Usiku wa Kwanza na Jirani Episode 1: Wee bwana, najua majirani wa mtaa hatajwi sana โ lakini huyu jirani wangu alinimaliza. Kila siku nikiona akitoka kwa balcony na vest imekaza kifua, macho
yananiambia, โKhadijah, ukipata chance usikose.โ ๐Siku moja akanipigia hodi kwa kisingizio cha kuchukua charger. Saa hi...
Mchezaji wa klabu ya Internazionale Milano raia wa Iran Mehdi Taremi amezuiwa kuingia nchini Marekani
๐บ๐ฒ kwa ajili ya kujiunga na kikosi Cha timu yake kwa ajili ya kucheza mashindano ya FIFA Club World Cup.
Sababu kuu ya kuzuiwa kwake,ni uraia wake, Serikali ya Marekani imeshaweka vikwazo kwa watu wote wenye uraia wa Iran kuingia nchini humo,hawaruhisiwi.
Mehdi Taremi hatokuwa sehemu ya kikosi Cha Internazionale Milano kwenye mashindano ya FIFA Club World.
FOLLOW US.
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mchezaji-wa-klabu-ya-internazionale-milano-raia-wa-iran-mehdi-taremi-amezuiwa-kuingia-nchini-marekan
Maoni