Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
01 Feb 2026
71 views
VYOTE NDANI GONGA94
walio mpiga Murtaza Mangungu wakemewa
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu Simba imesema imesikitishwa na vitendo vya baadhi ya watu kumvamia na kumfanyia fujo Mwenyekiti wa Klabu na Makamu Mwenyekiti wa Bodi, Murtaza Mangungu baada ya mchezo wao dhidi ya Esparance ya Tunis kumalizika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo jioni.
Kwa mujibu wa taarifa ya usiku huu ya Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Crescetius Magori, imesema vitendo hivyo sivyo vya kiungwana, havikubaliki na havitafumbiwa macho.
“Uongozi wa Klabu unatoa pole kwa Mwenyekiti Mangungu kwa kadhia hiyo.
Aidha Uongozi wa Klabu umeliandikia Jeshi la Polisi kuchukua hatua za kisheria kwa wote waliohusika katika vurugu hizo au kula njama ili kuwafikisha katika Vyombo vya Sheria” imesema taarifa hiyo.
Bodi imesisitiza kuwa haitabariki wala kuvumilia mtu yoyote atakayeharibu taswira ya Klabu kwa namna yoyote.
#gonga94Updates
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Hapo ni Golden Harvest Studios mwaka 1972 pale ambapo kijana mdogo Jackie Chan alijihisi anauwezo sawa na mpiganaji bora wa dunia wa muda wote Bruce Lee,Na
kutaka kumpandishia Bruce Lee ila watu wakaingilia na Jackie Chan mwenyewe anasema alishukuru watu waliingilia na pia b...
LIBWATA YA MAMA RASHIDI...13. ENDELEA....... "Zainabu Zainabu!" "Fyuuuuuuuuuu!" Alilirusha sufuria lililoenda kumpiga mama yake usoni na kuelekea chumbani kwake. "Aiiiiiii mgongo!"
"Pole Rashidi twende huku!" Mama Zainabu alimvuta Rashidi na kumpeleka chumbani na baada tu ya wao kufika alianza kumfu...
⚠️ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa tahadhari. ⚠️ Post hi inafaa kwa page ya watu wazima ZAWADI Sehemu ya 12
Simulizi za john 0789 824 178 , 1000 Nilikosa pozi, nikashindwa kujibu. Lakini nikawaza, “Namuogopa nini? Mumewe natemb...
Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa uangalifu na kwa hiari yako. ZAWADI Sehemu ya 11
Nilipata woga, nikakaa pale. Tulianza kula kuku, chips, kaa wa baharini, na vitu vingine ambavyo sikuvijua. Beatus alik...
Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu Simba imesema imesikitishwa na vitendo vya baadhi ya watu kumvamia na kumfanyia fujo Mwenyekiti wa Klabu na Makamu Mwenyekiti wa Bodi, Murtaza Mangungu baada ya mchezo wao dhidi ya Esparance ya Tunis kumalizika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo jioni.
Kwa mujibu wa taarifa ya usiku huu ya Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Crescetius Magori, imesema vitendo hivyo sivyo vya kiungwana, havikubaliki na havitafumbiwa macho.
“Uongozi wa Klabu unatoa pole kwa Mwenyekiti Mangungu kwa kadhia hiyo.
Aidha Uongozi wa Klabu umeliandikia Jeshi la Polisi kuchukua hatua za kisheria kwa wote waliohusika katika vurugu hizo au kula njama...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/walio-mpiga-murtaza-mangungu-wakemewa