Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 3
Gonga94 · Stories

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 3

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

..... Baada ya kushuka mwenye piki piki sasa nikawa natembea haraka haraka kuliko hata mwenyeji wangu, Tinner anaongea hata namsikiliza basi ...

"We nae mbona umenuna hivyo usinambia una wasi wasi bado na ile gari yako hapo chini??" Yaani alivyotaja gari moyo ukafanya pyaa, nikaona sura ya yule kaka katili alieamua kunidhalilisha na lile jicho lake palee

"Yaani Tinner hakiamungu najuta kuja hukuu yaani najutaa dah"

"Sa unajuta kisa nini, hiko kilima??"

"Bora hata kilima, Ule muda nakuambia kwamba naogopa wataniibia vitu kwenye gari?"

"Mhu...."

"Yaani bwana kumbe kuna mkaka mwingine mvuta bangi mwenzao kanisikia yoteee yaani........" nikamuhadithia tu juu juu mana hata mood ya kuongelea hilo swala sikuwa nayo

Mie namuelezea, Tinner anacheka hadi anakosa pumzi:

“Hahahahahah Verooo nimekuambiaaa hamna wizi hapaaa!!”
Nikajibu kwa hasira
“Tinner acha kucheka bwana, mie
nimepata Aibu!”

" hahahaha daah mwenzangu pole najuaga aibu ya kusutwa na wanaume khaa!!, Tuachane na hayo shoga karibuu hapa ndio kwangu mhuu unapaonajeee!!???'"

Nikaitazama Nyumba kweli ilikuwa nzuri sana kubwaaa haswaaa ina kila kitu nyumba ya kishua sema ndio ipo kwa wahuni kibaoo huku mitaa hata haieleweki nyumba mbaya mbaya kibao eeh sijui mwenye nyumba aliwaza nini tu

"Kodi shingap??" Nikamuuliza baada ya kunywa maji hata presha nikaona imekaa sawa kidogo...

"Nalipa kodi wapiii, , , nilitaka tuonane ili nikupe habari livee..... shogaaaa nilipata bwana huyooo mume wa mtu huko nimemkurupua hii ndo nyumba yake kanipa niishi silipi kodi na_kasema ataninunulia gari yaani hehehe we verooo aah Can't wait hakiiii "

Hee !!! Haya yalikuwa mapya kwangu nitasema nini mie nikabaki kucheka na kumpa hongera maana ana mwezi mmoja kasoro tangu ameachana na bwana ake yule malaya malaya, mie nikajua yupo single kumbe kashapata li mme la mtu huko haaa!! Aliniacha mdomo wazi

'"Heheheee !! Loo! We kiboko dadaaa, heheh huogopi ?? Mme wa mtu sumuu bint weeee!"

"Kwani nilimfataa, si kanifata mwenyewe , Kizuri kula na mwenziooooo"

"Hahah Tinner umekuwa sasaaa eeh naona umeanza kujua na misemo "

"Hahah we acha tu ..... hilo babaaa ni zurii we Vero yaani natamani hata asingekuwa kaoa jamani daah nimepata mwanaume wa ndoto zangu ila ndo hivyo tayari mume wa mtu, yaani hata sielewi ila ananipendaaa acha ananidekeza hatari hadi najuta kupoteza muda kwa kelvin najutaaaaa!!"

"Enhee vipi kelvin nae... hajakutafutaa??"

"Aache afee....kutwa simu anauliza nimehamia wapi, yaani silipendi lile kaka mxeeeuw ....Embu ngoja niandae chula kwanza tule usinitajie Kelvin aisee yaani usimtaje kabisaa hapaa "
Nikabaki nacheka tu wakati yeye ameenda kuandaa chakula, walivyokuwa wanapendana na Kelvin jamani looh mpaka mie nilikuwa najiona yatima mana mpenzi wangu huyo yupo bize bize hatari .....

Basi ile siku nilishinda hapo kwa Tinner tulipiga story kibaoo yaani kutwa nzima alikuwa akimsifia tu huyo.bwana ake mpya hapo penzi hata wiki mbili halina hahah ile hizo sifa duh naona usiku taya zilimuuma maana mpaka alianza kurudia sifa sijui alikuwa anasahau kama hili alishanambia maaana mmh ...

Mida kama ya sa kumi kumi hivi nikaaga mie niende zangu Nyumbani kuweka weka mazingira sawa maana kesho natakiwa asubuhi kazini.....
Akanisindikiza kushusha kilima kwenda ilipo gari yangu yaani nilipo anza tu kushuka moyo ukapiga paa!! Nikajikuta nakumbuka ile aibu ya Asubuh , nikawa naomba mungu nisije mkuta haswaa yule mkaka gentleman mie hata simjui jina ila alivyo mmmh embu nisianze kumsifia mana amenikera hatari ila ni mkaka wa maana sauti nzito imetuliaaaaa hatari ....


Basi nikawa naomba kweli mungu nisije kumkutaa hapo yaani hata nikasahau kama Tinner ananisimulia natakiwa kum support, yeye nae bado tu ana story za mbaba wake aaah ushoga kazi mie mpaka nilianza kukerekwa sasaaa ..

Ile napiga jicho chini kule kwenye gari, maana niliisogeza pembeni kupisha njia, jamani wahuni wamejazanaa wewee ile ya asubuhi chamtoto babaaa, wakaka ni wengiiiii
"We Tinner wewee....." mwenzangu nilisita kutembea kwanza

"Ninii....??"

"Ndo wengi hivyo.?"

"Sasa unawaogopa?"

"Je kama wamehadithiana, Nifike tu waanze kuninanga mmmh we kachukue gari yangu mwenzangu mie hapo siendi' Nilichukua funguo nikawa nampa, ukweli nilikuwa naogopa kabisa

"Embu twende bwana upo na mie hakuna hata atakae thubutu kukugusa embu twende "

Mmmh nikawa natembea kwa kuogopa, tukafika mpaka ilipo gari, Tinner akawasalimia kwa mbwe mbweee kweli nao wakaitika flesh fleshiii yaani ilee hai haii mie tena mdomo mzitooo hatari natamani kuangaza macho labda nitamuona yule kaka sikumuona ila yule aliniamshia popo nilimuona yule alinigokea kweli kweli nusu anizabe ma bazi.

Nikaagana na Tinner hapo nikawaambia asanteni, wakasema usijali sister kuwa na amani, Nikaseondoka, hata sijafika mbali nikawa nimeona duka nikakumbuka bora nichukue kabisa maji naweza kupata kiu njiani....
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 3


..... Baada ya kushuka mwenye piki piki sasa nikawa natembea haraka haraka kuliko hata mwenyeji wangu, Tinner anaongea hata namsikiliza basi ...

"We nae mbona umenuna hivyo usinambia una wasi wasi bado na ile gari yako hapo chini??" Yaani alivyotaja gari moyo ukafanya pyaa, nikaona sura ya yule kaka katili alieamua kunidhalilisha na lile jicho lake palee

"Yaani Tinner hakiamungu najuta kuja hukuu yaani najutaa dah"

"Sa unajuta kisa nini, hiko kilima??"

"Bora hata kilima, Ule muda nakuambia kwamba naogopa wataniibia vitu kwenye gari?"

"Mhu...."

"Yaani bwana kumbe kuna mkaka mwingine mvuta bangi mwenzao kanisikia yoteee yaani........" nikamuhadithia tu juu juu mana hata mood ya kuongelea...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-bangi-to-baby-sehemu-ya-3

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-bangi-to-baby-sehemu-ya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 5
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

601
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

563
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘

546
MY WANGU❤️ sehemu ya 81

MY WANGU❤️ sehemu ya 81

526
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

391
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

331
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

233
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

134
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

38

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.28K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎶🎶from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎶🎶"" ""🎶🎶from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest