VYOTE NDANI GONGA94
AAAAH IMETOSHA BOSS ππ NO 13...14ππ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Pendo uko sawa!? Aliniuliza Boss Paschal! Yeah I'm okay boss! Lakini unaonekana mwenye wasiwasi sana na hapo mkononi umekuwaje mbona kama vile Kuna kijeraha oops π΄π΄ Boss Paschal aliiona Ile sehemu mkononi aliponijeruhi Mika Jana usiku kipindi alipokuja chumbani kwangu bila taarifa! Hapa niliumia nilijibu huku nikiwa na kigugumizi Mika alinikonyeza Kisha akaniongelesha Kwa ishara aliniambia nikijaribu kuongea chochote basi atanitoa roho! Samahani boss naomba niondoke muda huu kuelekea nyumbani kwetu! Pia kama hautojali naomba uweze kunipatia likizo kazini natamani kupata muda wa kupumzika!
Kupumzikaπ«£π«£!? Aliuliza yule mnafiki Mika! Yani pendo hata mwezi tu Bado hujamaliza ushatamani kupumzika ππ Mika alionekana kunikandia sana pale mbele ya familia ya kina paschal..... nahisi Kuna kitu hakiko sawaπ§π§ aliongea Paschal huku akiwa ananishikilia mkono wake kunitoa pale Kwa wazazi wake pamoja na Mika alinipeleka Juu tukaongee! Pendo naomba uniambie umepatwa na Nini!? Niko sawa Boss! Pendo tafadhari nakuomba uniambie hata Raya alianzaga kuwa hivihivi Hadi umauti unamkuta hakuwahi kuniambia ni kipi kilichomkuta Hadi yeye akapoteza maisha nakumbuka siku aliyoumwa uchungu Baada ya kuwa nimempeleka hospital kujifungua alianza kulia na kulalamika ya kwamba hawezi kuendelea kuishi yeye pamoja na Mtoto wangu ambaye nilimsubilia Kwa miezi Tisa yote Ili aweze kuzaliwa nimbebe katika mikono Yangu imagine Raya alifariki pamoja na Mtoto wangu na Baada ya vipimo ilionekana ya kwamba Raya alilishwa sumu mbaya sana iliyokuwa inamuua taratibu π°π° mke wangu nilikuwaga namkuta na majeraha kama haya lakini hakuwahi kuniweka wazi Juu ya kilichokuwa kinamtokea pendo niambie ukweli kama Kuna majini ndani ya hii nyumba nijue nakuomba useme ukweli Pendo.....
Boss Paschal aliendelea kuniomba niongee kitu alinivuta mkono Hadi chumbani kwangu kule nilikolala Jana usiku aliniambia pendo Nina uhakika zile kelele za usiku zilitokea ndani ya hiki chumba ni wewe pendo ndiye uliyepiga kelele naomba uniambie ni kitu Gani kilichokufanya upige kelele usiku na Hilo jeraha mkononi limetoka wapi pendo please tell me the truth My niambie mamangu nakuomba ukiniweka wazi basi nitaweza kujua kitu kilichosababisha kifo Cha Raya pamoja na Mtoto wangu! π₯Ήπ₯Ή....
Niliendelea kulia kiukweli nilimhurumia sana Boss paschal nilijiuliza Mika ni nani kwao ilikuwaje Hadi wakamwamini na kumkaribisha katika familia Yao ni mtu wao wa Karibu sana lakini ni adui mkubwa anayewamaliza taratibu π° natamani kukwambia ukweli boss lakini naogopa nikiwa naendelea kutafakari cm yangu iliingia Msg ilitoka Kwa Mika! Pendo ukijaribu kusema chochote nakuapia wazazi wako hawataliona jua linavyozama Leo Jioni! Baada ya kuisoma Ile msg nilionyesha mshtuko mkubwa ulisababisha Hadi niidondoshe Ile simu! Pendo una matatizo Gani!? Aliniuliza paschal Kwa sauti ya Juu! Boss naomba niondoke nataka kwenda kwetuπͺπͺ Boss Paschal aliendelea kunishangaa alisogea pale kwenye dastbeen akashangaa kuyaona mashuka yenye damu ..... Damuπ€·ββοΈπ€·ββοΈ ni damu za Nini hizi!? Aliniuliza Boss Paschal!
Samahani boss nitazisafisha ni kwamba Jana usiku nikiwa usingizini nilipatwa na period ya ghafla Kwa bahati mbaya nilivyoamka tayari nilikuwa nimeshayachafua mashukaπ° nilidanganya Kwa sababu nimeshapewa onyo kutoka Kwa Mika kwamba endapo ikitokea nikatoa Siri zake basi na Yeye atanimalizia wazazi wangu! Pendo wewe ni muongo kwanini unadanganyaπ₯Ίπ₯Ί tafadhari nakuomba uniambie ukweli Mimi nitakulinda hautokutwa na chochote mamaa tafadhari niambie et nakuomba π₯Ήπ₯Ή..... Boss Paschal aliendelea kuniomba niongee kitu lakini sikuwa tayari kuviona vifo vya wazazi wangu nilifikilia tu vile Daddy alivyomuamini Mika tangu siku ya kwanza alivyomuona Mika atautumilia Huo huo uaminifu alionao daddy juu yake Ili kuwamaliza wazazi wangu hapana siwezi kusema kitu naogopa Mika anaonekana jambazi lenye ngozi ya kondoo lakini Kwa ndani ni mbwa mwitu natamani sana kukusaidia boss Paschal lakini vipi kama ikitokea ukashindwa kunilinda Mimi na wazazi wangu!? Vipi kama ikitokea ukaacha kuniamini Mimi!? Niliwaza hivyo kichwani kwangu nikaona ni Bora niwe kimya tu!.....
Pendo Nini kilikupata usiku nakuomba useme nakuahidi kukulinda Pendo....... Hakuna kitu boss nielewe basi!....Pendo unanidanganya hata sielewi ni kwanini Kila mtu ananidanganya Pendo hebu niangalie machoni kwangu na uniambie ukweliπ’π’ paschal aliongea Kwa sauti ya chini yenye maumivu makubwa! I'm sorry Boss lakini siwezi kusema chochote π₯Ή...niliubeba mkoba wangu nikaanza kutoka kule nyumbani Kwa Paschal nilimuacha boss Paschal akiwa na maumivu makali Sana alibakia na maswali mengi kichwani kwake alishaanza kuhisi huenda nyumba yake Ina laana au huenda Kuna majini katika nyumba yake! Nikiwa naelekea getini Ili niweze kutoka Kabisa nyumbani pale Kwa Paschal mama Paschal aliniita....
Hey Samahani Miss naomba tuzungumze! Nilirudi Kwa ajiri ya kumsikiliza mama Paschal!
Pendo right!? Yes Mom I'm Pendo... Wow that's nice name.... But pendo mbona waonekana kama mtu mwenye simanzi!? No mom I'm okay... Really!? Yes Mom I'm okay.... Mom paschal aliniomba tupande juu flow ya pili kule tukakae wawili tu Kwa sababu Kuna maongezi Fulani hivi alitaka Mimi na yeye tu wawili tuweze kuyaongea!
Niliambatana Naye tukapanda juu mom Paschal aliitisha vinywaji tukawa tumekaa zetu huko juu..... Pendo feel free kwangu usiniogope nichukulie kama mama Yako... Wow thank you Mom π€π Pendo una mchumba!? Yani namaanisha uko katika mahusiano!? Hapana Mom Mimi Niko single ππ oh alihamdulilah ππ pendo naomba nikupatie kazi..... Kazi!? Nilimuuliza Mom Paschal Kwa mshangao π€ ndiyo pendo nakuomba unisaidie kumuondolea kijana wangu upweke alionao Mimi Kwa jinsi nilivyokuona Nina Imani wewe ni Binti mwema na unafaa kuwa mke Kwa kijana wangu Paschal tafadhari Binti yangu nakuomba wewe ndiye uwe Tiba Kwa Mtoto wangu natamani amsahau Raya na aamini kwamba Raya tayari alishakufa na hawezi kurudi Tena tizama vile mwanangu anavyohangaika Kwa sababu ya upweke wa Moyo! Yote hayo ni Kwa sababu moyo wake umekuwa mgumu kuamini ya kwamba Raya hayupo Tena katika Dunia hii Mimi Nina Imani Paschal akipata mwanamke mwingine akampenda hiyo ndiyo dawa itakayomfanya yeye kupona hayo maradhi ya msongo wa mawazo!
Je Pendo atakubali kuwa Karibu na Boss Paschal kumbuka Mika amemuwekea vitisho vikali sana Usikose kuifuatilia simulizi hii katika sehemu inayofuata......
Itaendeleaaaaaaaaa........
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-no
