Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MPISHI ANA UTAMU WAKE  SEHEMU YA 8
Gonga94 · Stories

MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 8

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

ENDELEA.....

Basi tukaondoka mahala hapo mimi pamoja na hao walinzi wakiongozwa na huyo kamanda kauzu.

" Ingia humu, utalala hapa siku ya leo " alizungumza kamanda yule...basi sikuwa na jinsi zaidi ya kutii, nikazama chumbani humo nikatulia macho yangu yakiwa yanatalii kwenye chumba hiko.

Naona nalala juu ya mbao na godoro tu siku ya leo vile nilivyo wa kishua sijazoea haya mambo, basi nikabaki nikijiongelesha tu bila mpangilio maalumu.

Sijui wazo lilitoka wapi nikaona ninyanyuke nitoroke mahala hapa, si haba pua zangu zinanusa damu tu siku ya leo..

Basi nikanyanyuka na kuanza kuelekea mlangoni.

" Hakikisheni haendi popote huyu mbinti " nilisikia kamanda kauzu akiwaamuru walinzi hapo nnje, nilipojaribu kuchungulia nikagundua nimezungukwa na walinzi pande zote nikimaanisha kwamba siwezi kutoroka hata nifanyaje.

Basi nikasalenda nikarudi kitandani, japo nilikua nimechoka ajabu usingizi haukunijia vya kutosha kama mjuavyo ugenini kulala ni ngumu sasa bora pangekuwa kwa kisasa ugenini kuna mbao ? Yaani nyumba ya mbao like seriously ?

Sifahamu nilipitiwa saa ngapi , nikaja kushtuliwa na kelele za mlango ukigongwa..ile najiweka sawa niamke nikashangaa tayari umefunguliwa.

" Mfalme pamoja na malkia wanahitaji kukuona mara moja " alizungumza kamanda mstaarabu , wacha nitoe macho pale niliposikia neno malkia...akili yangu haikuwacha kuwaza kuuliwa siku ya leo kila nikikumbuka nilinyanduliwa na mume wake sijui ndo huyo mfalme.

" Nipo tayari " nilijibu kisha nikaongozana na yule kamanda...hapo hata sijaswaki wala kuoga, vile nilikua naogopa sikukumbuka umuhimu wa bafu kwa muda huo.

Safari ikaishia njiani, moyo wangu ukaanza kwenda mbio pale nilipogundua tumewasili kwenye eneo husika.

" Mtukufu mfalme tunaomba rehema yako, tunyanyue vichwa mbele yako " alisikika kamanda yule akizungumza.

Ishara za vidole tu zilitolewa kuashiria kukubalika kwa ombi....wacha tuinue vichwa vyetu kuwatazama.

" hakika malkia ni pisi la kwenda " nilizungumza.

Kamanda kauzu alipotaka kuniadhabisha malkia akamzuia akasema .

" Haina haja ya ilo, ebu njoo hapa we mbinti , sidhani kama nina usikivu mbaya ebu uje unambie maana ya hilo neno pisi kali "

" Wacha nikenue nilipogundua nilisikika vibaya, sikuacha kujikaza kusogea karbu na malkia, ni mrembo hakika sijawahi ona japo make up ya kishamba " nilijisemea huku nikimsogelea malkia.

" pisi kali ni binti mrembo zaidi nawe una sifa hizo mtukufu malkia " nilizungumza nikiwa nimeinamisha kichwa chini.

Matumaini yangu yaliyumba pale malkia alipoamuru niwekewe panga shingoni.

Endelea kufuatilia.
SEHEMU YA 9
Wacha nitoe macho moyo ukitaka kunitoka kila nikitazama namna panga lilivyo kali kupitiliza.

" Ni nimemaanisha unavutia mtukufu malkia " nikaona nijitetee sikutaka mambo mengi.

" Mpe uhuru malkia wangu, nahitaji kuonja chakula chake siku ya leo " alizungumza mfalme huku akinitazama, sikukawia niliinama chini kuomba rehema.

Namna bahati ilikuwa upande wangu, ombi la mfalme lilitimizwa.

" Nifuate nahitaji kukupeleka jikoni haraka " alizungumza malkia huyo, ni binti wa rika langu si ajabu nimemzidi urembo ni vile tu sina matunzo, sikuacha kujisemea kila jicho langu la kushoto lilipomtazama malkia huyo, nilipohisi atanigundua niliagaza pembeni na kuinamisha uso chini.

" Zama ndani "
" Sawa mtukufu "

" Ni jiko huru na la kisasa la ajabu, lina kila kitu utakachokihitaji kupikia, kuna tanuru na kila kitu anza kazi " alizungumza malkia huyo huku akikaa pembeni na kunitazama.

" Siamini kama makaa ya mawe ni jiko la kisasa, sioni oven wala microwave sidhani kama kuna umeme mahala hapa " nilisema kichinichini.

Nilipokumbuka nipo chini ya uangalizi nikaongeza umakini kisha nikaanza kazi.

" Wali nyama,nitaandaa " nilizungumza huku nikianz kupika.

Ilichukua saa tu kumaliza mapishi hayo.

Japo sikumuita, malkia alinyanyuka kuja kuangalia chakula changu.

Sikuelewa ni dharau au nini, binti huyo mrembo kiasi alionekana kusikitika.

" Beba nifuate " kwa haraka nilibeba msosi na kunfuata.

Tulipofika chumbani kwa mfalme niliomba rehema ya kumuangalia usoni, aliponiruhusu nilinyanyuka na kuingia sambamba na malkia.

" Mmmmh makubwa mbona haya " nilijikuta nikizungumza.

Nyie sawa ni mapenzi, siamini kama wawili hawa wanaweza kunyanduana mbele yangu ilihali nimeleta chakula mahala hapa.

Basi nikaanza kujikoholesha lengo wakumbuke uwepo wangu.

" Ni kitamu hatari sijawahi onja pishi hili " alizungumza malkia... mfalme mpuuzi alibaki akitikisa kichwa tu bila kusema neno lolote.

haikuchukua muda, lango la mfalme liligongwa.

“Mtukufu malkia, mama mfalme anaomba kukuona " alizungumza kijakazi huyo.

Huenda malkia huyo anaogopwa, kwa namna malkia huyu alivyokurupuka punde alipisikia jina hilo lilinifanya nicheke, japo nilijikaza nisitambulike.

" Chakula chako ni kitamu mno japo hakijafikia utamu wako " alinena mfalme punde malkia alipoondoka.

Sikuwa na jibu nilibaki nikiduwaa.

Endelea kufuatilia.
SEHEMU YA 10
Waweza kunieleza nini uliiweka kwenye nunu yako ewe mlimbwende ? Aliuliza mfalme huyo mpuuzi.

Huwa namuita hivyo kwani siamini kama anastahili cheo hiko kabisa, ni kama mvulana asiyejielewa wala nini anaendeshwa na mihemko tu.

" nNona una yako unayoniwazia, usihofu nitakuwa na wewe usiku wa leo " nikiwa naduwaa sauti ya mfalme ilisikika.

Upande wa malkia na mama wa mfalme sauti ya kufoka inasikika.

" Ina maana nimekosea kukuchagua sio ? Ni binti gani usiyeweza kumshawishi mwanaume kwa kiasi hiki ? Si ajabu umeshindwa kumvuta akulale kwenye siku za hatari ni salama tu " alizungumza malkia huyo mama wa mfalme aliyejulikana kama Dorica.

" Nisamehe mama nitajitahidi " alijibu malkia.

" Si mara ya kwanza kuomba hilo, hakuna mabadiliko ya maombi yako, usiku wa leo ni nafasi yako ya mwisho kumtega mfalme, nimezungumza na mganga mkuu wa ikulu kanieleza leo upo kwenye siku ya hatari, ni rahisi kunasa mimba usiku wa leo hivyo usiniangushe " alizungumza malkia huyo...ni mzuri sana wa sura ila mgumu wa roho kama vandame.

" Sawa mama " malkia huyo aliitikia kisha akaondoka.

" Waita wewe ! !! " Aliita malkia docas.

" Abee mama "

" Usiniangushe sawa ? "

" Sawa mama " akajibu waita kisha akaondoka mahala hapo.

Sasa sijui itakuwaje wajameni..... huyu mfalme huyu sijui atajigawaje aiseee.....aje kwangu aninyandue au alale kwa mkewe..... mimi na wewe hatujui wadau wangu.

Endelea nakuja

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 8


ENDELEA.....

Basi tukaondoka mahala hapo mimi pamoja na hao walinzi wakiongozwa na huyo kamanda kauzu.

" Ingia humu, utalala hapa siku ya leo " alizungumza kamanda yule...basi sikuwa na jinsi zaidi ya kutii, nikazama chumbani humo nikatulia macho yangu yakiwa yanatalii kwenye chumba hiko.

Naona nalala juu ya mbao na godoro tu siku ya leo vile nilivyo wa kishua sijazoea haya mambo, basi nikabaki nikijiongelesha tu bila mpangilio maalumu.

Sijui wazo lilitoka wapi nikaona ninyanyuke nitoroke mahala hapa, si haba pua zangu zinanusa damu tu siku ya leo..

Basi nikanyanyuka na kuanza kuelekea mlangoni.

" Hakikisheni haendi popote huyu mbinti " nilisikia kamanda kauzu akiwaamuru walinzi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mpishi-ana-utamu-wake-sehemu-ya-8

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mpishi-ana-utamu-wake-sehemu-ya
MPISHI ANA UTAMU WAKE  SEHEMU YA 16
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 16
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 15
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 15
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 17 – 18
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 17 – 18
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 11
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 11
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 12
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 12
MPISHI ANA UTAMU WAKE  SEHEMU YA 6
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 6
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 7
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 7
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

923
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

208
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

170
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

129
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

107
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest