Je wajua filamu ya Deadly Prey ya mwaka 1987 ilitayarishwa na David Trior ambaye alimpa nafasi ndugu yake Ted Prior kucheza uhusika mkuu(main character)
filamu iliyotengenezwa kwa bajeti ya chini sanaa kiasi mwanzo mwisho wa filamu jamaa alikuwa na kipensi tuu vibanda umiz...
Mwandishi aliuliza je neno mshangazi maana yake nini, Kajala akajibu mshangazi ni mwanamke mwenye umbo kuuubwa, Wolper akisema mshangazi ni mwanamke mwenye umri
mkubwa kama sisi hapa yani kama mimi, Kajala, Auntyezekiel na Irene Uwoya Irene Uwoya akasema hapana sisi sio mishangaz...
🚨 CAF imetangaza kanuni kuu kabla ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho msimu wa 2025/26:
📌 Julai 31: Tarehe ya mwisho kwa mashirikisho ya wanachama kuwasilisha vilabu vitakavyoshiriki
📋 Vilabu vinaweza kusajili wachezaji hadi 40
🔁 Substitution 5 kwa kila mechi | Wachezaji 9 benchi
🕒 Wachezaji wapya waliopatikana kwenye dirisha la usajili la Januari lazima wasajiliwe saa 72 kabla ya mechi ili waweze kucheza
🇩🇿🇦🇴🇨🇮🇪🇬🇱🇾🇲🇦🇳🇬🇨🇩🇿🇦🇸🇩🇹🇳🇹🇿
Nchi 12 zenye nafasi ya kuingiza vilabu viwili kwa kila mashindano:
Aljeria, Angola, Côte d’Ivoire, Misri, Libya, Morocco, Nigeria, DR Congo, Afrika Kusini, Sudan, Tunisia, na Tanzania.
#CAFCLwithMicky | #CAFCCwithMicky #SokaLaAfrika
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/caf-imetangaza-kanuni-kuu-kabla-ya-mashindano-ya-ligi-ya-mabingwa-na-kombe-la-shirikisho-msimu-wa-20