VYOTE NDANI GONGA94
MY WANGU❤️ sehemu ya 15
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Tukivyifika darasani tukakausha kimya yani kama hakijatokea kitu vile. Yani hatukuongelea kabisa hizo mada darasani si unajua ni kuna watu wengi. Na tushaambiwa siri ni ya watu watatu tu. Basi tukatulia kimya na mda tulivyoruhusiwa sasa. Ndo njiani ikawa topic sasa. Yust akiniulza kwani ww unamuhitaji mgile . Yani unampenda labda.nikasema mimi simpendi na wala simuhitaji. Yusta akanmbia sikia nikwambia shoga. Unajua ww nakuelewa sana na najua sana misimamo yako. Wewe hutaki kabisa kuwa na mahusianao kwa sasa sababu unapenda sana kusoma rafiki yangu na unahhisi wanaume watakuvuruga
Lakini kiukweli mm binafsi nakushauri mkubalie yule baba. Mi nahisi anakupenda kweli bwana. Mbona hajamtongoza mwengine. Mbona kawaacha madame wote kaja kukufata ww. Alafu ile ni bahati unajua yule mgile anaonekana ana pesa ona gari kali ile ana miliki. Bado ana cheo kikubwa shukeni pale.lakini mbona haboi. Na ni mzuri yule mwalimu. Ona leo katuongelesha kirafiki anaoneka ni mkaka mzuri sana.ebu kua nae atakusaidis mengi. Alafu kuwa na mtu sio lazima msex. Na kama anakupenda ata kusubiri . Yule anakupenda si unaona kila siku anakupa pesa ya kula na ana onesha anajali juu yako
Nikasema hapana mi simtaki nitajichanganya na masomo bwan. Yule mkubwa san.yusta akanmbia mi naelewa aya mambo faridah sio kama ww. Ni kweli yusta uyu ni mjanja mjanja na ana kibwana chake . Ni anauza duka centre uko na mkubwa tu. Ila mliga ni mkubwa zaidi. Ila mi simfatishi kabisa na yusga ana akiri tu darasani. Nikitoka mm anafata yeye kwa ufaulu darasani kwetu. Yusta akanmbia mimi na mchumba angu tuna mwaka sasa hatujawahi kufanya chochote. Na ana nivumilia na mbona darasansi napasua vozuri. Ni kichwa chako tu . Mi sizani kama mlige ana nia ya kukuvuruga ww sio kweli. Ila sikulazimishi kuwa nae ni ww tu kama utaona hakufai piah ni ww. Ila mi nakushauri yule anakufaaa na ungeanza nae tu. Ukichukua wa makamu yetu wanakua wasumbufu sana faridaah. Nikasems mm sitaki mwanaume kwa sasa na simtaki ata uyo mlige. Yusra akanmbia sawa basi mkaushie. Muoneshee signs kuwa tu humtaki na pesa zake usiende kuchukua.nikasema sawa kwani mwanzo si nilikuwa naishi bila ya pesa zake wala hakuna shida.
Basi tukaludi mpka home . Mi nakumuacha yusta kwao nikanyoosha kwetu. Kiukweli sikumueleza mama chochote juu ya hili suala. Nikikausha kimya. Mana mama kuna jinsi alikuwa ananmuelewa sna sir mlige tangunile soku aninunulie vitu vya shule na wazazi wanampemda penda mana shule yetu imenyooka sna gangu afike yeye. Ila binafsi niliwaza sana kama msichana niliona uyu mlige anataka kunharibu tu. Ndo mana kaanza kuniingiza mkenge kwa kujifanya ananinajali sana. Mala anipe pesa ya matumizi. Mala aninunulie fomu.hapana .nikaona uyu siwezi kuwa nae na kama msichana lazima nijisimamie mimi mwenyewe. Na siwez kuchanganya mapenzi na shule kwa sasa.
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
