Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 16 Siku iliisha na mume wangu hakurudi na kesho yake mama wakwe
Gonga94 Β· Stories

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 16 Siku iliisha na mume wangu hakurudi na kesho yake mama wakwe

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
na mawifi zangu walirudi niliingia jikoni nikapika chakula pambe sio powa yani mhh kulikuwa pambee kumanisha sio powa kwa uzuri uleee jamani , nilitenga mwenyew jamni ila muda huo wote mume wangu hakuwepo kabisa nyumbani

"jamni mkwe wangu mhh inaonekana upo vizuri san kwenye haya maswala ya mapishi , maaan sio kwa utamu huu binti yangu, kwanza ukute mwanangu kadata kwa mapishi yako binti yangu mhh ujue wewe nawee jamni" alisema mama mkwe baba mkwe aliendele kula tu alidakiaa mdada mmoja ni wifi ila nilikuwa simjui jina hata " wifi yangu jamani mimi naitwa Hawa ujuee napenda kula mhhh jamni , wewe ni mzuri sana ujuee mhhh mimi ntabaki na wewe hapa kwanza hata sisomi nishamaliza chuo na kazi yenyewe sinaa , ila unajua kupika kwa hapa tu nimekulewa" nilimtizama tu kwa furaha machoni mwangu nikatabasamu huku naendeleaa kula saa ngapi asidakiee wifi yangu mwingine " mhh jamani wifi ukicheka unakuwa mzuri ujue jamni mhh mbona wifi hapa tumepata , sijui kaka alijichanganya nini kwa lile limshangazi lake mimi silipendi, by the way mimi naitwa Najma " nilimtimzama nikatabasam man alikua ananifurahisha kwa vile anaongeaa jamni " wewe muda wa kula hawaongeagi sawa wanangu ngoja tumalize kula tuongee kuhusu kila kitu sawa binti yangu?" Nilikubali sawaa

Baada ya chakula nilikaa chini na wakwe zangu vipenzi tukawa tunaongeaa ila na wao walinambiaa story sawa na aliyoniambia Hafsa nilishangaa maana hata mama mkwe aliniambia kanipenda ila anahisi nikaondoka na kuomba taraka mimi mwenyewe , nilimtoa hofuu nikamwambia mimi sitooondoka nabanana hapa hapa mimi sio mzembe kabisa kwenye hili mimi nipo πŸ”₯, najijuaa ninachopenda na nisichopenda ila kama ni ugomvi nauweza , alinambiaa kuw autafikia muda nitakuwa nakaa mwenyew nikiwa nampigiaa hapokei, nilikaa kimyaa sasa ila nikasema nitavulimiaa ,mama mkwe alifurahishwa na uamuzi wangu na alisema in case kikitokeaa chochote nimjulishe nisiwe na wasi wasi nilifurahi , tuliongeaa mengi mwishoo waliondoka na nikabaki mwenyew na Hafsa wangu , hata Hawa aliosem anabaki hakubakiπŸ˜…

Zilipita siku , wiki , miezi na ilikuw ni kam miezi miwili kabisa tangu mume wangu aondokee nyumbani , na hajurudi tangu usiku ulee aendee uvumulivu uliliwa umeshanishinda sasa lakini nilikuwa najikaza na sijamwambia mtu yoyote wa nyumbani hali ilikuwa mbaya sana na kuna muda hadi matumizi yalikkuwa yanasumbuaa ila , mama mkwe alihakikisha hilo haliniteteleshi ila nilikonda sana kwa mawazo maana nilikuwa nawaza sana , na swala nilizidish nikawa naamka hata visimamo vya usiku kuswali ila nilikuwa naona kam na vyenyewee ndio vinaniongezeaa mawazo hii siku nilichoka sana nikaamuaa kuliaa , yaani muda wote unaweza amini sikuwahi hata kukaa pekee yangu kuliaa ila nilichoka nikaanza kuliaa niliona kabisa mimi sijaolewa nililetwa jela ma yote wametaka familia yangu maan kama wasingelazimisha hili pengine nisingepitiaa haya matesoi nililia sana ,

"Dada usiliee sasa najua inauma sana dada yangu najua hiloo hivyoo nakuomba kuwa na nguvu dada yangu ukiona vipi ondokaa" alisema hafsa nilimtizama " hafsa nimechoka sasa nataka niongee na rafiki yangu Fatma anitafutiee hata kikazi kitakachoniingiziaa pesa mimi nikawe na maisha maana kukaa nyumbani siwezi " nililia mnoo , ila nilijisikiaa kama kichefu chefu nikainuka mbioo nikaendaa kutapikaa nikarudi " mhhh dada unajuaa mimi nimekuwa sikuelewi elewi mhhh maan nakuona hadi kwenye vyakula umekuwa unabaguaa sana mhhh isiwe tayar, ndio maan nilinunua kipimo mapema ujee" nilimtizama kwa makini nikachukuaa kipimoo naenda kupima hivi mistaking miwili imekoleaa nilichoka " sasa bado una mawazo ya kuondoka ?" Aliniuliza nilimtizama " hapa afe kipa , afe beki mtoto hatoki kwa baba yake nimemaliza na hapa keshi tutaendaa hospitali kwa ajili ya kuanza clinic " Hafsa alitabasamu

Na kesho yake tulienda kuanza clinic na mimba ilikuwa ni ya miezi tisa niliwambia wazazi wa pande zote kam nina mimba na hata huku kwa wifi yangu tayari alikuwa amejifunguaa na nilienda kumuona ndio nikawapa na taarifa nilisema nitalala huko huko kwa wiki zima nilienda na Hafsa yaani toka nimeolewa ndio naenda

Itaendele...πŸ”₯
Tangazo - mjeda inauma siwezi vumilia 1 to 20 final
mjeda inauma siwezi vumilia 1 to 20 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 16 Siku iliisha na mume wangu hakurudi na kesho yake mama wakwe

na mawifi zangu walirudi niliingia jikoni nikapika chakula pambe sio powa yani mhh kulikuwa pambee kumanisha sio powa kwa uzuri uleee jamani , nilitenga mwenyew jamni ila muda huo wote mume wangu hakuwepo kabisa nyumbani

"jamni mkwe wangu mhh inaonekana upo vizuri san kwenye haya maswala ya mapishi , maaan sio kwa utamu huu binti yangu, kwanza ukute mwanangu kadata kwa mapishi yako binti yangu mhh ujue wewe nawee jamni" alisema mama mkwe baba mkwe aliendele kula tu alidakiaa mdada mmoja ni wifi ila nilikuwa simjui jina hata " wifi yangu jamani mimi naitwa Hawa ujuee napenda kula mhhh jamni...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lawyer-naumia-mwenzio-sehemu-ya-16-siku-iliisha-na-mume-wangu-hakurudi-na-kesho-yake-mama-wakwe

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lawyer-naumia-mwenzio-sehemu-ya
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’   SEHEMU YA 19 - 20 Tuliendelea na shughuli yetu hakupata shida
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 19 - 20 Tuliendelea na shughuli yetu hakupata shida
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 7 Aliendeleaa kunishikilia kwa nguvu huku akinipa juice na mimi nilikuwa sitoi
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 7 Aliendeleaa kunishikilia kwa nguvu huku akinipa juice na mimi nilikuwa sitoi
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 12 Aliendeleaa kunipa juicee ila kuna muda aliacha afu mwenzenu nishanogewa
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 12 Aliendeleaa kunipa juicee ila kuna muda aliacha afu mwenzenu nishanogewa
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 10 Nilikuwa nimejikalia zangu chumbani sina tena maumivu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 10 Nilikuwa nimejikalia zangu chumbani sina tena maumivu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 11 Tukiwa tumelala kuna simu ikawa inaitaa alikuwa anapiga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 11 Tukiwa tumelala kuna simu ikawa inaitaa alikuwa anapiga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 8 "Mke wangu usinichukiee sasa nisamehe ika , mimi ndio mmeo wa kufa na kuzikana sawa mke wangu"
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 8 "Mke wangu usinichukiee sasa nisamehe ika , mimi ndio mmeo wa kufa na kuzikana sawa mke wangu"
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 9 "Wee jamni hata kam ndio umefukuzwa kazi ndio hupatikani shoga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 9 "Wee jamni hata kam ndio umefukuzwa kazi ndio hupatikani shoga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 13 "Kabil wewe ni wakuniolea mwanamke kisiri siri? , mpaka naambiwa na ndugu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 13 "Kabil wewe ni wakuniolea mwanamke kisiri siri? , mpaka naambiwa na ndugu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 6 Nilitoa macho mimi hadi machozi yalinitiririka jamani mimi nilijikuta nalia ila kwa sauti ya chini chini
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 6 Nilitoa macho mimi hadi machozi yalinitiririka jamani mimi nilijikuta nalia ila kwa sauti ya chini chini
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.04K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest