Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 13 "Kabil wewe ni wakuniolea mwanamke kisiri siri? , mpaka naambiwa na ndugu
Gonga94 Β· Stories

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 13 "Kabil wewe ni wakuniolea mwanamke kisiri siri? , mpaka naambiwa na ndugu

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
zako mume wangu kweli ?" Alisema yule mwanamke ila kwa sura nilikuwa kama namjuaa Fulani hivii alionekana kabisa namjuaa huyu mwanamke ila nikapotezeaa nikasema wacha niwasikilize kwanza maongezi yao "Enhe wewe ulivyokuwa huna muda na mimi ulifikiriaje kwamba sitooa na sikukwambiaa Mariam kwasababu ya ubize wako, wewe mwanamke humjali hata mumeo nilikuoa kwasababu na kupenda japo ulikuwa na sifa mbaya sana mke wangu ila nilikuwa sina jinsi kwani wewe mdada upoje etty wee mwanamke ? " alisema Kabil , yule mwanamke akacheka tu "mhhh kwahyo ndio hapo mmeinjoy au kwa sababu mimi sizai au kwasababu mimi siwezi kupata mtoto si ndio" alisema yule mwanamke mimi binafsi niliona wananichanganya tu kichwani na siwezi kuendelea kusikiliza upuuzi wao mimi mwenyew nina mambo yangu kibao mengi tu kichwani yamenizonga sina muda wa kuwaza pia makelele yao nikaamua niingiliee sasa hili...

"Mhh kwahyo unaingiaa chumbani kwangu nipo na mume wangu unaingiliaa mambo yasiyokuhusu si ndio?" Nilisema huku nikimtizama kwa dharau " mume wako wewe , mimi na huyu mwenye mume ni nani wewe ni umeolewa kwasababu tu" alisema Mariam , nilimuangalia ila moyoni nikasema huyu hanijuii vizuri kam ninapenda ugomvi kuliko chochote na nipo serious sana na mambo yangu mengine na ninaongea sana kuliko chochote kile "Wewe awe mumeo asiwe mumeo kwangu hainishiki mimi ninachojua kwa hapa ni mume wangu kwasabbu kanioa kwa ndoa na hauna haki ya kuingiliaa hili tafadhali niache nimechoka , nimafanya kitu kikubwa kilichonichosha sana isivyoo kawaida hivyoo unaweza kutoka nipumzike? Tafadhari " nilimwambiaa kwa dharau kweli " uzuri mimi huwa siongei san kila siku huwa naongea kwa hatua na kwa maringoo hivyoo basi ninakuomba uniache kidogo niongee na mume wangu" nilimtizama kwa shauku kweli nilitamani niinuke nimtie bao ila nikasema huyuu hanijui vizuri nahisi " Mhhh okay naomba unielewe kitu kimoja hii ni room yangu na nipo na mume wangu hivyoo mlango ulio ingilia ndio utokee huko huko" alinitizama anajifanya ana pesa balaa maan kavaa hiloo abaya linaonekana tu la beii " mhh kwahyoo huyoo mwanamke mswahili ulimtoaa wapi?, labda nikuulize, okay by the way nakutaka nyumbani , na wewe karibu kwenye uke wenza nadhani umenielewa" nilimtizama tu huku namshusha nampandisha " wewe ntamalizana na wewe dawa yako iko jikoni inachemka binti usijali " nilimuangalia "Sawa nimekuelewa bi mkubwa unaweza kwenda coz mimi sina huoo muda wakubishana na wewe nishajua wewe ni mke mkubwa hilo linanitosha sana kwaheri " niliongeaa nikinyoosha mkono kumuelekezeaaa mlango ulipo , hakuwa na jinsi aliondokaa

Sikutaka kumuuliza chochote mume wangu nikapanda kitandani ila nilikuwa nina maumivu makali mnoo , yaani makali isivyo kawaida yaani " mke wangu" alinishika bega nikanyanyua mkono nikatoaa mkono wake "kam unaona nakukarahisha hapa tafadhali nakuomba ntaenda kulala kwenye kochi sitaki kuguswa wala kusumbuliwa na wewe inatosha hii sasa inanitosha kwaherii" nilisema nikinyanyuka na kwenda kulala kwenye kiti alikuja hapo akanibeba akaniweka kitandani nikamtizama nikarudi zangu kulala , yeye akaenda kulala kwenye kiti

Itaendelea..... πŸ”₯
Tangazo - General kumbe ulinipenda kweli eee
General kumbe ulinipenda kweli eee
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 13 "Kabil wewe ni wakuniolea mwanamke kisiri siri? , mpaka naambiwa na ndugu

zako mume wangu kweli ?" Alisema yule mwanamke ila kwa sura nilikuwa kama namjuaa Fulani hivii alionekana kabisa namjuaa huyu mwanamke ila nikapotezeaa nikasema wacha niwasikilize kwanza maongezi yao "Enhe wewe ulivyokuwa huna muda na mimi ulifikiriaje kwamba sitooa na sikukwambiaa Mariam kwasababu ya ubize wako, wewe mwanamke humjali hata mumeo nilikuoa kwasababu na kupenda japo ulikuwa na sifa mbaya sana mke wangu ila nilikuwa sina jinsi kwani wewe mdada upoje etty wee mwanamke ? " alisema Kabil , yule mwanamke akacheka tu "mhhh kwahyo ndio hapo mmeinjoy au kwa sababu mimi sizai au kwasababu mimi siwezi kupata mtoto...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lawyer-naumia-mwenzio-sehemu-ya-13-kabil-wewe-ni-wakuniolea-mwanamke-kisiri-siri-mpaka-naambiwa-na-n

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lawyer-naumia-mwenzio-sehemu-ya
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 16 Siku iliisha na mume wangu hakurudi na kesho yake mama wakwe
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 16 Siku iliisha na mume wangu hakurudi na kesho yake mama wakwe
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’   SEHEMU YA 19 - 20 Tuliendelea na shughuli yetu hakupata shida
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 19 - 20 Tuliendelea na shughuli yetu hakupata shida
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 7 Aliendeleaa kunishikilia kwa nguvu huku akinipa juice na mimi nilikuwa sitoi
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 7 Aliendeleaa kunishikilia kwa nguvu huku akinipa juice na mimi nilikuwa sitoi
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 12 Aliendeleaa kunipa juicee ila kuna muda aliacha afu mwenzenu nishanogewa
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 12 Aliendeleaa kunipa juicee ila kuna muda aliacha afu mwenzenu nishanogewa
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 10 Nilikuwa nimejikalia zangu chumbani sina tena maumivu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 10 Nilikuwa nimejikalia zangu chumbani sina tena maumivu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 11 Tukiwa tumelala kuna simu ikawa inaitaa alikuwa anapiga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 11 Tukiwa tumelala kuna simu ikawa inaitaa alikuwa anapiga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 8 "Mke wangu usinichukiee sasa nisamehe ika , mimi ndio mmeo wa kufa na kuzikana sawa mke wangu"
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 8 "Mke wangu usinichukiee sasa nisamehe ika , mimi ndio mmeo wa kufa na kuzikana sawa mke wangu"
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 9 "Wee jamni hata kam ndio umefukuzwa kazi ndio hupatikani shoga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 9 "Wee jamni hata kam ndio umefukuzwa kazi ndio hupatikani shoga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 6 Nilitoa macho mimi hadi machozi yalinitiririka jamani mimi nilijikuta nalia ila kwa sauti ya chini chini
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 6 Nilitoa macho mimi hadi machozi yalinitiririka jamani mimi nilijikuta nalia ila kwa sauti ya chini chini
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.04K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest