VYOTE NDANI GONGA94
MY WANGU❤️ sehemu ya 18
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Aseeee akasema faridah bwege nishakufata mpaka apa .unakuja ama nikufate na apo ulipo.nikasema nakuja mwalimu. Ata sijasimama.mlige akanifata .akanipiga bakora za ovyo ovyo mwilini zile za hasira jamani. Mnajua zinauma . Yani nilipiga kelele nazani mnanijua . Kisha akanishika mkono. Akanmbia twende ofisini. Apo tayari nnalia mno. Tumefika ofisni akafunga mlango kwa ndani. akanishika tena mkono. Akanichapa tena bakora nne. Nyie mpaka apo alishanipiga bakora kama 10 . Mmmm nilitutumuka mwili dakika 2 tu. Uyu baba anachapa sana. Akanmbia kelele sasa hivi nisikusikie unalia unaelewa ww. Nikasema ndio nyie nikajifosi kunyamaza nakwambia . Akanmbia kwaiyo ile kukutongoza ishakuwa fimbo unaniletea dharau au sio. Umenizoea sana si ndio. Nikasems hapana mwalimu nisamehe akanmbia ntakuvunja .unaelewa ww. Ntakufanyaje.nikasema utanivunja. akanmbia mm ni mwalimu wako ninapikuita unakuja mala moja unaelewa.nikasema ndio sir. Akanmbia sio mm tu mwalimu yoyote anapokuita unaenda mala moj unaelewa ww dagaa mdogo. Nikasema ndio apo nalia kimya kimya machozi tu yanatoka.
Akaweka bakora pembeni akaninyanyua chini .mana nilibana kwrnye kona kabisa. kishs anaweka kwenye kiti. Akaanza kunifuta machozi et. Khaa nilimchukia mno. Akanmbia samahani . Asa samahani ya nn kwani kanipiga kwa bahati mbaya. Nikasema nataka kwenda daradsni . Akanmbia asa utaendaje daradani unalia hivi. Hapna nyamaza kwanza kisha ntakuruhusu. Akanmbia mi sipendi dharua faridah. Kukuelezea kwamba nakupenda sio kigezo cha ww kunidharau unaelewa. Wewe ni mdogo sana kwangu. Kivyovyote lazima uniheshimu mini nikawa nalia bado. Akawa ananingalia mikono yangu et ananipuliza khaaaa kama chizi.
Basi akawa nananibemebeleza ninyamaze . Kama sio yeye aliyenipiga. Nikaona apa nisiponyamaza ntakesha umu. Nikanyamaza. Akanisimamisha kisha akatoa lesso yake akanza kunifuta sketi mana uku ofisni nilijiweka chini kabiss . So kuna vumbi kidogo lilichafua sketi yangu akaws ananifura pale . Basi mala ananifuta nyuma mala mbele. Uko nyuma ndo kapang'ang'ania . Ananishika na matako yangu hana lolote wala sio kunifuta. Mi niksaema basi inatosha. Akanmbia umenisamehee faridah. Nikasema ndio. Akanmbia sawa .akachukua pochi akanipa elfu 30. Akanmbia pokea hiii. Mh mbona nikapokea. Akanmbia utatumia basi week 1. Kisha utakuaj kuchukua nyengine ya week sawa. Nikasema sawa. Akaniinua pale akanmbia powa nenda classs. Basi mie uyo mpaka darasani. Wenzangu wakaanza kunicheka mie kimya .nikaludi kukaa na yusta. Yista akanmbia pole mwaya lile fahidi ni lisenge asa ndo kimeenda kusema kweli kwani si ulitania. Mie nikawa nalia. Si nishamuona shoga yangu wa kumdekea basi akanza kunibemebeleza tenna mpka nimanyamaza zangu.
Basi tukiwa tunaludi sasa njianai ndo nikaanza kumsimulia yaliyoniyonitokea sasa. Basi yusta akanmbia khaa kwaiyo kakupiga mwenyewe alafu kaanza kukubembeleza .nikawa natabasamu nikasema ndio kama lijinga na pesa kanipa et. Yusta akasema sh ngapi nikasems hia apa elfu 30 na nakupa elfu 10 shoga yangu.weee shoga akafurahi nikampa elfu 10. Ananibembelezaga naikilia mwenyewe shoga yangu. Basi mie uyo taratibu mpaka home kwetu. Basi shoga yenu ikawa sasa kidogo kiburi kimeniisha juu ya mlige namuogopa mana nilishamjua ana hasira. Nikija kupewa taarifa naitwa ni haraka naenda . Yani naacha kila kitu naenda kumsikiliza. Mala nyingi ananipa pesa. Na hataki nikatae nachukua naondoka ila tukawa hatuna story. Ananipa tu pesa naondoka zangu hivyo na ayo ndo yakawa maisha yangu.
Basi siku iyo nimewahi shule tukawa tupo maeneo yetu ya usfi tunafanya usafi. Basi kuna kabinti kamoja anaitwa vicky. Basi tukiwa tunaendelea kufagia vicky akasema nyie mnajua nn. Hivi mnajua sir mlige ni handsome jamani. Yule baba ni mzuri ila mkali tu na anajua kuvaa jamani. Yani anapendeza uyu baba ila bakora zake sasa. Yusta akadakia weee baba mzuri yule yani ikitokea kanitongoza mie wala simlingii namkubali chapu. Nikajua yusta ananipiga dongo mie hana lolote. Akadakia binti mmoja anitwa shera akasema mh mimi nahisi km natembea na madsme zahara. Mana kuna siku nilienda runzewe kwa shangazi nilimuona sir mlige anamshusha madame zahara kwemye gari alafu ilikuwa ni week end. Aseeeee nilihis kama napata presssureeee hivi. Yani nilihisi joto la gafra. Yusta akaningalia akanmbia vp unahisi kufa kufa ama
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya