Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
na nilivyo mwembamba alafu Catrine alikuwa nanyama kidogo hivyo mkuu wakikosi alikuja haraka na kuninyanyua nisiendelee kumpiga Catrine nilikuwa naelewa basi nihasira tuu zimenipanda nilikuwa nasema:


"Niache nimuonyeshe,   atanizoea mimu huyu"


Mkuu wakikosi alinishika kwa nguvu,  huku akinizuia nisiende,  na kuniambia:


"Acha usiwe hivyo Laura ,   tulia nimesema tulia"


Ndipo ikasikika sauti moja tuu sio kali ila alisema


"Muachie tumuone"


Nilishtuka,  na kugeuka haraka kwani nisauti niliyokuwa naijua kabisa,  kutizama vizuri  alikuwa General,  asikuambie mtu nilinywea kama kitunguu majii kwenye mafuta,  General alisongea hadi nilipokuwa na kisha akasema:


"Wewe tena"


Nilibaki kimya siku mjibu kitu,  nilisimama kwa nidhamu,   nikiwa naogopa sijui nini tena kitanikuta awamu hii,  General aliniambia:


"Nifuate"


Nakisha aliondoka, namimi nilianza kumfuata kama alivyo sema,  na wenzangu waliingia kitandani kulala kimya kimya,  nilikuwa najiuliza sijui awamu hii atanipa zoezi gani,  na tayari usimu umesha ingia, tulipofika nje aliniambia:


"Laura,  sura yako na matendo yako haviendani kabisa,  unaumli gani wewe?


"Nina miaka ishirini na tatu mkuu"


Nilijibu kwa sauti yaupole kabisa,  kisha General alitabasam na kuniambia:



"Mimi kipindi ninaumli wako nilikuwa najitahidi sana kuwa na nidham,   ili nifanikishe kilakitu,   lakini ona wewe kila mala unakumbana na adhabu tuu,  haya sasa utasimama hapo,  mikono inyooshe juu kama unaita mvua,   na usiishushe mpaka nitakapo kuruhusu,  kisha aliwaruhusu viongozi wa vikosi hapo waende kupumzika,  kiongozi wangu kikosi namba saba akamuambia:


"Muheshimiwa General,  unaonaje ukaniachia mimi huyo,   wewe nenda upumzike maana utakuwa umechoka sana,   tangu umefika huku pumzika hata mala moja"



Nilifurahi kusikia hivyo,  kwani nilijua mkuu wa kikosi hatonitesa kama huyu General,  lakini General alinitizama na kisha akasema:


"Huyu hapana natakiwa nimnyooshe mimi mwenyewe,   kidogo awe na nidhamu,   maana anaonekana hana nidhamu kabisa"


Niliposikia hivyo, nilizidi kuchukia nikamuambia:


"Lakini mbona mnaniadhibu mimi pekeangu eeh!  nawakati alienianza mmemuacha"


General aligeuka, na kumuambia mkuu wa kikosi changu:


"Wewe nenda kapumzike, huyu niachie mimi"


Mkuu wangu wakikosi aliondika, na kuniacha hapo General,  kisha akaniambia:


"Endelea na zoezi nililokupa"


Kisha alichukua kiti na kukaa pembeni,  huku akiwa na chupa yake ya whisky,   na akiwa bize na simu yake, nili endelea kufanya kama nilivyoambiwa, kiukweli nilikuwa ninaumia sana, hadi nilijiku natokwa namachozi, lakini General alikuwa anajifanya yupo bize hanitizami, mwisho nilimuambia:


"Ninajisikia kiu,  nahitaji maji yakunywa"


Alinitizama nakisha aliinuka na kuniletea maji yakunywa,   akaninywesha maji kwa mkono wake yeye mwenyewe,  kwani  hakutaka nishushe mikono chini,  lakini sikuhishia hapo nilimuambia tena:


"Nahitaji kujisaidia haja ndogo"


"Jisaidie tuu,   hakuna anaekuona hapa,  kwanza kunagiza"


Kisha aliendelea kunywa kinywaji chake,   nilianza kulia  kwa kwa kwikwi,   yaani mikono ilikuwa inauma sana,  na sitakiwi kuishusha chini hata mala moja, nililia sana,   kwakweli General ni mkatili sana hana huruma hata kidogo, kisha akaniambia:


"Shusha mikono chini, na kisha chuchumaa chini"


Nilifanya kama alivyoniambia,  kisha akaniambia:


"Anza kuruka kichura chura,   hapo mpaka kuleee mbele,    na kisha urudi hapa fanya hivyo bila kupumzika,  naomba uanze mara moja,  acha kulialia hapa sio nyumbani kwenu"


Nilianza kuruka huku nalia,   jasho likinitoka hatari,  nilijikuta namchukia sana General,   hadi nilijisemea kimoyoni moyoni:


"Nakuchukia sana"


Tangu kaingia ni ananipa adhabu tuu mimi,   niliruka kichula kwa muda mrefu sana,    hadi mapaja yalikuwa yakitetemeka,   ila General hakujali hadi alipo maliza kunywa mvinyo wake,   alisimama na kuniambia:


"Haya inuka"


Niliendelea kuruka kwa hasira,   kama sikumsikia,   kiukweli nilikuwa nahasira sana muda huo,   alinitizama kisha akaniambia kwa sauti ya ukali:


"Inuka na uje hapa"


Nikainuka kwa tabu sana,   miguu haikuwa sawa kabisa,   ilikuwa inatetemeka nusu nianguke,   nikaanza kutembea kumfuata huku ikitetemeka miguu yangu,  nilijikuta  nikaangukia miguuni kwa General,   nnikaanza  kujizoa niinuke tena,   akaona ainame  anisaidiae   kusimama,    kiukweli nilimpushi mkono kwa hasira,    na kufosi kwa nguvu hadi nilifika juu,  huku machozi yakinitoka kwa hasira, akaniambia:


"Nenda ukalale,   ila alfajiri  nataka nikukute kwenye  tizi  uwanjani"


Nikaanza kuondoka  huku akinitizama,   nilitembea hatua chache tu  nikaanguka chini,    mapaja hayana nguvu kabisa  yanatetemeka,   alinifuata anisaidie nilipomuona nilimuambia:


"Usiniguse tafadhari"


Alitabasam kwa jeuli,  nakisha akaondoka kuniacha nilitambaa hapo hadi nilipokaribia  bwenini,     kiongozi wa kikosi changu alikuwa hajalala,    alikuwa akitoka nje anachungulia kisha analudi ndani hivyo hivyo,  ndio alipokuwa anachungulia akaniona nipo chini natambaa,    alikuja na kunisaidia kuinuka,   akanipeleka kitandani kwangu,   akaniambia:


"Nilijua tuu,   kwa General hutotoka salama,  haya inuka upumzike  sasa"


Nilimuomba kitu kimoja:


"Naomba nisaidie maji yamoto mkuu,  nataka nijikande  kidogo mapaja,   lasivyo sitoweza kuinuka alfajiri, nakuomba"


"Sawa,   ngoja nikakuchukulie jikoni"


Alienda jikoni na kunichemshia maji,   kisha alikujanayo,   nilimuomba bila aibu anisaidie kunikanda,   nilichukua upande wa kanga nikajifunga kujificha sehemu za siri tuu,   kuanzia kwenye hips kote nilimruhusu anikande,   alikubali  na kuchukua kanga akairoweka kwenye maji  ya moto,   na kisha alinikanda ilikuwa inauma sana,   lakini aliniambia:


"Jikaze Laura,  hili ndio jeshi"


Nilikuwa nalia kwa uchungu kiukweli,   nilikuwa ninamaumivu makali mno,   kisha mkuu alienda kuniletea dawa za maumivu,  nikameza kisha,  mkuu aliniambia:

"Haya lala"


Nikalala akanifunika vizuli shuka ndio  kuondoka,   alikuwa anatujali sana mkuu wa kikosi chetu,   ndio maana alikuwa ananisubili ahakikishe nimeingia kulala kabisa,   ndio akaondoka.



Endelea kufuatilia.........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine

na nilivyo mwembamba alafu Catrine alikuwa nanyama kidogo hivyo mkuu wakikosi alikuja haraka na kuninyanyua nisiendelee kumpiga Catrine nilikuwa naelewa basi nihasira tuu zimenipanda nilikuwa nasema:


"Niache nimuonyeshe,   atanizoea mimu huyu"


Mkuu wakikosi alinishika kwa nguvu,  huku akinizuia nisiende,  na kuniambia:


"Acha usiwe hivyo Laura ,   tulia nimesema tulia"


Ndipo ikasikika sauti moja tuu sio kali ila alisema


"Muachie tumuone"


Nilishtuka,  na kugeuka haraka kwani nisauti niliyokuwa naijua kabisa,  kutizama vizuri  alikuwa General,  asikuambie mtu nilinywea kama kitunguu majii kwenye mafuta,  General alisongea hadi nilipokuwa na kisha akasema:


"Wewe tena"


Nilibaki kimya siku mjibu kitu,  nilisimama kwa nidhamu,   nikiwa naogopa sijui nini tena kitanikuta awamu hii, ...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya-03-walipo-fika-catrine-alikuwa-chini-na-mimi-nilikuwa-juu-nam

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

352
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

241
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

163
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

101
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

8

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest