Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi
Gonga94 Β· Stories

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
hapa dar ni mgeni hamna mahali ninapopajua zaidi ya nyumbn Kwa dada angu na Nyumbani Kwa Robert ,na kule kazini Umoja restaurant .Kwa dada nimefukuzwa na kule Kwa Robert nimeondoka mwenyew kazini nimefukuzwa .
Yan sijui ata niende wap ,huu mji mkubwa na usiku utaingia sasaiv.
Nikawazaaa wee mwishowe nikapata wazo kwanini nisiende Kwa Robert nimuombe kama Bado atakuwa na Yale mawazo yake ya kunio anioe ,ilinikate kauli ya dada kwamba sitoolewa ntakuwa ni mwanamke wa kutumika tuu mpaka wanaume wachoke.

Kwel nikaenda nyumbani Kwa Robert Chakushangaza Ile nafika tu getini pale mlinz ananiambia eti Karibu madam
.Kwanz nikaanza kucheka πŸ˜‚ ,nikamuuliza wewe vipi umepagawa au kazi zimekuchosha ,akaniambia aaah Samahn Shaima sikujua kama ni wewe nilijua ni bibi ake Bright πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚IV jamna mnamuelewa uyu yan mie ndo nimezeeka ivo adi nafanana na bibie Bright kwel. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nikamjibu sawa haina shida sio makosa yako ni umechoka tuu na kazi .
Nikamuuliza vipi Boss wako yupo ,akanijibu ndio yupo humo ndan Leo haujatoka kabisa yan .adi mie nimeshangaa.Aaaah ndo nikamkumbuka aliomba ruhusa kwaajili yangu ,ila mgonjwa mwenyw nimetembea Hadi miguu imekaa sawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .

Nikamwambia sawa naomba niingie ndan bas .Yule mlinz akasema sawa ila boss alisema Leo ata aje Nan nisimruhusu kuingia ,nikamuuliza kwao Mimi hunijui ,sinamlea bright au umesahau akasema ndio najua ila vipi kuhusu boss .Nikamwambia mtajijua wenyew we. a uyo boss wako .Nikamwambia naomba unisindikize kuvuka apo Geti la pili maaana ninaogopa mbwa akasema sawa .

Nikapelekwa ndan na mlinz namkuta Robert kakaaa kweny kochi kama vile alikuwa ananisubiria nafika tu ananiambia ,mammy Karibu akanisaidia na mizigo akapeleka chumba cha wageni .Nikamwambia nimekuja naomba unioe sasaiv ,😭 Nilikuwa na mwambie ayo uku nalia ,Alivyo na huruma Robert akanikombatia akaniuliza kimenikuta Nini uko mbona unalia ,sasa alikuwa akiniuliza ndo nazidi kulia Yan ni kama ananiambia mammy endelea kulia πŸ˜‚.

Akaniambia Aya mpenz wangu ,sasa apo unatakiwa uliee mpaka upone maumivu yote yaishe ndo tutaongea vizur sasa umemskia ,Yan alivyosema ivo na kilio kikazidi πŸ˜‚πŸ˜‚ nililia kama Kuna msiba vile adi wafanya Kaz wakawa wanataka kuja ila walivokuta nimekombatiana na Robert wakawa wanaondoka.

Baadae sasa maumivu yalivuoisha ndo Robert akanifuata akawa ananiuliza shida Nini mbona nimekuja ghafla alafu nalia Kwa uchungu ivo .

Itaendela
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi

hapa dar ni mgeni hamna mahali ninapopajua zaidi ya nyumbn Kwa dada angu na Nyumbani Kwa Robert ,na kule kazini Umoja restaurant .Kwa dada nimefukuzwa na kule Kwa Robert nimeondoka mwenyew kazini nimefukuzwa .
Yan sijui ata niende wap ,huu mji mkubwa na usiku utaingia sasaiv.
Nikawazaaa wee mwishowe nikapata wazo kwanini nisiende Kwa Robert nimuombe kama Bado atakuwa na Yale mawazo yake ya kunio anioe ,ilinikate kauli ya dada kwamba sitoolewa ntakuwa ni mwanamke wa kutumika tuu mpaka wanaume wachoke.

Kwel nikaenda nyumbani Kwa Robert Chakushangaza Ile nafika tu getini pale mlinz ananiambia eti Karibu madam
.Kwanz nikaanza kucheka πŸ˜‚ ,nikamuuliza wewe...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya-12-hapo-wakati-natemb

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 15 Wakat nimesimama pale najiwazia

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 14 Nikamuonea sana huruma Bright maskini

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒  π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 13 Nikamwambia muda ule nilivyoondoka kwenda

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 17 - 18 Siku zikaanza kukatika nikiwa ndan ya ndoa

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 16 Mama akawa anatusema tu kimoyomoyo

 π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 19 - 20 Miezi ilienda weee mwishowe nikafika tamati miezi tisa ,eeeh jaman

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 6 Robert alivyonishika shingo πŸ’‹

  π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 10 Baada ya kuongea maneno hayo Robert akanipigia magoti

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 11 Hiiii dada jamna majibu yote hayo ,nimekukosea Nini dada

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 9 Apo mama ake Robert

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 8 Mama na mwana wakatoka mule chumbani Mama mtu akamuuliza Robert

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.27K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

2.57K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.31K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.12K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.04K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

2K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.96K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest