VYOTE NDANI GONGA94
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 6
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
" Niachie we mb**a nimesema niachie" nilizungumza huku nikikwapua mikono yangu aliyokuwa ameibana kwa nguvu kama anachinja kuku.
Sijui ilikuwaje nikajikuta naishiwa nguvu, ndipo nikagundua alinishika sehemu yenye udhaifu wangu, kule kwenye nunu yangu ๐คญ, kwa namna alivokuwa ananigusa na mikono yake huku akitalii sehemu mbalimbali za mwili wangu, ukizingatia na yale maji yalivyo na uvuguvugu, Amara mimi nikajikuta nalegea bila kutarajia.
Basi nikaanza kugeuzwa geuzwa kama chapati, ilipofika muda wa style ya binuka tuweke nikajikuta natowa ushirikiano tu sio kwa raha niliyokuwa nikiisikia kwa muda huo.
" Mtoto weee !!!! anhaa tamu buana " alisikika mkaka huyo akizungumza, ndo akanipa sifa basi nikaanza kufanya michezo yangu ya ndani kwa ndani wachaa atoe makelele....japo ni ajabu hamuwezi amini mchezo ulibadilika japo nilikuwa kipa almanasura niwe mshambuliaji mkuu.
" Umelala wewe ? Ndani ya maji unamaanisha ? " Niliuliza pale nilipogundua mchezaji mwenzangu nisiyemjua jina yupo hoi.
Zilipita kama dakika kumi, nikiwa namtikisa huyo mtu muda wote, nilipogundua haamki nikahisi huwenda nimeua, sikutaka kujiletea matatizo..... nikanyanyuka na kuondoka kwa kunyata.
" Au nimtoe majini ? Nimuweke sehemu asionekane kwa haraka? " nilijiuliza....basi nikarudi nikamvuta huyo mkaka nikamfunika kwa pazia kisha nikaondoka.............
Hapo moyoni mwangu nafahamu nimeua ama laaa ... hivyo nikajikuta nikitembea kwa wasiwasi.
" Nimeisha mimi Amara !!!!, nimeisha mimi " nilizungumza huku nikikimbia kuelekea nisipopajua.
" Tobaa !!! Ni nini hiki ? Nilijiuliza.....
Nakuja.
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mpishi-ana-utamu-wake-sehemu-ya

