Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜   NO 10๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Gonga94 ยท Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 10๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada ya baba yake Paschal kupatikana na kufanya mawasiliano na wale maaskari! Mimi niliruhusiwa kuondoka pale kituoni! Nilirudi pale hotelini nilikuwa na mawazo sana sikuweza kulala usiku kucha nilikesha huku nikiwa nasali Kwa ajiri ya Boss Paschal kesho yake asubuhi Kuna kikao tulitakiwa kuhudhuria ni Cha muhimu sana lakini Ndo hivyo boss Paschal ni mgonjwa niliamka nikajiandaa baada ya Hapo nilipiga simu kuwataarifu uongozi ya kwamba hatutoweza kuhudhuria katika kikao kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu! Baada ya kuwapatia taarifa niliondoka kuelekea hospital sikuruhusiwa hata kumuona boss Paschal machozi mfululizo yalikuwa yanamiminika usoni kwangu boo tafadhari nakuomba usije ukaniacha et๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ niliendelea kulia pale kwenye viti vya pale hospital! Nikiwa nimekaa pale kule alikokuwa amelazwa Boss Paschal palifunguliwa alitoka doctor nilimkimbilia nikampigia magoti nikamuomba aniruhusu niweze kumuona boss Paschal..... Tafadhari Binti kuwa mwelewa hauwezi kumuona muda huu Hali yake si nzuri bado tunapambana Ili tuweze kuzirudisha fahamu zake! Doctor Kwa hiyo Bado hajaamka tu๐Ÿฅน๐Ÿฅน pole sana Binti lakini muda huu nakushauri ufanye sana maombi Kwa ajiri ya mgonjwa wako!

Niliondoka pale hospital nilitembea Kwa mguu sikujua hata naelekea wapi ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ nilichanganyikiwa et๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ lilinijia wazo kichwani kwangu ya kwamba nielekee kule kanisani nilikoenda Jana niende nikafanye maombi Kwa ajiri ya Boss paschal niliita usafiri nikawa nimeelekea kule kanisani niliwakuta baadhi ya waumini pale kanisani walikuwa katika maombi ya mfungo nilijiunga pamoja nao tukafanya maombi niliwaomba katika maombi Yao basi wasiache kumuombea Boss wangu ambaye ni Paschal! Niliwaelezea hali aliyonayo Paschal Kwa pamoja tuliungana katika kufanya maombi mafupi Kwa ajiri yake! Nilikaa pale kanisani Hadi Mida ya mchana nilielekea shopping Kwa ajiri ya kununua vile vitu nilivyowaahidi wale watoto wa Hope in Christ orphans ya kwamba nitavinunua Kwa ajiri Yao! Hata licha ya kuwaza Juu ya Hali mbaya aliyokuwa nayo Boss paschal lakini sikutaka kuvunja ahadi niliyowaahidi! baada ya kununua Yale mahitaji nilichukua usafiri Hadi pale kituoni nikawa nimepeleka vile vitu sikuweza hata kuonana na wale watoto Kwa sababu kichwani kwangu nilikuwa namuwaza tu boss Paschal! Nilikabidhi vile vitu baada ya Hapo nikawa nimeondoka kurudi kule hospital Hali ya Paschal Bado ilikuwa ni mbaya sana na Wala hata sikuruhusiwa kumuona! Nilibakia pale hospital sikula Wala kunywa nilikuwa nalia tu muda wote! Usiku mida ya saa mbili madactari wa kule hospital walinionea huruma wakaniruhusu niweze kwenda kumuona Boss wangu! unaweza ukaenda kumuona Sasa tunatumaini ataweza kuamka muda si mrefu! Waliniambia madactari! Niliwashukuru Kisha Niliingia kule Katika Ile wodi aliyokuwa amelazwa boo nilimkuta akiwa amewekewa mashine ya oxygen! Bado alikuwa hajarudi katika Hali yake ya kawaida na fahamu zake Bado zilikuwa hazijamrudia....
""Booo๐Ÿฅน๐Ÿฅน nakupenda tafadhari nakuomba uamke hapo kitandani Kwa ajiri yangu nakupenda et usije ukaniacha siwezi kubakia peke yangu bila Wewe ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข nilimwambia Paschal huku nikiwa naugusa mkono wake! Niliendelea kumsihi apambane nilikemea roho za mauti zisijejiinua ndani yake! nilikuwa naomba huku machozi yangu yakiwa yanamdondokea Yeye niliendelea kulia bila kujizuia Doctor aliingia kule ndani alisimama pale pembeni yangu akawa tu ananiangalia alichukua tissue akanipatia niyafute machozi yangu .....Pole sana kuwa na Imani ataenda kuamka muda si mrefu na kweli baada ya doctor kuongea vile Boss Paschal alianza kuvitikisa vidole vya mkono wake wa kulia nilimuita Boss ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข nayeye aliita Raya....

Nilisogea pale kitandani nikamkumbatia nilitoa machozi ya furaha! Asante Mungu Kwa kuzirudisha fahamu zake๐Ÿ™๐Ÿ™ Asante Boss Kwa kuwa umeweza kuamka Kwa ajiri Yangu ๐Ÿฅน๐Ÿฅน nilikuwa na wasiwasi sana Juu ya Afya Yako nilimuomba Mwenyezi Mungu asikuchukue Kwa sababu Mimi ninakupenda Wewe ๐Ÿ˜ข na siwezi kuishi bila wewe hapo๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข nashukuru Kwa kuwa umeweza kuamka Kwa ajiri yangu boo I love you I love you so much please I want you to be mine ๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹pendo๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š aliniita Boss Paschal na Kisha aliniomba nijilaze kifuani kwake Happy birthday Boo Leo ni siku Yako ya kuzaliwa nilimwambia huku nikiwa nimejilaza kifuani kwake alinikumbatia Kwa mikono yake Kisha akaniambia I love you! thank you for being here with me๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜ alinichum chum huku akiwa amenikumbatia kifuani kwake!

Mhh mhh mhh alijikoholesha yule doctor ikabidi nijitoe kifuani Kwa boo samahani๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚ aliniambia yule doctor! Ni sawa doctor๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ nilimjibu huku nikiwa nampisha pale kitandani Ili aweze kumhudumia boss Paschal! Mr Paschal vipi Hali Yako!? Pole sana Kwa kilichokutokea hongera pia Kwa kupambana kusema kweli Hali Yako ilikuwa ni mbaya sana hatuna budi kumshukuru Mungu Kwa kukurejeshea pumzi Yako! Asante sana doctor namshukuru Mungu najihisi sawa Kwa Sasa lakini nasikia njaa sana! Oh๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜ฎ njaa basi Wacha nikalete kitu Kwa ajiri yako๐Ÿซฐ๐Ÿซฐ nilimwambia boo huku nikiwa nasmile alismile Kisha akaniambia thank you mam๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹ nilitoka nje ya Ile hospital nikauliza sehemu ya Karibu ambako naweza nikapata msosi Kwa haraka nilielekezwa haraka nikawa nimeenda kuchukua chakula nilichukua pamoja na matunda baada ya hapo nilirudi pale hospital..... Nitakulisha Mimi Kwa mikono yangu๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ nilimwambia Paschal my Boo ๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹ hahahaaa ni sawa .... Call me yours please nilimwambia boo huku nikiwa namuonea aibu๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ it's ok mine๐Ÿ˜‰ aliniambia huku akiwa ananikonyeza๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ

Nilianza kumlisha alinitizama usoni kwangu Kisha akaniambia basi itabidi tulishane Kwa sababu unaonekana haujala kitu tumboni kwako๐Ÿฅฒ mmhh unatakiwa kula wewe kwanza boo๐Ÿ™ˆ please mine unatakiwa kula pamoja na Mimi paschal alianza kunilisha Kwa mikono yake huku nami nikiwa namlisha yeye nampenda et ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ baada ya chakula boo aliniambia mine nahisi baridi et nakuomba uje ulale pembeni yangu hapa๐Ÿ™ˆ kaishaanza kudeka et๐Ÿฅฒ๐Ÿ˜† namimi nahisi baridi Sina joto buana nilimwambia huku nikiwa nazichezea nywele zake ๐Ÿ™ˆ

Alinishika na kunilaza pale Karibu yake๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ nilijihisi kulegea๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ pendo unajisikiaje pale unapokuwa Karibu na Mimi!? Aliniuliza Kwa sauti mnyegezo๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ Jamani boss tuko hospital et acha kuniuliza hivyo ๐Ÿ™ˆ alinikumbatia Karibu yake tukauchapa usingizi Kesho yake asubuhi tuliruhusiwa kutoka hospital Paschal alikuwa anaendelea vizuri tu alishauriwa kupunguza msongo wa mawazo kwani Kuna siku atakuja kuzimia mazima Hilo tatizo lilionekana kuwa limeshafika katika stage mbaya!si madactari wakaanza kuniomba Mimi ndo niwe Karibu yake Ili kumfanya boo asiwe mpweke walihisi lbda ni Mme wangu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ mbeya tulienda Kwa ajiri ya vikao viwili lakini kikao kimoja tulimis kutokana na boss kuumwa ilitubidi tuongeze siku za kuendelea kubakia mbeya Kwa sababu kikao tulichokikosa kilipangwa Tena kufanyika baada ya siku mbili!

Nakumbuka Ilikuwa ni jioni mida kama ya saa 10 hivi tukiwa tumepumzija kule Katika hotel ya Hill view hotel paschal alipigiwa simu na baba yake alimwambia kuwa tayari kaishawasili Dar na anatarajia kusafiri kuja mbeya Kwa ajiri ya kuja kumuona..... Hapana Daddy ningoje huko Dar tayari nimeshatoka hospital hata hivyo ninaye mtu anayeniangalia! Paschal alimsisitizia baba yake ya kwamba Yuko sawa tu hapakuwepo hata na haja ya Mzee kuja kumuona Kwa sababu Mimi Niko nayeye pale!Yeye Mzee alielewa ikabidi atusubilie Dar! Baada ya kumaliza hicho kikao tulirejea Dar! Pendo unaonaje tukapitia kwanza nyumbani kwangu ukaenda kuwaona wazazi wangu Alf kesho asubuhi nitakupeleka nyumbani kwenu! Ni sawa boo hakuna shida๐Ÿ™ˆ Boss paschal aliniomba niende nikalale kwake Kwa sababu Dar tuliingia usiku alipendelea pia niende nikawaone wazazi wake waliokuwa wakimsubili pale nyumbani kwake! Kule airport alikuja kutupokea Mika
""Hi pendo I miss you๐Ÿซ‚aliniambia Mika baada tu ya kuniona alinikimbilia na kuniwow kifuani kwangu Kisha akanibusu shavuni kwangu Kwa lazima ni kama vile alifanya Ili kujionyeshea Kwa Paschal ya kwamba huenda Mimi na yeye tunadate sikupenda vile alivyofanya nilimkata jicho Baya Kisha nikaifuta Ile kiss yake Paschal alionekana kukereka sana na Ile kiss aliyonipiga Mika katika shavu langu!

Kumbuka tangu Ile siku nimemtamkia boss ya kwamba ninampenda Bado hajanionyesha Hali yoyote ya kwamba ananitaka au laa ananikera Mimi ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน

Safari ilianza kutokea pale airport kuelekea nyumbani Kwa Boss Paschal! Tukiwa katika gari Mimi boss Paschal na Mika..... Paschal alikuwa anaonyesha kukereketwa Fulani hivi alinitumia Msg....
""Mika ni nani kwako!? Baada ya kunitumia Ile msg alinitizama Kwa hasira sana nilimjibu nikamwambia ni rafiki Yangu..... How๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ aliuliza boss Paschal! Nilimwambia ni rafiki tu wa kawaida! Mnadate!? No boss hatuna mahusiano yoyote๐Ÿคท.. okay! Yalikuwa ni majibizana Kwa njia ya Msg huku Mika akiwa anaendelea kudrive gari sisi tulikuwa zetu busy kujibizana kwenye Msg! Tulifika nyumbani Kwa Paschal tulipokelewa na wazazi wake walifurahi kumuona akiwa mzima walimkumbatia Kwa furaha ni Mtoto wao wa pekee wanampenda sana! Pendo mbona umepitia huku!? Aliniuliza Mika!... Boss ameniambia nije niwaone wazazi wake.... Kwa hiyo unalala huku!? Ndiyo Mika kwani ni vibaya ๐Ÿคท๐Ÿคท basi na Mimi itabidi nilale hukuhuku! Aliongea Mika kichwani nikajiuliza huyu mwanaume ananionea wivu Mimi kama nani yake!?
""Mom & Daddy huyu ni pendo ni secretary wangu...... Wow pendo Karibu sana alinikaribisha baba paschal sikuwa mgeni machoni kwake Kwa sababu kipindi nafanya interview pale ofisini kwao yeye ndiye aliyekuwepo alinikumbatia ๐Ÿซ‚ then akaniambia nijisikie huru! Nilimkumbatia mama Paschal alinichangamkia sana alinisifia the way Niko mrembo๐Ÿคช๐Ÿคช kichwani nikasema tayari nishaanza kujikusanyia point Kwa mama mkwe๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ tulikaribishwa ndani Paschal alinionyesha chumba nikaenda koga nikabadiri nguo baada ya Hapo tulikula dinner tukapiga zetu story pale Mika inaonekana ni rafiki mkubwa Sana wa Paschal Kwa sababu hata wazazi wa Paschal walionekana kumjua Sana na pale nyumbani Kwa Paschal alionekana siyo mgeni kabisa! Nilichoka nikawaaga nikaenda kupumzika! Pendo itabidi nilale hapa hapa Kwa sababu nahisi Kuna kitu kinaendelea kati Yako wewe na Paschal! Hiyo ilikuwa ni msg kutoka Kwa Mika nilisoma nikasikitika tu lakini Wala Sikuijibu nilipiga goti nilisali nikaingia kulala...... Mine just have a good night and nice dream I love you โค๏ธโค๏ธ ilikuwa ni msg kutoka Kwa Boss Paschal nyie nyieeeeeeee mbona nilisimama na kuanza kurukaruka kitandani ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ

Baada ya hiyo furaha iliyopitiliza nilimjibu boss paschal nikamwambia I wish you the same my Boo ๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹ niliingia kulala na usingizi mzito sana ulinipitia! usiku nikiwa usingizini nilihisi ni kama Kuna mtu ananipapasa papasa nilifungua macho haraka nilishtuka sana Kwa kile nilichokiona niliogopa sana nilianza kututmeka nilitaka kupiga kelele lakini nilinyoshewa Beto nikafanyiwa shhhhhh๐Ÿคซ๐Ÿคซ๐Ÿคซ

Duh Nini Tena kimemkuta pendo huko nyumbani Kwa Paschal nakuomba usiache kuifuatilia simulizi hii katika sehemu inayofuata.........


Itaendeleaaaa.......
Tangazo - Hostinger 2026 on fire
Hostinger 2026 on fire
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 10๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜


Baada ya baba yake Paschal kupatikana na kufanya mawasiliano na wale maaskari! Mimi niliruhusiwa kuondoka pale kituoni! Nilirudi pale hotelini nilikuwa na mawazo sana sikuweza kulala usiku kucha nilikesha huku nikiwa nasali Kwa ajiri ya Boss Paschal kesho yake asubuhi Kuna kikao tulitakiwa kuhudhuria ni Cha muhimu sana lakini Ndo hivyo boss Paschal ni mgonjwa niliamka nikajiandaa baada ya Hapo nilipiga simu kuwataarifu uongozi ya kwamba hatutoweza kuhudhuria katika kikao kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu! Baada ya kuwapatia taarifa niliondoka kuelekea hospital sikuruhusiwa hata kumuona boss Paschal machozi mfululizo yalikuwa yanamiminika usoni kwangu boo tafadhari nakuomba usije...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-no-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-no
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  NO 19...20๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 19...20๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜   NO 17...18๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 17...18๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 15...16๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 15...16๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 11..12๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 11..12๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  NO 13...14๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 13...14๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜   NO 09๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 09๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 07๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 07๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 08๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 08๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  NO 06๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 06๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.56K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.53K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.58K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.8K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.36K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.26K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.2K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.14K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.14K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.05K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest