Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

Simulizi : The Return Of The Ambrosy  Sehemu Ya Kwanza (1)  IMEANDIKWA NA : ALEXIS WAMILLAZO   Walemi binti kutoka makao makuu ya Nchini, mkoani Dodoma
Gonga94 ยท Stories

Simulizi : The Return Of The Ambrosy Sehemu Ya Kwanza (1) IMEANDIKWA NA : ALEXIS WAMILLAZO Walemi binti kutoka makao makuu ya Nchini, mkoani Dodoma

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
. Anaondoka nyumbani kwao na kuingia jiji Dar es salaam kwa dhumuni la kutafuta maisha, anajikuta akipata tabu kwa kukosa makazi ya kuishi jiji humo. Jua lake mvua yake, Elimu yake ya darasa la saba ikawa kikwazo kwake kupata kazi, hali iliyompelekea kujikita katika kazi ya kuomba omba barabarani. Maisha hayo yalikuwa endelevu kwa Walemi, lakini baadaye alibahatika kupata kazi nyingine ya kuuza chakula kwenye moja ya mgawahawa mitaa ya Mwananyamala.(Mama ntilie) Upole na ukarimu wa binti huyo anajikuta unampelekea kupendwa na kijana mtana shati, kijana msomi na mwenye pesa za kutosha, kijana nadhifu ambaye alimuona Walemi mara moja tu wakati anakatiza na gari yake jirani na eneo ulipo mgahawa huo aliokuwa akihudumia binti huyo. Kijana huyo liitwa Ambrosy. Ambrosy alivutia mno na Walemi ni kama bahati aliyoipata Walemi kupendwa na kijana huyo asiye na kasumba hata lepe,kwani asilimia kubwa ya vijana wenye maisha mazuri hasa hasa vijana wa mjini hupendelea kuoa wanawake warembo wasio isha hamu kuwatazama. Lakini ajabu hali hiyo ikawa tofauti kabisa kwa kijana Ambrosy,alivutiwa na muonekano wa Walemi binti ambaye alionekana kuwa rafu kiasi kwamba hatamanishi kwa hali yoyote. Mwanamke matunzo, hatimaye Ambrosy anayabadirisha maisha ya Walemi,alimuendeleza kielimu lakini pia alimununua gari ya kutembelea bila kusahau kumfungulia duka la nguo eneo la kariakoo. Sasa Walemi uzuri nadhifu aliokuwa nao ukaaza kujidhilisha kwa macho ya umma akawa sio yule Walemi aliyekuwa akipita barabarani kuomba omba, akawa sio yule Walemi aliyekuwa mama ntilie, pesa sabuni ya roho dhahili shahili sabuni hiyo ikathubutu kumtakatisha Walemi.

Lakini baada ya miaka kadhaa kupita, hatimaye Walemi anabahatika kukutana na mpenzi wake wa zamani sana wa kipindi hicho yupo mkoani kwao Dodoma. Mwanaume huyo ndiye aliyemtoa bikira huku wakiwekeana nadhiri kuwa katu hawatokuja kuachana maishani mwao. Ila mwishowe nadhiri hiyo ikaja kugeuka asidi mara baada mpenzi wake huyo kwenda DAR-ES-SALAAM kutafuta maisha na kisha kulowea. Walemi hakuamini machoni mwake kile akionacho, machozi ya furaha yalimtoka hasa walipokumbushana mambo kadhaa ya nyuma. Na hivyo Walemi akahitaji kujua anapoishi mwanaume huyo, alipopafahamu akawa anaenda kulala huko mara nyingine anafanya naye mapenzi huku akimuachia pesa nyingi ya matumizi pasipo Ambrosy kujua. Siku kadhaa mbele Walemi na huyo mwanaume walipanga mikakati ya kufanya mapinduzi juu Ambrosy ili wapate nafasi ya kufurahia penzi lao pasipo buguzi wala hofu yoyote. Walemi aliamini kufanya hivyo atabaki na amani na mpenzi wake huyo wa zamani, akasahau Ambrosy alipomtoa mpaka Kufika hapo alipo,wema Ambrosy ukawa kikwazo kwake na hatimaye Walemi alimuua Ambrosy kwa kumuwekea sumu kwenye chakula. Miradi yote sasa ikawa chini yake na mwanaume huyo, raha mstarehe wawili hao ikatamaraki mioyoni mwao. Ila baada miaka minne kupita tangu kifo chake Ambrosy, ajabu usiku mmoja Walemi alishtuka kusikia simu yake ikiita,alijikakamua akainuka na kisha akaichukua simu hiyo ili ajue ni nani aliyempigia. Namba ilikuwa mpya, hivyo kwa sauti iliyoonyesha bado anausingizi alibonyeza kitufe cha kijani kisha akaweka simu sikioni akasema "Hello nani mwenzangu? Na kisha kwanini unapiga simu usiku" Ajabu Walemi hakujibiwa, mtu huyo aliyempigia alikaa kimya kitendo ambacho kilimfanya Walemi kutoa simu sikioni na kisha kuitazama namba hiyo kwa mara nyingine tena. Ghafla alishtuka akaitupa simu chini, kijasho chembamba kikaanza kumtoka huku mapigo ya moyo wake yakienda mbio mfano wa chura apumuapo. Namba ili ilimshtua sana, aliogopa Walemi akilini akajiuliza "Ambrosy? Si kasha kufa? Sasa iweje ten anipigie?.." Wakati Walemi akijiuliza maswali hayo punde si punde uliingia ujumbe mfupi (sms) Kwa mara nyingine Walemi alitaharuki ingawa mwishowe alipiga moyo konde akaichukua simu ili ajue ujumbe huo unasema nini. Alipofungua alikutana na jumbe iliyoandikwa THE RETURN OF THE AMBROSY... "

{Kurudi kwa Ambrosy}

"Mungu wangu marehemu karudi?.." Alijiuliza Walemi huku akihema juujuu asiamini kile alichokisisoma. Aligeuka kumtazama mumewe ambaye naye muda huo alikuwa amelala fo fo fo hata asiwe na habari kwamba mtu yule waliyedhurumu nafsi yake sasa karejea. Walemi aliogopa sana habari hiyo, maswali kibao akajiuliza pasipo kupata majibu.

"Ambrosy? No. Hapana sitaki kuamini kama kweli Ambrosy kafufuka,hii ni imani potofu kabisa na mambo haya hutokea kwenye senema na sio vinginevyo. Inawezekana vipi mtu aliyekufa akarudi tena duniani? Je, inamaana kwamba hakuna pepo ama jehanamu?.." maswali yote Walemi alikuwa akijiuliza kichwani mwake wakati huo mapigo ya moyo wake yakienda kasi,na punde si punde simu ile ikarudia kuita kwa namba ile ile aliyokuwa akitumia Ambrosy enzi ya uhai wake. Walemi kuona hivyo akafikiria heri kuizima simu hiyo, na sio kuizima tu bali alitenganisha kabisa betri na simu kisha akalala na kuanza upya kutafuta lepe la usingizi huku kiakili na kimwili akionekana kutokuwa sawa, Sula hilo la la kurudi kwa Ambrosy lilimchanganya mno.

Baada Walemi kusinzia, muda mchache baadaye mwanaume wake naye aliamka kwa dhumuni la kuelekea chooni kujisaidia. Mwanaume huyo ambaye aliitwa Daniel alijitahidi vema kushirikiana na Walemi kumuua Ambrosy ili wafurahie vizuri penzi lao kama zamani walipokuwa Dodoma. Hivyo Daniel alipoamka alijinyoosha kwanza kisha akainuka pale kitandani akatundua taulo yake kwenye enga tayari kwa safari ya kuelekea chooni. Lakini kabla hajafungua mlango wa kutokea chumbani alishtuka kuona simu ya mkewe imetenganishwa betri. "Mmh" Aliguna Daniel kisha akatikisa kichwa kama ishara ya kukataa jambo fulani halafu akazipiga hatua kuelekea chooni kujisaidia. Muda huo ulikuwa usiku wapata saa saba ikikimbilia saa nane. Daniel alizipiga hatua kuelekea chooni,ila kabla hajafika alistaajabu kutozikuta ndala maalumu za kuingia nazo chooni,hivyo kiashiria hicho kilimanisha kuwa chooni kuna mtu. Lakini ni nani wakati nyumba nzima anaishi yeye na mkewe tu? Kitendo hicho kilimfanya Daniel kupigwa na butwaa lakini mwishowe akaona hakuna haja ya kuogopa, aliusogelea mlango wa choo ili ausukume ajihakikishie kama kweli ndani kuna mtu ama lah! Ila kabla hajukaribia nafsi ilimsuta, haraka sana Daniel akarudi nyuma kisha akageuka akarudi chumbani kumuuliza Walemi kama kuna mahala ameziweka ndala hizo.

"Walemi, Walemi.. Walemi.." Daniel alimuamsha Walemi. Punde Walemi aliamka ndipo Daniel alipomuhoji suala hilo la ndala swali ambalo lilimshangaza sana Walemi ambapo kwa sauti yenye usingizi ndani yake akasema "Hivi ni ndoto ama? Dani unawezaje kuniamsha kisa ndala za chooni huku chumbani? Kuwa mstaarabu bwana niache nilela" Walemi alipokwisha kusema hivyo alijivutia shuka kuanzia miguuni mpaka kichwani kuonyesha kuwa hataki kubuguziwa. Hapo Daniel alishusha pumzi ndefu huku akiishia kumtazama Walemi pasipo kuongeza neno lolote, lakini mwishowe alirudi tena kule kule chooni. Safari hiyo aliziona zile ndala ila cha ajabu ndala hizo zilikuwa zimelowa maji kumanisha kuwa muda mchache uliopita kuna mtu alizitumia kuogea. "Mungu wangu" Alijisemea Daniel huku akizisogelea pole pole pale mlango,hali ya kuwa nyuma yake zilionekana nyao za maji zikiambaa kule alikotoka. Bado alizipiga hatua za woga kusogea pale kwenye mlango wa choo huku moyoni akiwa na woga wa hali ya juu uliompelekea kugeuka nyuma yake ambapo ndipo alipoziona zile nyao. Nyayo zile zilizidi kumchanganya Daniel, ghafla kijasho kikanza kumtoka na ile haja ndogo aliyokuwa nayo ikamshukia pasipo yeye kujua. Balaa lilizidi kuwa nzito upande wake pindi aliporudisha macho yake kule kwenye mlango wa choo, ghafla kwenye mlango akayaona maandishi yaliyo andikwa THE RETURN OF THE AMBROSY.

Maandishi hayo makubwa yaliandikwa kwa michirizi ya damu. Muda huo huo akaonekana Ambrosy akiwa ndani ya mavazi meupe. Aliangua kicheko Ambrosy kisha akasema "Daniel.. Damu yangu haina hatia.. Mwambie Walemi kwamba mimi ni mgeni wenu.." Alipokwisha kusema hivyo akapotea..

##
๐Š๐ข๐ญ๐ฎ ๐ ๐š๐ง๐ข ๐ค๐ข๐ฅ๐ข๐œ๐ก๐จ๐ž๐ง๐๐ž๐ฅ๐ž๐šโ€ฆ.
๐”๐ฌ๐ข๐ค๐จ๐ฌ๐ž ๐ฌ๐ž๐ก๐ž๐ฆ๐ฎ ๐ข๐ง๐š๐ฒ๐จ๐Ÿ๐ฎ๐š๐ญ๐š
๐‰๐š๐ฆ๐š๐ง๐ข ๐ญ๐ฐ๐ž๐ง๐๐ž ๐œ๐ก๐š๐ฉ๐ฎ ๐Ÿ™Œ, ๐›๐จ๐ง๐ฒ๐ž๐ณ๐š ๐‹๐ˆ๐Š๐„-150 ๐ฌ๐š๐ฌ๐š ๐ก๐ข๐ฏ๐ข ๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐ข๐ฉ๐จ๐ฌ๐ญ ๐ง๐ฒ๐ข๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž ๐œ๐ก๐š๐ฉ๐ฎ ๐œ๐ก๐š๐ฉ๐ฎ ๐Ÿš€๐Ÿ”ฅ.โ€

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Simulizi : The Return Of The Ambrosy Sehemu Ya Kwanza (1) IMEANDIKWA NA : ALEXIS WAMILLAZO Walemi binti kutoka makao makuu ya Nchini, mkoani Dodoma

. Anaondoka nyumbani kwao na kuingia jiji Dar es salaam kwa dhumuni la kutafuta maisha, anajikuta akipata tabu kwa kukosa makazi ya kuishi jiji humo. Jua lake mvua yake, Elimu yake ya darasa la saba ikawa kikwazo kwake kupata kazi, hali iliyompelekea kujikita katika kazi ya kuomba omba barabarani. Maisha hayo yalikuwa endelevu kwa Walemi, lakini baadaye alibahatika kupata kazi nyingine ya kuuza chakula kwenye moja ya mgawahawa mitaa ya Mwananyamala.(Mama ntilie) Upole na ukarimu wa binti huyo anajikuta unampelekea kupendwa na kijana mtana shati, kijana msomi na mwenye pesa za kutosha, kijana nadhifu ambaye alimuona Walemi mara moja tu...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/simulizi-the-return-of-the-ambrosy-sehemu-ya-kwanza-1-imeandikwa-na-alexis-wamillazo-walemi-binti-ku

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi simulizi-the-return-of-the-ambrosy-sehemu-ya-kwanza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100

745
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

593
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

547
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

470
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

424
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

359
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

355
REALLY LOVE* Chapter 17

REALLY LOVE* Chapter 17

171
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

125
MY CRAZY BOSS 1 - 5

MY CRAZY BOSS 1 - 5

107

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.69K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.48K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.42K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.31K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

โ€œThe CBF stands in solidarity with Vinรญcius Jรบnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

REALLY LOVE* Chapter 18 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 18
@majario LIVE

huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103
@majario LIVE

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102
@majario LIVE

Nikasema ni kweli yusta nimemfanyia mengi mabaya. Najutia na naumia . Ukipata mda mwambie anisamehe sana. Yusta akasema wee wala sitaki kumtibua mume wangu kipenzi. Yani mume wangu akisikia jina...

MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior Post Mpya
๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. โš ๏ธ๐Ÿšซ Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! โ€ผ๏ธ VINI AKATAA KUCHEZA!! ๐Ÿ˜คโŒ

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa ๐Ÿ˜‚ Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ  ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ Post Mpya
๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Mmmhhh kwa hiyo hemed kumbe ni kamalaya๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ hebu ngoja nimpigie simu nimuulize yuko wapi๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ au niende nikamfumanie ili nipate sababu ya kuachana naye kaishaanza kuniudhi et bora niondoke kwake nimuache...

REALLY LOVE* Chapter 17 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 17
@majario LIVE

alisema mama cathe kwa mama usiseme mimba mama huwenda homa tu alisema cathe huku analia sana kwakweli alijutia sana mpumbavu mkubwa wewe hivi unayaona hayo matapishi mjinga mkubwa wewe cathe unatutia aibu...

๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: The Premier League is resuming its procedures for Ramadan. ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŒ™ Post Mpya
๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: The Premier League is resuming its procedures for Ramadan. ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŒ™
@majario LIVE

Short pauses will be allowed during matches to enable Muslim players to break their fast. ๐‘น๐’†๐’”๐’‘๐’†๐’„๐’• ๐Ÿคฒโœจ

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest