuanza maisha mengine, Mzee hakuwa mbishi ikabidi mzee amuachie sakina moja ya nyumba ambazo alikuwa nazo. Kesi ikaisha na kuanzia hapo sakina wakaachana na yule mzee.

Changamoto ikaanza kwa Sadiki kutaka kumjua baba yake, Lakini wakati huo Tina aliendelea kuishi kwa Sakina sababu mpango wao wa kufunga ndoa ulivurugika, ikabidi waanze kupanga upya, lakini pia sakina alikuwa amechukua mkopo kwa ajili ya biashara yake wale wanaomdai walianza kumfuata wakitaka kuuza ile nyumba aliyoachiwa na mzee.

Lakini mimi nikaona yule mzee na yeye hana shukurani sababu nimemsaidia kutoa ushahidi harafu anachuwa na nyumba ninayoishi Dah iliniuma sana lakini sikuwa na namna, Ukizingatia na siku ya kufunga ndoa imekaribia nikaona hata nikienda kushtaki naweza nikamkosa na Edina, Ilibidi nikae na Edina na kumueleza kila kitu hadi ile siku nilikamatwa na kupelekwa kituoni nikakaa wiki nzima, Lakini Edina alikuwa ni mwanamke anayenipenda sana pamoja na misukosuko yote iliyonikumba lakini bado alisema atabaki na mimi na ndoa itafungwa,

Ikabidi nifanye mpango wa kuhama kwenye ile nyumba yangu sababu tayari imeshakuwa ya mzee, Nikaenda kutafuta chumba cha kupanga, Chumba nikawa nimepata nikalipa na pesa nikaona bora nianze kuhamisha vitu vyangu vyote, Lakini wakati narudi nyumbani nikakuta ile gari ya yule mzee imepaki pale kwangu nikaona hapa mzee kaamua kuja kunifukuza, Nilifika nikamsalimia na kuingia ndani kuanza kutoa vitu vyangu,

Yule mzee akaniambia huna sababu ya kuhama kwenye hii nyumba sababu hii nyumba ni yako na itabaki kuwa yako lakini nashukuru kwa kusimama kama shahidi katika kesi yangu na Sakina, sababu bila wewe nisingefanikiwa, lakini pia nimesikia umepata mchumba na upo njiani kufunga ndoa nakupongeza kwa hilo, chukuwa na pesa kidogo kwa ajili ya kutimiza mahitaji ya harusi yako,

Yule mzee alitoa kiasi cha laki tano akanipatia kama sehemu ya shukurani na akaniachia na ile nyumba, Dah niliona kama miujiza, Lakini hadi hapo zikawa zimebaki siku tano kwa ajili ya ndoa, Ilibidi niongee na baba tukaanza maandalizi ya ndoa haraka,haraka sababu kulingana na mambo kuwa mengi mda ulikuwa hautoshi, Baba yeye akasema atakuja baa ya kuwa zimebaki siku tatu,

Mimi nikawa nimeenda sokoni kuhemea mahitaji kwa ajili ya siku ya ndoa, Lakini nikiwa kwenye mahemezi nikakutana na Tina, Tina akaniambia nasikia unaoa kwahiyo umeamua kuniacha na kwenda kuoa mwanamke mwingine au huyo mwanamke ni mzuri sana kuliko mimi,kama nimekukosea naomba unisamehe,

Tina alisogea na kunishika shati na kuanza kulia watu wote pale sokoni walishangaa kumuona binti mzuri na mrembo kama Tina analia kisa mapenzi, Kumbe wakati huo Sadiki na mama yake hawakuwa mbali walisogea na kushuhudia Tina anavyoumia baada ya kusikia kwamba kuna mwanamke nataka kumuoa, Tina baada ya machozi kumtoka akasema kama nitaoa mwanamke mwingine yeye atakunywa sumu ili afe, Sadiki alishuhudia kwa macho yake tina akinililia na kusema atakunywa sumu kwa ajili yangu,

Mwanamama Sakina alisogea na kumshika Tina kisha akamwambia usijali hata hiyo harusi sisi ndio tutakao amua ifanyike au isifanyike...

Itaendelea...

~Daudi~
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri Aliniomba mimi nikatoe ushahidi mahakamani kwamba zile mali ni zangu harafu nikizikomboa tutagawana... Inaendelea... Sehemu Ya 20



Nikamwambia kwa sasa itakuwa ni vigumu lakini nitafikiria, Sakina akawa ameniomba sana siku hiyo ya mimi kutoa ushahidi nisikosekane, Lakini tina aliniangalia kwa kutamani kuongea na mimi ila sikujali nikaondoka zangu.

Nilimpelekea Edina zawadi na alifurahi kweli lakini wakati huo zilibaki siku 20 ili kufunga ndoa mimi na Edina, Lakini pia nilikuwa bado sina simu nikawa nimefanya mpango nikanunua simu ila sikutaka Edina awe na simu sababu nilihofia akiwa na simu, Sakina anaweza akavuruga ndoa yetu isifanyike.

Siku ya kwenda kutoa ushahidi ikawa imefika lakini niliwaza sana niende au nisiende, Nikaona bora niende ili nimalizane na Sakina, Tukaingia mahakamani kwa ajili ya...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-siri-na-mke-wa-tajiri-aliniomba-mimi-nikatoe-ushahidi-mahakamani-kwamba-zile-mali-ni-zangu-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-siri-na-mke-wa-tajiri-aliniomba-mimi-nikatoe-ushahidi-mahakamani-kwamba-zile-mali-ni-zangu-
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

542
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

476
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

438
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜

354
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

166
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

147
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

89
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

86
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

85
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

76

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo tukaludi getoo. Basi tukiwa tunaendelea na story zetu mi na lemi. Oyaaaaa kufika saa nne jsiku mtoto...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest