MIMBA YA MJEDA 1 - - - - - - 5
SEHEMU YA 1
Mimi naitwa Reila Nina miaka 16 nipo kidato cha tatu nasoma shule iitwayo The Brightest iliyopo mkoani Kilimanjaro Mimi natoka kweny familia yenye Hali ya uchumi wa chini ila sio sana maaan baadhi ya mahitaji mamdogo madogo hayakosekani.
Kama mnavyojua maisha ya shule huwa watu na marafiki zao wale marafiki wa kindaki ndaki Yan marafiki ndugu ndo Mimi na uyo shoga angu aitwaye Julieth. Sisi urafiki wetu ulijengwa Toka tunaanza form one hivyo tumezoeana na siku zote izo tunajuana sikuwai kwenda kwao hata siku moja ila yeye alikuwa akipajua kwetu na huwa alikuwa anakuja kusalimia ambapo ikamfanya mamaangu ampende Sanaa na kumuamini Hadi ikafikia hatua nikiomba ruhusa nyumban kuwa naongozana nae tunatoka out wananikubalia chap wakt huwa siruhusiwi kutoka Toka kwenda mbali na nyumbn hovyoπ.
Sasa siku hiyo tukiwa shuleni Julieth akanialika kuwa kesho kutwa kutakuwa na birthday ya mamaake kwaiyo anatualika marafiki zake hasahasa Mimi, nilifurah ila nikawa namawazo maaan hata nguo nzuri nzuri Sina Julieth aligundua kuwa furaha yangu imepungua akaniuliza we Reila shida Nini nikamwambia hamna shida mbona akaniuliza najua Kuna shida we niambie Mimi sindo rafiki yako nikamwambia shoga mie Sina nguo nzur za kuvaa iyo kesho kutwa akasema aaah shoga ilo ndo likuwazishe jamn embu usijali kesho nakuletea kagauni kangu kazuri utapendeza nikamwambia sawa asante akaniambia usijali. Muda tuliokuwa tunaongea ilikuwa ni mapumziko na mapumziko yalivyoisha akaja mwalimu darasani kufundisha Kisha baadae muda wa kuondoka ukafika Kila mtu akaenda kwao.
Nikiwa njiani nikawa nawaza sijui baba Reila na mkewe wataniruhusu kwenda kwakina Julieth iyo kesho kutwa duuh nikawa nawaza uku nakumbuka baba alivyomkali sasa.Nikatembea Kwa muda mfupi Kisha nikafika nyumban kwanz nikamkuta mama kanuna uyo nikamuuliza mdogo wangu shida Nini Kwan akasema ngedere wamekula mazao ya mama uko shambani kwaiyo hapo Kam unania ya kumuongelesha we acha tuu maaan niuta tukanwa wewe mpaka ushangaeπ , mmmh nikamjibu sawa ngoja nibunde nikamwambia kesho maana hii taarifa nikipeleka Kwa baba moja Kwa moja bila kumwambia mama,baba atazingua. Kwaiyo nikaenda zangu kuoga nikafua nguo za shule tukatenga chakula Mimi na mdogo wangu Kisha tukala maaan kagiza kalikuwa kameshaingia tulivyomaliza mie nikaenda kulala nikamuacha mdogo wangu agness anatoa vyombo.
Kesho yake asubuhi na mapema nikajiandaa Nilivyomaliza nikamfata mama alikuwa njee anajiandaa kwenda shamba nikamwambia mama shikamoo akaitikia marahaba nikamwambia mama naomba ruhusa akaniangalia Kwa muda bila kunijibu Kisha akaendelea na kazi zake nikamwambia Tena mama naomba kesho niende kwakina Julieth Yan kabla sijamaliza kuongea mama akaniambia hamna kwenda popote iyo siku ni ya shule usiniletee ujinga hapa.
Nikaaanza kulia uku nanung'unika mama akanizaba kibao Kisha akaenda kuchoma fimbo Mimi mwenyw nikaondoka shule, Natembea njiani uku nalia Tena ile ya kimya kimya nikafika shule namkuta Julieth anafuraha uyo nikajikaza nisiondoe furaha yake akanisalimia Kwa bashasha Kisha akanipa begi lake nikamuuliza vipi mbona unanipa begi akasema we nawe siufungue uone Kuna Nini humo nikamwambia mmh sawa nilivyofungua nikakuta kagauni kazur hako Tena chakubana Hadi raha na vindala kaniletea.
Nikamwambia asante ila sidhan kama ntakuja, nilivyosema ivo Julieth akaniuliza Kwan shida Nini nikamwambia mama kazingua akaniambia kama kuhusu mama usijali ntampanga mamaangu aongee nae nikamwambia usimwambie mamaako bwana mie nshaamua siend akaniambia usijali kwanza tusome kesho tutajua tutakachofanya nikamwambia sawa. Tukaendelea na masomo baadae muda wa kurudi nyumbn ukafika.
Itaendelea...
SEHEMU YA 2
Nikaenda nyumbani na lile gauni kweny begi nililibeba tuu ilikumtia moyo Julieth ingawa najua mamaangu hawezi kukubali niende, nikafika nyumbn sikumkuta mama Wala baba nikajua tu wapo shamba nikaenda kubadilisha nguo nikaanza kupika chakula cha usiku mida mida mdogo wangu Agness nae akarudi kutoka shule muda huo mie nshamaliza kupika, Mimi na mdogo wangu tukaenda kuchota maji kijijini kwetu Kuna huyo mkaka ambae Kila mwanamke wa pale huwa anamgombani Yan mpaka kero ukikuta wanamuongelea mara sijui katoka dar es salaam ni handsome mie nakaaga nawasikiliza napotezea maaan ni upuuzi mtupu.
Sasa wakti tunarudi kutoka kweny maji Mimi na mdogo wangu tukapishana na uyo mkaka anaitwa Ngowi A.K.A handsome wa kijijiπ tukafanya kama hatujamuona vile kwakua kashazoea wasichana kumpapatikia na Kila wakimuona wao ndo wanaanzisha salamu alishaanga Sanaa Baada ya kuona simpapatiki hata kidogoπ na natembea kama simuoni na ukichangia mie ni mzur sana na Nina karangi keupe na Nina mshepu alafu nilivaa kangaa na kashati ndani Tait ndefu kwaiyo nyuma mambo MashaAllah. Ngowi akanirudia maana tulimpita akaniita we Binti nikafanya kama sijamsikia nikaendelea kutembea akaita Tena we Binti Bado sikumuitikia Agness sasa alivyo na misifa uyu mtoto akaniambia Kwanguvu we dada kwanin siunaitwa huskii au π Yan nilimkata jicho ilo la mwanaukome Kisha ndo nikageuka, Ngowi akaja akaniambia mambo nikamjibu poa vp Kuna shida gani akaniambia hamna shida ila nashanga tu mrembo kama wewe unanipita kama hunijui handsome kama Mimi kwanza nikatua ndoo niliokuwa nimeibeba nikaanza kucheka hapo Agnes yeye hataki kutuma ndio anatushangaa tuu nikamwambia hiv we mkaka mzima kwel kwaiyo Kila anaepita akusalimie we afisa wa TRA au na hata ao maafisa wenywe hawasalimii Sanaa embu nipishege uko.
Ngowi akaniambia mrembo mwenzio wote wananigombania niwaoe wewe unajifanya unaleta ugumu eeeeh nikamwambia wewe kaka embu jiheshimu usikere sasahiv Mimi mwenyw Sina akili vilevile ntokee hapa nikajitwisha ndoo yangu kichwani Kisha nikaendelea na safari yangu sasa akawa ananikera ananifuata nyuma ananitongoza mbele ya mdogo wangu kwa hasira nikamwagia maji nilikuwa nimebeba yote yakamuishia yeye ni alikasirika uyo Wala sikumzingatia nikabeba ndoo yangu nikawa narudi nyumbani eti akawa ananiambia Yani wewe utaingia kweny kumi na nane wewe nikamjibu kumi na nane Nini niingize kweny ishirini na nane kabisa π.
Tukaondoka tumefika nyumbani agness akatua ndoo yake mie nipo na kandoo kangu katupuπ na wakati huo huo mama alikuwa kasharudi akaniuliza vipi we mtoto maji yako yapowapi Agness akataka kusema nikamuwai nikamjibu mama nimeteleza uko bombani kwaiyo nikaona nirudi hivohivo tu, mama akaniangalia Kisha akatikisa kichwa alafu akaniambia andaa chakula tule nikamuuliza mama baba yupo wapi akasema nimemuacha shamba alinde mazao kwasababu ya ao ngedere.
Tukaandaa chakula tukala tulivyomaliza mama akasema kesho usiende shule nimeongea na mama Julieth kasema uende kwake na Julieth ndo atakufata nikamwambia sawa mama ila nilifurahi Yan nilitamani kupiga vigeregere ila nikajikaza maana namjua mamaanguππ.
Kesho yake mapema nikaanza kufanya kazi zangu zote mama nae akaenda shambani Agness akaenda shule kwaiyo nikawa mwenyw nyumbani nikamaliza kazi zangu nikaenda kuoga nilivyorudi nikaa kitako kweny kioo sasa kama mnavyonijua mtoto MashaAllah nikapaka kawanjaa tuu chini kweny kamstali kanachotengeneza mdomo na kweny kamstari cha mdomo wa juu Nilivyomaliza nikavaa Ile gauni sasa nilishangaa maana ndo mara yangu ya kwanza kuvaa magauni ya design Ile yanachora vile nikataka kulivua maana hips zimejichora na uko nyuma sasa ni kama najichoresha nyumbn Kwa watu nikataka kuvua kabla sijamaliza nikaskia honi njee kabla sijawaza hili ni gari la nani nikaskia sauti ya Julieth ananiita We Reila Toka basi ukoo nikaona Bora niivae hii hii naweza nikavua nimkwaze shoga angu Bure.
Nimetoka njee nimekuta gari zuri Jeusi alafu njee ndo kasimama Julieth kapendeza uyo nikamuuliza wewe ndo unaendeshe hili gari akasema hapana bwana we nawe ni kakaangu ambae akitoka yeye nafata Mimi nikachechemea ilinichungulie ndani ya gari ndo nikamuona ni kahandsome, ila mie sifagilii nikamwambia eeeh wewe ndo kunawageni wengi hivo akasema na Bado huko nyumban kakazangu wote wapo na wengi huwajui nikamjibu sawa uku najiangalia nguo nilizovaaπ Ila nyie uyu mtu anamaksudi Yan kaniacha mie nikae mbele na kakaake alafu kitu chaaibu zaidi wakti napanda gari Julie akanipiga kibao cha matako Hadi kakaake kaona π nilijiskia aibu nilivyoingia nikamsalimia ila Wala hakuitikia Julie akaniambia bwan we usimsalimie uyo kakupita miaka 5 tuu, nikaguna Kisha nikakaaa kimya maan mie mbele za watu sitaki kujifanya muongeaji Wala mjuaji nipo kimya.
Tumekaa kweny gari kama dakika kumi na Tano Kisha tukafika tunapoenda sasa ambapo ndo nyumbani kwakina Julie au Julieth. Mmmmh jamani jamani Kuna watu wanaishi alafu ndo sisi tunaoishia maana kwao nikuzuri mpaka Raha ila nashangaa mbona anasoma shule Ile ya kajamba Nanπ
Itaendelea⦠SEHEMU YA 3
Tukaandaa chakula tukala tulivyomaliza mama akasema kesho usiende shule nimeongea na mama Julieth kasema uende kwake na Julieth ndo atakufata nikamwambia sawa mama ila nilifurahi Yan nilitamani kupiga vigeregere ila nikajikaza maana namjua mamaanguππ.
Kesho yake mapema nikaanza kufanya kazi zangu zote mama nae akaenda shambani Agness akaenda shule kwaiyo nikawa mwenyw nyumbani nikamaliza kazi zangu nikaenda kuoga nilivyorudi nikaa kitako kweny kioo sasa kama mnavyonijua mtoto MashaAllah nikapaka kawanjaa tuu chini kweny kamstali kanachotengeneza mdomo na kweny kamstari cha mdomo wa juu Nilivyomaliza nikavaa Ile gauni sasa nilishangaa maana ndo mara yangu ya kwanza kuvaa magauni ya design Ile yanachora vile nikataka kulivua maana hips zimejichora na uko nyuma sasa ni kama najichoresha nyumbn Kwa watu nikataka kuvua kabla sijamaliza nikaskia honi njee kabla sijawaza hili ni gari la nani nikaskia sauti ya Julieth ananiita We Reila Toka basi ukoo nikaona Bora niivae hii hii naweza nikavua nimkwaze shoga angu Bure.
Nimetoka njee nimekuta gari zuri Jeusi alafu njee ndo kasimama Julieth kapendeza uyo nikamuuliza wewe ndo unaendeshe hili gari akasema hapana bwana we nawe ni kakaangu ambae akitoka yeye nafata Mimi nikachechemea ilinichungulie ndani ya gari ndo nikamuona ni kahandsome, ila mie sifagilii nikamwambia eeeh wewe ndo kunawageni wengi hivo akasema na Bado huko nyumban kakazangu wote wapo na wengi huwajui nikamjibu sawa uku najiangalia nguo nilizovaaπ Ila nyie uyu mtu anamaksudi Yan kaniacha mie nikae mbele na kakaake alafu kitu chaaibu zaidi wakti napanda gari Julie akanipiga kibao cha matako Hadi kakaake kaona π nilijiskia aibu nilivyoingia nikamsalimia ila Wala hakuitikia Julie akaniambia bwan we usimsalimie uyo kakupita miaka 5 tuu, nikaguna Kisha nikakaaa kimya maan mie mbele za watu sitaki kujifanya muongeaji Wala mjuaji nipo kimya.
Tumekaa kweny gari kama dakika kumi na Tano Kisha tukafika tunapoenda sasa ambapo ndo nyumbani kwakina Julie au Julieth. Mmmmh jamani jamani Kuna watu wanaishi alafu ndo sisi tunaoishia maana kwao nikuzuri mpaka Raha ila nashangaa mbona anasoma shule Ile ya kajamba Nanπ ila nikavunga nisionekane mshamba Kwa watuπtukashuka kweny gari Julieth akanishika mkono akanipeleka Kwa mamaake sasa pale Kwa mama ndo makubwa maaana nilimkuta kakaake mwengi ni mzur analips za pink na nimweupe duuuh mpaka Raha ila nikapotezea nisije nikaonekana na tabia mbaya Kwa watu πnikamsalimia mamaake na alifurahi sana baada ya kuniona tukaongea Kisha Mimi na Julieth tukatoka pale.
Ghafla tukiwa tunaongea kichwa kikaanza kuniuma nikamwambia Julieth kwaiyo akaona anipeleke chumbani kwake kupumzika. Chumba chake ni kizuri mpaka Raha tukawa tunapiga story sasa akaanza kutambulisha kaka zake akaniambia yule alinifata ataitwa ibrah uyu mwengine ambae tumekuta anaongea na mamaake anaitwa Kelvin na kunamwengine uyo anakuja anaitwa Tariq na ndo mkubwa Kwa wote hapa, nikamuuliza Julie uyo sindo uliokuwa unamsifia anakuletea mizawadi akasema Yan ni anaroho nzuri kakaangu na Nina uhakika utaongezeka kweny list ya wadogo zake, nikatbasamu Kisha nikamwambia sawa basi niache nipumzike, akasema Aya mie nipo njee ila ntakuwa nakuja kukuangalia nikaitikia sawa.
Julie alivyotoka nikalala kama masaaa mawili Kisha nikawa naskia mkojo nikamka nikatoka njee ya lile chumba nikawa natafuta choo sasa, nikaona chumba kipo mwisho kabisa maaan kwao vyumba vimepangana nikaende kweny kile chumba Nimefungua nakutana na mkaka ni mzur na ni mweupe alafu alikuwa kifua waziπ³, nikataka kutoka akanidaka mkono Kisha akanivutia ndan kumbe kile kilikuwa chumba chake, Nikasimama nikawa naangalia chini yeye akawa kama kaduwaa.
Itaendelea ...
SEHEMU YA 4
Akaniuliza Kwa upole ulikuwa unatafuta Nini chumbani kwangu mrembo,kwanza nikashangaa uyu mbona ananiongelesha Kwa mahabaπ, nikamwambia nilidhan ni chooni akaniambia Humu Kuna choo ndio ila ni choo cha hiki chumba vyoo vya watu wote vipo njee ila kwakuwa wewe ni mrembo ingia chooni kwangu. Aliboniambia ivo mie kichwan apo nawaza kubakwa tuuππnajisemea watu ndo wanavyobakwa hivhiv, nikaenda chooni kwakuwa nilishindwa kuvumilia ule mkojo Kisha ndo nikatoka sasa nikamwambia asante akanivuta Tena safar hii akanishika kiuno Yan nilishtuka na yeye akaniona Kwa akacheka Kisha akaniuliza shida Nini mrembo unazo nyingiπ, eeeeh Yan uyu mkaka anamatusi nikajua tuu alichomaaanisha nikamwambia naomba niende mara moja basi akawa hataki kuniachia nikawa nikazugia onaa nyoka nyuma yako alivyogeuka tuu nikampolonyoka wakti nafungua mlango akanipiga Kofi la makalioπ³ nilishangaa uyu mbona anatania mbaya Yan mpaka kichwa kilipona.
Nimefika njeee kabisa kweny Ile nyumba nikamfata Julieth akaniuliza we nawe vipi mbona kama unamashaka nikamwambia Yan mashaka ni ya kawaida maana humu kwenu mmeleta wageni hawana adabu kabisa Yanπ Julie akaniuliza kwanini jamani Tena kabla sijajibu akasema alafu kabla sijasahau kaka Tariq kashafika Yan nimefurahi kaniletea na chocolates na pipi nyingi Hadi raha nikamwambia woow yupo wap akasema ndan alafu kizuri zaidi yupo likizo ya miezi miwili kazini nikamwambia hongera zako Binti ulinzi wako umekamilika πππ.
Sherehe ikaaanza rasmi mida ya saa nane mchana sasa kweny kutambulishwa makaka sindo akaitwa yule alienishika makalio wanasema ndo anaitwa Tariq nilishangaa na alivyoniona yupo Hapohapo mbele ila akanikonyeza na mdogowake akaonaπKwanza akanigeukia Julie Kisha akauliza wewe Kuna Nini hapa mbona kama mkonyezo uleπ nikamwambia ni story ndefu shogaangu ila usijali ntakuaditdhia.
Mda wa chakula ukafika tukalaa pale sasa Julieth akaniita pembeni Nikamuuliza we Binti shida Nini akasema nimetumwa mwenzio na sijui hata nikwambiaje nikamwambia we mie sishogaako unashindwaje kuniambia ulichotumwa akaniuliza usikatae jamni nikamwambia sawa sikatai akaniambia kaka ibrah kanituma kasema amekupenda alafu na yule mwengine Kelvin nae kasema anakupenda na najua uta shangaa ila na Mimi nashangaa hivohivo π³π³.
Kwanza nikamuuliza wewe familia yenu inamapepo au, akaniuliza kwanini nikamwambia kakaako wote washenz washenz πakaniuliza wewe mie nimekutajia wawili tuu umtie Tariq Hana mambo ayo nikamuuliza unauhakika au unabwabwaja na wewe akasema ndio nikasema sawa ila ntakwambia ila kuhusu ao kakaako wawili waaambie mie nikama wewe jamn wao nikubwa hasahasa uyo Kevi sikanipita sana uyo jamn mbona anakuwa ivo sasa Julie akasema eeeh jamn mbona Kam unanichamba mjumbe hauwawi nikamwambia achana na mm we mschana alafu na kiu akaniambia ingia jikn kweny fridge ukanywe maji nikamwambia sawa ila mie sipajua kwaiyo akanielekeza nikaenda nikachota maji vizur mweny nikanywa sasa sinikawa naangalia Kwa dirishan nikshtukia mtu kanishika mbavu huku na huku Yan niliruka yeye akanishika Tena kiuno nilivyogeuka kumbe ni Tariq natena yupo zero distance nikawa nasema juu juu nahemea mipiraπ nikamuuliza Kwan we vipi akaniambia sisi Jeshini tuliambiwa tumface adui na wewe ndo adui wa moyo wangu, alivyosema ivo ni nikajua uyu ndo yule kakaake na Julie mwanajeshi.
Itaendeleaβ¦..
SEHEMU YA 5
Nikamwambia usinishike ivo bwana sasa mm mwenyw najishangaa naongea uku sauti imelegeaπ nalivyoongea ivo tu akanikiss Kwa ghafla mdomoni Tena na Ile ilikuwa first kiss yangu jamn nilikuwa kama nimepigwa na butwa sasa nikawa naskia nyayo za watu zikija eneo la jikoni nikawa namsukuma ila mwenzangu yeye hajali Wala Nini ndo kwanza ananishika makalio Nilivyoona haelewi nikamng'ata mkono ndo akaniachia nikaondoka kule jikoni nikaenda njee sasa nikawa kama sielewi, nikawa naangalia kule mlangoni namuona na yeye Tariq anatoka uku anajishikashika mdomo mara ajirambe rambe Yan ananiboa hajui tuuπ ila Mimi sasa mbona nilituliaπ.
Mida ya saa kumi na mbili sherehe ikaisha kwaiyo Kila mtu akaenda kwao na mie nikaenda kumuaga mama, akaniuliza mbona unawai kuondoka Reila nikamwambia mamaangu atanizingua nikichelewa akasema sawa subr kwanz nikamwambia Aya, akampigia mama wakaongea pale Kisha akanirudia akasema subr kidogo kakaako atakupeleka na nishaongea na mamaako kwaiyo usijali mwananngu nikamwambia sawa mama.
Nikaenda kukaa kweny kabustan mara nikamuona kelvin anakuja usawa wangu weee nikainuka sitak kutongoza sasahiv Nina mastress yanguπ nikahama nikaenda nyuma ya nyumba kukaa maan nikuzuri pia uko nikijilaza zangu kwenye vimajani mara Ibrah akaja nikawa najisemea moyoni hii nyumba watu watakuja kuniua na presha Mimiπ, Ibarah akaniambia Reila kama unausingizu si twende ukalale chumbni kwanguπ³π³iv uyu mzima kwelπYan niende nikalale chumbani kwake nikamjibu hapana asante Kwa ofa.
Akaniangalia Kisha akaniambia Julie nahisi kashakwambia Mimi Nakupenda Reila na ukimaliza tuu naweza nikakuchumbia wakat unasubr majibu, nikamgeukia uyu mtu nikamwambia ila wewe siunaijua Mimi na Julie ni marafiki na Julie na Mimi ni umri sawa akasema ndio najua ila mie Nakupenda Reila nikamjibu hapana siwez kutoka na ndugu wa rafk yangu. Nilivyosema ivo ibrah akawa mnyonge Kisha akaondoka mtoto wawatu sijui alienda kulia uko.
Muda ukapita nikaja kuitwa Julie kuwa ni mda wa kurudishwa nyumban tukaenda nikapanda gari la ibrah nikarudishwa nyumbani.
Nafika namkuta mama kakaazake njee Hana habar nikamsalimia akaniitikia akaaanza kunitania Yan siku moja tuu ushanenepaππnikamwambia Amna bwana, akasema aya sawa usiku huu nenda ukapumzike nikamwambia sawa. Nikaenda kulala maana nilikuwa nshashiba kwaiyo sikula home kesho yake mapema nikajiandaa kwenda shule maana ilikuwa ni ijumaa nimefika shule Julie hakuja nikajua tuu ni kwasababu ya uchovu wa Jana.
Ikapita siku mbili na mie jumatatu sikuenda shule nikiwa nyumbn nikaenda kisimani kuchota maji eeeeehπ³nisikutane na Ngowi na nipo pekee yangu na nilishamtukana na ww mwenyw nikamuangalia usoni anahasira nikaanza kuongeza mwendo ila haikusaidia maana alinivuta mkono akanilaza chini akawa anataka kunibaka nilipika kelele moja iyo Kwa bahat nzur rafiki yake baba akatuona akampiga Ngowi na jiwe, Ngowi akakimbia uyo yule mbaba ndo akaniokoa nikawa naliaπ
Yule mbaba akanipeleka nyumban Kisha akawaadithia wazazi wangu nakuwashaur Kam inawezekana wanitafutie sehemu ya kukaa mpaka ntakapo maliza shule maaan huku Kuna vikwazo vingi sana.
Mama na baba wakaka wakajadili Kisha wakafanya maamuzi Yao usiku wakat wakula baba na mama wakaniambia Reila ukimaliza hapa funga mizigo yako na nguo za shule na vitu vy muhimu vyote kesho mamaake Julie anamtuma mwanane akufate kwanza kesho utakuwa unaishi kwake mpaka tutakapoamua Nini chakufanyaπ³π³π³.
Yan naenda kule kwakina Tariq baba akasema ndio.
JE NINI KITAENDELEA β¦β¦.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi