Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
nashangaa maana Catherine kwenye kutunga uongo yupo vizuri sana, yaani kaflash topic chap kwa haraka, Boss alikuwa lakini inaonekana bado anamashaka ila akaamua kuvunga tu maan alikuwa hana ushahidi pia alikuwa kam anachunguza jinsi tunavyofanana
"Haya wewe upo kutukodolea macho tu hapa hivi huoni haya, kwanza wewe nani yake" aliuliza Catherine kana kwamba hamjui ila Catherine ni bonge la actor huyu alifaa akasomee sanaa kabisa yaaan, boss akawa anamshangaa jinsi anaongea tu "Wewe mimi sinina kuuliza kapatwa na nini huyu na wewe ni nani yake sio tunakaa hapa kumbe ndio kwa shemej ohoo, hatoki bure bure huyuu" alimtizam kwa muda naona tuzungumzie kwanza haya mambo yaliyotufanya tupo hapa and then tutaongea kuhusu mengine just like mimi ni nani kwake alisema Boss mimi ilibidi "hee wewe kwenye mambo ya vingereza hapo tutaongopeana mimi sijasoma kabisa nimeishia la nne na huyu mjinga..."
"Basi tuishie hapo nitajaribu kuongea kiswahili tafadhari tuzungumzie mambo yanayotuhusu sasa mama angu" alisema boss kwa utaratibu ila kuna wasi wasi alianza kupata maana huyu anaongea sana kama vile Catherine "haya twende kwenye point mimi mwenyew niko busy sana kwahyo naomba uongee haraka tunaenda na time" alisema huku anarusha less wigi lake
"Huyu ana tatizo la moyo, moyo wake unatundu kati kati na inaonekana hili tatizo ni la muda. sana na hamkuwahi kumpeleka hospitali kabisa yaani" alisema boss niilishtuka kwa sababu huo ugonjwa naujua ila sikuwa najua kam nina tobo kwemye moyo coz dada ndie alienambia kwamba nina huo ugonjwa ila hakusema kama ni tobo kwenye moyo
"Tunajua na tutatafuta njia ya kumtibia sisi wenyew haina haja kabisa ya kuwaza hivyoo nambie wewe ni nani kwake aliongeea Catherine yaani alijitia majukumu na kuweka ukauzu utadhani yeye sio huyo Catherine
"Sasa inapasa atibiwe mapema na huu ugonjwa wake ni unatibika na kwa hali iliofika kwa sasa anatakiwa awahishwe kutibiwa maana ugonjwa wake ni umepea sasa na tunaweza kumpoteza"alisema Boss Marquis, dada alitoa macho akasema kwa sauti.
"Careen Mungu wangu" alishika kichwa akaanza kulia kwa nguvu "jamani Careen tupo wawili tu hatuna mama hatuna baba sisi, sasa jamani ukifa itakuaje mimi ntakaa na nani nani atanistiri aibu zangu mimi na huu mdomo wangu jaamani mbona dhahma hii ntaumbuka" mama dada akaanza kulia kwa kuomboleza muda huo ashaniita Careen yaani dada jamani hapana yani mimi ni mgonjwa na nina mawazo kweli ilibidi tu nicheke jamani
"Hee wewe Careen unaumwa na unacheka yaani mimi nalia hapa" yaani dada aliongea huku analia jamni kiukweli alikuwa ananifurahisha tu maan ilikuwa sio kawaida nilijitahid kuongea kwasababu kashamwaga mpunga kwenye kuku wengi nikaamua acha nimalizie "sasa Catherine mimi unanichekesha, hebu unaliaje hivyo kama nishakufa tayari" nilimwambia Catherine kwa maana tayari alikuwa kashaniita Careen hamna siri hapo tena siri imefichuka wa kwanza kuijua ni boss, Boss alikuwa anatushangaa jinsi tunabishana sasa "wee mpuuzi wewe ukifaa yani wewe hauna akili kabisa yaani mimi napenda kuchukua vitu poa ila sio kwenye hili Careen aliongea Catherine tuliendelea kuzozana
"Nataka nijue kwanza mwanamke wangu ni yupi kati yenu, na mfanyakazi wangu ni yupi kati yenu maana nahisi kuna game mnaliplay kabisa mnacheza na akili yangu hebu niambieni"
Tulitoaa machoo maana tulikiwa tunabishana kana kwamba mule hamna mtu kabisa kumbe Marquis alikuepo, Catherine aligeuka kumjibu sasa nilijuaa kabisa hapa kumenuka maan
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AAAAH IMETOSHA BOSS ππ N0 47ππ
Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fat...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. ...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona j...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
nashangaa maana Catherine kwenye kutunga uongo yupo vizuri sana, yaani kaflash topic chap kwa haraka, Boss alikuwa lakini inaonekana bado anamashaka ila akaamua kuvunga tu maan alikuwa hana ushahidi pia alikuwa kam anachunguza jinsi tunavyofanana
"Haya wewe upo kutukodolea macho tu hapa hivi huoni haya, kwanza wewe nani yake" aliuliza Catherine kana kwamba hamjui ila Catherine ni bonge la actor huyu alifaa akasomee sanaa kabisa yaaan, boss akawa anamshangaa jinsi anaongea tu "Wewe mimi sinina kuuliza kapatwa na nini huyu na wewe ni nani yake sio tunakaa hapa kumbe ndio kwa shemej ohoo, hatoki bure bure huyuu" alimtizam kwa muda...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/boss-chomoa-mimi-sio-jamani-chapter-10-hhh-hamna-nimechanganyikiwa-tu-kwani-huyu-shida-nini-etty-cat
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13 Search "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7 "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8 "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza