Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

HATARIIIII  SEHEMU YA "2"❤️❤️❤️❤️❤️❤️  basi nikachukua kile kinamba my wenu
Gonga94 · Stories

HATARIIIII SEHEMU YA "2"❤️❤️❤️❤️❤️❤️ basi nikachukua kile kinamba my wenu

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
nikafika nyumbn sasa kaka kila mda anauliza umeandikiwa dawa gani me najiuma uma tu my wenu sielewi nijibuje basi badae nikamwambia mama anipe hela nikanunue dawa nmeisahau jina ila nikifika supermarket taijua alafu anipe na cm ake kipindi hiko sina cm hata alaf nikifika nimpigie nimwambie bei yaani nilijiuma uma ilimradi anipe cm basi ile kunipa cm nikamtext hellow elias its skyler kidogo tu akapiga akanambia waoooh unataka kujua jina la dawa basi dawa za kaka zilitosha kabisa ila nilitaka unitafute basi nikamwambia mwenzako nmedanganya nyumbn na hii cm ya mama angu nmechukua apa nipo njiani naenda duka la dawa akasema tuongee tu alafu ukifika nyumbani mwambie mama nmesahau jina la dawa na pia nmepoteza karatasi ili kesho wakutume uje uku hospital uulizee weee si nikaona hili bonge la mbinu woiiiii🤣🤣🤣🤣nikafurahi basi tukaendelea kuongea akaniuliza unasoma wapi nikamwambia umejuaje km me nasoma akasema si unaonekana km kakuku ka kienyeji kabisaa🤣🤣🤣🤣basi nikamwambia akasema uko form two eeeh jmn ahahhaha nikamwambia hapana niko form 5 akasema una mwili mdg sana skyler aniiii unaonekana bhana mdg sana basi nilikuaga sipendi kuambiwa me mdg😪😪 nikamwambia bhanaa me stakii alf huyo doktor nilikua nmeshamkubali aiseee akanambia basi wewe mkubwa akanambia kesho ukija unataka nikupe nn nikamwambia sasa apo hospital utanipa nn dawa au sindano akasema ukija hauji hospital unakuja nyumbani😨😨kheeee nikamwambia sawa ani nilikua sina kauli hata kdg basi mimi nikarudi nyumbn nikamwambia narudisha cm usinitafute takutafuta badae basi nikamwambia mama kua dawa nmekosa akasema nenda hospital ukaulize mimi nikasema sawa basi nikampigia nikamwambia nmeambiwa nije nikuulize sahivi akasema kwelii nikamwambia ndio ilikua km saa 10 jioni akasema waoooh basi njoo nikamwambia uko wapi akasema niko hospital ila naingia kwenye operation kuna mama mjamzito anatakiwa operation ya haraka sana mimi huyo nikadandia bajaji mpk hospital kufika pale bhanaa kashaingia nmekaa saa 12 saa moja saa 2 mtu hatoki nikampigia kaka kwa cm ya mama nikamwambia dokta kaingia kwenye operation nmeambiwa nimsubiri namsikia mama pembeni anasema mda wote kwann asirudi nyumbn ani huyu leo nakuja kumuumiza weeee nilinyanyuka fasta nikimbie nyumbn ile nakimbia nikatereza nikaanguka ila nataka kuinuka dr elias alifika akauliza skyler unaharaka ya wapi yani kidogo nimuue mgonjwa kwa kukuwahi wewe naww unataka kuondoka sasa namimi kwake sina shughuli nikamwambia hapana bhanaa sema tu niliona giza linaingia akasema hapana hebu njoo huku mara moja basi tukaingia kwenye chumba cha daktari ile tumeongia tu akafunga mlango akanishika mabegani akaniegemeza mlangoni🥴🥴🥴 weeeee nikamwita elias akaniitikia naam😊😊jmn huyo kaka ana lips nzurii sijui niwaoneshe au basi🤣🤣🙌🏼🙌🏼basi nikamwambia baba angu leo ataniua plzz naomba niende akasema jmn kumbe sio mwili tu hata akili zako ni za kitoto basi akanishika mashavu akanambia you are very cute 😎😎kwa mara ya kwanza nilipata hisia za mpz nikahisi chupi yangu inawaka moto nikamwambia thank you huku naona aibu my wenu🫣🫣basi akanishika vzr akanambia now close your eyes
and open you mouth 😱😱 weeee nikafumba vimacho akanipiga busu mpk nikayumba akanambia una lips laini we mtt cm ya mama ikaita were nilishtuka nikamsukuma nikafungua mlango mbio kufika nje giza bajaji hazipo nikaona boda nikapanda basi yule boda nae akaanza kuniomba namba za cm sikumpa kamwambia sina simu haelewi ile nashuka nampa hela hataki nikakimbia hatariii kufika nakutana na mama ananiuliza dawa ziko wapi uwiiii uwiii si ndo nashika makita elias anatuma text umesahau dawa wewe waambie inaitwa tramadol nikamwambia mama dokta kachelewa kutoka ila dawa zinaitwa tramadol weeeee mama alinipa fimbo moja ile kuikinga na mkono kidole gumba changu kikapasuka😭😭😭😭😭jmn jmn nilipokea kipondoooooo😫😫😫

Itaendelea
Tangazo - General kumbe ulinipenda kweli eee
General kumbe ulinipenda kweli eee
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

HATARIIIII SEHEMU YA "2"❤️❤️❤️❤️❤️❤️ basi nikachukua kile kinamba my wenu

nikafika nyumbn sasa kaka kila mda anauliza umeandikiwa dawa gani me najiuma uma tu my wenu sielewi nijibuje basi badae nikamwambia mama anipe hela nikanunue dawa nmeisahau jina ila nikifika supermarket taijua alafu anipe na cm ake kipindi hiko sina cm hata alaf nikifika nimpigie nimwambie bei yaani nilijiuma uma ilimradi anipe cm basi ile kunipa cm nikamtext hellow elias its skyler kidogo tu akapiga akanambia waoooh unataka kujua jina la dawa basi dawa za kaka zilitosha kabisa ila nilitaka unitafute basi nikamwambia mwenzako nmedanganya nyumbn na hii cm ya mama angu nmechukua apa nipo njiani naenda duka la...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/hatariiiii-sehemu-ya-2-basi-nikachukua-kile-kinamba-my-wenu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi hatariiiii-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.48K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

2.56K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.11K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.11K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.04K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest