Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mom Lakini Paschal ni Boss wangu na hajawahi kuonyesha kunitaka Mimi nitawezaje Sasa kumshawishi yeye kuwa Karibu na Mimi!?. nilimuuliza Mom Paschal baada ya kuwa ameniomba Mimi niweze kujenga mahusiano ya kimapenzi Kwa mtoto wake! Pendo wewe ni mrembo na pia ni msomi una Kila sifa njema za kupewa mwanamke tumia akili Yako na urembo wako Ili kuweza kumuokoa Mtoto wangu tafadhari Binti yangu nisaidie et Mimi kama mama naumia kumuona Mtoto wangu akiwa anapitia changamoto hizo za kupoteza fahamu Kila mara anapokumbwa na msongo wa mawazo hili tatizo likiwa kubwa nitampoteza kijana wangu sitaki Paschal akutwe na baya lolote Kwa sababu huyu ni Mtoto wangu wa pekee! Please Pendo nakuomba unisaidie et😒😒 mom siwezi kukuahidi kitu lakini nitahitajidi Kwa kadri ya uwezo wangu! Baada ya maongezi Yale nilimalizia kinywaji changu nikaanza safari ya kuondoka kule nyumbani Kwa kina Paschal niliitisha usafiri nikapanda kwenda nyumbani kwetu simu yangu niliizima! Nilifika nyumbani nikakimbilia chumbani kwangu Nikajifungia huko nililia Hadi machungu yote yakaisha moyoni kwangu tangu nakua sikuwahi kukutana na ukatili kama ule alionionyesha Mika mlango wa chumbani kwangu uligongwa niliuliza ni nani alikuwa ni Dada wa kazi wa hapo nyumbani kwetu aliniambia kuwa Kuna mgeni wangu!

Mgeni!? Ndiyo dada amesema anaitwa Mika! Mika😨😨 mwambie sipo tafadhari πŸ₯Ή tayari nimeshamkaribisha Dada na nimeshamwambia kuwa upo chumbani kwako! Mika ukimwangalia Kwa sura anavutia sana Yani gentleman la kwendaπŸ˜‰πŸ˜‰ lakini ni muuaji wa kimya kimya baada ya Dada kuniambia ya kwamba tayari ameshamkaribisha Mika ndani nilianza kutetemeka Kwa uoga sikutamani hata kumsogelea Mika niliwasha simu yangu ziliingia msg za Mika! Alikuwa akinihitaji nitoke niende nikaongee Naye! Nilitoka nikaenda kumuona alikuwa kaniletea maua imagine Mika alivyomnaa hata Kwa Yale yote aliyonifanyia lakini Bado akaweza kusubutu kwenda kununua maua na kuniletea nyumbani kwetu nilijua tu haya maua si Bure Kuna kitu! Alinikabidhi yale maua huku akiwa anatabasamu baada ya Hapo aliaga na kuondoka zake nilizidi kuendelea kumuogopa yule mkaka nilirudi chumbani kwangu haraka nikaanza kuyapekua Yale maua nilikutana na barua iliyokuwa imehifadhiwa ndani ya Yale maua! Niliifungua haraka nikaanza kuisoma Ile barua ilisheheni vitisho vya Kila rangi na masharti yafuatayo!
""Pendo hautakiwi kuacha kazi pale ofisini Kwa Paschal !""
""Nikihisiwa Kwa lolote basi tambua nitakupoteza ndani ya sekunde""
""Unatakiwa kufanya Kila nitakachokutaka ukifanye""
""Wewe ni mwanamke wangu sitaki umsogelee yule boss wako mpumbavu '"
"""Hayo yote uliyoyafahamu kuhusu Mimi yabakie katika ubongo wako laa sivyo nitawaua familia yenu wote mmoja baada ya mwingine ""
""Niambie haraka ni kitu Gani alichokuitia mama yake na paschal! Nakuonya Huwa sipendi uongo! Hayo ni baadhi ya maneno yalikuwa yameandikwa kwenye Ile barua ya Mika! Nilizidi kuogopa sana!

Baada ya muda mfupi Mika alinipigia Simu nilipokea aliniambia nazani ujumbe wangu tayari umeshaupata! Tekeleza Kila kilichoandikwa hapo nimekupigia simu Ili uniambie ni kitu Gani ulichokuwa unakizungumza wewe na mama yake Paschal! Nilipata kigugumizi Cha ghafla baada ya Mika kuniuliza Hilo swali kumbuka kaishanionya kuwa hapendi uongo na nikijaribu kufanya mistake itanicost Mimi na familia yangu yote! Nilimwambia kuwa mama Paschal anatamani Mimi niweze kuwa mke wa Paschal! Baada ya kumwambia Mika hivyo alicheka sana Kwa dharau Kisha akaniambia usijethubutu kutaka kupeleka kiherehere chako katika Ile familia Kwa sababu nitakuua Kwa mikono yangu Ile familia wanatakiwa kuteseka vivyo hivyo Hadi mwisho wa maisha Yao Kila atakayejaribu kuipatia furaha Ile familia basi Mimi nitamumalizia mbali bila kujali! Hawatokaa wakapata amani na nitaendelea kuwapa maumivu makali ndani ya nafsi zao!

Lakini Mika ni kwanini unafanya yote hayo!? Jaribu kuwa na ubinadamu Mika kumbuka hayo yote unayoyafanya utahukumiwa na Mungu! Usinitishe pendo kumbuka hata wewe umeshaingia kwenye mikono Yangu! Nakuamuru kesho mapema ufike ofisini na uweze kuendelea na kazi zako pale ofisini Kwa Paschal na Kila muda nitakuwa nakuja pale kukuona wewe nitamuumiza zaidi paschal kupitia wewe hapo! Na siyo Hilo tu Kuna mikataba hewa nitakutuma uipeleke Kwa huyo boss wako Ili aitie Saini unatakiwa kumshawishi kutia Saini bila kusoma kilichoandikwa pale kwenye makaratasi ninataka kuiua Ile campuni yake! Pendo hiyo ni amri na siyo ombi! Hapana Mika Mimi siwezi kufanya hivyo siwezi kumfanyia hivyo boss Paschal..... Pendo ni lazima ufanye na kufikia kesho nitakuwa nimeshakuonyesha Mimi ni nani! Unamaanisha Nini Mika!? Tulia utakiona kile ninachokimaanisha! Mika alicheka sana Alf Kisha alikata Simu! Niliendelea kuikosa amani ya moyo Jamani niliogopa Yani nilianza kuugua pressure etπŸ˜ͺπŸ˜ͺ nilikuwa naogopa hata mtu kugonga mlango au kuniita Kwa kunishtukiza! Nilipata wazo la kuwapigia simu wazazi wangu kabla hawajarudi nyumbani!

Nilimpigia Mom akaniambia Yuko sawa na baada ya Hapo nilimpigia Daddy naye aliniambia hajambo waliniambia nisiwe na wasi juu Yao wao ni wazima kabisa na joni watarudi nyumbani mapema Kwa ajiri yangu Kwa kuwa wamenimis sana Kwa hicho kipindi chote nilichokuwa safarini mbeya! Angalau moyo wangu ulipata amani baada ya wazazi wangu kuniambia kuwa wao ni wazima Kabisa! Lakini niliendelea kuwaza Juu ya hicho kitu alichoniambia Mika ya kwamba nisubilie kukiona! Nilijilaza kitandani usingizi ukawa umenichukua nilikuja shtuka saa 2 za usiku niliamka kwenda sitting room Kwa ajiri ya kwenda kuangalia kama wazazi wangu wamesharudi! Lakini Cha kushangaza bado wazazi wangu walikuwa hawajarudi nyumbani! Nilipiga simu ya Daddy haikupatikana mapigo yangu ya Moyo yalianza kunidunda Kwa Kasi Sana! Nilipiga simu ya Mom naye akawa hapatikani πŸ˜” oh my God Wazazi wangu wako Wapi πŸ₯ΊπŸ₯Ί nilipiga simu Kwa Dada yangu Prisca aliyeko nchini Oman nilimwambia Dada najaribu kumtafuta Daddy na Mom kwenye simu siwapati naogopa et😰😰...

Mdogo wangu mbona Bado mapema watarudi tu 🀣🀣 Sasa unaogopa Nini buana chamideko wetu muache Daddy na Mom waenjoy buana huwezi jua huenda watakuwa wamepita sehemu kwenda kumwagilia Moyo 🀣🀣 Dada Niko serious Wala ata sitanii Nina wasiwasi sana Juu ya daddy na Mom wao waliniambia saa 12 jioni watarudi nyumbani Kwa ajiri yangu walidai kuwa wamenimis Kwa kuwa Leo ndo nimerudi kutoka safarini lakini Cha ajabu Hadi saizi inaelekea saa 3 usiku hawajarudi na Cha kuogofya zaidi ni kwamba hata kwenye simu zao siwapati et Dada naogopa😰😰....... Yani mdogo wangu dahπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† hivi utakua lini weweπŸ˜‚πŸ˜‚ hebu acha kuwaza ujinga buana Yani kama vile unataka Mom arudi mapema kuja kukunyonyesha dah hebu acha kuwaza watarudi tu umesikia dogo acha kuwaza watakuja! Dada alikata simu niliendelea kuchanganyikiwa niliwapigia wafanyakazi wa kule ofisini anakofanya kazi Daddy niliwauliza kama Bado kule ofisini kwao kuko wazi lakini walidai ofisi za serikalini Huwa hawawezi kufanya kazi Hadi mida ya usiku waliniambia kule ofisini kwao saa 11 Jioni ndiyo mida ya wafanyakazi wote kuondoka! Nilipiga simu Kwa mama Nancy huyu ni rafiki mkubwa wa Mom pia Huwa wanafanya kazi katika shirika Moja! Nilimuuliza kama Bado wapo kazini lakini alidai ya kwamba mama yangu waliondoka tangu saa 11 na nusu baba yangu alikwenda kumchukua pale kazini kwao Kwa ajiri ya kurudi nyumbani!

Mom Nancy naomba unisaidie Daddy and Mom hawajafika nyumbani Bado na hata kwenye simu hawapatikani😰 watakuwa wapi Sasa!? Aliniuliza Mom Nancy! Sijui mom lakini naogopa! Hapana usiogope pendo Mimi Nina Imani watarudi tu huenda ni mtandao tu umekuwa mzito ndo maana huwapati kwenye simu na kuhusu kuchelewa mi nahisi ni Mambo ya folen ila watarudi sikilizia mwanangu hebu kuwa na subira yakipita masaa 24 Kama Bado watakuwa hawajarudi basi tutakwenda kutoa taarifa kituo Cha Police!

Usiku ule nilishindwa kabisa kula Wala kulala muda wote nilikuwa nahofu juu ya wazazi wangu πŸ˜₯πŸ˜₯ Usiku mzima ulikatika bila wazazi wangu kurudi Wala kupatikana kwenye Simu! Wasiwasi mkubwa ulizidi kutanda ndani ya moyo wangu nilijiona Mtoto mjinga niliyesababisha wazazi wangu kuwa matatizoni nilijua fika hiyo ni kazi ya Mika na si vinginevyo! Simu yangu iliita alinipigia Boss Paschal! Pendo Bado cjakupatia barua ya ruhusa wa Wewe kutokuja kazini naomba ufike kazini haraka Kuna kazi nyingi za kufanya! Samahani boss Leo sitoweza kuja kazini😰😰 nilimwambia huku nikiwa natokwa na machozi...... Kuna Nini pendo mbona ni kama vile unalia!? Boss wazazi wangu wamepotea 😭😭😭 wamepotea!? Kivipi!? uko wapi kwanza!? Boss Niko nyumbani kwetu naogopa et naogopa Mimi 😭😭😭 nitumie location nakuja hapo Sasa hivi! Kwa ule uoga niliokuwa nao ilinibidi kumtumia boss Paschal location ya nyumbani kwetu Kwa muda Huo nilikuwa Niko chumbani kwangu peke yangu nimejifungia nilihofia watakuja kunichukua na Mimi 😰😰

Je ni nani anayehusika na kupotea Kwa wazazi wa Pendo!? Huyu Mika ni nani kwani!? Usikose kuifuatilia simulizi hii katika sehemu inayofuata.........

Itaendeleaaaa.........
Tangazo - General kumbe ulinipenda kweli eee
General kumbe ulinipenda kweli eee
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜


Mom Lakini Paschal ni Boss wangu na hajawahi kuonyesha kunitaka Mimi nitawezaje Sasa kumshawishi yeye kuwa Karibu na Mimi!?. nilimuuliza Mom Paschal baada ya kuwa ameniomba Mimi niweze kujenga mahusiano ya kimapenzi Kwa mtoto wake! Pendo wewe ni mrembo na pia ni msomi una Kila sifa njema za kupewa mwanamke tumia akili Yako na urembo wako Ili kuweza kumuokoa Mtoto wangu tafadhari Binti yangu nisaidie et Mimi kama mama naumia kumuona Mtoto wangu akiwa anapitia changamoto hizo za kupoteza fahamu Kila mara anapokumbwa na msongo wa mawazo hili tatizo likiwa kubwa nitampoteza kijana wangu sitaki Paschal akutwe na baya lolote...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-no-15-16

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-no
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 13...14πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 13...14πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 09πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 09πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 10πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 10πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 07πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 07πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 08πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 08πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 06πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 06πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.56K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.53K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.58K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.36K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.26K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.2K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.14K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.14K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.05K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest