Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo
Gonga94 Β· Stories

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
makubwa sana maaan alijaribu kuongeaa na mimi , ila mimi sikutaka hata robo kumsikiliza yaani nilikuwa naona ananipigia makelele jamani mimi nisivyopenda fujo plus kanitibuaa nilikuwa nachukia sana

"Mke wangu leo tunaenda kwako tafadhari naomba tuondoke " alisema mume wangu Kabil nilikuwa namtizama tu sikujui nikanyanyuka nikaenda kujiandaa nikaoga nikavaa abaya langu aliloniletea mwemyew mimi nikatoka zangu nje sikutaka karaha za aina yoyote ile kwakweli, nilinyooka mpaka parking moja kwa moja kumsubiri alishuka na mabegi tukapanda gari , anajaribu kujichekesha simjibu wala nini mimi nimemchuniaa tu sina muda naee

Tulienda mpaka maeneo ya Kimara huko tukaingiaa getini mpaka nyumbani moja kwa moja mimi namtizama tu na maendeleo yake huyu mkaka alinifungulia geti nikashuka , alikuja msichana nilimtambuaa kam ni mdada wa kazi maaan ikuwa amevaaa sare alibeba vitu kupeleka chumbani huku sisi tukimfuata kwa nyuma kuna gari lilikuwa parking mimi nilijua ni la kwake mume wangu pengine huwa anabadilisha , nilifika chumbani na yule bintii aliondoka akaniacha chumbanina mume wangu

" samahani mke wangu , mbona hutaki kuongea na mimi ?, ujue mimi nilitaka nikwambiee ukweli wa kila kitu kama nilioa na kila kitu mke wangu na ujue kesho wazazi wangu wanakuja kukuona hivyoo usijali sana mke wangu mimi nakupenda mnoo ujuee" nilimtimzama nikatikisa kichwa " sawa nimekulewa huna haja ya kunielezeaa sana asante ☺️" nilitabasamu kinafki mimi nae kwa unafki nina A ,

" lile gari ulililoliona pale njee ni lako mke wangu na ufunguoo huo hapo , kama kuna shida au tatizo kwenye kuendesha naweza kuwa nakufundisha mimi hapa sawa mke wangu?" Nilimtizama sana huyu mwanaume alinikabidhi funguoo sikufundishwa kukataa atakachonipa mume wangu

"Na yule mdada pale atakuwa anakusaidia kazi anaitwa Hafsa utakuwa nae hapa mke wangu" akanishika shavu " samahani nakuomba sana usirudiee kunigusaa tutagombana " lakini mimi si mumeo ila Bilqis? Nilimtizama jichoo la haya jaribu uonee mpaka kikamshuka mwenyew haya sawa twende kule chini ni muda wa kuzunguka nyumba yako mke wangu hii yote utakuwa unakaa wewe peke yako usijali πŸ˜„ , nilimtizama tu na kwa jinsi nina hasira nae sikumjibu kitu

Tulishuka mpaka maeneo ya jikoni alikuwa ni Hafsa anataka kupika "mpenzi unapika chakula cha mimi na kaka yako?" Nilimuuliza Hafsa ndio madam " usijali mamy ntapika mwenyew chakula cha mume wangu wee kafanye mambo mengine sawa , alitabasamu sana yule bintii na vile ana dimples mhhh alizid kunoga yaani , aliniacha jikoni nikapika jamani chakula kilikuwa pambe balaa hakijafika mezani kinauniza watu mapua πŸ˜‰ mimi nae kujisifiaa mhhh ila ni kweli kupika najua jamani 🀭

Nilitenga chakula mezani nikawakaribisha aliktaka Hafsa asikaee hapa nilimwambia awe huru akae kwa amani asijisikie vibaya alikaa basi mwanzo mwishoo mume wangu ni anamwaga sifa basi mimi namkohoaa simkohoii hata , baada ya kula tushamaliza Hafsa yupo anatoa vyombo namsikiaa huyoo mwanaume " mke wangu natoka sasa kuna sehemu naenda" nilimtizama jicho baya kweli " haya kamsalimiee huyo mke mkubwa sasa , mimi sina shida nae 😊" nilitabsamu nikainuka nikaondoka zangu

Itaendelea...... πŸ”₯
Tangazo - usiku mmoja tu alidata
usiku mmoja tu alidata
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo

makubwa sana maaan alijaribu kuongeaa na mimi , ila mimi sikutaka hata robo kumsikiliza yaani nilikuwa naona ananipigia makelele jamani mimi nisivyopenda fujo plus kanitibuaa nilikuwa nachukia sana

"Mke wangu leo tunaenda kwako tafadhari naomba tuondoke " alisema mume wangu Kabil nilikuwa namtizama tu sikujui nikanyanyuka nikaenda kujiandaa nikaoga nikavaa abaya langu aliloniletea mwemyew mimi nikatoka zangu nje sikutaka karaha za aina yoyote ile kwakweli, nilinyooka mpaka parking moja kwa moja kumsubiri alishuka na mabegi tukapanda gari , anajaribu kujichekesha simjibu wala nini mimi nimemchuniaa tu sina muda naee

Tulienda mpaka maeneo ya Kimara huko tukaingiaa getini mpaka nyumbani moja kwa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lawyer-naumia-mwenzio-sehemu-ya-14-asubuhi-ilifika-pia-sikumuuliza-chochote-hii-ilimpa-mawazo

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lawyer-naumia-mwenzio-sehemu-ya
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 16 Siku iliisha na mume wangu hakurudi na kesho yake mama wakwe

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’   SEHEMU YA 19 - 20 Tuliendelea na shughuli yetu hakupata shida

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 7 Aliendeleaa kunishikilia kwa nguvu huku akinipa juice na mimi nilikuwa sitoi

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 12 Aliendeleaa kunipa juicee ila kuna muda aliacha afu mwenzenu nishanogewa

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 10 Nilikuwa nimejikalia zangu chumbani sina tena maumivu

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 11 Tukiwa tumelala kuna simu ikawa inaitaa alikuwa anapiga

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 8 "Mke wangu usinichukiee sasa nisamehe ika , mimi ndio mmeo wa kufa na kuzikana sawa mke wangu"

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 9 "Wee jamni hata kam ndio umefukuzwa kazi ndio hupatikani shoga

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 13 "Kabil wewe ni wakuniolea mwanamke kisiri siri? , mpaka naambiwa na ndugu

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 6 Nilitoa macho mimi hadi machozi yalinitiririka jamani mimi nilijikuta nalia ila kwa sauti ya chini chini

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.04K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest