VYOTE NDANI GONGA94
Kwa hiyo umekubali kuzima matumaini makubwa ya nyumbani kwenu juu yako ?
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Umekubali na kunyoosha mikono juu kwamba , safari yako imeishia hapo ?
Tuseme zile ndoto zako , zitabakia kuwa hadithi ya kufikirika kwa upande wako ?
Kwa hiyo na wewe pia umeshindwa kuwaheshimisha wazazi wako ?
Tukikuuliza kwa nini , unajibu kwa sababu ya changamoto kubwa...
Sikia hustler hakuna changamoto kubwa , mbele ya ndoto zako kubwa...
Matumaini ya wazazi nyumbani ni makubwa , kuliko changamoto unazokutana nazo...
Unakubali kufa huku ukiwa hai , nani sasa atalibutua kopo linaloitwa umaskini nyumbani kwenu...
Sababu zote , zinakataa wewe kukata tamaa , twenzetu tukajaribu na leo, labda itakuwa tofauti na jana...
LECTURE...
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
0742133100 Tuliongea sana na kupanga mambo mengi yamaisha yetu, hakika nilifurahi mno kwa upande wangu, siku iliisha...
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
0742133100 Aliendesha na kuanza safari yakurudi dar, japo kuwa muda ulikuwa umeenda lakini hakujali, alifika dar mid...
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL alinituliza hapo na kunitoa kwenye hali niliyokuwa nayo, kisha tulianza kupiga story mbali mbali kutuhusu sisi...
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *16--20* *
___________________________________* *SEHEMU YA 16* Kisha shangazi slimpigia simu mjomba na kumpa taarifa: "Mumewangu h...
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
"Laura, nikuambie kitu? "Ndio niambie mpenzi" "Laura, wewe ni wathamani kubwa sana maishani mwangu, unajua kuwa si...
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
0742133100 Mjomba alisimama kwa nyuma yetu na gari yake, wakati huo hatukuwa hata na wazo alitizama mchezo mzima, ...
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
aliinuka na kufungua mlango, alikua rafiki yake mmoja ambaye wanakaa wote hapo kambini, akamkaribisha ndani na kumta...
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha kisha nilienda chumbani kwangu, nikachukua kadi ya General
na kumpigia kwani nilikuwa nimemiss sana, simu iliita kwa muda sana, kisha ilikuja kupokelewa na mdada: "Hallow" "Ha...
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *11--15* *__________________________________* *SEHEMU YA 11* Nilishtuka sana mjomba alipo niona ndio mkono wa General Ethane upo mdomoni kwangu
, nilipokutana macho kwa macho na mjomba niliganda nikiwa nimetoa macho, kisha nilisimama juu na kumuita: "Mjomba! ...
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Skip Ad
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
share
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Kwa hiyo umekubali kuzima matumaini makubwa ya nyumbani kwenu juu yako ?
Umekubali na kunyoosha mikono juu kwamba , safari yako imeishia hapo ?
Tuseme zile ndoto zako , zitabakia kuwa hadithi ya kufikirika kwa upande wako ?
Kwa hiyo na wewe pia umeshindwa kuwaheshimisha wazazi wako ?
Tukikuuliza kwa nini , unajibu kwa sababu ya changamoto kubwa...
Sikia hustler hakuna changamoto kubwa , mbele ya ndoto zako kubwa...
Matumaini ya wazazi nyumbani ni makubwa , kuliko changamoto unazokutana nazo...
Unakubali kufa huku ukiwa hai , nani sasa atalibutua kopo linaloitwa umaskini nyumbani kwenu...
Sababu zote , zinakataa wewe kukata tamaa , twenzetu tukajaribu na leo, labda itakuwa tofauti na jana...
LECTURE...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kwa-hiyo-umekubali-kuzima-matumaini-makubwa-ya-nyumbani-kwenu-juu-yako
#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle
Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn Share on Pinterest
 
Show Text
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kwa-hiyo-umekubali-kuzima-matumaini-makubwa-ya-nyumbani-kwenu-juu-yako
Maoni