Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
Gonga94 · Stories

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........01
Whatsapp..............0613083801

Anza nayo...
Tarehe husika ya usajili ilitangazwa kwa wadada wote wenye sifa  ya kuweza kushindana kwenye mashindano ya  Miss Tanzania au wengine hupenda kuita mrembo wa taifa,wadada mbalimbali na warembo waliwasili katika kampuni ya FNF iliyopewa haki ya kusimamia mashindano hayo ndani ya mwaka huo husika,si wenye rangi nyeusi, weupe na ata wenye mwonekano wa maji  kunde wote walionekana ndani ya kampuni hiyo  kwa ajili ya kujisajili.

Kulikuwa na wadada wa kutosha na karibu kila mtu aliamini ataweza kunyakua taji hilo ndani ya mwaka huo.

Nje ya jengo la FNF kuna magari mawili ya kifahali yanawasili maeneo ya jengo hilo na kwenye gari la kwanza anatelemka Mwanamama pia gari la pili anatelemka kijana mweupe na mtanashati aliyevaa kinadhifu, waliingia ndani ya jengo hilo wakielekea moja kwa moja mpaka walipo kinadada waliokuja kwa ajili ya usajili katika kampuni hilo, karibu kila mwanadada aliyekuja kwa ajili ya usajili macho yao yalikuwa kwa watu wale wawili walionekana ni watu wakubwa ndani ya ile kampuni.

Mwanamama pamoja na kijana yule waliwasogelea warembo waliokuwa maeneo yale na hii kuwafanya wote waliokuwa pale wakae kimya na wasitishe mazungumzo waliyokuwa nayo baada ya kuwaona watu wale wakija upande wao,
"Hi ladies,I'm katalina nitakuwa pamoja na nyinyi, na mimi ndiye msimamizi wenu mkuu mpaka pale tutakapofika tamati ya haya mashindano, mnakalibishwa wote katika kampuni hii ya FNF na mjisikie kama mpo nyumbani", Mwanamama aliyejitambulisha kwa jina la katalina aliongea.

Baadhi ya wadada walitoa sauti za kumshukuru kwa kumfahamu Mwanamama aliyejitambulisha kwa jina la katalina na mda huo wakiwa na mazungumzo kijana aliyeongoza na  mwanamama katalina nae pia alitoa salamu kwa wanadada wote waliokuwa pale kisha alimsogelea karibu mwanamama katalina nakumwambia,
"Mama namazungumzo na wewe,naomba tuongee pembeni kidogo",kijana yule aliongea
"Okay my son,ila ngoja kwanza nikutambulishe na  litakuwa ni jambo jema kwa wao kukufahamu", Mwanamama katalina aliongea,basi aliwaambia wanadada wote kuwa anataka kufanya utambulusho mwingine mbele yao na hii iliwafanya wote kutega masikio yao vizuri ili kumsikiliza,
"Huyu mnayemuona hapa anaitwa Albert ni mwanangu wa peke, mtakapo mwona popote pale basi mjue ni yeye pekee aliyenifanya niitwe mama na anafanya kazi katika kampuni hii ya FNF tutakuwa naye bega kwa bega kwa baadhi ya mambo mpaka pale tutakapohitimisha mashindano yetu",Mwanamama katalina alimaliza kuongea.

Wanadada walipiga makofi kumfahamu Albert mtoto wa msimamizi wao na kilichowavutia zaidi ni mwonekano aliokuwa nao kijana huyo uliowavutia wengi  waliokuwa pale.

Baada ya utambulisho huo mama na mtoto walisogea pembeni kwa ajili ya maongezi,
"Mama mda tayali wa kwenda kumpokea Diana airport umefika,nahisi tayali atakuwa ameshawasili hapa Tanzania na nilimuahidi nitafika mda mwafaka kumpokea"
"Albert mwanangu kwani Diana amekupa Nini mpaka ushindwe kufata ratiba zako za kazi unajua kabisa wewe ndiyo utakayekuja kuwa mlithi wangu badae lakini haiwezi pita siku hujamtaja Diana",Mwanamama katalina aliongea kuonyeshwa kutokupendezwa na maneno aliyotamka mwanae.
"Najua mama wewe Huwa humpendi Diana na sijui ni kwanini ila yule ni rafiki yangu na kaniambia ata yeye atakuja kushuriki mashindano haya ya Miss Tanzania, I will see you later mom( nitakuona badae mama)", Albert aliongea Huku akiondoka na kuelekea kwenye gari kwa ajili ya kwenda airport.
"Huyu mtoto ana matatizo Gani huyo Diana kwani kampa Nini na mbaya zaidi aje kushuriki haya mashindano hiyo haiwezekani labda sio Mimi katalina, sema hajui ni kitu gani kinachonifanya nimchukie Diana ila ipo siku atajua",
Mwanamama katalina aliongea na ilionekana hapendi Diana kuona akiwa Karibu na kijana wake Albert.

Ndani ya mgahawa mkubwa na maarufu ulio katika ya mji wanaonekana waudumu wawili  mmoja ni mwanadada anayefahamika kwa jina la Anjelina akiwa amekaa na rafiki aliyefamika kwa jina la Manka na hii ni baada ya kumaliza kutoa hudumia kwa wateja wao huku wakisubiri wateja wengine waje, na story mbalimbali zilichukua nafasi,
"Anjelina kuna habari mpya zinazosamba, umezipata izo habari?", Manka alimuuliza rafiki yake.
"Habari gani tena?"
"Mashindano ya Miss Tanzania sio mda yataanza kwa jinsi ulivyo mrembo rafiki yangu na unavyo tembea kimiss, mimi naona yanakufaa kabisa na inatakiwa uende ukashiriki"
"Eeeh!!,yani jinsi ulivyoanza kuongea Manka nikajua utaongea kitu cha mana mimi tangu lini nikafaa kuwa Miss Tanzania?, acha tu niendelee na kazi yangu ya kuwa mhudumu wa mgahawa na uzuri ninachopata kinanitosha",Angelina alimjibu Manka.

Manka hakupenda kile alichozungumza Angelina na aliona rafiki yake ana kila sifa za kushiriki mashindano hayo,
"Yani wewe ndio mana Huwa sikupi madili kila kitu ninachokwambia Huwa unasema ivyoivyo, tangu tumemaliza chuo mwaka uliopita madili mengi ya maana nakupa lakini unapuuzia tu, yani basi tu kwakuwa mimi sina sura kama yako na bahati mbaya tena umbo langu halieleweki ningeenda kushiriki huenda ningekuwa mtu mashuhuli kwenye hii nchi, mambo ya  kufanya kazi za ajabu na malipo yenyewe ni ovyo tu hapa",Manka alilalamika na kuondoka maeneo Yale.

Angela alibaki anacheka tu mana ameshamzoea rafiki huyo hakosi maneno na viugomvi vidogo visivyo na sababu na alinyenyuka nakuendelea na kazi baada ya wateja wengine kuanza kuongezeka katika mgahawa huo.

Albert anafika katika uwanja wa ndege na gari lake kwa ajili ya kumpokea mtu ambae kamfanya awe hapo ila anakuta ndege bado haijawasili ilibidi akae kusubiri mpaka itakapo wasili, haikuchukua mda ndege iliweza kuwasili,
Abiria walianza kushuka kwenye ndege na moja ya abiria hao ni mwanadada mrembo naye anaonekana akitelemka kwa madoido huku usoni akiwa kavaa miwani na nyuma yake kulikuwa na kijana waliyeshuka nae wote kwenye ndege ila kijana huyo alikuwa akimtazama mwanadada aliyekuwa mbele yake na alivutiwa na jinsi alivyokuwa akitembea, ilibidi amuwahi akaongee nae,
"Excuse young lady, is this your country?",kijana alimuuliza baada ya kumsogelea.
"Yes ofcourse,nini ulichotaka kusema"
"Ooh kumbe ni mtanzania mwenzangu samahani sana nilijua ni mtu wa kutoka taifa jingine ndio mana nilikuuliza kwa kingeleza ,mimi naitwa Stewart sijui mwenzangu  unaitwa nani",Stewart alijitambulisha lakini mwanadada huyo hakutaka kumjibu zaidi ya kuendelea na safari yake mpaka sehemu ya mapokezi.

Albert alikuwa yupo makini kuangalia kila mtu aliyekuwa anapita pale Ili asije kupotezana na mtu aliyemfanya kuwa maeneo yale, kwa mbali anamuona mtu aliyekuwa akimsubiri kwa hamu ila akiongozana na kijana mmoja aliyekuwa nyuma yake,
"Yule nani aliyeongozana na Diana?,anyway ngoja nikampoke tu",aliongea kana kwamba kuna mtu anayeongea nae, akiwa kama mwanaume alijikuta akipata wivu baada ya kumuona Diana  akiongozana na kijana mwingine.

Albert alisogea mpaka pale alipo Diana na ata mwanadada Diana  alivyomwona Albert alimkimbilia na kumkumbatia huku kila mtu akiwa na furaha ya kumuona mwenzake,
"Umebadilika sana Diana unazidi kuwa mrembo zaidi"
"Ata wewe Albert  unazidi kuwa handsome zaidi ya nilivyokuacha"
"uliyekuwa umeongozana nae yuko mbona simuoni hapa?", Albert aliuliza.
"Nani tena!"
"Mmmh nimewaona kuanzia kule mmeongozana  ila mwenzako nashangaa gafra kapotea tu"
"Hahahaha yule ata sijuani nae kabisa tumeshuka wote kwenye ndege",Diana alianza kumwelezea jinsi ilivyokutana na kijana aliyekuwa anamwongelea hali iliyomfanya Albert amwelewe vizuri na waliamua kuondoka maeneo yale.

Kipindi wao wanaongea kumbe kijana Stewart aliyejitambulisha mbele ya Diana alisikia kila kitu walichozungumza mana alikuwa amejibanza mahali akiwasikiliza.
"Huyu mwanamke lazima nimtafute na lazima nitampata tu", yalikuwa ni maneno ya Stewart aliyeamua kuondoka maeneo hayo.

Wakiwa ndani ya gari baada ya kutoka uwanja wa ndege Diana alivyotazama kwa nje aliona kuna mgahawa wa kisasa hali iliyomfanya amuongeleshe Albert,
"Albert naomba usimamishe gari mara Moja".
Albert alifanya kama mwanadada alivyokuwa anataka na gari ikawa imesimama.
"I miss Tanzanian coffee, twende kwanza tukanywe kahawa kisha baada ya hapo tuendele na safari", Diana aliongea na wakati huo wakiwa wanatelemka kwenye gari,moja kwa moja walielekea mahali kulipokuwa na mgahawa.

Walipofika Diana aliagiza kahawa na mhudumu aliyeenda kwa ajili ya kuwahudumia hakuwa mwingine bali alikuwa Angelina aliyeenda kuwafatia kahawa,Diana na Albert waliendelea kuongea huku wakisubiri kahawa iletwe.

Angelina alibeba vikombe vya kahawa ila alipofika karibu na meza waliyokuwa wamekaa na akijianda kwa ajili ya kuweka vikombe vile vya  kahawa mezani bahati mbaya alijikwaa na kumwaga kahawa iliyoenda kuwalowanisha Albert pamoja na Diana, kilikuwa  ni kitendo kilichomkela Diana.

Diana alinyenyuka kwa hasira na kumfata Angelina Kisha kumpiga Kofi,
"Unaakili wewe, unashindwaje kuwa makini mpaka unachafua watu kiasi hichi",aliongea kwa sauti ya juu  iliyomfanya ata boss wa mgahawa ule asogee kuangalia tatizo nini?.........ITAENDELEA.

Sina msaada na Angelina nini ambacho kinamkuta karibu katika sehemu ya pili ya mkasa huu wa kusisimua.

NB: Story hii  NIYAKUTUNGA na haina ukweli wowote ule unaoendana na taratibu za nchi yetu????????.

Pata Story hii mpaka mwisho kwa Tsh 1000 za  k???????????????????????? lipia kupitia namba,
0613083801 HALOPESA,John Bugumba.
 
Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........01
Whatsapp..............0613083801

Anza nayo...
Tarehe husika ya usajili ilitangazwa kwa wadada wote wenye sifa  ya kuweza kushindana kwenye mashindano ya  Miss Tanzania au wengine hupenda kuita mrembo wa taifa,wadada mbalimbali na warembo waliwasili katika kampuni ya FNF iliyopewa haki ya kusimamia mashindano hayo ndani ya mwaka huo husika,si wenye rangi nyeusi, weupe na ata wenye mwonekano wa maji  kunde wote walionekana ndani ya kampuni hiyo  kwa ajili ya kujisajili.

Kulikuwa na wadada wa kutosha na karibu kila mtu aliamini ataweza kunyakua taji hilo ndani ya mwaka huo.

Nje ya jengo la FNF kuna magari mawili ya kifahali yanawasili maeneo ya jengo hilo na kwenye gari...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya-01

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

578
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

461
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

461
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

383
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

316
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

199
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

83
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

56

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest