Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
25 Sep 2025
35 views
VYOTE NDANI GONGA94
Usiku wa Kwanza na Jirani Episode 1: Wee bwana, najua majirani wa mtaa hatajwi sana – lakini huyu jirani wangu alinimaliza. Kila siku nikiona akitoka kwa balcony na vest imekaza kifua, macho
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
yananiambia, “Khadijah, ukipata chance usikose.” 😏Siku moja akanipigia hodi kwa kisingizio cha kuchukua charger. Saa hiyo mimi nishajipaka lotion nikajua, sasa Khadijah, leo utatoa roho ya mwanaume. Nikamwambia aingie, macho yangu nikayapunguza kidogo kama naomba samahani, kumbe ndani najipanga kwa bad manners.
Tukakaa sofa, akaniuliza movie gani naweza penda. Ndio nilipojua wanaume hawaelewi dalili. Yani nimekaa nusu kifua nje, miguu imeachia kama niko audition ya video vixen, lakini bado ananiuliza “movie gani?” 😒 Nikaamua ku-direct, nikasogea karibu hadi akahisi joto la mapaja.Wacha nikuambie, pale sofa tulianza kupapasana hadi nikahisi miguu yangu haina mifupa. Huyu jamaa, mkono wake ulikua kama umeenda training ya kupeleka wanawake ICU. Nikaanza kulia kimya kimya, ile ya “aaah mmmh” lakini ndani nataka jirani wa chini apige ukuta aseme, “weka volume ya tv juu.” 😂
Nilipomsukuma twende bedroom, huyu mwanaume akafikiri nitamwachia apumue – la! Mimi Khadijah nilikuwa tayari safari ya kupanda mlima. Nilipojilaza kitandani nikajua sasa ndiyo mwisho wa uaminifu wangu kwa wanawake wengine.Wee! Kwanza alivyoanza kunipiga mabusu shingoni nilihisi mapigo ya moyo yamekimbia marathoni. Nguo zikawa zinaondoka kama mtu ana speed ya kuficha bangi mbele ya polisi. Nikajikuta nipo uchi, na nikajiambia, sawa, kama vile Ruto anasema finance bill haina reverse – hata mimi sasa sina reverse.
Na sasa hapa ndipo comedy ilianza.....
follow Christopher Mponji endelea episode 2 Kwa post apo juu...
tamu si tamu?!!
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu...
Usiku wa Kwanza na Jirani Episode 1: Wee bwana, najua majirani wa mtaa hatajwi sana – lakini huyu jirani wangu alinimaliza. Kila siku nikiona akitoka kwa balcony na vest imekaza kifua, macho
yananiambia, “Khadijah, ukipata chance usikose.” 😏Siku moja akanipigia hodi kwa kisingizio cha kuchukua charger. Saa hiyo mimi nishajipaka lotion nikajua, sasa Khadijah, leo utatoa roho ya mwanaume. Nikamwambia aingie, macho yangu nikayapunguza kidogo kama naomba samahani, kumbe ndani najipanga kwa bad manners.
Tukakaa sofa, akaniuliza movie gani naweza penda. Ndio nilipojua wanaume hawaelewi dalili. Yani nimekaa nusu kifua nje, miguu imeachia kama niko audition ya video vixen, lakini bado ananiuliza “movie gani?” 😒 Nikaamua ku-direct, nikasogea karibu hadi akahisi joto la mapaja.Wacha nikuambie, pale sofa tulianza kupapasana hadi nikahisi miguu yangu haina mifupa. Huyu jamaa, mkono wake ulikua kama umeenda...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/usiku-wa-kwanza-na-jirani-episode-1-wee-bwana-najua-majirani-wa-mtaa-hatajwi-sana-lakini-huyu-jirani