Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
23 Sep 2025
22 views
VYOTE NDANI GONGA94
Mchungaji, Joshua Mhlakela, Atabiri Leo au Kesho Ndiyo Mwisho wa Dunia! Mitandao Yalipuka!!!
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mchungaji Joshua Mhlakela kutoka Afrika Kusini ameibua gumzo kubwa baada ya kudai kwamba katika ndoto aliyopata, Yesu Kristo alimwonyesha tarehe ya unyakuo na mwisho wa dunia โ akidai inaweza kutokea kati ya 23 au 24 Septemba 2025.
Habari hizi zimeenea kwa kasi kwenye mitandao kama TikTok kupitia #RaptureTok, ambapo baadhi ya watu wameanza kuchukua hatua kali kama kuacha kazi au kuuza mali wakiamini dunia iko ukingoni.
Lakini upande mwingine, wachambuzi wa maandiko ya Biblia wanasisitiza kuwa hakuna mtu anayeweza kujua siku wala saa ya kurudi kwa Kristo. Historia pia imewahi kushuhudia utabiri mwingi wa aina hii ambao haukutimia.
Kwa sasa, mjadala huu unawagawa watu mtandaoniโwapo wanaochukua kwa uzito mkubwa na wapo wanaoona ni jambo la kupuuzia.
๐ Wewe unasemaje kuhusu taarifa hii?
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MIMI SIKUACHI๐ฅฐ 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)
๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก Sehemu ya 24 Basi bwana nakumbuka nilikaaa uku nyumbani week.2...
Bila ya msimamo ule leo watu wangeshasahau kama Afcon ilichezwa Morocco, bila ya huyu Mwanaume muda huu Morocco wangekuwa wanashangilia Kombe la dhulma.
Bila ya jamaa kutoa vijana wake leo Mutsepe angekiri kuwa Senegal walionewa lakini isingesaidia kitu tayari Morocco Bin...
*NI WANGU PEKEANGU* *________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Erica ni binti wa mwisho katika familia yenye watoto wanne kaka watatu na yeye ndio dada pekee
, alikuwa ni mwanamitindo anae fanya kazi zake nchi mbali mbali alikuwa na furaha sana akiwa na kazi zake za urembo, kak...
Mchungaji, Joshua Mhlakela, Atabiri Leo au Kesho Ndiyo Mwisho wa Dunia! Mitandao Yalipuka!!!
Mchungaji Joshua Mhlakela kutoka Afrika Kusini ameibua gumzo kubwa baada ya kudai kwamba katika ndoto aliyopata, Yesu Kristo alimwonyesha tarehe ya unyakuo na mwisho wa dunia โ akidai inaweza kutokea kati ya 23 au 24 Septemba 2025.
Habari hizi zimeenea kwa kasi kwenye mitandao kama TikTok kupitia #RaptureTok, ambapo baadhi ya watu wameanza kuchukua hatua kali kama kuacha kazi au kuuza mali wakiamini dunia iko ukingoni.
Lakini upande mwingine, wachambuzi wa maandiko ya Biblia wanasisitiza kuwa hakuna mtu anayeweza kujua siku wala saa ya kurudi kwa Kristo. Historia pia imewahi kushuhudia utabiri mwingi wa aina hii ambao haukutimia.
Kwa sasa, mjadala huu unawagawa...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mchungaji-joshua-mhlakela-atabiri-leo-au-kesho-ndiyo-mwisho-wa-dunia-mitandao-yalipuka
Maoni