Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


0742133100

Mjomba alisimama  kwa nyuma yetu na gari yake,   wakati huo hatukuwa hata na wazo alitizama mchezo mzima,   kisha  General alipo niachia  nilitembea kwatabu  sana hadi getini,    na kisha niligonga geti mlinzi akanifungulia nikaingia ndani,   nilienda moja kwa moja chumbani kwangu nilikuwa namaumivu sana,
General alipo nishuhudia tayari  nimeingia ndani ndio akaingia nayeye kwenye gari yake na kuondoka zake,    mjomba alishindwa afanyeje  akasogea na gari yake hadi getini,   kisha akapiga honi na mlinzi akamfungulia geti,   alafu akaingia ndani  alienda mpaka kwenye paking yake,    kisha alishuka baada ya kupaki,    alikuwa na hasira kweli baada ya kutuona,    akaenda mpaka chumbani kwake,  mkewe alipomuona na hali hiyo,   akamuuliza:


"Mumewangu kulikoni tena,   mbona upo hivyo eeh! Niambie Mumewangu"


Kisha mjomba alimuhadithia shangazi kilakitu alichokiona  hapo nje,   akaongezea na:


"Sijui hata anatatizo gani maana nilivyomuona anavyo tembea,   ni kama hayupo sawa kabisa,   haya nenda umtizame sijui ananini kama ameaguka kamuhudumia"


Pamoja na hasira zake kwangu mjomba,   lakini ananipenda na kunijari sana  kama  binti yake wa kumzaa hivyo alimuambia shangazi aje kunitizama kama kunakitu kimenipata kweli shangazi alikuja hadi kwenye mlango wa chumbani kwangu na kuanza kugonga huku akiniita:


"Laura!......Laura kipenzi!"


"Mama"


"Ndio kipenzi"


"Fungua ingia"


Kisha shangazi alifungua na kuingia mimi hupenda kumuita shangazi mama kwani ndio alinilea na alinipa upendo mzuri kaka mama hata yeye huniita mwanangu ndio tulivyozoeshana alipo ingia chumbani kwangu alinikuta nimesha jilaza kitandani tena nimejifunika na duvet langu akaniuliza:


"Kulikoni  kipenzi  mbona umekuja tuu na kupanda kitandani hata hukuniambia vipi huko ulifurahia kuwa na rafikiako Ethane eeh! Na kingine eti vipi umeumia mguu kwani maana mjomba wako kakuona ukiingia ila ulikuwa unatembea kwa tabu  sana niambie  mrembo wangu?


Nilishtuka kwanza kuskia mjomba kaniona nilipokuwa naingia nikamuuliza:



"Weeeh!  Mjomba kwani alikuwa amesharudi?


"Hapana labda mliongozana maana ndio kaingia sio muda"


"Mungu wangu,  atakuwa kaniona nikiwa na General sio?


"Nikweli maana kaja na hasira kamazote"


"Sasa nitafanyaje mama nisaidie"


"Hilo halina shida sana nataka kujua umepatwa na nini mpenzi"



"Usijali mama nilipoenda kambini kwa General,  niliwakuta wapo mazoezini hivyo aliniambia nijiunge nao,   ndio maana hata mapaja yananiuma sana,  ila najua  nitakuwa sawa baada ya muda tu"



"Ooh!  Pole kipenzi je umekunywa dawa zamaumivu?"


"Ndio  mama"


"Ila wewe sikuamini hapo kwenye dawa,   ngoja nikuchukulie na umeze mbele yangu  sawa"


"Dah! Mamaa jamani!


"Tulia hivyo hivyo ngoja nakuja"


Alienda na kuja na box la msalaba mwekundu,   linakilakitu vifaa tiba na dawa za maumivu,   akaa pembeni yangu kisha alitoa panado na kunipa,  kisha alichukua maji yakunywa na kunipa,   nikameza na kisha akaniambia:


"Hapo sasa nisawa kipenzi changu"


"Haya sasa naomba nilale"


"Sawa unaweza kulala  lakini je  chakula umekula?


"Aah! Mamaa"


"Mama nini?    mvivu wakula wewe,   hulali bila kula hapa,   ngoja nikachukue chakula sasahivi"


Kisha mama aliinuka  nakwenda jikoni, akachukua chakula na kuja,  kisha  alikaa na kuanza kunilisha,  huyo ndio mama  yangu mimi,   hatoruhusu kabisa kuona nalala bila kula,    kisha alipomaliza kunilisha   akaniruhusu  sasa nilale,    kisha nikajilaza hapo kitandani,   na shangazi aliondoka na kuniacha,    baada  ya muda simu yangu iliita kuitizama alikuwa General,   nikaipokea akaniambia:


"Mpenzi wangu tayari nimeshafika nyumbani namimi,   ila nime kumis taya mwenzio"


"Asante"


"Baby  nakupenda sana Laura,   kiukweli umeongeza upendo mkubwa sana  ndani ya moyo wangu,  na  hata itokee kitu gani hakika  nitalipambania penzi lako,  umenifanya niwe kichaa wa mapenzi"


"Unajua mjomba katuona hapo getini ulivyo nikumbatia  na kunichum,   hadi mwendo wangu kamuambia shangazi,   ila nimejitahidi kuongea na shangazi atalitatua yeye mwenyewe"


"Shangazi yako nimtu bora sana Laura,   nimempenda pia"


"Haya sasa naomba nipumzike kwani ninamaumivu sana"


"Natamani ningekuwa hapo,  nikukumbatie hadi asubuhi,  pole mpenzi wangu na nisamehe kwa dharti yamoyo wangu  nakuomba,  na ninazawadi yako juu  yawewe  ulichonitunukia leo,   japo haita fikia thamani ya usichana wako,   ila nitaomba upokee sawa"


Nilijisikia  vizuri sana,  kusikia maneno mazuri namatamu  kutoka kwa General Ethane,  nikajiona kumbe ninathamani kiasi hicho, nikamuitikia:


"Sawa mpenzi wangu"





Je unathani nikweli Ethane anaiona thamani ya binti mrembo Laura  na je atamtunukia kitu gani eeh! Tafadhali endelea kufuatilia................
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14



0742133100

Mjomba alisimama  kwa nyuma yetu na gari yake,   wakati huo hatukuwa hata na wazo alitizama mchezo mzima,   kisha  General alipo niachia  nilitembea kwatabu  sana hadi getini,    na kisha niligonga geti mlinzi akanifungulia nikaingia ndani,   nilienda moja kwa moja chumbani kwangu nilikuwa namaumivu sana,
General alipo nishuhudia tayari  nimeingia ndani ndio akaingia nayeye kwenye gari yake na kuondoka zake,    mjomba alishindwa afanyeje  akasogea na gari yake hadi getini,   kisha akapiga honi na mlinzi akamfungulia geti,   alafu akaingia ndani  alienda mpaka kwenye paking yake,    kisha alishuka baada ya kupaki,    alikuwa na hasira kweli baada ya kutuona,    akaenda mpaka chumbani kwake,  mkewe alipomuona...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya-14

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

580
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

467
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

465
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

318
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

208
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

83
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

66

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest