VYOTE NDANI GONGA94
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 9 Nililala mpaka asubuhi, ila niliwahi kuamka mimi wa kwanza kuliko lecturer, nilikaa nikaanza
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kuwaza kitu kilichokeaa jana na jinsi usiku ule ulivyokuwa mgumu sana kwangu, yaan mtu hatuna hata miez miwili kufahamiana etty nimempa jamani hii haikukaa sawa kwa upande wangu kabisa mhhh hii iliniwazisha nikajikuta nakumbuka udhalili uliotokeaaa kwangu na soon tu hapo tuna mtihani wa semester ya pili ambayo ikitoka hiyoo inakuja ya mwisho tumalize chuoo kwa maana huyu lecture alikuja kutufua kwa ajili ya semester, na tayar nishapita naee nilikaaa nikawaza kwa muda mrefu kuhusu hili jamani kwangu sio jambo la kawaida japo mtu anaeza akalichukulia normal tuu kwa maana mimi sio mtu wa kutumika napenda kuwa na mwanaume mmoja tu na sio kinginee, huwa napenda sifanyi kwa ajili ya pesaa, ila ni vile tu mimi sio mtu pengine mwenye bahati ya kuwa kwenye mahusiano hayo yote nilikuwa najiwazia tu akilini mwangu na sio kingine zaidi ya hapo
Lecturer aliamka kwasababu simu yake ilikuwa Inaita alipokeaa na kutoka njee kuongea nayo mimi sikujua alikuwa ni nani yule aliyekuwa anaogea naee kwenye simu, akarudi alichelewa kidogo kwenye maongezi yake hukoo njee mimi nilibaki chumbani ila nakumbuka hata alivyooamka alitoka nje bila hata kunisalimiaa mimi sikumpatiliza ila alirudi ndani kwa furaha akanikisi kwenye paji la uso akanambiaa nakupenda akanipa mfuko na kuniambia kwamb zile ni nguo zangu za chuoo nijiandaee tuondoke nilienda nikaoga nikavaa hizo nguoo alizonipa zilinipendeza na zinavyonekana zilikuwa ni za bei ghali pia alinipa na koti jipya la darassani nilifurahi maan nilikuw na zile nguo za kwenye party ya jana hivyo alivyoletaa nilimshukuruu nikavaa tukaondoka zetu pale kuelekea chuoni yaani nilivyokuwa nashuka ngazi ndio nilipoona kwamba pale ndani ni pazuri mnoo mhhh jamani kam vile hawakai watu ni pazuri hadi nikaanza kupafanisha na peponi kwa jinsi palivyokuwa pazuri na panapendezaa sana furniture zimepangwa zikapangika yaani kwa mpangilio pako poa sana sio kawaidaa yaani pamependeza na pamezidi uzuri wenyew, tuliondoka kuelekea chuoni, njia nzima lecturer ni ananisifiaa tu hapo mimi sijui chochote kuhusu yeye lakini yeye anajua karibia kila kitu kunihusu, ila nilimuombaa kituu kama anaweza tupite nyumbani kuchukua begi langu alikubali bila wasi wasi na tukapita nyumbani
wewe kwahyo umekuja na gari, usiniambie binti yangu ushaanza kutoka na watu wenye nazo eeh?" Alikuwa ananiambia kwa sauti ya chini maan lecturer nae alikuwa kaingia ndani na yupo sebuleni, Nilicheka tu nikamwambiaa mama nitamwambia kila kitu asihofu bhana ngoja niwahi kwanza chuoo mama alikuwa ananishangaa tu mimi niliingia ndani kuchukua begi nikamuacha lecturer kakaa na mama pale sebuleni, nilitoka tukaondoka zetu lecturer alitaka kushika kibegi changu tena nikamtizama kwa ishara ya kwamba namkataliaa kwenye hili maana sikutaka aniwekee pesa zake mhh kwahyoo unadhani nikitaka kukupa pesa, sasa hivi nitakuwekea kwenye begi nikitaka nakupa mkononi wewe kwa sasa ni mwanamke wangu na hakuna haja ya kukusumbuaa sumbuaa sawa mama angu?" alisema kwa unyenyekevu mkubwa nilimtizama kisha nikatabasamu tu nikamwambiaa tu sawa.
Tulifika chuoo lecturer alinipaa 300k akanambiaa hiyoo ni ya matumizi madogo madogo sawa mpenzi akanikisss kwenye paji la uso, ila tulikuwa kwenye gari, nashuka kila mtu macho kwangu ananitizama mimi tu afu naangalia mbele nakutana na Shyurey afu nimeshuka kwenye gari la lecturer nikajua tu leo kumekucha sa....
Itaendelea....

SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lecturer-nikikupa-hutoninanii-chapter
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *Chapter 14&15* Alitoka nje na kuniacha mimi ndani nipo najichekea chekea
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 8 Nilililegeaa mara kumi yake jamani huyu mkaka hapana anajua bwana kwa kujua tu anajua
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 12 Niliingia ndani, mama alikuwa ananisubiri kwa hamu kweli maana
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 10 Tuliachana na lecturer yeye alielekeaa officine na mimi nilielekeaa class