Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 27....28πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 27....28πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Tukiwa tunaendelea na mazungumzo Mimi na Shangazi yangu Mom alikuja kule chumbani Kwangu alionekana mtu mwenye furaha sana aririririiiiiiiiiiiiii alianza kupiga vigeregere Kwa shangwe haya fanya utoke mwanangu ukawaage wageni waondoke...... Nilitoka kule chumbani Kwangu nikaelekea sebleni kwenda kuwaaga wageni.......My daughter, we are leaving Now🀝🀝 We are grateful for the food Thank you very much🀝🀝 ni sawa baba karibuni Sana πŸ™‚πŸ™‚ wow Asante sana nazani tuwapatie muda wewe na Hakim mpate kufahamiana vizuri hata Kwa muda mchache tu! It's ok daddy 😊😊 wale wazee pamoja na yule kijana mmoja walitangulia kwenye Gari Mimi na Hakim tulibakia nyuma kidogo gari iliondoka Kwa mwendo wa taratibu sana ilikuwa ni usiku mida kama ya saa mbili hivi Hakim alichukua simu yake ni kama vile Kuna mtu alitaka kumpigia alibonyeza bonyeza Kisha akaiweka sikioni!..... Hello Jace I think it would be better if you took them first and then you will come to pick me up alimuomba yule rafiki yake Jace awapeleke Wazee hotelini kwanza Alf then atarudi kumchukua make walikuwa wanapeleka gari taratibu huku wakiwa wanamngoja Hakim! Baada ya Hakim kumuomba Jace afanye vile Jace alikubali aliiondoa gari chapu tukabakia wawili peke yetu!
""Its Pendo right!?""
""Yeah I'm Pendo!""
""I am Hakim, the last child born in our family nimefurahi sana kukufahamu Pendo 😻""
""Wow, I'm also happy to know you Hakim ""
""Wow, it's very cool my""
""Okay πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜Œ""

Hakim aliushika ule mkono wangu wa kushoto niliokuwa nimeivaa Ile saa aliyoniletea aliubusu then alinitizama Katika macho yangu aliniambia Pendo natamani uwe mke wangu umenivutia sana! wewe ni mwanamke mrembo una rangi nzuri na shape nzuri pia kiukweli umeuteka sana Moyo wangu pendo I want to tell you something, I love you ❀️❀️""
""Hakimu aliniambia vile huku tukiwa tunaendelea kutembea Kwa mwendo wa taratibu sana alikuwa ameushikilia mkono wangu huku tukiwa tunatembea Very slowly! Kusema Kweli Wala sikumjibu kitu niliendelea kukaa tu kimya tulifika katika kieneo Fulani kizuri Hakim aliniomba tukae pale katika Ile sehemu nilikubali tulikwenda tukakaa katika Ile sehemu Hakim alikuwa akinitizama sana machoni kwangu aliniita Pendo nilimuitikia aliniuliza uko tayari kuolewa na Mimi!? Niliendelea kukaa kimya! Usikae kimya mpenzi wangu kumbuka tayari Kila kitu kimeshapitishwa na familia zetu tayari nimeshatoa mahali kwenu na nimekuridhia wewe Kwa moyo wangu kuwa mke wangu pendo I love you with meaning Please, I am asking you to accept me. I will love you every day I will give you true love from now until the end..... Ni sawa Hakim lakini nahitaji muda wa kuamua Juu ya ndoa yangu Mimi na wewe!

Hakim aliendelea kunigongelea mistari ya moto Moto lakini mwenzie hata kidogo sikushawishika et! Tukiwa bado tunaendelea na mazungumzo yetu simu ya Hakim iliita alipokea nazani aliyepiga ni Jace yule rafiki yake alimpatia maelekezo sehemu tuliko Akawa amemuijia pale hakusogea pale Karibu yetu ila aliegesha gari Kwa mbali kidogo!
""Tizama tayari kaishafika rafiki Yako amekuja kukuchukua et Naomba na Mimi nirudi nyumbaniπŸ™‚πŸ™‚""
""It's ok pendo lakini Kesho nitakuja kukuchukua Kwa ajiri ya kwenda hospital Kufanya vipimo baadhi vya kucheki Afya are you ready!? ""
""It's okay Hakim tutaenda tu πŸ˜”πŸ˜”""
""Pendo before we say goodbye can you give me a kiss!? Tafadhari kipenzi Naomba usinikatalie et I only ask once""
""Not now Hakim maybe for another time πŸ™ˆπŸ™ˆ nilimjibu hivyo Kisha nikasimama pale nakuanza kupiga hatua hakimu aliushika mkono wangu akanivuta Karibu yake darling aliniita hivyo nilinyamaza kimya baby aliniita Tena yes Hakim πŸ™ˆπŸ™ˆ nilimuitikia et Kwa sauti ya chini sana! Tumeshatembea umbali mrefu kidogo kutokea nyumbani kwenu Sasa hivi ni usiku et hauwezi kwenda peke Yako Naomba nikubebe kwenye gari niweze kukurudisha nyumbani! It's okay hakuna shida! Hakim alinishikilia mkono wangu Alf Kuna vile alikuwa anauminyaminya😌😌 tulitembea Hadi pale alipokuwepo Jace Hakim alimuomba Jace kama hatojali basi amungoje pale Yeye anirudishe nyumbani kwanza then atampitia pale warudi hotelin! Jace alishuka kwenye gari walipeana fiveπŸ‘ŠπŸ‘Š walionekana kuwa marafiki wakubwa sana Hakim aliufungua mlango wa mbele Kule akaniomba nipande kwenye gari nilimuaga Jace It's like byeeeee πŸ–– wow byeee Shem Darling 🫢 I wish you a good night see you next time byeeeee 🫰

Nilikaa zangu kwenye gari Hakim akawa ameondoa gari eneo lile kuelekea nyumbani kwetu ilikuwa ishafika saa nne za usiku! Alinipeleka Hadi jirani kabisa na getin kwetu! Kabla cjatelemka Hakim aliniita babyπŸ™ˆπŸ™ˆ nilinyamaza etπŸ™ˆπŸ™ˆ darling aliniita TenaπŸ™ˆπŸ™ˆ yes baby nilijitutumua kujibuπŸ™ˆπŸ™ˆ I love you😘😘 mmmhhh mie chitaki mie apenda boo wangu siyo weweπŸ˜”πŸ˜” nilijibu kimoyomoyo πŸ˜”πŸ˜” hakimu aliugusa mkono wangu akanisogeza Karibu yake alionekana kuwa na mizuka Fulani hivi πŸ™„πŸ™„ sorry i need to leave Nilimwambia baada ya kumuona kama mtu anayetaka kufanya kituπŸ™„ lakini Wala hakuniachia alinivuta Karibu yake zaidi Hakim alianza kuninyonya kwenye lip's zangu I don't need to do that, please leave me alone Wala ata hakuniachia et aliniambia Pendo please ni kiss peke yake mamaa usinizuie et nakupenda Pendo Nina hisia Kali sana Juu Yako nakupenda mama I Love you πŸ˜”πŸ˜” Hakim aliniambia huku akiwa amenituliza katika kifua Chake Yani Hadi nililia et mi nampenda Paschal kwanini hii inatokea😒😒 baada ya Hakim kuniona nikiwa nadondosha machozi aliniachia I'm sorry Pendo I beg you to forgive me Yani ni vile nikikusogelea nakuwa napata msisimko mkali sana pole mama aliniyafuta machozi yangu Kisha akanikiss kwenye paji la uso 😘😘 baada ya hapo aliniomba namba yangu ya cm then alinifungulia mlango nikatoka Kule kwenye gari!

Nilienda Moja kwa Moja Hadi chumbani kwangu Nikajifungia huko nilifanya kulia Ili kupunguza Jamu ya hasira moyoni kwangu...... Wazazi wangu waliniita wakaniomba sana sana niweze kuolewa na Hakim! Lakini wazazi wangu Mimi tayari Nina mwanaume ninayempenda simpendi Hakim naombeni mnielewe πŸ˜”πŸ˜” baada ya kuwambia hivyo Daddy alisimama Kwa hasira akaniambia amka ukusanye Kila kilicho chako humu ndani uende Kwa huyo mwanaume wako😑😑 umekua Sasa unataka kutupanda kichwani tumekuzaa wenyewe tumekulea wenyewe Leo hii unataka kutufundisha kipi Cha kufanya!? Nasema Toka uende Kwa huyo mwanaume wako ondoka hapa nyumbani kwangu mtoto kumbe mshenzi huyu😑 anathubutu vipi kuniambia kwamba ana mwanaume wake na ilihali Bado tunakaa naye hapa nyumbani!? Una mwanaume wako huku ndani unafanya Nini wenye wanaume zao wako makwao huko na familia zao kama ilivyo Kwa dada Yako Prisca na Mme wake wako kwao na siyo kama walichukuana kizungu no walifuata taratibu wakafunga ndoa wewe Huo uhuni ulioamua kutuoneshea sisi hazalani nenda ukaufanye huko huko na usikae ukakanyaga hapa nyumbani kwangu Helena hivi ndivyo ulivyomlea Binti Yako!? Baba alinishambulia sana Yani ni alichukia kupita kiasi sijawahi kumuona baba yangu akiwa na hasira kiasi kile niliogopa sana pale alipomuuliza mama kwamba hivyo ndivyo alivyonilea nililia huku nikiwa namuomba baba yangu msamaha lakini hakutaka kunisikiliza Mtoto wangu ni Prisca pekee huyo ndo Mtoto mwenye heshima na adabu Kwa sisi wazazi wake alijitunza Hadi siku anaolewa hakuwahi kututamkia hazalani et ana mwanaume wake na sisi hatukuwahi kuona uchafu wowote Kwa Prisca Yani sikuwahi kuyajua makucha Yako pendo kumbe wewe ni Mtoto mshenzi sana😑😑 nasema Toka huku ndani kwangu na kesho mapema nitakwenda kuonana na familia ya kina hakimu nirudishe Kila kitu Chao!

Eh Mungu wangu baba yangu alichefukwa kupita kiasi aliniamuru niondoke nyumbani kwake!

Itaendeleaaaa......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 27....28πŸ’˜πŸ’˜

Tukiwa tunaendelea na mazungumzo Mimi na Shangazi yangu Mom alikuja kule chumbani Kwangu alionekana mtu mwenye furaha sana aririririiiiiiiiiiiiii alianza kupiga vigeregere Kwa shangwe haya fanya utoke mwanangu ukawaage wageni waondoke...... Nilitoka kule chumbani Kwangu nikaelekea sebleni kwenda kuwaaga wageni.......My daughter, we are leaving Now🀝🀝 We are grateful for the food Thank you very much🀝🀝 ni sawa baba karibuni Sana πŸ™‚πŸ™‚ wow Asante sana nazani tuwapatie muda wewe na Hakim mpate kufahamiana vizuri hata Kwa muda mchache tu! It's ok daddy 😊😊 wale wazee pamoja na yule kijana mmoja walitangulia kwenye Gari Mimi na Hakim tulibakia nyuma kidogo...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-no-27-28

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-no
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 30πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 30πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 32πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 32πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  NO 31πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ NO 31πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 29πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 29πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 26πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 26πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

924
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

208
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

170
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

129
ACHA NIKUPENDE ❀️1

ACHA NIKUPENDE ❀️1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

107
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.65K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❀️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❀️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest