Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka
Gonga94 Β· Stories

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kumuona mjukuu wake akakutana na taarifa za mimi kuwa mjamzito , ila usiku mama alitaka kuongea na mimi chumbani hivyoo tulikaa sebuleni maan mama alinielewa jinsi nilivyoo si kanizaa anajua nikiwa sipo sawa kisaikolojia

"Mwanangu naomba usinifiche kitu mimi ni mama yako nambie kila kitu kinachokusumbuaa najua una kitu kinakusumbuaa japo maisha yako yanaonekana kuwa swafi kabisa mwanangu ujuee kuna kitu sikielewi kwako mwanangu" nilimtizama tu alivyoniuliza na jinsi nilikuwa nishachoka nikaanza kuliaa nililia sana , kwa sauti kubwa "utawaamsha kaka na baba yako hebu kunywa maji afu nambie shida ni nini binti yangu?" Alinipa maji nikanywa , nikafuta machozi nikaanza kumuhadithiaa kila kitu ninachopitiaa kwenye ndoa yangu

"Wewe mtoto utakuja kuwa mchawi wewe mhh kwahyoo mambo makubwa makubwa kama hayoo unayapitia na hausemi mwanangu ila ona ulivyokonda sasa, ila mimi mwenyew nahisi kuna kitu kinaendelea kwa mumeo mimi naona kesho nikupeleke sehemu mwanangu hii wiki lazima ushughulikiwe" nilimshangaa mama " Wewe mama mimi mambo ya kishirikina sitaki kabisa wee mama tabia hizo umeanza lini?" Nilimuuliza kwa mshangaoo " kumbe wewe mtoto ni chizi saa hebu kalale kesho kuna sehemu kuna sehemu tunaenda umenisikia wee mjinga?" Sikuuliza swali lingine nikaenda zangu kulala , huku naisubiri hyo kesho nikiwa na mawazo huyu mama mambo ya kichwawi kayatoa wapiπŸ˜…πŸ€”

Kesho ilifika , na tuliondoka mapema mimi na mama , tulitumia gari zangu maan saaa hivi nililiwa naweza kuliendesha 😁😁 tuliendaa , ila hatukuenda sehemu ambapo mimi nilikuwa napafikiria etty kwa mganga πŸ˜…πŸ˜… hapana tulienda kwenye kisomo huko nilipewa kombe la kuoga na nikaambiwa dua ya kusoma kabla ya kulala na baada ya kuamka , nikaambiwa nipake mafuta ya zaituni, niwe naogea chumvi ya mawe maan kama kuna uchawi (sihri) zozote zitatoweka , tulirudi nyumbani na tulikaa mpaka wiki imeisha nikaenda zangu nyumbani kwangu nikawa nimetuliaa

Hii siku ilikuwa imetuliaa sana zimeshapita kama wiki mbili sasa tangu tuende kwenye kule kisomo na mimi nilikuwa nazidisha swala za usiku na mchana , nilikuwa nimekaa zangu nimetulia mara namuona mume wangu anakuja hia hiya kam vile kachangangikiwa , akanishikaa mkono ananipeleka hukoo chumbani kwangu mimi namshanga ila moyoni namshukuru Mungu kwa kumrudisha mume wangu , alipiga magoti chini sasa
"Mke wangu najua nilikukosea sana nakuomba nisamehee , nimegunduaa mimi haikuwa akili yangu ila ni vile nikiwa nashtuka nafanya maamuzi najikuta narudi mule mule mke wangu, ila ninakuomba sana na ninakushukuru sana kwa kunivumiliaa kubaki na mimi ila nimeeenda mahakamni kusaini talak nimeambiwa mpaka miezi sita , ila sitaki kuwa karibu yake ninaomba nina safari naenda njee nikirudi kila kitu kitakaa sawa mke wangu umenilewa nadhani" alisema mume wangu nilitamani hat nimkumbatiee hatimaee kazinduka kumbe ilikuwa ni shirking kweli jamni milifurahi mno, nikamwambia kuhusu mimba yangu alifurahi na aliniambiaa nikijifunguaa atanipa Zawadi nzuri sana nilifurahi sana jamni nililala nae hii siku kesho yake alipanda ndege alaondoka zake

Miezi ilipita na sasa hivi mume wangu alikuwa ananihudumiaa tunaongeaa vizuri tu hatuna tatizo alikaa huko miezi saba badala ya sita hivi hadi mimi nilijifunguaa yeye hata hayupo mama alikuja kuniuguza hatimaee akaondoka nilijifungua cha kike anaitwa Feroz ni jina la kiajemi nilimpa kwasababu nilikuwa napenda moviee za hukoo jamaniπŸ˜‰β˜ΊοΈ mama alikuja kuniuguza pamoja na mama mkwe ila nilipokaa sawa waliondoka nikabaki na Hafsa

Hii siku nimekaa zangu chumbani nilikiwa nimetoka kuoga nipo zangu napaka mafuta nimekibinua balaa hiko kiserekali jamni , nashangaa nashikwa kiuno niliruka kweli jamani maana sijashikwa kama hivyoo mudaa nilikuwa na ny*g* kibaoo nageuka alikuwa ni mume wangu jamani sikujua kaingia saa ngapi mpaka kafunguaa kitasa kamaliza kafunga mlangoo mhh jamani huyu hapana πŸ™Œ, akaanza kunipa juice na mimi nikawa nampa ushirikianoo jamani nilimmisi huyu mbaba wangu

Itaendelea......πŸ”₯
Tangazo - mjeda inauma siwezi vumilia 1 to 20 final
mjeda inauma siwezi vumilia 1 to 20 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka

kumuona mjukuu wake akakutana na taarifa za mimi kuwa mjamzito , ila usiku mama alitaka kuongea na mimi chumbani hivyoo tulikaa sebuleni maan mama alinielewa jinsi nilivyoo si kanizaa anajua nikiwa sipo sawa kisaikolojia

"Mwanangu naomba usinifiche kitu mimi ni mama yako nambie kila kitu kinachokusumbuaa najua una kitu kinakusumbuaa japo maisha yako yanaonekana kuwa swafi kabisa mwanangu ujuee kuna kitu sikielewi kwako mwanangu" nilimtizama tu alivyoniuliza na jinsi nilikuwa nishachoka nikaanza kuliaa nililia sana , kwa sauti kubwa "utawaamsha kaka na baba yako hebu kunywa maji afu nambie shida ni nini binti yangu?" Alinipa maji nikanywa , nikafuta machozi...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lawyer-naumia-mwenzio-sehemu-ya-17-18-mama-alifurahi-sana-maana-na-yeye-alikuwa-amekuja-kwa-kaka

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lawyer-naumia-mwenzio-sehemu-ya
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 16 Siku iliisha na mume wangu hakurudi na kesho yake mama wakwe
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 16 Siku iliisha na mume wangu hakurudi na kesho yake mama wakwe
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’   SEHEMU YA 19 - 20 Tuliendelea na shughuli yetu hakupata shida
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 19 - 20 Tuliendelea na shughuli yetu hakupata shida
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 7 Aliendeleaa kunishikilia kwa nguvu huku akinipa juice na mimi nilikuwa sitoi
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 7 Aliendeleaa kunishikilia kwa nguvu huku akinipa juice na mimi nilikuwa sitoi
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 12 Aliendeleaa kunipa juicee ila kuna muda aliacha afu mwenzenu nishanogewa
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 12 Aliendeleaa kunipa juicee ila kuna muda aliacha afu mwenzenu nishanogewa
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 10 Nilikuwa nimejikalia zangu chumbani sina tena maumivu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 10 Nilikuwa nimejikalia zangu chumbani sina tena maumivu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 11 Tukiwa tumelala kuna simu ikawa inaitaa alikuwa anapiga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 11 Tukiwa tumelala kuna simu ikawa inaitaa alikuwa anapiga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 8 "Mke wangu usinichukiee sasa nisamehe ika , mimi ndio mmeo wa kufa na kuzikana sawa mke wangu"
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 8 "Mke wangu usinichukiee sasa nisamehe ika , mimi ndio mmeo wa kufa na kuzikana sawa mke wangu"
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 9 "Wee jamni hata kam ndio umefukuzwa kazi ndio hupatikani shoga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 9 "Wee jamni hata kam ndio umefukuzwa kazi ndio hupatikani shoga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 13 "Kabil wewe ni wakuniolea mwanamke kisiri siri? , mpaka naambiwa na ndugu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 13 "Kabil wewe ni wakuniolea mwanamke kisiri siri? , mpaka naambiwa na ndugu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 6 Nilitoa macho mimi hadi machozi yalinitiririka jamani mimi nilijikuta nalia ila kwa sauti ya chini chini
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 6 Nilitoa macho mimi hadi machozi yalinitiririka jamani mimi nilijikuta nalia ila kwa sauti ya chini chini
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.04K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest