Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Story.....................MFALME KIPOFU 9
Gonga94 · Stories

Story.....................MFALME KIPOFU 9

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Ilipoishia sehemu iliyopita........
Mzee yule aliongea na kuondoka zake pamoja na mjukuu wake aliyekwisha kutibiwa na kuwacha Amma pamoja na baba yake katika maswali mengi yasiyo na majibu........

ENDELEA NAYO......
"Baba ivi umemuelewa yule mzee kanishika mkono na kuniangalia lakini cha ajabu kapiga magoti mbele yangu??"
"Binti yangu Amma huwezi jua hawa wazee wa zamani wanaona mambo mengi isivyo kawaida".
"Ni sawa baba lakini mimi naona kuna kitu ambacho itakuwa ameona kwangu na natamani nijue nikitu gani icho alichoona"
"Kila kitu kinakuja kwa sababu mda maalumu ukifika mambo yote yakuwa wazi binti yangu".

Amma aliona kuna kila sababu ya kufatilia kuona ni kitu gani kilichomfanya mzee yule aweze kupiga magoti baada ya kuutazama mkono wake.

Upande wa pili babu pamoja na mjukuu wake,
"Babu unajua umenishangaza sana wewe kupiga magoti mbele ya yule binti??"
"Huwezi kujua mjukuu wangu wewe bado mdogo"
"Mmmh sijaona cha ajabu alichonacho yule binti".
"Nyamaza kabisa yule ndio atakaye kuja kuwa malikia wa ADELI sikutaka kuongea mbele yao ila kwakuwa nipo na wewe ngoja nikuambie sasa"
"Mmmh babu bwana tangu lini ukawa mtabili wewe??".
"Ukikua utaelewa sasa ivi wewe baba mdogo".
"Sawa babu".

Ni mazungumzo ya mzee yule na mjukuu wake na hii ni baada ya kumpigia magoti Amma kitu kilichomshangaza mpaka mjukuu wake kwa kitendo alichokifanya mzee yule.

****************

Katika ufalme wa YUNDI leo ni sherehe ya kusherekea siku ya kuzaliwa kwa binti Mfalme aliyetambulika kwa jina la Princess Nailet,

Maonyesho na michezo mbalimbali ilikuwepo siku hiyo iliyowapendeza raia wengi katika ufalme ule na kuwafanya waone kama ni siku maalumu kwao,
Na raia wengi kusogea eneo la tukio kwa ajili ya kushuhudia maonyesho hayo.

Moja ya raia waliokuja kushuhudia maonyesho hayo ni Lindiwe pamoja na Prince Yao aliyekuwa haoni kinachoendelea ila mama yake mlezi Lindiwe alifanya kazi ya kumsimulia kila kilichokuwa kikiendelea pale.

Mfalme Tengu akiwa kama Mfalme wa YUNDI alisimama nakuanza kuongea mbele ya umati ule,
Watu wote walika kmya kumsikiliza mfalme wao aliyedumu kwenye uongonzi karibu miaka thelathini(30).

Lakini Princess Nailet katika kutazama umati wa watu uliofulika kushuhudia siku yake ile ndipo alipomuona Prince Yao akiwa amefungwa kitambaa machoni,
Nakumfanya kushangaa kidogo.

"Yule ni nani???,mbona kafungwa kitambaa machoni???,
alimuuliza mtumishi wake aliyekuwa nae karibu mtumishi alifata kidole cha Princess na kuelewa ni mtu gani aliyeulizwa.
"Yule ni kipofu".
Princess Nailet alimtazama kwa mara nyingine Prince Yao na hapo ndipo aliposhuhudia uzuri wa mwanaume yule licha upofu aliona nao.
"Sherehe ikiisha naomba unipeleke anapokaa"
"Sawa princess".

Sherehe ikiwa bado inaendelea katika ufalme huo wa YUNDI,
"Mama naomba tuelekee nyumbani sijisikii tena kuendelea kukaa hapa,Prince Yao aliongea na kumfanya Lindiwe afanye kile anachokitaka na safari ikaanza kuelekea katika makazi yao".

********************

Safari ilikuwa bado inaendelea ya asikari waliotumwa na Mfalme kwenda kumtafuta kijana na wanafanyikiwa kufika katika mipaka ya YUNDI,
"Nyie ni watu mnaotoka katika ufalme upi??,walinzi walinda mipaka waliwauliza asikari wale wa ADELI".

Hawakutaka maneno mengi walitoa barua maalumu waliyopewa na mfalme wao yenye mhuli na walipoisoma, waliwaruhusu kuingia katika ufalme wao.

"Sawa tumepita mipakani tunaanzia wapi sasa falme za watu hizi??, askari mmoja aliongea baada ya wao kufanyikiwa kufika katika ufalme wa YUNDI"
"Tupite huku tunaweza kupata tunachokitaka".
Walikubaliana na safari ikaanza kutafuta kilichowaleta katika falme hiyo.

Lindiwe anafanyikiwa kufika nyumbani akiwa na Prince Yao lakini alipogeuza shingo yake alishangaa kuona asikari wakipita wakiwa wamevaa nguo zilizowatambulisha kama asikari wa ADELI,
"Yao naomba ukae hapa nakuja sasa ivi tu"
"Aya mama".

Lindiwe alitoka nakuanza kuwafatilia kisirisiri asikari wale wa ADELI bira ya wao kujua ili ajue ni kitu gani kilichowaleta pale YUNDI.

Asikari wale wanakutana na Cheki kijana anayempenda binti Yunde na wana msimamisha,
"Habari yako "
"Salama sijui ni wasaidie nini???"
"Wew n mzaliwa wa falme hii tungependa kufahamu???"
"Ndio hamjakosea".

Walitazamana asikari wale nakupeana ishara ya kutoboa siri yao iliyo waleta pale.

"Kuna mpango ambao unaweza kubadilisha maisha yako".

Cheki baada ya kusikia mpango tena alitega masikio kwa umakini asikilize ni mpango gani huo.

Wale asikari walimweleza lengo kuu la wao kuja mpaka kwenye falme yao na kumwonyesha vipande vya dhahabu kama malipo ya awali endapo akikubali kufanya ile kazi.
Cheki hakutaka kuipoteza ile nafasi alikubali pasipo ata kufikili mara mbilimbili.

Maongezi yote yaliyokuwa yanaendelea pale Lindiwe alikuwa akisikia kila kitu..
"Hii haiwezekani yani mfalme ameamua aje amtafute Prince mwingine, hapana hii haiwezekani.........ITAENDELEA

Maamuzi gani atakayochukua Lindiwe baada ya kusikia kijana mwingine anatafutwa kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Prince Yao???? na vip kuhusu Princess Nailet atafanyikiwa kwenda kumuona Prince Yao????, karibu katika hatua inayofata
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Story.....................MFALME KIPOFU 9

Ilipoishia sehemu iliyopita........
Mzee yule aliongea na kuondoka zake pamoja na mjukuu wake aliyekwisha kutibiwa na kuwacha Amma pamoja na baba yake katika maswali mengi yasiyo na majibu........

ENDELEA NAYO......
"Baba ivi umemuelewa yule mzee kanishika mkono na kuniangalia lakini cha ajabu kapiga magoti mbele yangu??"
"Binti yangu Amma huwezi jua hawa wazee wa zamani wanaona mambo mengi isivyo kawaida".
"Ni sawa baba lakini mimi naona kuna kitu ambacho itakuwa ameona kwangu na natamani nijue nikitu gani icho alichoona"
"Kila kitu kinakuja kwa sababu mda maalumu ukifika mambo yote yakuwa wazi binti yangu".

Amma aliona kuna kila sababu ya kufatilia kuona ni kitu gani kilichomfanya mzee yule...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/story-mfalme-kipofu-9

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi story-mfalme-kipofu
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............08   Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............04  Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU  Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa  mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi
Story.....................MFALME KIPOFU Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi
Story MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............02   Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............06     Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............06 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU 8
Story.....................MFALME KIPOFU 8
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 29 na 30

MY WANGU❤️ sehemu ya 29 na 30

377
MY WANGU❤️ sehemu ya 32 na 33

MY WANGU❤️ sehemu ya 32 na 33

360
MY WANGU❤️ sehemu ya 34 na 35

MY WANGU❤️ sehemu ya 34 na 35

247
MY WANGU❤️ sehemu ya 31

MY WANGU❤️ sehemu ya 31

235
MPISHI ANA UTAMU WAKE  SEHEMU YA 16

MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 16

143
MFALME KIPOFU 11

MFALME KIPOFU 11

62
walio mpiga Murtaza Mangungu wakemewa

walio mpiga Murtaza Mangungu wakemewa

58

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

10.67K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.6K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.6K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

2.85K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.37K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.31K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.21K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.17K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.16K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.06K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest