Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MFALME KIPOFU 12 na13
Gonga94 · Stories

MFALME KIPOFU 12 na13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Sehemi..ya............12

Ilipoishia sehemu iliyopita........
Pasipo kufikili mara mbili roho ya wivu ikamuingia hakuta kuona mwanamke yoyote anakaa karibu na Yao zaidi yake yeye,
Aliondoka mbiombio mpaka katika jumba la kifalme..........

ENDELEA NAYO....
Aliondoka mbiombio mpaka katika jumba la kifalme kwenda kutoa tarifa ambazo aliona ni sahihi kwa upande wake na alipofika tu tarifa zilimfikia mfalme Tengu juu ya ujio wake,

"Binti mbona asubuhi sana kuna tatizo??"
"Ndio mfalme nimemuona Princess akiwa na kijana yule kipofu asubuhi hii".

Alielezea kila kitu kwamba amemuona Princess Nailet akiwa na Yao na walikuwa kwenye mapozi yasiyo ya kawaida,
Habari zile zlimkasilisha sana Mfalme Tengu, kwa tarifa alizopewa hakuamini kama binti yake anaweza kufanya kitu kama icho na ukizingatia ni mtoto wa mfalme.

"Unachoongea unauhakika nacho???",Mfalme Tengu alimuuliza Yunde kwa mara nyingine.
"Ndio mfalme".alijibu kwa kujiamini mana alikuwa na uhakika na tarifa zake alizozileta mbele ya Mfalme wake.

Mfalme aliagiza walinzi waka muangalie Princess Nailet katika chumba chake na kumletea tarifa kama ni kweli binti yake hayupo katika jumba la kifalme.
"Mfalme Princess hayupo kwenye chumba chake".

Mfalme hakutaka tena kuuliza maswali zaidi ya kwenda kujihakikishia kama tarifa alizozileta na Yunde zinaukweli wowote.
"Aya binti ongoza njia".
"Sawa mfalme"
"Kuna vijana wengine mpaka wapewe fundisho ndio wakome kuchezea na watoto wa kifalme".

Yunde alianza kujilaumu baada ya kusikia maneno ya Mfalme na ndani ya nafsi yake alipingana na maamuzi aliyoyafanya ya kuleta tarifa zile kwa mfalme na safari ilianza ya kuwapeleka yalipo makazi ya Prince Yao.

Haikuchukua mda mrefu wakawa wamefika mahali husika na mfalme hakuamini kile alichokiona kwa binti yake Nailet,

"Ni ujinga gani huu unaofanya hapa??"
"Babaaaa!!!!!!!
"Yani umemshika mkono huna ata wasiwasi aya kamata huyu kipofu na mama yake haraka sana".
"Baba hawana kosa lolote lile mimi ndie mwenye kosa naomba uwaachie tafadhali"
"Wewe ni Binti wa mfalme inatakiwa iwe fundisho kwa vijana wengine kama hawa"

Yunde alikuwa akishuhudia yote yaliyokuwa yakiendelea pale,
Alijutia maamuzi aliyoyafanya na kwa macho yake aliwaona Prince Yao na Lindiwe wakipelekwa katika jumba la Kifalme aliamua kufatilia kuona mfalme atafanya maamuzi gani.

******************
Mandalizi ya sherehe katika ufalme wa ADELI ya kumpolea Prince Cheki au wamchongo yaliendelea kama ilivyo desturi.
Wakati huku gerezani napo mipango iliendelea ya kumtorosha General na temu hii Mlinzi Nzegi aliamua kuwa upande wa General.

Na mda maalumu ulifika wa Cheki kutambulishwa kama Prince, Mfalme Kojo alisimama kumtambulisha mbele ya halaiki,
"Huyu mnayemuona hapa ni Prince wa hili taifa na ndie atakayekuwa Mfalme wa hili taifa kwa badae, popote pale mtakapo muona naomba mumpe heshima yake".
Mfalme alimaliza na kuwafanya watu wapige makofi na kuanza kuimba....

"Princee,princee,mfalme ajaye ×3,
Prince wa ADELI,Prince mwenye nguvu"

Malikia Andwaa alichukizwa sana na sifa alizokuwa anapewa Cheki ilihali haku sitahili kupewa sifa izo ila hakuwa na chakufanya zaidi ya kuonyesha tabasamu feki.

Wakiwa katika furaha viongonzi mbalimbali ya kumkalibisha Prince tarifa mpya zilifika,
"Mfalme!!mfalme!!! kuna tatizo maneno ha asikari yule aliyekuja kwa kasi yaliwafanya karibu kila mtu asitishe alicho kuwa anafanya na kumsikiliza asikari yule"

"General katoroka gerezani mfalme".
"Unaongea nini wewe na nyie mlikuwa wapi???"
"Mlinzi mkuu alitutoa pale gerezani akisema tuje huku kwenye jumba la kifalme kuna tatizo tulipokuja na kukuta hakuna tatizo tukaamua kurudi gerezeni na hatukumukuta General wala Mlinzi mkuu".
"Ujinga gani huu unaongea", Mfalme aliongea baada ya kusikia General katoroka aliona hatari iliyo mbele yake
"Hakuna cha sherehe......ITAENDELEA.

Mambo ndio yameiva sasa huku Prince Yao mikononi mwa Mfalme Tengu na huku General anafanyikiwa kutoroka nini hatima ya waziri mkuu baada ya kusikia General katoroka na alimsaliti tukutane sehemu ijayo.

MFALME KIPOFU
Sehemi..ya............13


Ilipoishia sehemu iliyopita....
"Ujinga gani huu unaongea,Mfalme aliongea baada ya kusikia General katoroka aliona hatari iliyo mbele yake"
"Hakuna cha sherehe.......

KUPATA MWENDELEZO ZAIDI WA SEHEMU INAYOFYATA BONYEZA LINK YA HAPO CHINI 👇👇👇👇 usisahau kunifollow 🙏🙏
https://www.facebook.com/profile.php?id=61550632115006

ENDELEA NAYO...
"Hakuna cha sherehe hapa General atafutwe haraka sana na inatakiwa apatikane kabra siku ya leo haijaisha", mfalme aliongea na kuwafanya asikari watowanyike kuanza msako wa kumtafuta General.

Cheki au Prince feki alichukia sana kuona sherehe imesitishwa,raha za kuwa mtoto mfalme alianza kuziona alikunja ngumi kwa hasira sana,
"Kaka nilikusubili kwa mda mrefu".
Cheki alishangaa ameshikwa mkono na kugeuka nyuma, hakuwa mwingine aliye mshika bali ni binti wa mwisho wa kifalme aitwae Yanni.
Cheki aliweka tabasamu feki mbele ya binti huyo mdogo,
"Usijali mdogo wangu nimekuja kaka yako"
"Princess Yanite alisema huwezi kuja mwangalie yule pale".
Cheki aligeuza macho yake nakumuona Princess Yanite aliyekuwa ameketi karibu na malikia,

Malikia andwaa alimuona Princess Yanni akiongea na Cheki kitendo kilichomchukiza sana na kuamua kuwafata walipo.

Malikia hakutaka kuona Yanni anakuwa karibu na cheki mana alijua sio kaka yake halisi alienda akamshika mkono na kuondoka nae eneo hilo.
"Mama mbona umenitoa nilikuwa naongea na kaka"
"Sasa ivi hapa sio salama yatupaswa tuingie ndani binti yangu".
Malikia hakutaka kujibu alichoulizwa na binti yake ila aliongea jambo jingine ambalo halihusiani na alichoulizwa.

Kila raia alirudi katika makazi yake baada ya sherehe kuingia tahaluki.

***********

"Hahahahahaha atimae nipo huru sasa, temu hii siachi mtu ata mmoja nitauwa wote"
"Ni kweli general hapa inatakiwa tuanze na mtu aliyekusaliti"
"Nzegi una akili sana kama ulikuwa kwenye ubongo wangu ulivyokuwa unawaza, naanza na waziri mkuu kisha anafata Mfalme"

"Ata mimi kuanzia sasa nitakuwa na hesabika kama mharifu niliyekutorosha wewe kutoka gerezani ivyo siwezi tena kurudi katika jumba la kifalme",
Nzegi aliongea na kumfanya General kuelewa zaidi.

Wakiwa katika mazungumzo walisikia sauti za watu wakija upande wao na kuwafanya kutafuta mahali pakujificha.

"Aya nyie pita huku na wengine mpite huku muwatafute haraka sana hakikisheni General anapatikana na Nzegi, ni sauti ya Asikari kiongozi akiwaelekeza wenzake"

Asikari walitii amri na kumuacha peke yake kiongonzi yule aliangaza huku na huku kama kuna asikari yoyote aliyebaki eneo lile na alipohakikisha hakuna aliyebaki aliongea,

"Aya tokeni nyie wapuuzi nimeshawaona tayali"
Nzegi alitoka bira ata kuogopa baada ya kumuona rafiki yake huyo waliyefanya kazi pamoja kwa miaka mingi katika jumba la kifalme

"Nilijua tu huwezi kunitenga ndugu yangu tumetoka mbali mimi na wewe".
"Kwanini umeamua kuwa msaliti kwa Mfalme????".
"Kwa sababu amechoka kuwa mtumwa rafiki yako,General alijitokeza na hakuona haja ya kuendelea kujificha".
"Mnatakiwa mwende msituni mkajihifadhi ni hatari kwenu kwa sasa asikari wamejaa kila sehemu"
"Ungana na sisi ubadilishe maisha yako,General alimwambia asikari yule".
"Itakuwa ngumu sana kuwa upande wenu"

Nani asiyependa maisha mazuri, General alimshawishi kwa maneno mazuri na kumfanya asikari yule awe upande wao na aliwaahidi atawaletea tarifa ya kila kinachoendelea katika jumba la kifalme.

*************

Prince Yao na Lindiwe wanafikishwa kwenye jumba la kifalme huku Princess Nailet machozi haya kuacha kufutika machoni mwake.

"Baba naomba uwaachie hawana kosa lolote lile makosa yote ni ya kwangu, mimi ndie niliye enda kwao kuangalia kama naweza kumsaidia Yao na kumfanya aone ",
"Naona umesahau mimi sio baba yako tu bali ni mfalme wa falme hii ya YUNDI na ni kosa kubwa sana kumdanganya mfalme".
"Hapana maneno yangu ni ya kweli baba"
"Wewe tangu lini ukawa daktari na umejifunzia wapi???,

Kwa makosa yako mwenyewe unamwingiza kijana wa watu kwenye matatizo ni kosa kubwa sana kukutwa kijana yoyote yule amemshika Princess bira ruhusa maalumu,
hukumu yake ni kifungo cha maisha gerezani".

"Hapana Mfalme naomba unifunge mimi na umuachie mwanangu aende,Lindiwe alipiga magoti mbele ya mfalme Tengu na kumuomba mfalme".

"Miaka iliyopita ulikuja ndani ya huu ufalme nikakupokea kwa mikono miwili utafute dawa ya mwanao ila ukayafanya makazi yako ya kudumu inaonekana ndio ilikuwa mipango yako hii"
"Hapana sio ivyo Mfalme"
"Sasa mbona uliamua kuishi kwenye huu ufalme tofauti na makubaliano yetu??"

"Ni kosa langu ilo mfalme ila naomba unikamate mimi umwachie mwanangu".

"Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa........ITAENDELEA

Mfalme Kojo atafanyikiwa kumshika General kwa mara nyingine?? Na vipi kuhusu Mfalme Tengu atafanya maamuzi gani juu ya Prince Yao tukutane sehemu inayofata

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MFALME KIPOFU 12 na13


Sehemi..ya............12

Ilipoishia sehemu iliyopita........
Pasipo kufikili mara mbili roho ya wivu ikamuingia hakuta kuona mwanamke yoyote anakaa karibu na Yao zaidi yake yeye,
Aliondoka mbiombio mpaka katika jumba la kifalme..........

ENDELEA NAYO....
Aliondoka mbiombio mpaka katika jumba la kifalme kwenda kutoa tarifa ambazo aliona ni sahihi kwa upande wake na alipofika tu tarifa zilimfikia mfalme Tengu juu ya ujio wake,

"Binti mbona asubuhi sana kuna tatizo??"
"Ndio mfalme nimemuona Princess akiwa na kijana yule kipofu asubuhi hii".

Alielezea kila kitu kwamba amemuona Princess Nailet akiwa na Yao na walikuwa kwenye mapozi yasiyo ya kawaida,
Habari zile zlimkasilisha sana Mfalme Tengu, kwa tarifa alizopewa hakuamini kama binti yake anaweza...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mfalme-kipofu-12-na13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mfalme-kipofu
MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............01  Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............01 Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............04  Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............08   Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............02   Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............06     Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............06 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
MFALME KIPOFU  27
MFALME KIPOFU 27
Story.....................MFALME KIPOFU  Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa  mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi
Story.....................MFALME KIPOFU Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10
MFALME KIPOFU 11
MFALME KIPOFU 11
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
Story.....................MFALME KIPOFU 9
Story.....................MFALME KIPOFU 9
Story.....................MFALME KIPOFU 8
Story.....................MFALME KIPOFU 8
MFALME KIPOFU  17 -- 18
MFALME KIPOFU 17 -- 18
MFALME KIPOFU  19 -- 20
MFALME KIPOFU 19 -- 20
MFALME KIPOFU  25 -- 26
MFALME KIPOFU 25 -- 26
MFALME KIPOFU  21 -- 22
MFALME KIPOFU 21 -- 22
MFALME KIPOFU  23 -- 24
MFALME KIPOFU 23 -- 24
MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............14
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

419
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

274
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

178
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

9

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest