Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*MY WANGU❤️* *16-21*
Gonga94 · Stories

*MY WANGU❤️* *16-21*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

*lissa wa Huru Media
*_________________________________________*

*16&17*

Basi suala la kutongozwa na sir mlige wala sikumueleza mama wala baba. Ila mwenyewe niilishajipa jibu kuwa hapna simuhitji yule mwalimu ni mtu mzima sana kwanza na pili mimi nna ndoto zangu nyingi kiukweli na nna mipango mingi ya maidha na kama ntajiingiza kwenye mapenzi hapana ntaalibu kabisaa so siwez kufanya hivyo kabisa. Basi ikapita week end apo kati yani j mosi na j pili mi sikuenda ata kwa kina yusta. Nilitulia kwetu tu nikigimbana na mama. Mana mimi nikikaaa na mama dakika 2 tunagimbana . Dakika 2 tunaongea. na j tatu ikawaidia bwana. Hiii siku nilichelewa kuamka mwenzenu . Yani ile nastuka saaa 1 moja asubuh nilipagawa. Niliamka na wnge et nikavuta nguo chapu chapu nikavaa hivyo hivyo. Yani kama chizi.ile natoka namkuta mama na yeye anatoka chumani kwake . Akanmbia ndo unaamka sa hizi boss au sio. Mjinga ww umevaa fomu unaenda wapi mtoto wa kike na hjaoga unataka ukanukishe wenzio kikwapa na kichupi chako.aya vua fomu haraka kaoge kwanza. Nikasems mama nishachelewa jamani ntaoga nikilidi alafu mbona sinuki ata .mama aksema nimesema vua ngio ukaoge mpumbavu ww.na mjinga mmoja kabisaa. Kaogeeee ntakutia mangumi faridaah. Doooh yani nimechelewa na mama anasema nkaoge.

Daah sikuwa na jinsi .kkabidi nivue fomu za shule .nikaenda kuoga haraka harka nilipotoka sasa ndo nikavaaa haraka haraka nikabeba begi langu na nikaanza kukimbia kuelekea shule. Daaah hiki kisanga cha kuchelewa ni kizito yani mpaka nafika shule ni saa 2 na dk15. Wanafunzi wote wapo darasani.na vipindi vimeeanza yani ile nangia tu .niakautana na sir tupa. Akanmbia eeeh umechelewa si ndio. Nikasema ndio mwalimu ila nisameh jamni .sir tupa akanmbia powa kimbia haraka ingia class. Mi namjuaga sir tupa ni mshikaji wangu sana na hanaga noma. Basi haraka nikawa nakimbia kuelekea darasani. Daaah ile nataka kuingia classs tu nasiia naitwa faridaaah. Yni moyo ukafanya paah mana nilishajua ni lisauti la mlige.nikaona nimeshachana mkeka apa.Nikageuka taratibu. Akanmbia njooo. Dooh haraka nikamfata . Akanmbia kwa nn umechelewa shule. Mh Nikasema samahani mwalimu nilichelewa kuamka na mama hakuniamsha. Akanmbia nakuchapa bakora 3. Za kukumbusha kuamka sawa. Khaaa uyu si kaitongoza uyu kanambia ananipenda sana kisha linanaichapa. Wallah silitaki.yani ndo silitaki kabisa.na kweli akanibana kama kawaida yake nisimsumbue na akanipiga bakora 3 za nguvu sio za masihara yani nililia pale. Ata huruma haajanionea .kamaliza kunipiga akanmbia pole mama. Ila kesho naamini utawahi shule. Mie nilimind jamani .yani ata sikujali maneno yake .kwanza bakora zake zinauma vibaya sana.

Basj nikaingia darasani nikiwa na kwikwi kweli kweli. Yusta aliniona wakati napigwa mana nilipigwa nje ya darasa kabisa . Yusta akanmbia pole basi. Daah nikatulia tu mana kulikuwa kuna mwalimu darasani tayali akiendelea na kipindi. Na alipotoka yule mwalimu. Yusta akanmbia mh ila ni ngumu kumtetea sir mlige. Yani mtu ndo anakufukuzia kisha anakuchaoa tena ahaaa anazingua bwana . Nikasema na silitaki sasa. Yani silitaki abadani na anipati ng'ooooo. Na akizidi kunisumbua naenda kusema kwa mama.yusta akabaki kuguna tu. Mala akaja madame zahara . Ila alikuja na kisirani mpaka nikadhangaaa akanmbia we faridah njoo apa kwanza . Mh mie nikatoka nikamfata mpaka nje . Akanmbia kwani we mtoto mdogo una issue gani na sir mlige. Nikasema hapana hakuna. Akanmbia mbona kila siku lazima akuite au na ww ndo kati ya wale wanafunzi maskini anaowasaidia. Sikupenda kabisa uyu madame alivyoongea ila kwakuwa sikuwa nataka shari nikasema ndio. Akanmbia ooooh kumbe aya anakuita ofisini. Nikasema sawa kisha sasa nikaelekea mpaka ofisini kwake

Nilivyofika nikamsalimia ila nimenuna. Nikaona anacheka akanmbia kaa basi ndo umenuna mwenyewe au sio. Mie kimya nishavuta mdomo tena . Basi akaja kukaa kiti cha mbele yangu akanishika mikono. Akanmbia sikia mama unajua mimi bado ni mwalimu wako na lazima nifate principlles zangh za kazi. Sijakupiga kumaanisha kuwa sikupendi faridah ila kukumbusha kuwa unatakaiwa kuanka mapema umsaidie mama kazi za nyumbani na uwahi shule . Sijuh umeelewa mama. Nikabaki kimya .akanmbia aya bwana najua utacheka tu baadae. Akatoa elfu 5 akanipa . Mi sikupokea ile pesa . Akanmbia mh umesusa mpka pesa faridah.nikasema hapana ila kuanzia leo mimi sitakuja kuchukua pesa ya kula. Akanmbia kwa nn faridah. Nikasema mama ananipa na leo kashanipa. Na akanambia atakuwa ananipa kila siku. Mlige akatabasamu akasema ila hii si utaongezea .nikasema hapana itakuwa nyingi sana. Akanmbia sawa nimekuelewa. Nikasema alafu sir mimi sitaki mahusiano na ww. Nataka kusoma kwanza . Na kupambania ndoto zangu. Mlige akatabasamu akanmbia hunitaki kisa mm ni mkubwa au kisa nimekuchapa au nini shida . Nikasema wala sio hivyo sababau nataka kutimiza ndoto zangu tu. Mh niliuvaa ujasiri na vile kanidunda leo .nilikuwa jasiri mno.akanmbia kwani mm nimesema nitaharibu ndoto zako mama. Nikasema hapana na kama ww una nia ya dhati na mm.basi njoo nyumbani uwaeleze wazazi. Nilitaka kunkomesha tu mana najua hawezi. Baba yangu atambebaje weee. Yani nasoma aje kuelezea usenge wake thubutu. Mzeee msukuma atamkula

Basi sir mlige akanmbia now una hasira sana tutaongea tu . Nenda darasani .basi nikanyanyuka kisha nikaenda darasani. Na tukaendelea na vipindi. Basi mda wa breki. Yusta akanmbia kwaiyo shoga leo ndo hatuna pesa .nikasema yaa mi sitaki pesa zake tena . Ntapambana tu kama mwanzo .mapenzi sitaki kwa sasa. Yusta akanmbia powa basi mm nna buki 2 apa . Alinipa baby wangu. Twende nitakupa buku. Nikasems powa shoga na kweli tukaenda kula kupitia pesa ya shoga na baadae tukaludi darasani sasa. Basi kuanzia apo mi nikakata kabisa mawasilino na sir mlige. Sikuwa nafata tena zile pesa za matumizi. Shoga yangu ndo alikuwa ana nisponsor kila siku. Mie sikuwa na pesa kabisaa. Na nikawa najitahidi sana nisikutane na sir mlige kwenye makosa. Sikutaka tu kuwa nae karibu. Assemble nakaa nyuma ata akija kutangaza matangazo wala hanioni. Ikawa hivyo mpka ukakata mwezi bwana. Yani simtaki tu napambana na shule na yeye wala hkunisumbua tena.wala Kuniita ita wala . Akaniacha kabisa. Ata mm nilihisi ayo mambo yameshaisha mala ata tulipogumiana alikuwa anaonesha hana time na mimi kabisa .

Basi siku iyo sasa nipo darasana na yusta tunapiga story nakwambia mana mwalimu wala hakuwepo darasani. Akaingia fahidi. Uyu ni kak mkuu nae yupo kidato cha nne kama sisi ila sasa yupo darada B . Sisi tupo darasa A. Basi fahid akaja mpkaa nilipo. Akasema ahaa mtoto mzuri faridaah. Mtoto unanitesa wewe. Asa nikikuangalia uko nyuma nachanganikiwa. Sijuh lini utsnitunuku nilikumbatie tako hilo. Nilimsonya tu. Yista akawa anacheka. Fahidi akasems aya bwana ninyime. Tu ukifa kinaenda kuliw na wadudu iko. Nikasema sawa watakula tu awo wadudu. Akasema powa bwana nimetoka ofisini kwa mwalimu mkuu anakuita. Mh nikasema mlige. Akanmbia ndio sindo mkuu ah kuna mkuu mwengine. Nikaona kumekucha anataka akanze mambo yake. Nikasema kamwambia sitaki yeye ndo ana shida anifate yye. Nyie nklipata ujasiri. Alafu kuna jinsi nilishamzalau mlige si kanitongoza namuona wa ovyo tu. Basi fahidi akawa anacheka akasems au sio mi ntaenda kumwambia kweli hautaamini. Nikasema kamwambia bwana kwani namuogopa mie. Yusta nae akasems we ndo umuogopi mlige au sio .kuanzia lini humuogopi. Nikasema kuanzia leo mi namuona bwege tu ,mnamuogopa nyie maboya maboya sio mie.fahidi akacheka akanmbia bwana unaitwa uko .kisha akaondoka zake . Kiukweli mi nilitania sikujua kma fahidi ataenda kumwambia vile mligee.oyaaaaa si nashangaa namuona mlige anakuja daradani kwetu.kupitia dirishani .nikaiogopa mana alikuwa kakasilika alafu kadhika bakora anakujia upande wa darasa letu . Nyieee nilitamani kukimbia. Akaingia darassnai. Akasimama mbele ya darads .nyie darasa lote kimya yani hakuna ata mtu kutikisika uyu baba anavyoogopeka

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
Tangazo - ila baba mkwe full story soma yote hapa
ila baba mkwe full story soma yote hapa
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*MY WANGU❤️* *16-21*


*lissa wa Huru Media
*_________________________________________*

*16&17*

Basi suala la kutongozwa na sir mlige wala sikumueleza mama wala baba. Ila mwenyewe niilishajipa jibu kuwa hapna simuhitji yule mwalimu ni mtu mzima sana kwanza na pili mimi nna ndoto zangu nyingi kiukweli na nna mipango mingi ya maidha na kama ntajiingiza kwenye mapenzi hapana ntaalibu kabisaa so siwez kufanya hivyo kabisa. Basi ikapita week end apo kati yani j mosi na j pili mi sikuenda ata kwa kina yusta. Nilitulia kwetu tu nikigimbana na mama. Mana mimi nikikaaa na mama dakika 2 tunagimbana . Dakika 2 tunaongea. na j tatu ikawaidia bwana. Hiii...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-16-21

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya 17.  👉 Sawa ninyonye my wangu...👇
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya 17. 👉 Sawa ninyonye my wangu...👇
MY WANGU❤️ sehemu ya 18
MY WANGU❤️ sehemu ya 18
MY WANGU❤️ sehemu ya 21
MY WANGU❤️ sehemu ya 21
MY WANGU❤️ sehemu ya 13 na 14
MY WANGU❤️ sehemu ya 13 na 14
MY WANGU❤️ sehemu ya 19  na 20
MY WANGU❤️ sehemu ya 19 na 20
MY WANGU❤️ sehemu ya 15
MY WANGU❤️ sehemu ya 15
MY WANGU❤️ sehemu ya 12
MY WANGU❤️ sehemu ya 12
*MY WANGU❤️* *22&23*
*MY WANGU❤️* *22&23*
MY WANGU❤️ sehemu ya 10 na 11
MY WANGU❤️ sehemu ya 10 na 11
MY WANGU❤️ sehemu ya 9
MY WANGU❤️ sehemu ya 9
MY WANGU❤️ sehemu ya 24 na 25
MY WANGU❤️ sehemu ya 24 na 25
*MY WANGU❤️*  *________________________________________* sehemu ya 7 na 8
*MY WANGU❤️* *________________________________________* sehemu ya 7 na 8
MY WANGU🌹 *1-6* *liss wa hudu Media* *
MY WANGU🌹 *1-6* *liss wa hudu Media* *
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

10.56K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.53K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.58K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

2.8K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.36K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.26K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.2K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.14K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.14K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.05K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest