Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 34 na 35
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 34 na 35

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Basi yule madame akasema sawa kama hutembei nae.ila nishakupiga marufuku chezewa kwanza na wanuka mikojo wenzio .usitake kuluka stage. We kurupu na watu wazima ukomeee msenge ww. Khaaaaa nilibaki nimeshangaaa mno. Kisha yule madame akaniacha akaondoka zake. Nyieee mie nikarudi darasani machozi yananilenga lengaa. Mh shoga angu ananijua akanmbia twende chooni. Basi tukanyanyuka mpka chooni . Aseee uko nililia sana . Yani nililia mpka yusta akanitoa chooni . akanipeleke nyuma ya choo kuna kipori kidogo ndo akawa ananibemebeleza uku ananambia nyamaza kwanza unielezee shida nn. Nijue nakusaidiaje au umegombana na mlige. Nikasema hapana mi mlige ataniua mimi..naumia sanaa. Shoga akanmbia aya acha kuumia unielezeee. Basi nikamuelezee alivyonambia madame zahara. Shoga akanambia kwanza uyo madame ana bahati kakukuta ww mjinga mjinga. Ningekuwa mm tungenyukana leo. Akanmbia sikia we bwana ako handsome alafu ana hela lazima kuna vijanamke vitajimilikisha tu sijuh unanaielewa

Nikasema kanmbia ana mimba ya mlige lakini. Akanmbia ww sikia usimnunie bwana ako kisa maraya mmoja. We baadae kaongee na mlige na umuelezee na usimuogope. Muulize vizuri na akuelezeee sijuh unaelewa. Mimba ndo nn. We unauwakika gani kama ya mlige. Ebu achana nae mshamba yule. Kaaa kwa kutulia shoga au ndo wachawi sasa wa penzi lako na mlige na hakuna kumuogopa mtu maraya wakubwa aoa. Hakuna cha madame wala nn . Na hakuna kupoa et usiende kwa bwaa wako kisa nn. Kwanza twende huu mda nakupeleka mwenyewe. Nyieee mie nikasema hapana tutaenda ata kesho . Akanmbia sawa bwana. Basi tukaludi darasani ila sikuwa na rahaa jamani . Nawaza je kama ni kweli anatembea nae inakuwaje. Nikawa naogopa sana. Basi tulivyoruhusiwa mie nikajiandaa kuondoka na shoga yangu. Nashangaaa mlige ananiita. Mie nikaenda akaningalia akanmbia njooo ofisini nna maongezi ma ww. Mie nikasema sawa.kisha nikamwambia yusta ningoje tu akasema.sawa.

Basi mie nikaenda mpaka kwa mlige ofisni kabisa . Basi na madame zahara aliniona kabisa. Akanikata jicho hiloo. Basi mie sikujali wala nn nikaingia ofisini. Nikamkuta mlige ananisubir. Akaningalia sana akaniuliza ulikuwa unalia nn. Nikasema sikuwa nalia. Akanmbia ulikuwa unalia nimeshaongea na yusta. Sikia mama naomba unisikilize kwa makini. Unaelewa nimekwambia nisikilize kwa makini. Faridah kwangu we ni mdogo sana .we nimekupita miaka mingi ila kwako mi fala. Kwako mo ni mdhaifu kwako mm sio kitu. Sababu nakupemda sana..na sina mwanamke mm katika hii shule tofauti na ww unanaielewa faridah . Nikasema ndio . Akanmbia uyo zahara simtaki ananaitaka yeye. Na ile mimba sio yangu unaelewa ww. Unalia lia nn sasa. Mi si nipo apa. .kwa nn unashindwa kuja kuniuliza unabaki unasononeka na moyo. Sitaki farida iyo ni tabia mbayaa sawa we mrembo. Nikasema ndio akanmbia aya njoo unikumbatie..basi nikainuka nikamkumbatia. Akanmbia sitaki ulie kwa ajili ya watu na uyo zahara ntamkomesha atahama hii shule. Mie tena apo ndo moyo ukapoa nakwambia mana doooh presha ilikuwa kubwa sana.

Basi bwana mie nikamalizana na baby nikaondoka zangu . Nikampitia yusta .tukaanza kuelekea nyumbni. Mie nikasema yusta ww mbea jamani yani hujapoa umeenda kuongea na mlige. Yusta akanmbia we mie sipoi . Na sijawahi kupoa nimeenda kumwambia vizuri . Na kasikitika ww. Na anakujua akaanza kulalamika kuwa ushalia na utakaa kimya tu. Nikacheka .nikasema kanambia nisilie tena sio kweli bwana.basi tukaw atunacheka mie nikarudi zangu mpaka homeeee

Basi apo bifu la mie na madame zahara ndo likaanza .jamani uyu madame alikuwa ananifanyia visa sijapata kuona. Alikuwa anapenda kunipiga. Yani kosa sio kosa ananipiga mno. Kunichamba ndo siwaambia kitu kidogo anaanza maraya mtoto.wewe
Kazi kuikalia mimboo ya watu wazima.alafu ni mbele ya darasa .yani kila mtu alikuwa anajua kuwa now nimeshaanza mapepe. Ila walikuwa hawamjua bwana ni yupi. Yani madame alinikalia kohoni aswaa. Na ndo alikuwa anatufundisha sie kiswahili. Basi bwana mie nikawa nampotezea tu na nilivyo mkimya sikuwahi ata kumuelezea mligee juu ya anayonifanyia madame zahara ata siku moja kiukweli.

Siku iyo sasa. Ilikuwa ni j mos nakumbuka. Nimekaa tu zangu home nimeboeka sana. Sasa huwa najua kabisa mala nyingi mlige j mosi anakuja shule. Nikaona acha niende shule nikamuone ..huwa siendagi sana na wala.sio kawaida yangu ila hii siku na chini kulikuwa kunawasha. Basi mie nikamdanganya mama naenda kwa kina yusta.kisha taratibu nikaanza kupandisha shule. Basi bwana nimefika shuleni kumepoa mno kupo kimya si j mosi hakuna ata watu. Ila nikaona gari ya mlige imepaki.nikafurahi kweli kwrli nikajua yes baby yupo. Basi mie nikaenda mpka ofisini ile nataka kusukuma mlango mh nikahisi mbona umu kma kuna mtu mwengine. Yani kama mlige yupo na mtu na wanazungumza
Shoga yenu nikategesha sikio vizuri mnooo

Heeee si nasikia sauti ya mlige anasema zahara ni nn sasa unanaifata mpaka kazini. Kwani si ningeludi ungekuja kwangu ama shida ni nn mbona unanisimbua sana ww. Kwani mimba mm ndo wa kwanza kumtia mtu ..zahara akasema nyoooo mimba yako inanaisumbua we hunipendi mimi kabisa upo busy na kale.katoto cha form four konachonuka mkojo. Nyieeeee nusu nife ila nikajikaza nisikie ya zaidi. Mlige akasema sasa issuee za farida zimefata nini apa. Mi si nipo na ww. Acha kuongea mambo ya faridah tuongee story zetu. Zahara akasema yaa lazima umtetee si amekupa bikraa. Mlige akasema ebu acha mambo yako we nenda nyumbani mie ntakuja kwako tutakuja kuongeaa. Zahara akasema siendi nyumbani najisikia kukaa na ww leo ndo mana ulivyonambia upo shule nami nimekuja. Mlige akasema.najuta sana kusex na ww kukupa iyo mimba .we demu ni msumbufu sana. Yani mambo yako kma mtoto wakati ni mtu mzima kabisaa

Nyie apo sasa ndo nilielewa sasa kuwa kweli mimba ya madame zahara ni ya sir mlige. Mwanaume wangu . Mwanaume nnayempenda sana . Aseee niliumia sana . Moyo uliiuma sana. Sikujifikilia nilifungua mlango kwa nguvu. Ile nafika nakuta mlige kampakata madame zahara wanakisss. Nyieeee mlige alistuka sana aliponiona. Nami nilitaka anione ajue kuwa nimeeona na kusikia kila kitu. Asee mlige akasema faridaah. Nikasema.ndio mm mlige .kumbe kipindi chote ulikuwa unanaidanganya si ndio. Kumbe ni mimba yako kweli si ndio. Nyie mlige alipata mpkaa kigugumizi akanmbia plss mama naomba nikuelezee. Zahara akasema umueleze nn .we binti si nilishakwambia aya nna mzigo wake wa miez 3. Na yeye ndo muhusika na mda wowote mimi na uyu bwana tunatombana. Mda wowte naenda kwake runzewe habari ndo iyo. Ata mm niliamini mana walikuwa wanakiss. Walikuwa washamisiana. Nyieeeeeee moyo unauumaaa kaa position yangu kisha ufeel napitia nn kwa sasa. Kumuamini kote na sio kumuanin tu mi nampemda sana mlige..leo ndo nayasikia aya. Kiukweli mlige ata kukataa alishindwaaa. Yani alishindwa kabisaa. Alibaki kama anaweweseka pale.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 34 na 35


Basi yule madame akasema sawa kama hutembei nae.ila nishakupiga marufuku chezewa kwanza na wanuka mikojo wenzio .usitake kuluka stage. We kurupu na watu wazima ukomeee msenge ww. Khaaaaa nilibaki nimeshangaaa mno. Kisha yule madame akaniacha akaondoka zake. Nyieee mie nikarudi darasani machozi yananilenga lengaa. Mh shoga angu ananijua akanmbia twende chooni. Basi tukanyanyuka mpka chooni . Aseee uko nililia sana . Yani nililia mpka yusta akanitoa chooni . akanipeleke nyuma ya choo kuna kipori kidogo ndo akawa ananibemebeleza uku ananambia nyamaza kwanza unielezee shida nn. Nijue nakusaidiaje au umegombana na mlige. Nikasema hapana mi mlige ataniua mimi..naumia sanaa. Shoga akanmbia...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-34-na-35

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

948
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

198
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

192
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

189
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

183
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

136
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

135
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

120
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest