Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
24 Dec 2025
39 views
VYOTE NDANI GONGA94
Kuna wakati adui hataki kukuumiza, anachokitaka ni kukutumia ujumbe tu
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, halafu yeye anasepa, hapo anakuwa amecheza na saikolojia yako.
Hapa namkumbuka mtu aitwaye Saladin, huyu ndiye aliyetufanya mpaka tupate game liitwalo Assassin Creed. Huyu mwamba alikuwa na nguvu sana, Muislamu aliyeshinda vita nyingi.
Alipambana na maadui mbalimbali, akaiteka Yerusalemu, alipambana na kushinda kwenye vita vingi ila kulikuwa na kundi la watu lilimnyima amani kabisa.
Hili liliitwa Nizari Ismailis, walijulikana kama Wauaji wa Magharibi. Hawa majamaa walikuwa wakiiongoza Syria, kiongozi wao aliitwa Rashid ad-Din Sinan, baadaye akajiita Old Man of the Mountain.
Kwa kuwa alijua alikuwa na maadui wengi, hasa hao majamaa, akaamua kuliandaa vilivyo jeshi lake la watu elfu 20, akawa na walinzi waliomlinda saa 24.
Alikwenda kuvamia kwenye ardhi ya majamaa, akafanikiwa kuichukua lakini hakuwa na raha. Kuna kipindi akawachukua walinzi wake na kuwaambia wamlinde chumbani wakati amelala.
Akachukua chaki na kuchora duara kuzunguka kitanda chake ili adui akija basi aone nyayo zao, cha ajabu, siku moja usiku maadui wakaja, wakaua walinzi wote halafu wakachoma kisu mto wake pembeni ya kichwa chake na kumuachia ujumbe.
Asubuhi alipoamka, kila mtu amekufa ila kulikuwa na ujumbe, akauchukua na kuusoma, uliandikwa maneno machache tu;
Ujumbe huo ulimtisha, asubuhi hiyohiyo akaita majeshi yake na kuondoka kwenye ardhi ya watu. Aligundua wale aliotaka kuwamaliza walikuwa na uwezo mkubwa kuliko yeye.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *1-5* Kuna wakati kwenye maisha hatuwezi kabisa kuamua hatma zetu, nadhan ni kwa sababu huwa hatujui maisha yetu yamebebwa na nini... Umaskin, shida na tabu za maisha huwa ni funzo kubwa sana kwetu, na kwa baadhi yet
ndio njia ya kutuongezea juhudi katika upambanaji wetu... Naitwa alice ndio jina ambalo nimepewa na wazaz wangu, nimeza...
🔥🔞 NIMEMF🤐..LA MKE MDOGO KUMKOMOA MAMA YANGU MZAZI 🔞🔥 sehemu ya pili ( CHONDE CHONDE SIO SHABIKI WA CHOMBEZO USISOME) 👉 Hapa ndio ukawa mtihani kwangu nimpe mama
kweli simu na mama nimemsikia muda si mrefu anamsema mke wangu vibaya amtaki kwenye ndoa, Dah yani....👇 Mimi nikajionge...
Kuna wakati adui hataki kukuumiza, anachokitaka ni kukutumia ujumbe tu
, halafu yeye anasepa, hapo anakuwa amecheza na saikolojia yako.
Hapa namkumbuka mtu aitwaye Saladin, huyu ndiye aliyetufanya mpaka tupate game liitwalo Assassin Creed. Huyu mwamba alikuwa na nguvu sana, Muislamu aliyeshinda vita nyingi.
Alipambana na maadui mbalimbali, akaiteka Yerusalemu, alipambana na kushinda kwenye vita vingi ila kulikuwa na kundi la watu lilimnyima amani kabisa.
Hili liliitwa Nizari Ismailis, walijulikana kama Wauaji wa Magharibi. Hawa majamaa walikuwa wakiiongoza Syria, kiongozi wao aliitwa Rashid ad-Din Sinan, baadaye akajiita Old Man of the Mountain.
Kwa kuwa alijua alikuwa na maadui wengi, hasa hao majamaa, akaamua kuliandaa vilivyo jeshi lake la watu elfu 20, akawa na...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kuna-wakati-adui-hataki-kukuumiza-anachokitaka-ni-kukutumia-ujumbe-tu