Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

Shekhan Ibrahim kuna mchezaji mzuri sana ndani yake

10th Aug, 2025 Views 13

Yule Shekhan Ibrahim kuna mchezaji mzuri sana ndani yake

1: Control the ball ( anajitahidi kudhibiti mpira , kutoka kwa mabeki wake na viungo wenzake )

2: Anapiga pasi vizuri ( anajitahidi , good long ball mita 20-30 : anaweza kuboresha zaidi ) Zote hizo ni Offensive , yani timu ikiwa na mpira

3: Good defending ( na bado anaweza kuzuia vizuri sana aisee , pale ambapo wenzake watashindwa kukabilia physical basi yeye atafanye na kuondosha athari kwa timu )

NOTE: Umri 22yrs .. hii ni mali sana , kwa umri huo na ukakamavu alionao naona akiwa dhahabu bora kwa baadae , best best young player ๐Ÿ‘๐Ÿฟ๐Ÿ”ฅ.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Shekhan Ibrahim kuna mchezaji mzuri sana ndani yake  >>> https://gonga94.com/semajambo/shekhan-ibrahim-kuna-mchezaji-mzuri-sana-ndani-yake
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

never give up harmonize
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest