VYOTE NDANI GONGA94
Mwekezaji MO DEWJI kupata ukweli juu ya jambo hilo, naomba nimnukuu MO:
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Kuna upotoshwaji unafanywa na baadhi ya Watu kuhusu Simba, MO na DP WORLD, ikanibidi kama Mwandishi leo nikampigia simu Mwekezaji MO DEWJI kupata ukweli juu ya jambo hilo, naomba nimnukuu MO:
“Suala la DP WORLD ni kweli lipo na tuliletewa na Serikali katika harakati za kuhakikisha Klabu zetu zinapiga hatua na kufanikiwa zaidi, DP World hakuwa anakuja Simba kama Mwekezaji bali Mdhamini, tulipokea kwa mikono miwili na sisi kama Klabu tuliandika Proporsal yetu kwao ambapo tulihitaji Udhamini wa BILLION 6 kwa mwaka ila haikukubaliwa, tukarudi chini mpaka BILLION MBILI kwa mwaka ila bado DP World hawakuwa tayari kudhamini kwa kiasi hicho” alisema MO
Mwekezaji MO DEWJI akaendelea:
“Kwakuwa CEO wa DP WORLD ni Rafiki yangu personally na tunaishi karibu huku Dubai, nikaonana nae kutaka kufahamu upande wao kwanini kuna mkwamo juu ya Udhamini, CEO aliniambia biashara yao ni B2C yaani kazi yao ni Bandari na wanafanya kazi na Viwanda na Makampuni hivyo haoni faida ya moja kwa moja kudhamini hivyo jambo likaishia hapo, binafsi sikuwahi na sikuweka ngumu kwa DP World kuja mpaka nikatumia resources na muda wangu kuwapush tofauti na Watu wanavyosema” alimaliza MO DEWJI.
Haya turudishe maswali kwa wapiga zumari kama ifuatavyo.
1- Nani anaanzisha agenda ambayo haipo? Serikali walitaka aingie kama Mdhamini kutokana na kuhitaji Klabu zetu zizidi kustawi kiuchumi, nani anachepusha ukweli na kuleta mada za Kuingia kama Shareholder?
2- DP WORLD wapo na utaratibu wa kuwa Mwanahisa unafahamika, ni nani anatikisa Mti wa Nyuki kuleta hadithi za kufikirika? Kwa faida ya nani?
BADO NIPO, NIMEANZA.

Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mwekezaji-mo-dewji-kupata-ukweli-juu-ya-jambo-hilo-naomba-nimnukuu-mo