Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
Gonga94 Β· Stories

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


SONGA NAYO.......

Nilistuka uku nikimuangalia baba yule ambaye alikuwa amechukia sana.

" Naongea na wewe una akili kweli were mtoto wako mdogo hivi unaruhusu anazulura juani wewe umelala unasubili pesa zije, tuongozane twende kituo Cha polisi"

" Jamani subili baba angu nikuambie me mbona sielewi unaongea nini "

"Utaelewa tukishafika kwenye vyombo vya Dora "

" Hapana sijafanya kosa me siendei nipe mwanangu "

" Sawa mtoto sikupi lakini kama utaki kuongozana na Mimi Ni sawa "

Akageuka na kufungua mlango wa gari, nikaona huyu Yuko serious Sana wacha nimfuate mwanangu tu Sina namna, haraka nikapanda mlango wa nyuma, kwa jinsi ambavyo niliwai kwenye Gari mpaka yule baba alicheka Nyie hivi mnajua kuchanganyikiwa πŸ˜‚.

Moja kwa Moja mpaka kituo Cha polisi yaani mwanzo nilijua utani lakini tulivyofika hapo ndio niliamini, nilimkuta fatuma akiwa amekaa na vijana kama watatu hivi Kati ya vijana hao mmoja nilikuwa namjua kwasababu alikuwa na mahusiano na fatuma.

Fatuma alikuwa ananiangalia kwa wasiwasi Sana nikimuangalia kwa hasira nilitamani nimshike nimpige hasira zangu ziishe

" Mama Hawa unawajua ....??"

Aliuliza yule baba ambaye alikuwa amembeba Bella

" Ndio lakini sio wote "

"Unamjua Nani na nani Kati yao "

Nilimuoneshea fatuma na mchumba ake , aaah kwahiyo ndo unawatuma wakaigize huyu aigize mume mlemavu na huyu aigize mtoto wake anaumwa Sana ili wapate pesa SI ndio ??"

Nilimgeukia fatuma na kumpiga kibao kimoja iko Cha hatari polisi waanishika

"* Kwahiyo siku zote unazo chukua mwanangu najua unampenda kumbe unamfanya chanzo Cha mapato yako si ndio....??"

" Nisamehe Sasa nimekosa "

"Fatuma fatuma una Nini wewe eeeh Mungu wangu afande nielewe sijui chochote kuhusu haya Mambo sielewi nachanganyikiwa"

Yule baba alinionea huruma na kunipa mtoto wangu, sikuona hayw nilikaa pembeni na kuanza kumnyonyesha ingawa wengi walipigwa na butwaa kutoa ziwa mbele za watu lakini sikujali nilijali kuhusu Bella wangu tu.

Taratibu ziliendelea baada ya muda walisamehewa kwa pesa, tuliinuka na kuondoka nilikuwa na hasira sana sikutaka hata kuongozana nao na ukizingatia sikuwa hata na mia nikaanza kutembea zangu pole pole, lakini muda huo huo alikuja yule polisi na kunipa lifti.

Tuliongea mengi Sana tulipokuwa njiani, mwisho tukabadilishana namba za simu.

Baada mwezi mmoja Mimi na huyo inspector wa kituo Cha polisi tulikuwa kwenye mahusiano mazito kabisa na nilikuwa najua kuwa anafamilia lakini mke wake Ni mtu wankisafiri Sana kutokana na biashara hivyo Mara nyingi bwana huyo alikuwa akilala kwangu.

Baada ya muda akaniamisha na kunipangia nyumba nzima, yaani nilijio a na Mimi ni mtu alikuwa anafanya kila kitu kwaajili ya bellah alimfanya Kama binti yake hakumbagua Wala Nini Kuna muda mpaka akawa ananiambia anioe mke wa pili lakini niliogopa sana, mwisho wa siku niliolewa mke wa pili ingawa marafiki zake tu ndio walikuwa wakijua hakujua mke wake Wala familia ya mwanaume nilichokuwa najali kuwa napata huduma zote account yangu ilikuwa inatema mda wote yaani,nikaanza kuishi luxury life yaani, ila sikumsahau Benny nilikuwa nikienda kutembelea kaburi lake na nilifanikiwa kulijengea bila kushirikisha familia yake, maana wote waliamua kunitenga na mwanangu, muda ulienda Bella alifikisha miaka miwili ingawa alikuwa akiitwa Bella benny lakini alikuwa akijua kuwa yule baba ndio baba yake.

Kuna siku nilikuwa nimetoka kufanya shopping, ile nimefika tuu chakwanza nimekuta geti liko wazi , milango iko wazi nikajua labda nimevamiea na wezi nikamba Bella abaki nje kwenye bajaji ambayo ilituleta niliingia ndani kwa umakini zaidi, nilikuta wanawake watatu mmoja tunalingana wawili walikuwa wamama. Watu wazima bila kuuliza walinivamia na kuanza kunipiga, ingawa nilikuwa na nguvu lakini wengi Ni wengi tu nyie nilipigika damu mdomoni puani na kila Kona walipochoka na walipoona kuwa nimepoteza fahamu wakaondoka, ndipo dereva bajaji akaamua kuingia ndani, aliponikuta Nina hali mbaya akaniwaisha hospital, huyo ndio alikuwa dereva wangu wa kila Safari maana nilikuwa naenda nae kila kona, na alimpigia simu mume wangu na kumwambia kuwa Niko hospital.

Majila ya usiku niliamka katika usingizi mzito nilimkuta mume wangu huyo akiwa na Bella, nilikuwa na maumivu makali sana lakini pia nilikuwa nimetundikiwa dripu, nilibaki nikiwangalia tukaanza story story

"Baba rahma utanisamehe nakuambia alichonifanyia mke wako na mwanao sijui na shoga yako yule nitalipiza wao si wamenichangia Mimi nakamata mmoja mmoja napiga sitaki mjadala "

"Aaaaah kumbe Ni yeye ndo amefanya hivyo eeeh atajua Mimi ni Nani leo"

Akamshusha Bella na kuondoka kwa hasira Sana me nikajisemea tu liwalo na liwe nimechoka

Baada ya muda niliama katika ile nyumba kwaajili ya usalama wangu na wa mwanangu niliamia kwenye nyumba ya kawaida tu ambapo nilichukua chumba na seble, muda huo nilikuwa nimeshaachana baba rahma kwani alionekana akimpenda Sana mke wake ingawa Mimi pia niliolewa lakini nilikuwa nikitumika tu, hivyo niliama akiwa ajui kabisa na najua aliangaika kunitafuta, baada muda nikaona huku sipawezi maana upatikanaji tu wa pesa Ni mgumu unaweza fanya biashara miezi hata miwili na pesa ya mtaji isiwe imerudi nikauza vitu vyote na kurudi jijini dar es salaam sikuwazia kabisa kuhusu madam nikasema nammudu asinichanganye, ile nafika dsm habari kubwa Ni madam grace anatafutwa Nyie πŸ˜‚ nikasema huyu kenge dar ataiona chungu walahi, nilifanikiwa kukutana na wachache ambao walikuwa wakiishi kwa madam grace wangi walikuwa wamepelekwa kwenye hospital kwaajili ya kupatiwa msaada wa kisaikolojia kutokana na Mambo waliyopitia, niliweza kukutana na Toby na kuzungumza nae.

"Duuuuh yaani hi sura ya bellah Ni benny mtupu yaani Benny kaondoka Benny kabaki "

"Namshukuru Mungu ameniachia kababy kangu "

"Lakini benny nilipoongea nae hakuniambia Kama mko pamoja "

"We wasiwasi wa kuja kukamatwa na madam grace "

"Acha unajua siku ambayo tulipanga kutoloka ndo siku tulikamatwa nilikutana na Betty Seema ndo hivyo anaumwa Sana Sasa hivi hata ajitambui , sikuacha kujaribu Mara ya mwisho niliamua kuwapigia polisi tuu nilishachoshwa na maisha ya kule "

",Poleni Sana "

"Kwahiyo Sasa hivi unaishi wapi ??"

" Ndo kwenye kituo si unaona picha zetu zinasambazwa Kama ndugu wataona waje kutuchukua wachache wameanza kuchukuliwa "

"Unaonaje nikakuchukua maana najua hakuna mtu atakuja kukuchukua "

"Hapana bhana Niko sawa kuishi hapa kituoni kama mtoto yatima "

"Kwamba umekata tamaa SI ndio ??"

Nilitumia muda kumlazimisha toby, mwisho alikubali na tukaondoka wote kwakuwa nilipanga chumba na seble alikuwa akilala sebleni, maisha yaliendelea vizuri kabisa, nilimuheshimu Kama Kaka aliniheshimu kama dada, nilimfungu




FORGIVE ME, MOM 😭😭
Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15



SONGA NAYO.......

Nilistuka uku nikimuangalia baba yule ambaye alikuwa amechukia sana.

" Naongea na wewe una akili kweli were mtoto wako mdogo hivi unaruhusu anazulura juani wewe umelala unasubili pesa zije, tuongozane twende kituo Cha polisi"

" Jamani subili baba angu nikuambie me mbona sielewi unaongea nini "

"Utaelewa tukishafika kwenye vyombo vya Dora "

" Hapana sijafanya kosa me siendei nipe mwanangu "

" Sawa mtoto sikupi lakini kama utaki kuongozana na Mimi Ni sawa "

Akageuka na kufungua mlango wa gari, nikaona huyu Yuko serious Sana wacha nimfuate mwanangu tu Sina namna, haraka nikapanda mlango wa nyuma, kwa jinsi ambavyo niliwai kwenye Gari mpaka yule...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nisamehe-mama-sehemu-ya-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA 😭  SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 02
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 04
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.56K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.53K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.58K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.36K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.26K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.2K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.14K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.14K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.05K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest