Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
07 Nov 2025
1.12K views
VYOTE NDANI GONGA94
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *16-20* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* "Ujue mpenzi wangu mimi kingine ambachoo kilifanya nikupendee ni ile siku ya kwanza ulivyofika ukaenda
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
jikonii nilipendaa sana unajuaa bhana kupika nikikuoaa nafukuza wafanyazi wotee jikonii utakuwa unapika wewe hapo mke wangu" nilitabasamu tu, alinirudisha nyumbani sasa, na yeye aliondokaa na mama nilimwambiaa alivyotoka kazini mama yangu hakuwa na tabu kabisaa mama yangu Zungu kabisa sema tu kakaaa Uswahilini tu ndio maana
Basi siku zilipita bhana na mimi nikawa nimebadili dini na kutambulishwa kwenye kanisa ambalo alikuwa anaswali mume wangu lipo pale magomeni kanisani, na wakwe zangu walikuja sasa na shemeji yangu kupanga ratiba za ndoa, walipangaa siku ya ndoaa na nilikuwaga sijamwambiaa Aika wala familiaaa ila hili la ndoa ndioo niliwambiaa wote na familiaa yao kiujumlaa,mama yake alifurahi sana na kaka yake alifurahi sana, maana kama nisingeolewa au nikapata mimba mhhh yaani ingekuwa yye ndio cause kwasababu yeye ndio mtu wa kwanza kunikutanisha mimi na Raphael, ila kwa Aika haikukaa sawa na ni kama alikasirika na ninamjuaa mama mawivu mimi nikaonaa ni wivu wake wa kipuuzi acha mimi niolewe na jina languu la kikristoo naitwa Recho, ndoaa yangu ilkuwa babkubwa jamani ilipendezaa mnoo jamni mhh nilijua kupendezaa sana yaani nilinoga sana na lile shela langu jeupe na wigi langu unajuaa huku hawachoragi wala hawajazanagi mameke up mengi nilipakwa simple make up lakini nilipendeza kwa msaada wa sura yangu babe facee, na piaa kulikuwa na sherehe hii ndioo ilikuwa funga kazi jamani nilitunzwa mimi mhhh
Mume wangu hati ya hotel jamani mimi niliomba Restaurant nimepewa Hotel jamni hili lilikuwa linanifarisha sana jamani mimi, mama mkwe alimpa mama yangu hati ya nyumba mama naee alifurahi sana jamani nilijiiona mwenye bahati sijaolewa tu na mjedaa bali na billionaire na ni mtu ambae kwao hawana shida ndogo ndogoo jamani mama alikuja sikionii mwanguu na kuninong'oneza "kusubiri mwanangu unaona umefanikiwa kupitiaa nini sasa mwanangu umefanikiwa tu kupitiaa mume wakoo sio kila mtu anafanikiwa kupitia masomo jaman" siwezi kutaja vyote ila nilitunzwa sana mhhh sijui nisemajee jamni
Itaendeleaa.....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MIMI SIKUACHIπ₯° 21 MPAKA 23
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fat...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. ...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona j...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *16-20* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* "Ujue mpenzi wangu mimi kingine ambachoo kilifanya nikupendee ni ile siku ya kwanza ulivyofika ukaenda
jikonii nilipendaa sana unajuaa bhana kupika nikikuoaa nafukuza wafanyazi wotee jikonii utakuwa unapika wewe hapo mke wangu" nilitabasamu tu, alinirudisha nyumbani sasa, na yeye aliondokaa na mama nilimwambiaa alivyotoka kazini mama yangu hakuwa na tabu kabisaa mama yangu Zungu kabisa sema tu kakaaa Uswahilini tu ndio maana
Basi siku zilipita bhana na mimi nikawa nimebadili dini na kutambulishwa kwenye kanisa ambalo alikuwa anaswali mume wangu lipo pale magomeni kanisani, na wakwe zangu walikuja sasa na shemeji yangu kupanga ratiba za ndoa, walipangaa siku ya ndoaa na nilikuwaga sijamwambiaa Aika wala familiaaa ila hili la ndoa ndioo niliwambiaa wote na familiaa...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mjeda-inauma-siwezi-vumilia-16-20-sehemu-ya-kumi-na-sita-ujue-mpenzi-wangu-mimi-kingine-ambachoo-kil
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mjeda-inauma-siwezi-vumilia
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *Chapter 14&15* Asubuhi palikucha ili mambo mengine nayo yaendelee sasa maan hili hapana sio sawa
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 12 Asubuhi ilifika sasa leo nilikuwa na nguvu kidogo hata za kutembeaa niliamka nikajiandaa Raphael
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Mhh niishike wee sitaki mhh maama yangu kanikataza nikacheka mhh kwanza
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *Chapter 19&20* Aliendeleea na kazi yake na nimi nikawa nampa ushirikiano ipasavyoo
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 10 Alicheka kweli yaan ndio kabisa nikajua ananipanga hapo hhh
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *16-20* Chapter 17 Nakumbuka Aika alikuna sikioni akaniambiaa kituu" mhh subiri uonee ya kwangu"
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 18 Ulipita muda kama miezi 3 na mawasiliano yalikuwa shida sana na mimi hata sikujali
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 9 Hhhhh nilicheka maan alikuwa kanichekesha sasa jamani mhhh
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 13 "Mama nae jamani ni vile tu hujui, ngoja nikwambie kila kitu sasa mama yangu ujue
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 7 "Umenichana Raphael?" Nilimuuliza akawa ananitizama tu jamani yaani hata hanijibu nilikuwa nina hasira
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 8 Nililala mpaka asubuhi naamka hivi nipo peke yangu, kwanza kwasababu ya mawenge
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA SITA* Alizidi kunichanganya vilivyo yaaani nilishindwa kuelewa kwani nililegea hivi maan kumtoaa nilikuwa nataka ila cha ajabu nikawa namshika
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *1-5* ** *SEHEMU YA KWANZA* "Hebu wewe harakisha basi yaani wewe sijui utakuwa lini yaani jamani dah, hasara hizi jamani watu wanazaa...
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* 3 hadi 5 Ep 03 Walikuwa wakiendeelea kujirekodi na simu zao nilitamani ila nilikuwa sina mbele , nyuma wala kati kati mimi nikawa...
MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA 1 na 2 "Hebu wewe harakisha basi yaani wewe sijui utakuwa lini yaani jamani dah, hasara hizi jamani watu...