Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Usiku nikiwa katika usingizi mzito Kule nyumbani Kwa Boss Paschal! nilihisi ni kama vile Kuna mtu alikuwa akinipapasa mwilini kwangu haraka nilikurupuka usingizini nikayafungua macho yangu yaliyokuwa na usingizi mzito baada ya kuyalazimisha macho kufunguka nilishangaa kumuona Mika akiwa katika chumba changu....
""Mika You😒""
""Pendo nyamaza ukithubutu kupiga kelele nakumaliza🀫 Mika aliongea Kwa sauti ya chini huku akiwa amekiweka kidole mdomoni kwake Kama ishara ya kunitaka Mimi ninyamaze kimya! Nilianza kutetemeka Kwa uoga Mika Kuna Nini!? Nilimuuliza huku machozi yakiwa yananitoka.... Nakupenda pendo lakini naona moyo wako umeshampenda huyu ibilisiπŸ₯ΊπŸ₯Ί nakupa machaguo mawili laa sivyo nitakuua...... Mika tafadhari nakuomba usije ukaniumiza nilimuomba asije akanidhuru baada ya kuwa ananisogezea kile kisu chake kikali katika shingo langu! Nakupenda na unatakiwa kuwa na Mimi kama hauko tayari basi tambua huu ndo mwisho wa maisha Yako! Mika unaongea kuhusu Nini Alf Mimi Sina mahusiano na Paschal huyo ni boss wangu et πŸ₯ΉπŸ₯Ή niliongea Kwa sauti ya chini huku nikiwa natetemeka Kwa uoga machozi yalikuwa yananitirilika mengi mno!

Hahahaaaa hahahaaaaaa unanifanya mtoto eh!? Mika alicheka sana Alf Kisha aliniuliza hivyo ya kwamba unanifanya Mtoto!? Hapana Mika! Pendo uko tayari kuwa mpenzi wangu!? Aliniuliza Mika huku akiwa ameniwekea kisu shingoni Kwangu! Ndiyo Mika Niko tayari tafadhari nakuomba usije ukanitoa shingo yangu😭😭😭 baada ya kumwambia hivyo Mika alikiweka kile kisu chake pembeni akanisogelea akawa anataka kunipa mate πŸ˜₯😒 nilikwepesha mdomo wangu sikutaka Kabisa kushare mate na Mika! Hahahaaaa itabidi ujifunze kunipenda Alf wewe ndiye mtu nitaye mtumia katika kulipiza kisasi changu katika hii familia nitawaua wote nitamumaliza Kila mpendwa wao watakufa taratibu Kwa maumivu mazito nawachukiaπŸ₯ΉπŸ₯Ή Mika aliongea Kwa hasira alisogea ukutani akaanza kupiga ngumi katika ukuta wee niliogopa sana Mika aligeuka siyo Mika yule wa kawaida aliyenipaga lift huyu alikuwa ameshaingiwa na roho ya kishetani alionekana kuwa na kisasi kibaya sana Juu ya family ya kina Paschal? nilinyanyuka pale kitandani nikatamani kukimbia kule chumbani lakini cjy hata Mika alinikamata sangapi alinirushia kitandani akachukua kile kisu akaniwekea shingoni alianza kukipitisha katika shingo langu aliniambia ukijaribu kufanya chochote nakuchinja nitakumaliza kama nilivyomumaliza Raya😑😑

Raya 😒😒 aliyekuwa mke wa Mr Paschal Ina maana Mika ndo aliyemuua😱😱 niliwazia kichwani huku nikiwa nimeyafumba macho yangu ili nisimuone Mika anavyonichinja..... Ana kisasi Gani katika hii familia mbona wamemkaribisha nyoka anayewatafuna bila wao kujua Kwa hiyo Mika ndo aliyemuua mwanamke wa Paschal maskini πŸ˜₯ amemsababishia Paschal ugonjwa mkubwa wa mapenzi kwanini anafanya unyama Kwa mtu anayejidai kuwa ni rafiki yake😒πŸ˜₯ kumbe ndiyo maana alikuwa anafosi kujionyeshea Kwa boss Paschal kuwa Mimi ni mtu wake lengo lake ni kumuumiza tu boss Paschal πŸ˜₯😨Mika why unafanya matukio machafu kiasi hiki mbona hata hufananii kuwa hiviπŸ₯ΉπŸ₯Ή eh Mungu wangu nitawezaje kujitoa mikononi mwa Mika na ilihali anapajua Hadi nyumbani kwetu na hata wazazi wangu wote anawafahamuπŸ˜₯πŸ˜₯ guy's kuanzia Leo koma kumuonyesha mtu sehemu unakoishi kabla ya kumjua huyo mtu yukoje yukojeπŸ₯Ί! Niliendelea kuwaza kichwani huku nikiwa natililikwa na machozi!

Mika aliendelea kunitishia aliniuliza Pendo Mimi na Paschal unampenda Nani!? Nilinyamaza sikuweza kumjibu Mika alinitoboa na kile kisu katika mkono wanguπŸ₯ΉπŸ₯Ί nilipiga kelele Kwa nguvu lakini Mika alichukua mto na kuniziba nao puani na mdomoni Mika alianza kuninyonga bila hata huruma nilianza kurusha rusha mikono na miguu ghafla mlango wa chumbani kwangu uligongwa hiyo ndo Ikawa pona yangu baada ya mlango kugongwa Mika alinitolea ule muto aliokuwa ananinyongea baada ya Hapo alikiweka kile kisu chake kiunoni kwake alinipatia onyo akaniambia ukisema chochote nakumaliza!......
""Pendo pendoo pendoo!"
""Ilikuwa ni sauti ya Boss Paschal yeye ndiye aliyekuwa anabisha mlangoni kwangu nilikuwa Sina hata nguvu za kunyanyuka pale kitandani Yani nilibakia kama mzoga tu mapigo ya moyo yalikuwa yananienda Kasi sana! Kwenye kile kijisehemu mkononi aliponitoboa Mika na kisu palikuwa panatoa damu mashuka pale kitandani yalitapakaa madoa madoa ya damu! Mika alisogea pale kitandani akaninyanyua nikawa nimekaa aliniamlisha nikafungue mlango na nimuondoe hofu huyo anayegonga...... Hautakiwi kusema chochote ukijaribu nitawatia mabisu nyote! Alininyanyua nikawa nimesimama niliongozana naye Hadi pale mlangoni alisimama Katika ule upande ambako mlango unajiegesha baada ya kufunguliwa! Niliufungua ule mlango huku Mika akiwa amenishikia bisu hapo pembeni ya mlango!

Pendo are you okay!? Yes Boss I'm okay! Nimesikia kelele nikahisi ni kama vile zimetokea huku chumbani kwako! Hapana boss Mimi nilikuwa tayari nimeshasinzia wewe ndo umekuja kuniamsha! Oh basi huenda ilikuwa ni ndoto I'm sorry mine basi we nenda ukaendelee kupumzika! Alivyoniita mine Mika alinikanyaga Kwa nguvuπŸ₯Ί nilijikaza tu Kwa sababu pale kama ningefanya mistake Mika asingeniacha salama Mimi na Boss paschal! Boss Paschal aliniita mine Kwa sababu tulikubaliana kuitana hivyo yeye alitakiwa kuniita mine nami nimuite my BooπŸ’‹!

Baada ya kumwambia kuwa Niko sawa aliniomba radhi Kwa usumbufu akawa ameondoka pale nilitamani angalau abakie pale lakini yeye hakujua kile kilichokuwa kinaendelea ndani ya chumba Changu😒πŸ˜₯ baada ya Paschal kuondoka pale Mika alinivuta Kwa hasira akanitupia kitandani aliufunga ule mlango baada ya Hapo alikuja pale kitandani alinikwidaπŸ₯ΊπŸ₯Ί aliniuliza Kwa hiyo umeshalala naye!? Nijibu nakuuliza umeshalala naye mara ngapi!? Hapana Mika sijawahi kulala naye! Pendo niambie ukweli nitakuua nakwambiaπŸ₯ΊπŸ₯Ί cjawahi kufanya chochote Naye ni Boss wangu tu😒πŸ˜₯ kwanini anakuita mine!? Mika aliniuliza kwanini anakuita mine!? Sikuwa na Cha kujibu niliishia kulia tu Mika alianza kuichana Ile night dress niliyokuwa nimeivaa usiku ule alitaka kuniingilia kimwili Kwa lazima nilimwambia Mika tafadhari nakuomba usije ukanibaka😭😭😭 lazima namimi nikut*mbe yeye mbona ulimkubalia akakutia! Mika alinichania nguo yote nikawa nimebakia uchi😧😧 alianza kunipapasa nilimlilia Mungu Kwa sababu katika Ile situation niliyokuwepo ni yeye pekee ndo ambaye angeweza kuniokoa!

Mika tafadhari nakuomba usinifanyie hivyo😭😭 Mika aliingiza kidole ukeni kwangu kikawa kimetoka na damu baada ya kuziona zile damu alifyonza Kwa hasira kisha akawa ameelekea washing kwenda kujisafisha! Sijui hata zile damu za period zilitoka wapi ni Mungu pekee ndo anayejua Kwa kuwa Wala Ile siku haikuwa tarehe yangu ya period baada ya Mika kunawa alinirudia pale kitandani akaniambia una bahati sana lakini Bado hatujamaliza na nakuonya kuhusiana na hiki kilichotokea huku chumbani kibakie kichwani kwako tu na sitaki kukuona Karibu Tena na Mr Paschal mwisho iwe Leo! Baada ya kuniambia vile alitema Kwa hasira akafungua mlango akaondoka kule chumbani Kwangu alionekana mwenye kinyaa sana kwani baada ya kuziona zile damu kwenye kidole chake ilibakia kidogo tu atapike! Usiku Huo nilienda nikaufunga ule mlango baada ya Hapo nilielekea washing room nikajisafisha niliyatoa Yale mashuka nilifungua kabati lililokuwepo kule chumbani nikachukua mashuka masafi Nikabadiri kule kitandani baada ya Hapo nilijilaza tu pale kitandani lakini hata usingizi haukuja kabisa! Nilicheki kwenye simu ilikuwa ni saa Tisa za Usiku nilikaa Hadi saa 11 usingizi ukanichukua nilikuja shtuka saa 3 za asubuhi nilikuta missed call nyingi kutoka Kwa Mika pamoja na Paschal! Niliamka nikakoga Baada ya hapo nilitoka kule chumbani nilimkuta Mika na paschal wakiwa wamekaa sitting room pamoja na wazazi wa Paschal wote walinichangamkia sana hata Mika alinionyesha tabasamu Fulani hivi kama vile siyo yeye aliyekuja kunifanyia ukatili chumbani kwangu Jana Usiku! Sikuwa sawa kabisa siku hiyo Kila mmoja pale aliniuliza mbona unaonekana mwenye wasiwasi sana!?

Itaendeleaaaa.....
Tangazo - General kumbe ulinipenda kweli eee
General kumbe ulinipenda kweli eee
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜


Usiku nikiwa katika usingizi mzito Kule nyumbani Kwa Boss Paschal! nilihisi ni kama vile Kuna mtu alikuwa akinipapasa mwilini kwangu haraka nilikurupuka usingizini nikayafungua macho yangu yaliyokuwa na usingizi mzito baada ya kuyalazimisha macho kufunguka nilishangaa kumuona Mika akiwa katika chumba changu....
""Mika You😒""
""Pendo nyamaza ukithubutu kupiga kelele nakumaliza🀫 Mika aliongea Kwa sauti ya chini huku akiwa amekiweka kidole mdomoni kwake Kama ishara ya kunitaka Mimi ninyamaze kimya! Nilianza kutetemeka Kwa uoga Mika Kuna Nini!? Nilimuuliza huku machozi yakiwa yananitoka.... Nakupenda pendo lakini naona moyo wako umeshampenda huyu ibilisiπŸ₯ΊπŸ₯Ί nakupa machaguo mawili laa sivyo nitakuua...... Mika tafadhari nakuomba usije ukaniumiza nilimuomba...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-no-11-12

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-no
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 13...14πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 13...14πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 09πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 09πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 10πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 10πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 07πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 07πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 08πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 08πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 06πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 06πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.56K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.53K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.58K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.36K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.26K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.2K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.14K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.14K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.05K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest