Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, nilishangaa maan mimi sijalala hapa nililala pembeni ya Boss nilikaa kwa huruma kweli nasubiria majibu yatakavyotoka sasa maana inavyooneka tu naumwa maan niliwekeawa na nilikiwa na lile oxygen na pembeni nilikuwa namuona daktari anasoma kwenye kile kimashine wanachosomeaa sijui ni pumzi sielewi mimi kwakweli yule doctor aligeuka "umeamka madam, maan tulikuwa tunawasi wasi sana akatoka nje "Mkuu kashaamka tayri" nilisikia daktari anaongea tu ila nilimuona daktari kaingiaa pamoja na boss Marquis" nilimtizama kweli maaan sikuweza kuongea kabisa maan lile machine lilikuwa kwenye mdomo wangu
"Afadhari mke wangu umeamka sasa Mungu ni wakushukuriwa sana mpenzi wangu ungekuwa haupo sasa jamani Mungu ni mwema sana, niliogopa sana hali yako iliyotokea jana usiku" niligeuka pembeni sikutaka hata kumuona mawazo yangu yakajuaa alichokifanya ndio sababu ya mimi kuja hapa hospitali, alielewa akanisogelea karibu kisha akamuuliza daktari "Samahani naweza kumtoa hii machine ya gesi hapa mdomoni?" Alikuwa anamuuliza daktari na alimjibu kwamba kwa sasa nipo sawa anaweza kukitoa tu hicho kimashine tena bila wasi wasi ila yeye anatoka kwenda kufuata dawa
"Haya mama yangu nambie shida ni nini sasa mbona umenuna bi mzuri wangu" nilimkata hilo jichoo mhh yaani kama nataka kummeza nilijiskiaa tu kukerekwa nafsi kweli yaan, kila ninapomuona maan alinikwaza mno, yaani mimi najua yeye ndio sababu afu anasema etyy shida nini kama lifala, na vile nikiwa na hasira siwezi jibu mtuu, huwa natamani nimpge hata mmbao
"Huwezi kunambia mke wangu?, kwani bado unahasira na mimi bado?" Nilimkata hilo jicho maana najua nikiongea naweza mpiga hata mkofi maana mimi jamani nina hasira za kupigana, alinitizama akaja akanikumbatiaa " nisamehe mke wangu" hapa ndipo hasira zilizidi nikatamani kumpiga hata mngumi nyoka huyuu hana hata hata ovyoo
"Haya toka hapa maana ninahasira na wewe, yaaani wewe ndio sababu ya kila kitu afu unajishaua hapa ohoo wee endelea nitaku..... akainuka akanitizama akanikiss juu kwenye paji la uso, nilitamani nimtukane kweli maan naona alikuwa hanielewi "hivi unajua sitaki ukaribu wako kwangu wee mpuuzi alinitizama akasogeea pembeni "sasa mimi, labda uniue ndio utautoaa ukaribu wangu kwako utaondoka ila usitegemee nikiwa hal ukaribu wangu unaokukeraa utaondokaa yaani hapa ndio kam vile umeanza na utazid hapa kwasababu mimi ni mumeo yaani utake usitake nakuoaa Catherine" nilimtizam yaani anajua mimi ni Catherine Ila wewe mimi sio kabla sijamaliza sentensi Catherine akapiga simu akachukua na mara hii aliiona kabisa kam anaepiga hapa ni Catherine
"Kumbe kwenu kuna Catherine mpo wengi sana anapiga" nilimtizama tu "ni dada yangu huyoo" alishangaa tu Dada yako anaitwa Catherine hhh kwahyo mlikosa majina au ndio mnalipenda" sikujibu alipokea akaweka loud
"Shga angu kwahy huoo umbea si unipe wee naee maana ushasema nisije ila wew mhh nilishtuka maana na boss alinikata jichoo hilo linaloongeaa kabisa akachukua simu "dada yake Catherine, mdogo wako yupo hospitali hapa kalazwa wee dada alishtuka huyoo mjinga kweli lipo hospitali na anasema nisije, akifa atajizaa yaani halijui kama sisi hatuna wazazi yaani hilo ni lijinga sijui lipoje, upole mpaka anakuwa mpuuzi yaani Careen subir, nakuja" boss alishtuka baada ya kuskia dada kasema Careen ila akajua kachapia maan Catherine na Careen vinataka kuendana kabisa alimuelekeza ni hospitali gani na tulikuwa vip room alikata simu
"Dada yako anakuja sasa, na kwanini unakuwa muongo na kwanini ulikaataa asije?" Nilimtizama tu sikumjibuu wala nini, nikageuka pembeni nikajifanya nimelala yeye akaendelea kulalamika, jamani hyu mwanume analalarnika sijawahi kuona kabisasa
Haukupita muda mwingi ni kama dakika 40, namuona Catherine huyoo anaingiaa maana alielekezwa hadi chumba kafika karopoka tu "Careen" nilitoaa macho hata Boss alijua kabisa hii sio kuchapia ni makusudi kabisa "Careen?"
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AAAAH IMETOSHA BOSS ππ N0 47ππ
Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fat...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. ...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona j...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
, nilishangaa maan mimi sijalala hapa nililala pembeni ya Boss nilikaa kwa huruma kweli nasubiria majibu yatakavyotoka sasa maana inavyooneka tu naumwa maan niliwekeawa na nilikiwa na lile oxygen na pembeni nilikuwa namuona daktari anasoma kwenye kile kimashine wanachosomeaa sijui ni pumzi sielewi mimi kwakweli yule doctor aligeuka "umeamka madam, maan tulikuwa tunawasi wasi sana akatoka nje "Mkuu kashaamka tayri" nilisikia daktari anaongea tu ila nilimuona daktari kaingiaa pamoja na boss Marquis" nilimtizama kweli maaan sikuweza kuongea kabisa maan lile machine lilikuwa kwenye mdomo wangu
"Afadhari mke wangu umeamka sasa Mungu ni wakushukuriwa sana mpenzi wangu ungekuwa haupo sasa jamani Mungu...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/boss-chomoa-mimi-sio-jamani-chapter-9-asubuhi-ilifika-ila-chaa-ajabu-najiona-naamka-nipo-hospitali
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12 "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13 Search "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7 "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8 "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza